Tamba - East Africa Melody

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Singer - Sabah Salum
    Lyrics - Mahmood Alawy
    Music - Lamania

ความคิดเห็น • 60

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dada sabah . Mungu atulinde sote kwa Amani atuepushie n'a mashetani wanaozunguka mchana kweupe♥️

  • @agosacaroline
    @agosacaroline ปีที่แล้ว

    Wimbo wako wanipa matumaini. Hongera

  • @ElvisOndieki-w7b
    @ElvisOndieki-w7b ปีที่แล้ว +4

    Kuna nyakati mimi hujiambia huu ndio wimbo bora zaidi wa mahaba uliowahi kutungwa katika lugha ya Kiswahili.

    • @Elvis_Ondieki
      @Elvis_Ondieki ปีที่แล้ว +1

      Nakubaliana nawe. Wimbo ni murua sana.

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama imebaki siku,katika maisha yangu siku
    Ningependa hiyo siku,ishe na wewe ishe na wewe
    Mahasid shauri zao,na wavimbe khiyari zao
    Nimelengwa datia,nimelengwa datia
    Datia!datia!datia!datiaaaaaaahhhh

  • @davidamandi9486
    @davidamandi9486 3 ปีที่แล้ว +4

    The song 'tambaa,' is cool and charming just from the beginning kama ime baki siku.... It as some lovely lyrics woow

  • @shillingiomar6902
    @shillingiomar6902 2 ปีที่แล้ว +1

    Si ishi Tama moyoni insha'Allah tutaonana hongera bii mkuu

  • @sittyhalladi2730
    @sittyhalladi2730 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha' Allah quelle belle musique relaxante. Merci East Africa Melody

  • @bensonkitungu8862
    @bensonkitungu8862 ปีที่แล้ว

    hii wimbo ni malshallah ,tamu kupita kiasi

  • @fatmahhussein6071
    @fatmahhussein6071 4 ปีที่แล้ว +2

    Japo mbio za maishaa,zimetutenganushaa ipo siku tutakeshaa😍😍😍

  • @AbdulazizLema-w2p
    @AbdulazizLema-w2p หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊😊 Nakupenda

  • @sisteraaaa4027
    @sisteraaaa4027 ปีที่แล้ว

    Lovely Sabah salum❤❤❤❤🎉

  • @mohamedamar3096
    @mohamedamar3096 2 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful song

  • @carolinenjokikangangi5264
    @carolinenjokikangangi5264 5 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful mom,I luv all ur songs very nice 👌

  • @omarimusa2090
    @omarimusa2090 5 ปีที่แล้ว +2

    Wazi wazi mama kama imebaki iyo sikuuuuu. Bwana weee

  • @yaredamare5051
    @yaredamare5051 2 ปีที่แล้ว +1

    Lovely voice

  • @lubnahubess9756
    @lubnahubess9756 6 ปีที่แล้ว +4

    Love u Aunty❤️

  • @mouhamadbakri8655
    @mouhamadbakri8655 6 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda bure mamagu my favorit sabah 😍😘❤💕💖👄💝

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana mom

  • @hawajuma9523
    @hawajuma9523 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice San 2

  • @ngottambaraka2813
    @ngottambaraka2813 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizo ndiyo zilikua taarabu bwana weweeeee

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar taarab💥💥💥💥

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +4

    Inshaallah! Inshaallah tutaonana
    Inshaallah! Inshaallah tutaonana
    Iwe London inshaallah tutaonana
    Iwe Toronto inshaallah tutaonana
    Iwe Dubai inshaallah tutaonana
    Iwe Muscat inshaallah tutaonana

  • @ahmadnadhir8256
    @ahmadnadhir8256 2 ปีที่แล้ว

    Jaman dj harrry hahaha tuko pamoja

  • @JoeWalker254
    @JoeWalker254 3 ปีที่แล้ว

    Sabah Salum Ali nakupenda sana

  • @edsonotieno-kv5hi
    @edsonotieno-kv5hi ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 4 ปีที่แล้ว +1

    Love this ❤

  • @khadijamputila5284
    @khadijamputila5284 4 ปีที่แล้ว

    Japo mbio za maisha zimetutenganisha tamaa mie sijesha ipo siku tutakesha.

  • @mwajumahamdu2324
    @mwajumahamdu2324 5 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri mama michacho

    • @moodbin3764
      @moodbin3764 3 ปีที่แล้ว +1

      Ahhh mama kipenzi chanqu muimbaji bora kbs wa taarabu ambaye huna mpinzan Asante nakumbuka mbari

    • @saidmuasajamuhuri4641
      @saidmuasajamuhuri4641 3 ปีที่แล้ว

      Old is qold. Utam hadi rahaaa

  • @mwanahassan8794
    @mwanahassan8794 ปีที่แล้ว

    Ishe na wewe tukitazamana

  • @khamsahmedali4339
    @khamsahmedali4339 6 ปีที่แล้ว +3

    datia datia sabar mama uko juu

  • @nancymwangi5166
    @nancymwangi5166 ปีที่แล้ว

    Inshallah tutaonana........

  • @EdwinNyachio
    @EdwinNyachio 3 ปีที่แล้ว +1

    Naweza para full video ya huu wimbo

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    🤗🤗🤗🤗

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +4

    Siku tutapokutana eeehh,Waovu watatafutana eeehh
    Watabaki kunong'ona eehh,Sisi yetu yawe Ng'aring'ari
    Habib yetu yawe ng'aring'ari
    Habib datia! Habib datiahhh

  • @rukypreety9677
    @rukypreety9677 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mariamjuma9484
    @mariamjuma9484 4 ปีที่แล้ว

    Inshaallah tutaonana

  • @kichunaabdhuu4283
    @kichunaabdhuu4283 3 ปีที่แล้ว

    Cute

  • @saidmuasajamuhuri4641
    @saidmuasajamuhuri4641 3 ปีที่แล้ว

    Nimewakataa wenqi wenye ranqi tofauti wenye nywele za mashunqi nasubiri kesho yako

  • @erabrown5589
    @erabrown5589 4 ปีที่แล้ว +2

    malkia huna mpinzani

  • @frankabdallah7611
    @frankabdallah7611 4 ปีที่แล้ว

    Mkewagu

  • @aminajulius5201
    @aminajulius5201 5 ปีที่แล้ว

    I LOVE YOU MY MOM

  • @Cpt.Shebzy
    @Cpt.Shebzy 22 วันที่ผ่านมา

    Tuwatie tumbo joto..

  • @saidmuasajamuhuri4641
    @saidmuasajamuhuri4641 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah tutaonana