JECHA - Hongera kwa kazi kubwa uliiyoifanya pamoja na timu yako hakika mwanzo mzuri, RAIS WETU ENG - HERSI kijana kitengo kinamfaaa sana,sisi tumempokea kwa mikono miwili au siyo wanayanga wenzangu naomba like zenu
Faida za kujisajili ni kuongeza fan base kama ilivyopendekezwa na wataalam wa mabadiliko ya Yanga. Yaani Simba wameachwa mbali sana na Gabacholi wao. Huu ni mfano sahihi wa namna tutakavyomiliki timu zetu.
Rais wangu wa Young Africans Eng: Hersi pamoja na Cabinet yako nawaomba nafasi ya Mfikirwa Haji apewe Jecha report yake ya utendaji inajieleza vyema sana sana. hii field ni ngumu sana lkn report yake hii inaonesha ni kwa namna gani anapambana kutimiza KPI zake. Siwapangii viongozi wangu lakini binafsi report yake inaonesha anafaa sana. Ahsante.

Safii sana jecha nimekukubali sana kaka
Huyu Jamaa achukue nafasi ya Haji Mfikirwa haraka sana.
Yanga juuu juu zaidi
ALLAAH AKBAR
Yaani hili la Economic season mmefanya jambo la maana sana na lifanyike kila mwaka
Kuna nguvu kubwa sana ya kigelegele kwenye usajili uo wa watu mtwara mpk sa hv yupo huko
Angalieni namna ya kumshika mkono
Hii Sasa sawa kutembelea mikoa na Wilaya zake
Faida za kujisajili ni kuongeza fan base kama ilivyopendekezwa na wataalam wa mabadiliko ya Yanga. Yaani Simba wameachwa mbali sana na Gabacholi wao. Huu ni mfano sahihi wa namna tutakavyomiliki timu zetu.
Kadi ya ya uanachama wa yanga ni pesa ngapi/ shilling ngapi kwa kadi ya uanachama
24000 kwa mwaka
@@febroniamsoma178 asante sana 🙏🏻🙏🏻
Mkoa wa Rukwa mnakuja lini?
Wa kwanza
Babati mnakuja lini tupo #Wananchi wa kumwaga
Newala Makukwe Kitangari
Hiyo namiyoma ni Namiyonga
Tunaomba mje na sumbawanga