UTAPENDA MAJIBU YA FOUNDER TZ MBELE YA DIAMOND, NAOMBA KUSAINIWA WASAFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 276

  • @NompumeleloTembe-o9m
    @NompumeleloTembe-o9m 3 หลายเดือนก่อน +8

    I thought it was a lady who sings this song.woooow he's amazing.i have came across to his songs.i Don even understands the language he sings or speaks but I enjoy his music.am from South Africa.i love yu young man❤❤❤❤

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 4 หลายเดือนก่อน +37

    Huyo Mtoto Anaonesha ana stress nyingi.
    Inawezekana maisha ya nyumbani anapotoka..
    Mungu amsaidiye ..

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 4 หลายเดือนก่อน +50

    Dada mtangazaji hongera sna napenda mahojiano yako...watangazaji wengi wa bongo wachonganishi sana ila hongera sna dadangu💪💪💪🥰.Dogo founder we support you brother 👊🇰🇪

  • @Aswan-f8r
    @Aswan-f8r 4 หลายเดือนก่อน +19

    Much collaboration from Kenya guys like back❤❤

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 4 หลายเดือนก่อน +60

    Huyu mtoto zaidi ya kipaji chake cha uimbaji. Yuko vizuri sana kichwani. ❤

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 4 หลายเดือนก่อน +3

      Umeona ee kuna baadhi ya maswali nimeyasikia nimawa nayaogopa lakini dogo alivyo yapangua sijategemea kabisa

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 4 หลายเดือนก่อน +2

      San😊

    • @ROBERTMangwangi
      @ROBERTMangwangi 4 หลายเดือนก่อน +2

      We umejuaje!! 😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yuko vizuri sana uyo dogo❤

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hana kiherehere mashaalah

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 หลายเดือนก่อน +14

    Pambana mdogo wangu,Allah Yupamoja nawe...you are calm❤

  • @ummibabysalim9522
    @ummibabysalim9522 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu dogo ana kipaji mashallah mungu azidi kumuangazia nyota yake Inshallah ❤❤🙏🙏

  • @davidharrison198
    @davidharrison198 4 หลายเดือนก่อน +7

    Please do another interview in English this kid is talented ❤❤❤

  • @olengogahusa
    @olengogahusa 4 หลายเดือนก่อน +9

    Jikaze sn mdogo wng, uko vizuri sn kwenye kipaji chako na Mungu ata kusaidia

  • @mercynthenya
    @mercynthenya 4 หลายเดือนก่อน +34

    Gonga like Kenya twamkubali jamani🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ShelaOmary
    @ShelaOmary 4 หลายเดือนก่อน +20

    Mwenyez mungu akuzidishie mafanikio mema kijana wetu.

  • @StevenCoster
    @StevenCoster 4 หลายเดือนก่อน +5

    Founder ni dgo mwenye ufahamu mkubw sanaa,, mungu amkomaze akil Zaid,na kumlinda na mishangaz

  • @MmM-dl9yl
    @MmM-dl9yl 4 หลายเดือนก่อน +7

    Ona watanzania kuna watu wazuri wanawaongaza kimaisha mbongezi kwa watanzania wote kuwasika mikono wanyonge❤

  • @ElizabethDeusi-sx8di
    @ElizabethDeusi-sx8di 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mbona mtoto amepoa jaama ni mungu akubariki mwanangu ❤🎉

  • @AnitaByabato
    @AnitaByabato 8 วันที่ผ่านมา

    Tunakupenda sana tunakuombea kwa MUNGU akufikishe mbali. Good bless you baby boy🎉❤

  • @Inspectordogocomedy
    @Inspectordogocomedy 3 หลายเดือนก่อน

    We need to surport founder tz ,we Kenyans we are behind him ,he is so talented 🎉🎉❤ and the coming years he will be taking tz music to top

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji uko vizuri kuhoji:❤❤❤na Faoundar yuko vizuri sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @salha9186
    @salha9186 4 หลายเดือนก่อน +9

    Huu mtoto anaonekana ana stress hana furaha yeyote kuna vitu haviko sawa mungu akisaidie

  • @Husbands2beepodcast
    @Husbands2beepodcast 3 หลายเดือนก่อน +2

    My likes jameni all the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HiltonMutharimi
    @HiltonMutharimi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akusaidie bro ❤ love you from Kenya

  • @alex-jn6gc
    @alex-jn6gc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mdogo Wangu,utaenda mbali.good in answering questions.upstairs ako 👍

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy 4 หลายเดือนก่อน +12

    Diamond anamuona vizuri sana huyu dogo na wapo pamoja sana....sema haya mambo hayataka harakaharaka:: Dogo kipaji kipo na kinaonekana...big up babu Tale..God bless you forever....na dogo zingatia masono yako utasaidika Zaidi...na tunakuomba usikae kinyonge Mungu yupo na ni wa kwetu sote .....Amen .

    • @DeeZote
      @DeeZote 4 หลายเดือนก่อน

      Aya masimu kwa kuchapia

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana mtoto Kwa majibu mazuri na yenye upole❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza 4 หลายเดือนก่อน +11

    Kwanza huyu mtoto Yuko vizuri maswali anayajibu kwa hekima yaani ni mtu furani ivi majibu yake anafikili kabla ya kujibu nimempenda bure dogo mungu akuzidishie hekima na busara

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwakweli amejibu vyema mno

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hamna swali lilokuwa gumu kama alilouzwa kwamba anapenda kusikiliza nyimbo za nani ilo swali lilikuwa lina uchonganishi wa hari ya juu sana lakini kalijibu vyema mno kwamba yeye anasikiliza nyimbo za wasanii wote hawezi kuchagua sababu wote niwaimbaji iyo akiri iliyotumika kujibu ni kubwa kuliko

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 4 หลายเดือนก่อน

      @@mpajibinaisa7238 yaani Yuko vizuri

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 4 หลายเดือนก่อน +12

    Full confidence ✨️

  • @LubuguMaryam
    @LubuguMaryam 4 หลายเดือนก่อน +25

    Wanawake amumpi sapot sai ngoojeni afikishe Miaka ishirin awe star utaona mishangaz ikijipitisha pitisha imuangire mtoto wawatu😅😅

    • @iddamz
      @iddamz 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @LilianLilian-bx1ec
      @LilianLilian-bx1ec 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @ummibabysalim9522
      @ummibabysalim9522 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @mapenzizuma430
      @mapenzizuma430 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 26 วันที่ผ่านมา

      Umenena Dada

  • @abdallahmadeghe6647
    @abdallahmadeghe6647 4 หลายเดือนก่อน +2

    We dogo ni genius aise , your very smart.

  • @VictoriadanielSutama-ho8cj
    @VictoriadanielSutama-ho8cj 4 หลายเดือนก่อน +2

    God bless you more.... than you think mdogo we2 , uko vizur sn

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto anajua kujieleza hadi ananizidi Mimi hongera sana kijana Mungu akuonekanie

  • @janetianatorisimeho-o8s
    @janetianatorisimeho-o8s 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu msiidiyeyu kijna manawanasma kwamba kama aujaumba unakuwa unatujuwa vizuri sana baba msidiye uyu motor aeendereezee mziki wake

  • @JannatShemboza
    @JannatShemboza 4 หลายเดือนก่อน +3

    Yani leyna mtangazaji mzuri sana jamani Big up sana

  • @MASHAULISABUYA
    @MASHAULISABUYA หลายเดือนก่อน

    Huyu mtoto anaujuzi sana anaweza tumpe maua yake❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dizleyclassic
    @dizleyclassic หลายเดือนก่อน +1

    🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️nampenda kuimba sana like this talent

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 หลายเดือนก่อน +16

    Allah akusimamie dogo

    • @Crister_palas
      @Crister_palas 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa nin usiseme mwenzetu mu-africa unajua unapo tumia iyo kauli inamana unaleta ubaguz Yan unatak sis Tanzania tumbague si ndivyo✍️

  • @Kambachurchgal-hg4zx
    @Kambachurchgal-hg4zx 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kipaji kwekweli❤❤❤❤❤❤

  • @PurityWafula-jd7yz
    @PurityWafula-jd7yz 4 หลายเดือนก่อน +3

    God time is the best❤❤❤ all the best bro

  • @batatukatotolabikay5296
    @batatukatotolabikay5296 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dogo kweli smart kwa kuongeya. Akili ipo kwa kweli

  • @Bobhov
    @Bobhov 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kama baba ni mtanzania huyo ni mtanzania Automatically, Akifikisha miaka 18 Anaapa tu mahakaman kuwa anafuata uraia wa baba bac, 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KeristiStel
    @KeristiStel 4 หลายเดือนก่อน +2

    Big up sana dogo kaza Buti uko sawa sanaaaa

  • @lameckmatonya
    @lameckmatonya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji wa kike ana JIPAJI KIKUBWA SANA. HUSUSANI SAUTI

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mdogo wangu yani unakipaji kikumbwa sana balikiwa sana tunasubili nyimbo mpya

  • @SavyoandreaKomba
    @SavyoandreaKomba 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana keep it up am just appreciate your work

  • @akisamwitumba9427
    @akisamwitumba9427 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto ana hakili sana ndomana wameona pamoja namziki lakini akisoms atafika mbari mungu amuonekanie katulia

  • @markjohn9197
    @markjohn9197 4 หลายเดือนก่อน +6

    hongera dogo, endelea kupambana

  • @ValentiniAveliniLusiani
    @ValentiniAveliniLusiani หลายเดือนก่อน

    Dogo una ekima sana Mungu akujalie uje uwe muimbaji wa injili kwa sababu bongo freva ina uchafu mwingi

  • @BarakaPatrick-ue2qz
    @BarakaPatrick-ue2qz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anaujuzi kabisa ya kuimba mtoto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DFIGHTERBA
    @DFIGHTERBA 4 หลายเดือนก่อน +9

    N̈̈ïp̈̈ën̈̈ l̈̈ïk̈̈ë z̈än̈g̈ü jamani❤❤

  • @YusuphMseti-jy2vs
    @YusuphMseti-jy2vs 4 หลายเดือนก่อน +2

    Utafika mbali sana kijana wetu inshallah 🙏🙏🙏🙏

  • @DenicJoseph
    @DenicJoseph 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri pambana dogo sisi tuko kukusuport

  • @KingChrisjrbenjamin
    @KingChrisjrbenjamin 2 หลายเดือนก่อน +1

    yani angekubali me yanni ni kaludia nyimbo yake saport

  • @Kpandzebuu
    @Kpandzebuu 4 หลายเดือนก่อน +6

    Congratulations 👏 kijana

  • @TillionsMon
    @TillionsMon 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mtoto anakipaji sana sanaa yaani yuko vizuri anajua kuimba vizuri

  • @KasejaDaluchobu
    @KasejaDaluchobu หลายเดือนก่อน

    Hongera🎉 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunakusikiliza

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน

    Ni kweli user w3 muda wanamuona mtoto. Huyu kwanza ni mpole sana na maisha vile vile.

  • @YoungMother-i3z
    @YoungMother-i3z หลายเดือนก่อน

    Nimependa majibu Yako hongera sana mdogo wetu

  • @ArafaMichael
    @ArafaMichael หลายเดือนก่อน

    Mtoto Yuko vizuri akili imetulia haswa japo anaonekana anastres mungu yupo atamunua t

  • @stevenabraham3089
    @stevenabraham3089 4 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations 🎉🎉👏

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah mtoto lkn akili yake MashaAllah ❤️💕💕❤️❤️❤️

  • @MariamuMayange
    @MariamuMayange หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtoto mzur kwa majibu yako mazur

  • @jay-bshujaboyofficie3201
    @jay-bshujaboyofficie3201 4 หลายเดือนก่อน +4

    The futur big star🎉

  • @OscarNshimirimana-y1i
    @OscarNshimirimana-y1i 4 หลายเดือนก่อน +4

    Daah nimependa sana

  • @Nextlevel-t2j
    @Nextlevel-t2j 4 หลายเดือนก่อน

    Thi guy is way too mature.......Founder TZ and Jay Melody are mature

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 4 หลายเดือนก่อน +3

    Smart boy wallahy

  • @TumuabuduJustin
    @TumuabuduJustin 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtoto wetu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 4 หลายเดือนก่อน +2

    Usikate tama dogo mungu yu pamoja nawe🙏

  • @emanuelgrevazi3483
    @emanuelgrevazi3483 หลายเดือนก่อน

    Dogo mungu aktangulie ufanikiwe ndoto zako

  • @KibukilaAbwePrince
    @KibukilaAbwePrince หลายเดือนก่อน +1

    Powa

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 4 หลายเดือนก่อน

    Keep going my young bro am happy to hear you can speak in French sijui nije unifinze kuongea😂😂 sending hugs from Singapore but a Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @shinehusnah6572
      @shinehusnah6572 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 arooooo alafu utaniuwa wew .mwaya

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 4 หลายเดือนก่อน

    Go to school and follow your music Dreams. Sky is the limit Young man and God is the soul provider

  • @GozbertQakuTz
    @GozbertQakuTz 3 หลายเดือนก่อน

    Du kweri mungu akuongozee ufik mbali

  • @paulinaemanueli6881
    @paulinaemanueli6881 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akutie nguvu 💪💪

  • @ManirakizaNadian
    @ManirakizaNadian 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana dogo mungu u nawe dogo❤❤❤

  • @EspoirSamy-st5le
    @EspoirSamy-st5le 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenzetu mcongo

  • @bashirybashiry8813
    @bashirybashiry8813 3 หลายเดือนก่อน

    Shule mnamuonea tu huyo aludi kuimba anaweza sana

  • @HassanSalum-s3m
    @HassanSalum-s3m หลายเดือนก่อน

    Uyu janja akipata sponsor mwenyekujielew namuona mbali Sana amini

  • @Rayde-f4i
    @Rayde-f4i 2 หลายเดือนก่อน

    mungu akusimamiy sana sawa 🙏🙏🙏

  • @Walker34
    @Walker34 4 หลายเดือนก่อน

    Tuige mfano 🙌🔥🔥🔥safi sana broo

  • @innocentlusajo9303
    @innocentlusajo9303 4 หลายเดือนก่อน

    Very wise kid!!

  • @PriscaJames-wt3yk
    @PriscaJames-wt3yk 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri ❤

  • @DM.2200
    @DM.2200 4 หลายเดือนก่อน +8

    Mwandishi wa habari yupo gud sana coz hayo maswal mh

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 4 หลายเดือนก่อน +2

      Maswali magumu sana lakini dogo ni kichwa kayapangu yote kama mwana siasi 🤣

  • @itozz_media
    @itozz_media 4 หลายเดือนก่อน +5

    Anajua kujibu maswali

  • @KibukilaAbwePrince
    @KibukilaAbwePrince หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤powa kabisa

  • @jepchumbaprecious5787
    @jepchumbaprecious5787 4 หลายเดือนก่อน

    He's genius 💯

  • @MengineyoBernad
    @MengineyoBernad 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie ufikie ndoto yako

  • @Beckam-o1f
    @Beckam-o1f 4 หลายเดือนก่อน

    Dahh dogo Ana jibu Street kinoma😅😅

  • @MukambaKangakolo
    @MukambaKangakolo 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli uyu moto nyimbo zake zina noga kweli,ya ani anaimba vizuri kweli

  • @LinahMoricy
    @LinahMoricy 3 หลายเดือนก่อน

    huyu baba alieamua kufanya hivi mungu ambariki

  • @AdamMfinanga-nb2ki
    @AdamMfinanga-nb2ki 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations

  • @MaMai-v6n
    @MaMai-v6n 4 หลายเดือนก่อน

    Mutoto huy alikua wap❤❤

  • @MaendaEca-j6s
    @MaendaEca-j6s 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dogo yuko vizuri sana

  • @kennedymaraka9665
    @kennedymaraka9665 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera dogo❤

  • @shakilaDaudy
    @shakilaDaudy 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur dogo manshaallah 💓

  • @ezekielenos2728
    @ezekielenos2728 หลายเดือนก่อน

    Big yes

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 4 หลายเดือนก่อน +1

    So good dogo hongera sana

  • @HabiliJaphet
    @HabiliJaphet หลายเดือนก่อน

    Daaah! Kwan hyo dogo ni Mulund au mtanzania

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 4 หลายเดือนก่อน

    Babu Tale big up

  • @nicitegetseetienne6921
    @nicitegetseetienne6921 3 หลายเดือนก่อน

    ❤buja Burundi simba❤

  • @ForcaOgopaBonheur
    @ForcaOgopaBonheur 4 หลายเดือนก่อน

    mwanetu ❤wa kibembe unaweza sana

  • @DannyHymn
    @DannyHymn หลายเดือนก่อน

    Kali sana

  • @kimathieric4123
    @kimathieric4123 16 วันที่ผ่านมา

    Why keep moving the mics 255 mnaharibu