NOMAA!! MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA KUACHWA NA TRENI WAMLIPUA MSEMAJI WA SIMBA, HATUENDI SIMBA DAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 257

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani poleni, isingekuwa rahisi watu wote kwenda. Tuweke haya pembeni Sisi ni Simba SC Nguvu moja 💪💪🦁🦁❤️❤️

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y หลายเดือนก่อน +6

    Pole mzee wa Simba nguvu moja ndo tumeanza tu tunahitaji uvumilivuuuuu

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni kulalamika treni imejaa. Hongereni kwa kuja

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 หลายเดือนก่อน +3

    Mnajazwa upepo na mwandishi,behewa 3 mwengeenda wangapi?muwe na subra walio enda wametuwakikisha,Simba Nguvu Moja

  • @husnasena6055
    @husnasena6055 หลายเดือนก่อน +3

    Nawacheka kizungu yanga oyeeeeee

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y หลายเดือนก่อน +9

    Tulieni ❤❤❤wana Simba hata sisi tumeachwa na tutabaki kuwa Simba tuuuuu

    • @mrrockboy9508
      @mrrockboy9508 หลายเดือนก่อน +1

      Mambo yameanza kuchangamka Ubaya Ubwera😂😂😂😂

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +8

    SASA NYIE MTU ALISHA WAMBIA TREN IKIJAA TUSILAUMIANE

  • @user-dt6in5pc1h
    @user-dt6in5pc1h หลายเดือนก่อน +3

    Hamna.viongozi.nyinyi.ubaya.ubwela.hameni?.tangu.lini.shughuli.yawatoto.ikafana?

  • @oswardpyankati4462
    @oswardpyankati4462 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi huyu mzee sjamwelewa sasa usiende uwanjani tim ikifungwa itakua aibu ya nani jiamasisheni wenyewe sisi lazima tujaze uwanja ww baki nyumbani msilete hasila zenu kwenye timu yetu

  • @lukumbitu_micronutrients1769
    @lukumbitu_micronutrients1769 หลายเดือนก่อน +1

    Kauli za mashabiki hawa sio sahihi kupata na kukosa kwa watu wengi hasa bureee sio kung'ang'ania na sio sahihi maana walioenda na wasioenda ni simba sc nguvu moja

  • @user-up1fx4vt4r
    @user-up1fx4vt4r หลายเดือนก่อน +2

    Mzee msemaji alisema mabehewa yapo manne ila yakijaa basi tunaweza kuchangia selikari kwakununua tiketi hapo kosa likoapi naje aliegawa tiketi sio msemaji ko msemaji kosalake likoapi

  • @nilmadaudi9358
    @nilmadaudi9358 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie nao mlishaambiwa mpo wengi mtakaokosa mjilipie sasa mtawalaumu wangapi?

    • @DavidMessi-h9c
      @DavidMessi-h9c หลายเดือนก่อน

      Mucipede chabure sana

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tulieni wanasimba hamwezi kwenda wote poleni subilini simba day

  • @user-cv4jb1bm6i
    @user-cv4jb1bm6i หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mshua bhna😂😂😂 najua kwanini wanaitwa makolo umesema we hupendi vya bure kama yanga basi changieni gari muende eti sitoi hela😂😂😂😂😂

  • @Kibaro777
    @Kibaro777 หลายเดือนก่อน +3

    Ingekuwa ya ela amge sema Ivo coz niya Bure ndo mmasema Ivo kweli 🥹🥹

    • @saimonntani6831
      @saimonntani6831 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama yabure wewe unaumia ninni?mbona unawivu wakijjinga?

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndiyo tofauti ya Yanga na Simba. Waende wakalaleee, Ahamed Ally rudi nyumbani, wajibika kwa hilo.

    • @Imanarohis
      @Imanarohis หลายเดือนก่อน

      Ila watu jmbodogo mnalikuzaaa mim simba hataiweje kamakweli nyinyi ni simba bac simba day mtaenda uwanjani SIMBA NGUVU MOJA

  • @oswardpyankati4462
    @oswardpyankati4462 หลายเดือนก่อน

    Kuweni na subila acheni hayo maneno hayajengi Tim yetu kwani treni ilikua na nafasi au nafasi ziliisha

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 หลายเดือนก่อน +1

    Mmesema Yanga ndiyo wapenda bure lipeni hela muende morogoro

  • @bakariomarimndeme6059
    @bakariomarimndeme6059 หลายเดือนก่อน

    Bora mmekosa yeelekea mlivyo mngependa kutuharibia siri za treni yetu.

  • @user-gs2ir3bg4j
    @user-gs2ir3bg4j หลายเดือนก่อน

    Wanasimba treni aiwezi kubeba mashabiki kama uwanja unajaa na watu wanabaki nje nawaomba tuache walio pata nafasi basi tuache ipite

  • @JovinRichard-x3u
    @JovinRichard-x3u หลายเดือนก่อน

    Tatizo uelewa mdogo ivi mlitaka waTanzania wote mlitaka twende mbona wengi tumebaki jamani

  • @jarufuyahaya3338
    @jarufuyahaya3338 หลายเดือนก่อน

    Semini ubwaya ubwera. Treni hilooo linaondoka ubwaya ubwera

  • @ramadhanishabani4600
    @ramadhanishabani4600 หลายเดือนก่อน

    MLIAMBIWA TREN IKIJAA TUSILAUMIANE. ASANTENI KWA MUITIKIO TUKUTANE TAIFA

  • @user-kr8uw1co7v
    @user-kr8uw1co7v หลายเดือนก่อน +1

    Sawa mzee moto dereva wa classic

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Nyie Wote Niwatu MO. Mara Oooh Hatupendi Bure. Oooh Mimi Silipi. Hawaeleki

  • @user-iv8zc5is4l
    @user-iv8zc5is4l หลายเดือนก่อน

    Jamani wana simba wenzangu mnge kata tiketi kwa pesa yako. Kama tkt zimeisha mlitaka smeji letu afanyaje? Poleni kwa kukosa tiketi.

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie wote washamba mnataka mpande wote kwa behewa 3 mbona washamba hivyo haya na wale waliopanda wangekuwa wamekosa na ww ndio umepata wangesemaje

    • @EssauGabriel-fy8pu
      @EssauGabriel-fy8pu หลายเดือนก่อน

      Kwanz kasema nb atakaechelewa ataachwa,, sasa kumi na mbili tren inaenda sasa umechelewa unalaumu nn

    • @DanielMwamengele
      @DanielMwamengele หลายเดือนก่อน

      Wanazingua ao

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r หลายเดือนก่อน

    Msèmaji wenu comedy kawa danganya

  • @user-cq1tf5sd3l
    @user-cq1tf5sd3l หลายเดือนก่อน

    Mlitangaziwa muda WA kuondoka mkakala na wake zenu .msiichafue Simba acheni ufara

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

    SIMBA WANGE CHUKUWA MABEHEWA YOTE HALAFU IKAENDA BILI 2 SIMBA UWEZO TUNAO SIO WALE MATOPOLO NJAA

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน

    Si mngetangulia siku 1 kabla mkasubiria huko huko kama shida sio tkt ya bure

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba หลายเดือนก่อน

    Timu yenu haina viongozi weledi mmeshindwa kuongoza mshabik wachache tu hao kuelekea moro.

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j หลายเดือนก่อน

    Mbona munamtaja bingwa Yanga ndie aliwaambia muende mikumii Huo ndio Ubaya Ubwelaa

  • @EmanuelMakalla-wu1zu
    @EmanuelMakalla-wu1zu หลายเดือนก่อน

    Makolo yanaliliA tiketi ayoooookk😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yanaliaaaaaaasaaa

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 หลายเดือนก่อน +1

    Hao vichaa kama vichaa wengine kwani ni lazima kila mtu aende morogoro

  • @dasadremandad9208
    @dasadremandad9208 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndio tofauti ya yanga na simba,wananga tujipongeze kwa kuwa wanayanga 💚💚💚💚

    • @flova7022
      @flova7022 หลายเดือนก่อน

      Vikoojozi

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax หลายเดือนก่อน

      Mm nipo na kibu nambao wamewacha 😅😅😅😅ubaya umenwela kwamda wake💛💚💛💚💛💚

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      ​​@@MariaMnthax SIYE TUKO NA MZEE MAGOMA 😂😂😂😂😂 UBAYA UBWELA

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน

    NYIE WANASIMBA WA MCHONGO MNAO LALAMIKA KUMANYOKO ZENU NYOTE NYIE.. MSITULETEE NUKSI KUMANYOKO ZENU.. NA WEWE UNAEMTISHIA AMANI SEMAJI LETU UJUWE AKIDHURIKA HATUTAKUACHA SALAMA..

  • @JoyceAnsgary
    @JoyceAnsgary หลายเดือนก่อน

    Dodo unapenda kitonga utaolewa Fanya Kaz tafta naur

  • @ZubedaAlly-k9y
    @ZubedaAlly-k9y หลายเดือนก่อน

    Sasa kams nyinyi muna era kwann mnapenda za bure acheni marsramiko ebo Simba nguvu moja

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 หลายเดือนก่อน

    Hapo ndipo utaelewa kiwango cha uelewa kwa watanzania wengi. Tukubali au tukatae akili za watanzania wengi ni ndogo sana ila kuongea ni jade yao

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 หลายเดือนก่อน

    Simba tuwe na nidhamu jamani hili sio suala la mitandaoni

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n หลายเดือนก่อน

    Msije tutaenda tunayoipenda Simba ,,kateni nauli Moro SI mbali acheni kupiga kelele

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba หลายเดือนก่อน

    Si mnaipenda simba ifuateni ata kwa miguu mpaka moro.

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 หลายเดือนก่อน

    Tunakwambieni kilasiku Ahamed ally afai mnamtetea tu kwanza hanaukweli mbeleyenu Ila iposiku mtakubali manenoya

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 หลายเดือนก่อน

      Nawe unasema nini walishambiwa mabehewa 4 tu Sasa wewe ulitaka waende watu wote wakati tiketi ziko hapo huku hakuna Bure kama Kule utopoloni.Hao wapiga kelele achana nao kama wana haja kweli si wajilipie hakuna bureee bureee hapa

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 หลายเดือนก่อน

    Simba hii ya tia maji tia maji

  • @SarahKaale
    @SarahKaale หลายเดือนก่อน

    Jamani wana simba mbona mnatia aibu kwani kama nafas umekosa bdo mjinadi hivyo

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud หลายเดือนก่อน

    Kwani Kuna mashabiki Bora kuliko wengine yaani watu tuwahi alafu wanakuja kuchukuliwa watu kwa kuangalia sura hapo mmetukosea kwanza muda ni mali Ahmedy ....,.......

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi หลายเดือนก่อน

    Vya buleeee vinauma ukikosa

  • @user-ig8rr1wq1p
    @user-ig8rr1wq1p หลายเดือนก่อน +1

    Na bado mtayamba

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 หลายเดือนก่อน

    Ni trend nyingine mpya, kwa magoma na Ahamed Ally! Baba analilia treni

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 หลายเดือนก่อน

    katafteni kitanda mkalale huko ,muda mlitangaziwa mmechelewa wenyewe alaf mnaleta shobo....

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 หลายเดือนก่อน

    Yaaani wee badala ulale na mke wako....unakimbilia cha bure....umeona sasa faida ya bure.... hiyooo sadakalawe mwenye kupata.......abate.....!

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน

    Nyie wapumbavu alisema watu ni wengi watakaokosa watulie mabehewa machache,sasa mnalalamika nini,ovyooo

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 หลายเดือนก่อน

    Acheni lawama jamani mbn semaji alisema

  • @user-iv8zc5is4l
    @user-iv8zc5is4l หลายเดือนก่อน

    Jamani asinge weza kugawa tkt kwa wana simba wote ha dar❤

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Wangetoa namba ya tickets fulani kwa wanachama kwenye matawi!

  • @MkaliWagoka-bz6im
    @MkaliWagoka-bz6im หลายเดือนก่อน

    Makolooooo

  • @winfredkaroli5065
    @winfredkaroli5065 หลายเดือนก่อน

    Moo hana uwezo wa kuwapa ofa yoyote pesa hana

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน

    Yanga hao mbwa tu mlitaka afanyaje??

  • @user-xy5sj7fm7h
    @user-xy5sj7fm7h หลายเดือนก่อน +1

    Bwana hawo n yanga wasituhagaishe bure iyo n mipango ya yanga tu hawajatushitua musije na tutajaa

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Ndo akili zenu mtu akiongea ukweli yanga UBAYA UBWELA 😂😂😂😂

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Awooooooo woooooo na bado. mmesha anza mapeeema timbwili na huu ndio mfumo mtao enda nao msimu huu ni mwendo wa manung'uniko, malalamiko a.k.a matashtitiii😂😂😂😂

  • @mkubwakasim1470
    @mkubwakasim1470 หลายเดือนก่อน

    Hamna akili nyinyi mlitaka waende wangapi

  • @abdallahmanula1627
    @abdallahmanula1627 หลายเดือนก่อน +2

    Jambo dogo ilo mkubwa
    Simba watu wengi

  • @MussaDaniel-wv1pp
    @MussaDaniel-wv1pp หลายเดือนก่อน

    Kwakweli simba tuwavumirivu

  • @suleimanali6939
    @suleimanali6939 หลายเดือนก่อน

    WAPUUUUZZZZIIII HAO NI YAAAANGGAAAAA

  • @AshrafuMuhaji
    @AshrafuMuhaji หลายเดือนก่อน

    Yani makolo bhana mnaulizwa maswala yenu mnaitaja yanga duh eti ss sio yanga wanaoingizwa bule

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน

    HAWA VIONGOZI WANATUONA WAPUUZI TUSUSIE SIMBA DAY ILI AKILI ZIWAKAE SAWA.

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

    😀😀😀😀😀 sasa nyie mntaka mpande nchi nzima treni Haitoshi acheni hizo

  • @HisaniKasim
    @HisaniKasim หลายเดือนก่อน

    Wasenge nyny na tarehe.8 mnakura kumi

  • @ZainaNampanga-f6y
    @ZainaNampanga-f6y หลายเดือนก่อน

    Fanyeni uungwana msamehe

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 หลายเดือนก่อน

    Atuji tena

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 หลายเดือนก่อน

    Sasa treni imejaa wafanyeje mngekaa wapi

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j หลายเดือนก่อน

    Waliovunja vitii uwanja wa Taifa ninanii kma Si ubaya Ubwelaa

  • @imamufamily5617
    @imamufamily5617 หลายเดือนก่อน

    Km ww nishabiki kweli mngekod gar lenu vyabule mnavipenda sn

  • @user-sx2em9bl4d
    @user-sx2em9bl4d หลายเดือนก่อน

    Akili ninywele Sasa huyu mzee anakipala hamna kitu hapo

  • @husnasena6055
    @husnasena6055 หลายเดือนก่อน

    Msemaji wenu choko😂😂😂

  • @jeremiajuma3308
    @jeremiajuma3308 หลายเดือนก่อน

    Sasa treni imejaa wanalalamika nini!!!!! Swala dogo tuu walioenda wakiwakilishwa.

  • @AsifuSule
    @AsifuSule หลายเดือนก่อน

    Uyo mzee magoma yote kayataka tena mfateni kama kamati ina watu mia chukueni wote waende kwa nini mubakishwe iyo si haki watafute matreni muende wasibague

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 หลายเดือนก่อน

    Tusingeenea wote,maana wengine tuko huku mikoani tungekuja pasingetosha,walioenda watawakilisha wengine

  • @patricksimon9504
    @patricksimon9504 หลายเดือนก่อน

    poaw usiingie uwanjani tutaingia wenye hela wew si unataka za bure😂😂

  • @jarufuyahaya3338
    @jarufuyahaya3338 หลายเดือนก่อน

    Sasa yanga inaingiaje hapo nindeni kwenu tren ndo ishawaacha tena

  • @BaoEngenMasaki
    @BaoEngenMasaki หลายเดือนก่อน

    Akili kidogo sana mtaenda wangapi

  • @EmmanuelThomas-bd6rn
    @EmmanuelThomas-bd6rn หลายเดือนก่อน

    Acheni paniki sasa mlitaka mpande wapi? Watu ni wengi kwahy tren hy inabeba dunia? Kuweni waelewa ahmed anahusika wapi?

  • @user-sy5lx7el4z
    @user-sy5lx7el4z หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mapema lawama zimeanza hata msimu hatuja anza

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 หลายเดือนก่อน

    😂😂 si mrudi nyumbani jamani, mnalia nini!, sasa ubaya ubwela mapeeeeeeerma kwao wenyewe!

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela, ushakuwa ubwabwa maharagwee tena😂😂😂😂😂😂

  • @rairaime4953
    @rairaime4953 หลายเดือนก่อน

    Yohh mungu ibariki Young Africans Mungu ibariki Tanzania 😂😂

  • @DamasiMasawe-tk6tm
    @DamasiMasawe-tk6tm หลายเดือนก่อน

    Mliambiwa ukikuta treni imejaa jilipie mwenyewe sasa nyie mlikuwa wapi hii kauli inavotoka

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g หลายเดือนก่อน

    Musiumie kawaida hamuwezikwendawote

  • @allyabdallah1183
    @allyabdallah1183 หลายเดือนก่อน

    Acheni njaa nyie
    Mgetoa ushauri mkachangia kununua tiketi mnavunja vioo mnamkomoa nani ?.

  • @CastoryMhoja
    @CastoryMhoja หลายเดือนก่อน +1

    Tulieni shinda hamunauelewa munalopoka TU wakati alisema

  • @sharifumasokola5383
    @sharifumasokola5383 หลายเดือนก่อน

    Jaman kulipia kitu arafu awambie mashabiki watumie au kuingia bure mambo haya tuwachie mambo haya tuwahachie mambosi wa yanga tu aifai kuiga

  • @omaryonga-hv3lk
    @omaryonga-hv3lk หลายเดือนก่อน

    Tatizo pesa TU hapo.....

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafiki behewa nne hazitoshi mliishaambiwa mjilipie wapenda bure nyieeee uwanjani simba day tutafika tu

  • @tway3602
    @tway3602 หลายเดือนก่อน

    Mbn alisema kabsa sio wote watakoaenda ukikosaa basiii ...

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣 Tatizo mipango...BURE GHALI......wenzenu washafika huko na mademu zao wanapiga selfie tu...na msije mkanya kwenye siti tu

  • @Nasibuhelemani
    @Nasibuhelemani หลายเดือนก่อน

    Ata ukiacha acha

  • @fabianimbilinyi3787
    @fabianimbilinyi3787 หลายเดือนก่อน

    Wangeambiwa watalipa nauli yasingetokea hyo

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaaaa..... kwahiyo wee ulilala kituo kwa ajili ya safari ya bure....mmmhhhmmmmm mnatia aibu jmn.....nendeni mkalale.....!

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 หลายเดือนก่อน

    Msemaji wetu alilijua hili kua hatuwezi kwenda wote, alisema mapema mabehewa yapo 4 yakijaa kuna watu watabaki kwahio wasilalamike alisema mapema. Pia alisema kama itakua mabehewa yamejaa na unataka kwenda basi jilipie.

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +15

    HIVI KWANI YEYE MULITAKA AFANYEJE WATU WAMEJAA AFANYEJE LAWAMA ZINGINE PUNGUZENI

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy หลายเดือนก่อน +1

      Mashabiki wengine bana😂Sasa mlitak mjazwe wote kwenye treni?kwani lazima kwenda wote huko

    • @neemamatey
      @neemamatey หลายเดือนก่อน

      Akili hawana wanapenda vya bure

    • @wilfredmbussa4930
      @wilfredmbussa4930 หลายเดือนก่อน

      Hawajitambui tu, kwa akili zao walitegemea behewa tatu zitoshe umati mzima.... Ningewaona wa maana kama wangelipia 13k kwenda kwa gharama zao, wao wanataka dezo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      MSISEME WANAPENDA BURE MSEMAJI KASEMA TICKET JEZI YAKO KASEMA WATU WAFIKE SA 11 WATU WAMEFIKA SA 9 MIPANGILIO NDIO MIBAYA HAINA HAJA YA KUKASIRIKIANA

    • @user-cf6pc2ig8x
      @user-cf6pc2ig8x หลายเดือนก่อน

      TangU lini simba wameanza mchezo wa KULIPIA BURE BURE