Aaaaa penina hebu basi ustaarabu hata kidogo,ushabiki wako waaala hauna maana hapo.. Diva yupo kazini sasa wewe badala ya kuweka mizania ya mahojiano unalipuka kishabiki ati kwamba Diva anataka kumtia wivu Zuchu.. isitoshe labda angekuwa anahojiwa kwenye kituo kingine ungesema kuna jambo ambalo Diva anatafuta..lakini mahojiano yanafanywa kwenye kituo cha Diamond na kama wahariri wangeona maswali ya Diva yana mrengo wa uchokozi na hayafai yasingerushwa..lakini hayo maswali na mpango wa kumuhoji tayari yalikwisha haririwa na kuona hayatakuwa na madhara kwa Zuchu au Diamond Lebda tu nawe una chuki binafsi na Diva Na hakuna ubaya kuzungumza yaliyopita
She's very uncomfortable with your questions, try to have boundaries and respect she has moved on diamond has moved on wacha ukuma wako wa maswali ya kihanithi sio kila mtu danga kama wewe kuma wewe Diva umeniudhiii
Watangazaji baadhi ya muda mnaboa Sana kwakweli.kwa nini usimuulize kuhusu mahusiano yake ya sasa Kama unataka kuzungumzia Hilo?.hivi unajua unawakwaza wangapi Kwa maswali yako yasiyo na msingi? Watu washakuwa na maisha mapya,unajikita kumuuliza MTU maswali ya mahusiano yaliyopita..tena sensitive questions...eti unawishi ungemzalia mtoto..nosense.jirekebisheni.
Tatizo huyu divaa ni mmbea na mnafikii anapenda umbra na mnafikii na miwigg sijui haoti nywele mijasho sijui asikii bichwa kuwa zito yeye peke yake dar nzima muda wote na minywele ya kubandika
Kila swali na lengo lake,hapo lengo ni ni haswa?inasaidia Nini kijamii?mkipata fursa ya kuwa ktk vyombo vikubwa vya kijamii basi ubunifu ni muhimu sana,mtawakosa wa kuwahoji,unamkuta mtu ana mazuri mengi unambambikia kiswali cha kushosha,mf nasikia uliwahi kufeli kidato cha pili ni kweli?hilo kweli swali lakini linaboa.labda mhusika aamue mwenyewe kukupa mambo yaliyofeli ktk maisha yake.
Hivi huyu Diamond simtamsokomeza jehanamu kabisa maana sasa huu ni ujinga hahaaaaa maana umaarufu wake ndio unawasumbua sana hahaaaaaa na mimi ngoja nimpaishe Mungu na Yesu wangu jamaniii
Nampenda Sana huyu dada daaaah!!! Kuna ngoma inaitwa nilimiss kucheka huwa naikubali Sana jamani ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰huyu dada Ana jua sana
Mm pia naipenda hyo nyumba
Hawa ana akili very wise.. alafu karembo natural beauty nimependa majibu yake ❤
Diva wacha umbeamchokozi Sana unaenda kurusha watu roho
@@salmakhalid6196 VRAIMENT DIVA CHERCHE DES PROBLÈMES AVEC ZUCHU
She’s naturally beautiful😍😍😍
Ndio Hawa mzuri mno
Exclusive Leo ndio nimeamini kuwa Diamond Platnumz alishawahi kuwa kwenye mahusiano na Hawa
acha kunichekecha eti ulikua hujui
kama unamkubali Hawa gonga like tuende sawa
Huyu dada ni mrembo sana na namna alivyojifunga kichwani amependeza.
She’s so cute❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mond mungu amtunze anawakumbuka watu wake wote
Anakumbuka wazinzi wenzake sema hivyo
Nyimbo zilikuwa nzuri sasa kila atakae imba nae azae nae hahaaaaa hatari 🔥🔥
Hawa is such a beautiful girl ever smile la kwenda mrembo wa asili nimekupenda bure
💕💕
Nyie huyu binti amekuwa kazuri mweeeeeeee❤️❤️❤️❤️❤️
Hawa nakupenda san mudogo wangu
Diva hapo unataka kumuumiza tu Zuchu ila tu nakwambia hivi mzenj ndo stering now wala HATUJARI unafiki wako
Aaaaa penina hebu basi ustaarabu hata kidogo,ushabiki wako waaala hauna maana hapo.. Diva yupo kazini sasa wewe badala ya kuweka mizania ya mahojiano unalipuka kishabiki ati kwamba Diva anataka kumtia wivu Zuchu.. isitoshe labda angekuwa anahojiwa kwenye kituo kingine ungesema kuna jambo ambalo Diva anatafuta..lakini mahojiano yanafanywa kwenye kituo cha Diamond na kama wahariri wangeona maswali ya Diva yana mrengo wa uchokozi na hayafai yasingerushwa..lakini hayo maswali na mpango wa kumuhoji tayari yalikwisha haririwa na kuona hayatakuwa na madhara kwa Zuchu au Diamond
Lebda tu nawe una chuki binafsi na Diva
Na hakuna ubaya kuzungumza yaliyopita
Ypo vzr Sana anajb vzr alaf anajuwa maana ya mahusiano pya
Hawa mzuri hata zuchu hamwingii kabisa hata achambe wima😀😀
😂😂😂
Kabisa
Yaani for real kabisa
Hawakapendeza huyu dada kisha nampenda msema kweli
She's very uncomfortable with your questions, try to have boundaries and respect she has moved on diamond has moved on wacha ukuma wako wa maswali ya kihanithi sio kila mtu danga kama wewe kuma wewe Diva umeniudhiii
Kahawa ka chuna sana
Diva uyo yupo kwenye mausiano punguza maswali
Diva hana Nia nzuri na zuchu
😂
Wow so nice
Mie nakapenda ka Hawa jaman
Watangazaji baadhi ya muda mnaboa Sana kwakweli.kwa nini usimuulize kuhusu mahusiano yake ya sasa Kama unataka kuzungumzia Hilo?.hivi unajua unawakwaza wangapi Kwa maswali yako yasiyo na msingi? Watu washakuwa na maisha mapya,unajikita kumuuliza MTU maswali ya mahusiano yaliyopita..tena sensitive questions...eti unawishi ungemzalia mtoto..nosense.jirekebisheni.
Boss tutapataje Views bila kumtaja CHIBU Wewe mwenyewe utakua ume view kwakichwa Cha Habari
Tatizo huyu divaa ni mmbea na mnafikii anapenda umbra na mnafikii na miwigg sijui haoti nywele mijasho sijui asikii bichwa kuwa zito yeye peke yake dar nzima muda wote na minywele ya kubandika
Ila diva nimbaya jamani mishavu sijui amepaka nn🤣🤣🤣🤣
Nampendaga huyu dada hawa lkn. Mwenye kumfunga hilo lemba jamani alimuonea wivu coz angependezaa zaidi
Sauti kama zuchu
Uyu diva mwehu
Mmmhh ☺️☺️
Hawa mrembo anasaut nzur
Huyu angekuwa the right one for diamond ni mrembo hata zuchu hafiki kabisa
😅😅
WHO IS SHE? BEAUTIFUL LADY🤩😍🥰
Tafuta song inaitwa nitalejea
@@mussasoud Asante sana🙏
Kila swali na lengo lake,hapo lengo ni ni haswa?inasaidia Nini kijamii?mkipata fursa ya kuwa ktk vyombo vikubwa vya kijamii basi ubunifu ni muhimu sana,mtawakosa wa kuwahoji,unamkuta mtu ana mazuri mengi unambambikia kiswali cha kushosha,mf nasikia uliwahi kufeli kidato cha pili ni kweli?hilo kweli swali lakini linaboa.labda mhusika aamue mwenyewe kukupa mambo yaliyofeli ktk maisha yake.
Diva UNAUJINGA sana!!!!! Sasa huyu ni nani!!! girlfriend wa utotoni ndio unamleta kwa kipindi??? Uko na ujinga sana.......
Huyo ni Hawa wa nitarejea😂
Wewe kibakuri kweli yaani narcistic person.this is hawa we requested her nyambafu huwezi itwa hata sisimizi hakujui
😂😂😂umenichekesh Ile mbaya
Yalikuwa ni mahusiano lkn
Wee nae kiazi
Hivi huyu Diamond simtamsokomeza jehanamu kabisa maana sasa huu ni ujinga hahaaaaa maana umaarufu wake ndio unawasumbua sana hahaaaaaa na mimi ngoja nimpaishe Mungu na Yesu wangu jamaniii
Kumbe Hawa mzuri kuliko kina hamisa, zari,tanasha, jaman 😁😁😁😁
YAANI NI MREMBO TU SAANA!
Hawa ni mrembo
Kweli mondi hapi hapitwi na sketi
Unataka sema hadi zuweni pia🤔😁
Hawa 😍😍😍❤️
Kawa nzur jmn
Hawa akona watoto???????😊
Hakurupuki anajibu vzr afu hanag mmbo mengi kujion non kingelezangerez km wengin xo nic nmpnda
♥️♥️♥️
Huu ujinga sana mtangazaji sijui akoje uso mpana kama bakuli
Yaaan anakera na maswali yake ya kijinga
😭😭🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣
Haaàhaaaa
😂😂😂😂 eti bakuli
Karembo jmn
Jamani hawaaaa
Moto
Kipindi hiki kinausenge mwingi
🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂 sanaa
Simßaaaaaah💪💪💪💪💪
Anamacho kama ya nick minaj ....hatariiiii
Mondi nae kumbe alianza tamaa mda sana
Mtu wa kawaida na mtu sio wa kawaida
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Diva wewe na Mganga wako Sheikh wa Mchongo unazaa baadae mwezi 6😂😂😂ndio utakua Jela la Mganga
📌📌❣❣❣
Mvi
Uyu ilibid mond amuoe
Wife material wa Diamond Hawa
Kabisa kwa kweli huyu anafaa
H baba
Swali gani anauliza huyu mjinga? Mtu wa kawaida na asiye wakawaida ndo yupi? Shenzi kabisa..
Hawa kafanana na mamybaby
Daah kiukweli umemkosa mme kabisa
Nafikiri Mond ndo kakosa mke
Hawa kazuri
th-cam.com/video/B0GL2_UUk4k/w-d-xo.html
JINSI YA KUMWITA JINI MAIMUNA , AKUPE UMALI NA PETE YA UTAJIRI *#
th-cam.com/video/B0GL2_UUk4k/w-d-xo.html
Cjui lulu diva anajionaga nani just useless as others
Dida maswali.ya kijinga.mtu anakwepa swali la kisenge bado analazimisha
Umeonaee!
Hili limama lijinga
Mziki ni mzuri utaki acha kwakwel 💣💣💣th-cam.com/video/7w_-Yv_R91A/w-d-xo.html
Kumbe Hawa mzuri kuliko kina hamisa, zari,tanasha, jaman 😁😁😁😁