Movi zuri story zuri makosa madogo madogo kawaida ila kitu kikubwa ambacho kina takiwa mkiboreshe color mtu wa color aongeze juhudi kuna kitu ana kosa mtafuteni ata color rist mwingine uyo aendani na ukubwa wenu
Kwanza kapisa Sound Editor katisha ,Director ni mtaalam ,Camera Angles Zimeisha ,,, Colour imetulia ,,,Content kali,,,,Characters wanetisha mnoo9....Aise Tanzania tumieva ,,,,,,,na mimi pia ni Director Nasuuport sana kazi za wenzangu .........Tz Tumetisha
Hakuna movie kalii kama hii ever 🎉🎉
Nimekubali Tanzania 🇹🇿 tunakwenda juu sasa kwa movies 🎥
Kwa wale waliokuja kwa ajil ya amrahul gonga like hapa
Award winning movie,,,
Tanzania inafaa kuitunza hii filamu ❤❤❤
Sema uyo mbavu nayo anajua sna kuigiza na sauti yake ya upole
Tanzania tupo vizur kuigiza action tatizo ni moda tuu vibali vya kuigizia silaha za kweli apo ndo tupo nyuma tofauti na nchi zingine🎉🎉
Mimi leo siwapi 🎉🎉🎉🎉 maana season nyingine zile mnatuweka tushushie section na amani basi tuendelee kuwa pamoja
Owa boni katishaaaa namkubaligii yupo bigg owa so powaaaa ngumi 1kojoo debeeeeeee ila muli poteaaa ila unyama mume kuja na mzigo mpyaaaaaa😅😅😅
Kusema ukweli hii movi iko powa sana nimeikubali 🎉🎉🎉
awa jamaa kumamake wananifanyaga napata feelings ya kuangalia movie yan wana kila kitu perfect dah
Mko vizuri Sana Maisha movies...
MALI Tunza ZIKUTUNZE...✍️💪💪💪 BIG UP TO YOU BENROYAL TEAM...👏👏👏👏👏
Hawa jamaa nawakubar sana tokea niameanza kuwafamu, wanakaz nyingi mzur wamezifanya na wanazidi kusonga mbele, hongeren sana team mzima.
Thanx 2
Naona mapinduzi kwenye Action Movies Africa.. go go go Guys...
Mm nampenda huy jamaa yan dah hat huy mdada pia ananimaliza kwa keli alie ibiwa nipo zenji nahitaj kujiunga na mm man napenda san
Inakila sababu ya kuwa kazi nzuri big up to director na wote waliousika production iko moto sana
Movie tamu San jitahidin kutoa movie halak😅😅😅😅😅
thanks
Bp mnakazi nzuri sana tatzo lenu sungu ambalo halivumiliki kwa mashabiki ni uchelewaji wa mwendelezo
Aiseeee nyie jamaaa mnajua sanaaa kazi iendelee
Manzee nawakubal sana benroyal ...Bony your,e my favourite
Kazi safi sana jaribuni kuleta mwendelezo kwa uharaka bc
Uhakika movie nzuri sana wakuuu,,
Huyo jamaa mwenzie na body anajua sana
kweli wanajitahd sana kuhusu movie
Dar kaz kali sana ila tufanyieeni chap mwendlezo tupo pamoja ❤❤❤
Jaman minilikuwag wap na ii muvi jaman niwapen tu maua yen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nimemuona rafiki ake na kyejooooo....
😂😂😂😂
@@MBANGA_NAME mbanga name noma mzee mnatisha mbeya boys Hatuwaangushi tuko online kusubiri kazi mpya kila uchwao
@@allexmathias3593 nakubali sana familia hakuna sisi bila nynyi, Upendo sana wanetu
@@MBANGA_NAME nakubali rapper
Kazi nzuri sana.na iko na mafunzo mazuri hongeren nyote wahuska 🎉🎉❤
Kazi nzuri wanang wa mbeya
Ujumbe Mzuri sanaaa...nice performance hongera Royal family
Shukran sana kaka
❤❤kanzi nzuri sana
Mnajuwa sana hataa ilee movie ya sisi ilikuwa nzurii mnooo❤️
I'm from Zanzibar but benyroyal is the best creative director I've ever seen before. Good job 👞👞👞👞👞👞👞
Thank you very much
Movi zuri story zuri makosa madogo madogo kawaida ila kitu kikubwa ambacho kina takiwa mkiboreshe color mtu wa color aongeze juhudi kuna kitu ana kosa mtafuteni ata color rist mwingine uyo aendani na ukubwa wenu
Unataka waonekane weupe sioo mzee
Hapa sasa ni raha raha kweli jmani ❤❤❤ kwenu nyote.mungu awasaidie mzidi kuleta mazuri kama haya bana.
Am from Kenya and I highly appreciates your work, continue with the same spirit,😅😅 mko bie Sana wasee wa benroyal ,I always likes your movies
Nzuli sana ❤🇹🇿
Oyaa kalii Sanaa...weka mwendelezo
Jaman kaz nzur sana
Dar kazi nzuri Sana brother
Nzuri sana naipenda sana
mimi napenda sana movie zenu, sana sana sana
Naikubali hii ipo moto🔥🔥
Safi sana kazi nzuri sana 🔥 🔥
Hakuna kitu napenda kma movie za Benroyal🥰💃💃💃💃💃💃
Asante
Kazii nzuriii benroyal unajitaidi sanaaa❤
Kazi Kai sana 🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿
saf sana kaka nimeipenda sana hii by mkwizu bombay
Toeni nyingine mapema basi doko mana hii mmetisha sana
muekeni ngoma nagwa awe kama jambazi tuna waomba
Movie Kali sana
Oyah nakubaliii unyama mwaisa yaaaan mmenyepo kanunu aiseee
Kazi nzuri sana
Ben hivi umepigaje hapo🎉❤yani broo haujawahi kuniacha salama ❤❤❤ haujawahi kuniboesha 🎉🎉umeupiga mwingi 🎉🎉🎉in love with you ben❤❤❤
Thank you so much
Jamani Kaz zuli ila boni wa ss film mm nakupenda Sana jamani nateseka kwajili yako
Kazi nzuri
Nakubali sana bloo zang nimetazama ata ile movis ya jina zuriy mungu awaongezeee akili ya kuwaza vingi vizuriy zaid
Niiliwamiss na namsikia kwa mbali j fish Hunter.hongereni sana.nipo Ulaya eastern Europe ila nawakubali mnoo
Yaaah kwa mara nyingine natazama za kibongo ❤
Aky Napenda kazi yenu sana
Kazi nzuri kijana
Goma unaweza Jua ni la mambele big up sana wazee🎉🎉
Mda wa mawindo ❤❤❤❤❤ noma san😂😂😂😂😂
nakubali mwamba
Kazi nzur San nawakubal San pia mgejaribu kuwashirikisha watyu wengine ili tusiwazoeee
Muvi kali lakn mwaga mdogo
Yeeec mmefanya km mbelee sasa nyie ndiyo mmeekti move Good Job👏👏
mmetisha sana wazee
Nyie jamaa mnajua sana nawapenda ndugu zangu v8paji mnavyo
Safi sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzur sana hongereni
perfect Sana kazi mzuli
Tanzania 🇹🇿 tunakwenda juu sasa kwa movies
Nimependa hiyo , from Mozambique 🇲🇿
Kwanza kapisa Sound Editor katisha ,Director ni mtaalam ,Camera Angles Zimeisha ,,, Colour imetulia ,,,Content kali,,,,Characters wanetisha mnoo9....Aise Tanzania tumieva ,,,,,,,na mimi pia ni Director Nasuuport sana kazi za wenzangu .........Tz Tumetisha
Kali kinoma
Benroyal huna kazi mbovu
Napenda sana kazi zenu nzuri sana
Kazi nzuri san niko pamoja nanyi bega kwabega
Mnajua aiseeh... sio directer tu ni wahusika wote🎉
Kazi nzuri ongera sana tunasubili episode sote leteni mzicheleweshe jmn
Great job 👍
Watching Live from Nairobi🙏
Thanks for coming
Wow thanks kazi safi sana
Nirikuwa nangoja vitu ivi nilimisi kutoka kwenu ongereni💥💥💥💥💥💥
Nakupenda beni jaman
Kazi imekaa poa sanaaa wa kubwaaa
MALAYA MPYA EP 02
th-cam.com/video/g3C9Xuz2ZK8/w-d-xo.htmlsi=XrJTjyqO4lmIXviU
Another banger 🙌🏾🔥🔥🔥🔥
Uwezo mkubwa, congratulations
Oya mmetisha ile mbaya
Good job bro 😂😂😂😂😂🔥🔥💪🏼🇰🇪🇰🇪🤝🏽
inatosha kusema tim ben mpo moto sana
Nzuri nmeipenda sana
Manajua sana
Nime appreciate kaz kwel
Watching from American
Noma sana simpo
Kazi fiti sana watching from 254
Dahh Kaz nzuri San asee bigap kaka zang
Movie uhakiaka nuna weza💪
Oy kazi ya Moto san
MazingirA ya mbeya hayo