Bwana akubariki sana mtumishi wa Bwana kw kusikiliza mahubiri na mafundisho yako nimepona Kiroho na hata kimwili barikiwa sana.- changamoto zetu Bwana anazijua...
Pastor David Mmbaga nashukuru sana kwa mafundisho yote tena mazuri ambayo yanatusogeza karibu na Mungu wetu. Kwa kweli hatujue kuomba, basi na sisi kama wanafunzi wa Yesu tunaomba Yesu atufundishe kuomba. Mungu akubariki sana
Nimebarikiwa sana na mafundisho haya. Naomba Mungu anisaidiye kuyatiya katika matendo. Naomba muniombeye nina shida ya Uchumi . Vita imeharibu kazi zetu kwa jumla. Tunaomba Mungu atu epushiye vita hivi. Ni Maman Juliana kutoka Congo/Goma.
Mungu wa Mbinguni akutunze pastor.ubarikiwe zaidi ya hapo.najifunza kila siku kupitia masomo/mahubiri Yako.Napata kitu kipya kila nikisikiliza, Mungu akubariki sana..
Ahsante Sana pr Kuna muda kama mwanafunzi kutokana na changamoto za kimasomo divai inatondika lakini kupitia masomo yako napata moyo wa kusimamia tena na kuona mkono wa Bwana ukigonga na kufanya kazi MAISHANI mwangu ubarikiwe sana na Mungu azidi kukupatia hekima ya kukutumia na KUFIKISHA ujumbe kwa watu wa Mungu.
Namshukuru sana MUNGU kwa masomo haya. Mchungaji; nimebalikiwa sana na kitabu cha Maombi Yaliyojibiwa na kitabu cha Silaha saba; Ingawa ata sijamaliza kusoma vyote Lakini nimepata Nguvu sana. BWANA akujaze wingi wa fadhili zake za kudumu
Amen 🙏🙏🙏🙏 mm pastor Niko na testimony for what God has done to me and my family but Niko Saudi Arabia even to be here in this country is a big testimony everyday I see the hand of God
Amani ya Yesu iwe pamoja nanyi. Mtumishi nahitaji msahada wa maombi, mke wangu afya yake siyo nzu muda mrefu inaonekana kama ni nguvu za giza mimi ni Sanzi barikiwa.
Naomba mniombee niachane na nguvu za kuharibu pesa kwennye casino nilidhani bola bet si kamali kumbe vyote are One and the same,nashindwa hata kulala ili nicheze bola bet napata hata laki 9 lakini siliziki hata wa nyumba yangu hawajui jambo hili, naomba msaada wako wa maombi nisije nikalala na dhambi hii maana tamaa itanipeleka jehanam help me out with prayers please 21:10 your a chosen one may the good Lord bless you and your family❤
Mtumishi barkiwa sana,maombi moja kwako , yupo mdada nimhitaji sana anaumwa yupo MWANZA anahtaji matibabu yaharaka Mhimbili,nafedha hana,tumsaidie kwa hali zote Apte matibabu ,
Mahubiri TV, ninaomba sana sana ninamtafuta Eveline Mgalama. Dada huyu tulisoma wote na kwa kweli tulipotezana. Huyo Eveline Mgalama nimsikia Pastor Mmbaga skimtaja Eveline Mgalama.
Maombi pamoja na mafuta ya mzaituni unampaka Kila siku anapoenda kulala sehemu za kibofu Cha mkojo ni dawa tosha kabisa atafunga, wangu mpaka form six lakini sasa hivi kapona kabisaa. Hospitali nilizunguka lakini wapi.
Mtumishi naomba uniombee nivuke kwenye mapito ya maden maana saiz nipo kwenye taa nyekundu Sasa niombee mungu anisaidie kutoka kwa neema zake tu maana peke yangu nimeshindwa
Pastor mbaga l blessed with your teaching
Pastor Mbaga Mungu akupe maisha marefu! Unafanya kazi kubwa mno🎉
Pastor Mmbaga; asante kwa jinsi unavyowasilisha mafunzo yako. Mungu akubariki na uzidi kutufundisha zaidi na zaidi.
Mungu akubarki sana pastor nmebarikiwa sana pastor na somo hili ya maombi
Aminaa Mungu atukuzwe kwa mambo yote akutie nguvu na uzima 🙏🙏🙏🙏
Bwana akubariki sana mtumishi wa Bwana kw kusikiliza mahubiri na mafundisho yako nimepona Kiroho na hata kimwili barikiwa sana.- changamoto zetu Bwana anazijua...
Pastor David Mmbaga nashukuru sana kwa mafundisho yote tena mazuri ambayo yanatusogeza karibu na Mungu wetu. Kwa kweli hatujue kuomba, basi na sisi kama wanafunzi wa Yesu tunaomba Yesu atufundishe kuomba. Mungu akubariki sana
Ni Grace powerfull pastor ni mungu tu amen
Nimebarikiwa sana na mafundisho haya. Naomba Mungu anisaidiye kuyatiya katika matendo.
Naomba muniombeye nina shida ya Uchumi . Vita imeharibu kazi zetu kwa jumla. Tunaomba Mungu atu epushiye vita hivi. Ni Maman Juliana kutoka Congo/Goma.
Pasts asante sana maana umesibadilisha sana nakunifanya niwe karibu sana na Mungu endelee kukufanya baraka
Nimeongeza maarifa Mungu anipatie nguvu zaidi ili imani ikua na kuimarika Mungu atusaidie soteeeeeeeeeeeee
Barikiwa Pastor sikiwa nafahamu km sijui kuomba
Amen amen pastor
Mungu wa Mbinguni akutunze pastor.ubarikiwe zaidi ya hapo.najifunza kila siku kupitia masomo/mahubiri Yako.Napata kitu kipya kila nikisikiliza, Mungu akubariki sana..
🙏❤️❤️❤️aksanti mtumishi wa mungu umetuongezea mungu akuongezee nguvu 🤔
Ahsante Sana pr Kuna muda kama mwanafunzi kutokana na changamoto za kimasomo divai inatondika lakini kupitia masomo yako napata moyo wa kusimamia tena na kuona mkono wa Bwana ukigonga na kufanya kazi MAISHANI mwangu ubarikiwe sana na Mungu azidi kukupatia hekima ya kukutumia na KUFIKISHA ujumbe kwa watu wa Mungu.
Ubarikiwe sana pastor kwa ajili ya mafundisho mzuri
Amen pastor
Nimekuelewa sana kipenz cha mungu
God bless your Pastor Mbaga...you truly bless me with your teachings all the way from Kenya
10:51 😅
Namshukuru sana MUNGU kwa masomo haya. Mchungaji; nimebalikiwa sana na kitabu cha Maombi Yaliyojibiwa na kitabu cha Silaha saba; Ingawa ata sijamaliza kusoma vyote Lakini nimepata Nguvu sana. BWANA akujaze wingi wa fadhili zake za kudumu
Pastor I have been silent but I want to give out what God has done to me and my family I can't wait that wensday
Mungu akubariki pr Nami naomba uniombee Mungu anisaidie mambo yangu niliyomuomba anijibu
Amen 🙏🙏🙏🙏 mm pastor Niko na testimony for what God has done to me and my family but Niko Saudi Arabia even to be here in this country is a big testimony everyday I see the hand of God
Wee Jared just inbox me ,nko saudi pia ,
Nyasae abakwe mono
wahoo i like these kind of teaching may GOD bless you.
Namshukuru Mungu Kwa ajili ya mchungaji mbaga Kwa maana mahubiri yake yamenifanya nikawa na ujasiri wa kusonga mbele
God bless you pastor David 🙏🙏
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
May God bless everyone.
Pastor niombee na familia yangu . Tuko wagonjea..
Mungu akubariki pastor
Nabarikiwa sana Mungu akuzidishie kipawa zaidi ya hapo mtumishi 🙏
Mungu akubariki saana
Asante sana kwa somo zuri, ubarikiwe pia Pastor 🙏
Nabarikiwa sana pasor
Amani ya Yesu iwe pamoja nanyi. Mtumishi nahitaji msahada wa maombi, mke wangu afya yake siyo nzu muda mrefu inaonekana kama ni nguvu za giza mimi ni Sanzi barikiwa.
Mungu akubariki sana
Naomba mniombee niachane na nguvu za kuharibu pesa kwennye casino nilidhani bola bet si kamali kumbe vyote are One and the same,nashindwa hata kulala ili nicheze bola bet napata hata laki 9 lakini siliziki hata wa nyumba yangu hawajui jambo hili, naomba msaada wako wa maombi nisije nikalala na dhambi hii maana tamaa itanipeleka jehanam help me out with prayers please 21:10 your a chosen one may the good Lord bless you and your family❤
Amina
AMINA nisaidie kuombea Watoto wangu
Mama yangu anaumwa sana,
Amen.
Wow powerful msg be blessed pastor
Baba Nifundishe kuomba, bila wewe siwezi niombee nguvu ishara na ajabu niombee Kama Mungu atakavyo kwa kumtukuza Mungu moyoni mwangu
msikilize live leo 26/8/23 utapata jibu ya ulichoomba
Mtumishi barkiwa sana,maombi moja kwako , yupo mdada nimhitaji sana anaumwa yupo MWANZA anahtaji matibabu yaharaka Mhimbili,nafedha hana,tumsaidie kwa hali zote Apte matibabu ,
Mwenye kutaka kumpata huyu mdada aingie Nitetee foundation ya Dr frola ,MWANZA atapewa maelekezo yahuyo mgonjwa
MOYO WANGU UNAMIMINIKA MACHOZI KWA MAHUBIRI HAYA! KRISTO AKUZIDISHE ZAIDI YA HAPA!
amina
Amen
Ameen
Naomba namba ya ya mhubili david
Mimi Baraka kigwati naishi Australia naomba Uniombea uvimbe wa vigo
kwakweli MUNGU atusaidie tujue kuomba MUNGU tusaidiesana
Nakushukuru ,sana mtumishi wamungu,ulimponya mjukuu wangu ulivokuja makambi nyamongo,mungu akubariki aendelee kukutumia uponye wengi amina
BWANA akubariki PR
Naitwa Hope kahindo, kutoka DRC, tafazali mchungaji, unisaidiye kwa maombi, nimeshikwa na pepo muchafu ya madeni, hadi nimekimbia nyumba.
Mahubiri TV, ninaomba sana sana ninamtafuta Eveline Mgalama. Dada huyu tulisoma wote na kwa kweli tulipotezana. Huyo Eveline Mgalama nimsikia Pastor Mmbaga skimtaja Eveline Mgalama.
Aminaaa
MUNGU unaye tumikiya akubariki
Nasi kupitiya maneno unatupa tufarijike
Mchungaji nisaidie kuombea watoto wangu wawili wanakojia kitandani
Wana umri gani, pqmoja na mombi nataka nikushauri kitu nami mwanangu mmoja alikojoa mpaka nikasema tui ila kuna jambo nilifanya lika wake
@@priscaayo3878 mmoja kidato Cha kwanza miaka 12 mwingine miaka 8 darasa la tatu
Maombi pamoja na mafuta ya mzaituni unampaka Kila siku anapoenda kulala sehemu za kibofu Cha mkojo ni dawa tosha kabisa atafunga, wangu mpaka form six lakini sasa hivi kapona kabisaa. Hospitali nilizunguka lakini wapi.
Pastor Mbaga somo lako limenigusa sana ! Mungu akubariki sana Mchungaji! Alutunze na akupe maisha marefu
@@naomibita2796 nayapataje ndg yangu
Mtumishi naomba uniombee nivuke kwenye mapito ya maden maana saiz nipo kwenye taa nyekundu Sasa niombee mungu anisaidie kutoka kwa neema zake tu maana peke yangu nimeshindwa
Dah MUNGU akusaidie kipenz 🙏🙏
Mchungaji mm nko nyuma yenu sifikii live but I hope God yuko nasi zote
Siku hizi Mapasta ni maneno mingi hadi tunakata tamaa, embu badilikeni. Tafuteni mbinu mpya coz ata shetani anasoma neno katika Biblia siku hizi.
Naomba mungu umsaidie mtt Wang arudi shule
Nabarikiwa sana Mchungaji niombee nilipwe fedha niliyodhurumiwa kazini.
Amina
Amen