HAIJAWAI KUTOKEA! TANASHA AANDIKA UJUMBE WA ZARI KAMA JIBU KWA JUMALOKOLE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 167

  • @JacklineT-official
    @JacklineT-official 4 ปีที่แล้ว +28

    Zari is 40s,Tanasha is 20s so our gal has the brightest future..zari amefika meno...muacheni tanasha plz.wakenya backward never,4wad forever

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +2

      Tanasha 25 sasa toa15 bado dada yake na siyo mama yake zari anatoa ushauli tuu hana chuki na mtu

    • @JacklineT-official
      @JacklineT-official 4 ปีที่แล้ว +4

      @@WaridawaridaWarida we know that shosh hates our sister,but tee can't be desperate like her

    • @linetnato4199
      @linetnato4199 4 ปีที่แล้ว

      Sure💋💋❤️

    • @rahabwanja7833
      @rahabwanja7833 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣ooh my God

    • @kubzsharon1827
      @kubzsharon1827 4 ปีที่แล้ว +1

      @@WaridawaridaWarida Kabisa different in 25yrs tu

  • @carolbiwott9554
    @carolbiwott9554 4 ปีที่แล้ว +8

    Tanasha is still very young she will make it definitely

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 ปีที่แล้ว +30

    Tansha Donne she is still young She will make good life in GOD s time 💕💜😎

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 4 ปีที่แล้ว +19

    Yes tanasha l Love you dia 😘😘❤❤

  • @lanahlanoh547
    @lanahlanoh547 4 ปีที่แล้ว +8

    Nothing is impossible for zari if she can buy herself a ring in the name of married .Tanasha doesn't know this faking game

    • @marypeschke1750
      @marypeschke1750 4 ปีที่แล้ว

      👏👏👏👏👏🥂🥂🥂🍾🍾🍾🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Doomy-ef4ez
    @Doomy-ef4ez 4 ปีที่แล้ว +20

    Tanasha hababaishwi na mali za freemasons

  • @ashynahcoxz5031
    @ashynahcoxz5031 4 ปีที่แล้ว +5

    Tanasha donna ❣️ my best

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 ปีที่แล้ว +1

    Zari tulia ungojee kulea mjukuu wako very soon anazaliwa sawa,,,,achana na Tanasha wetu she's always humble and sweet ww tulia na uzee wako huko

  • @rmags8654
    @rmags8654 4 ปีที่แล้ว +8

    Nyie mmezidi kila Siku Tanasha Tanasha utafikiri mmerogwa. Hebu toeni taarifa zingine za maana.

  • @donsaltojusty1164
    @donsaltojusty1164 4 ปีที่แล้ว +16

    Tee ako very young ,,kitambo afike 40s atakua sonko sanah

  • @janenguru6723
    @janenguru6723 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanasha is still young and Kenyans don't stoop low what is a car for someone who knows how to grind.

  • @marianahmauyabbybitch1025
    @marianahmauyabbybitch1025 4 ปีที่แล้ว +13

    Give Tan Tanasha peace ooh....
    Tan kazawadiwa dinga siku ya birthday yake .....afu after 48 hrs zari thy boss mama p.a akaleta dinga ....
    sasa nan kam copy mwingne???
    afu mtaelewa Lin tofauti ya 25 na 40???
    Chanuka baaana!!!
    NKT!!!

    • @linetnato4199
      @linetnato4199 4 ปีที่แล้ว

      Boom😂😂😂

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 4 ปีที่แล้ว

      Oh ! Ndio maana kwa ajili Tanasha alizawadiwa gari on her birthday, zari akaenda kuazima gari show room akasema kuwa anenunuliwa gari.?🤣 Zari grow up ure not young anymore, don't try to compete with Nasha.
      Hauna aibu? We all know Diamond contributed nothing towards that car.Mbona unahangaika.🤪🥺

    • @doreenjessy3399
      @doreenjessy3399 4 ปีที่แล้ว

      Ofcous zari

    • @doreenjessy3399
      @doreenjessy3399 4 ปีที่แล้ว

      @@nishasalim2880 🤣🤣🤣apa umeniuwa

    • @shickysshicky1745
      @shickysshicky1745 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza zari apambane na Hamisa sio Tanasha maana Hamisa ndio alizaa na diamond wakati zari yuko kwa nyumba amuwache Tanasha wetu

  • @Doomy-ef4ez
    @Doomy-ef4ez 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu zari anaushamba mwingi sana

    • @lozinali8821
      @lozinali8821 4 ปีที่แล้ว

      Nini yake alijifanyia isipokua za ma ex

    • @rahabwanja7833
      @rahabwanja7833 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jaccy23muish97
    @jaccy23muish97 4 ปีที่แล้ว +4

    Hayo maisha ya kufuatilia watu kuwatukana ni tz pekee eeish b humble people ad respective bona nyinyi u r nt perfect

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +11

    Tanasha anateseka na nini sasa wakati DIAMOND mwenyewe babake anaangaika sasa babake akiona hivi pesa nyingi zimetumika na yy anashida na mtoto wake hamjali sasa hapo nani wakuumiya

    • @olgaouma1652
      @olgaouma1652 4 ปีที่แล้ว +2

      Diamond is a fool

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว

      True

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว

      Ryoof 1998 true

    • @doreenjessy3399
      @doreenjessy3399 4 ปีที่แล้ว

      On point

    • @doreenjessy3399
      @doreenjessy3399 4 ปีที่แล้ว +4

      Just showing up your self and your dad is awhaker shame on you, when will this guy growup and become areasonable man, hizi kiki mpaka lini yarabi.

  • @everlineeverline105
    @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว +7

    Zari mwana biashara mkumbwa anaongezewa pesa.maajabu.hata yeye ananunuliwa gari kuliko kitu ya kuletea watoto manufaa.sasa akili yake na tanasha hazifanani.usitukane mkunga na bado unazaa.

    • @liliannyakundi4541
      @liliannyakundi4541 4 ปีที่แล้ว

      Kweli dada

    • @liliannyakundi4541
      @liliannyakundi4541 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwanzo huyu Kenya ana wivu kweli ndo shida........diamond hataezana ba wafanya sio wivu sio nini.....zari is amazing....tanasha alikua what zari went through saizi anaeka domo.....tafadhali wasichana wa kikenya sio wsitu wa ndoa...umbeya na wivu tuuuuu

    • @matendeisheamael5669
      @matendeisheamael5669 4 ปีที่แล้ว

      Ukweli

  • @amomio8330
    @amomio8330 4 ปีที่แล้ว +9

    love you tee❤❤

  • @doreenjessy3399
    @doreenjessy3399 4 ปีที่แล้ว +9

    Tee angali toto bichi, si kama wazee rika za mama zetu wengine, wameishiwa soko sasa wivu tu na mtoto rika na mtoto wake, shame on her, she should grow up and stop comparing her self to Teee. Teee is not her age matte yawa thoooo. 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaha..nyinyi vijana mnanimbamba😀😀😀

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +2

    hakuna cha daimond. kumuongezeya zari pesa y’a ku nunuwa gari. kiki hizo. kutafuta kungelewa na watu daimond anavyo penda pesa yake 🤣🤣🤣

  • @munamuha5699
    @munamuha5699 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha achana na hyu shosho na Huyo slicerojo watakupoteza muelekeo

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 ปีที่แล้ว +1

    Muacheni Tanasha apumue jamani mmezidi kumuongelea

  • @zou7470
    @zou7470 4 ปีที่แล้ว +7

    Uyu mwajuma.lokole awe anaaca ushoga wakufatilia maisha ya mtu

    • @ZahraZahra-cx9xw
      @ZahraZahra-cx9xw 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @ZahraZahra-cx9xw
      @ZahraZahra-cx9xw 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwajuma lokole tene

    • @joycesanta9346
      @joycesanta9346 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ZahraZahra-cx9xw 😂😂😂😂😂wajua umbea na udaku kenya sana huwa wa wanawake ndio maana kaitwa mwajuma.

    • @zou7470
      @zou7470 4 ปีที่แล้ว

      @@ZahraZahra-cx9xw uyu siyo juma mana nimtu anatafuta umbea ila wamuzungumuzie

    • @eshamohamed9833
      @eshamohamed9833 4 ปีที่แล้ว

      Zahra Zahra2019 🤣

  • @alicemueni5585
    @alicemueni5585 3 ปีที่แล้ว

    Tanasha ashamove on na life yake jameni🤐

  • @irenenyaboke1341
    @irenenyaboke1341 4 ปีที่แล้ว +1

    Leave Tanasha alone

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 4 ปีที่แล้ว +1

    Zari kama corona katapakaa ktk kila habari za watu. Mondi zari, tanasha zari, hamisa zari, watoto wa tzee zari, shilole zari, pumbavu wakubwa. Mondi hamnunulii gari hana wazimu huo. Kiki zimerudi mjini

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha bae

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว

    Nyie kazi hamna. Mwenye kupendwa anadhalilishwa hivyo kila leo mwanamke mwingine na watoto Kibao. Wenye kupendwa hamuwaoni? Hawa wote ni wasaka tonge tu wakina nipe nikupe. Upuuzi huu.

    • @nuriatkassim3311
      @nuriatkassim3311 4 ปีที่แล้ว

      Sio kweli,mwanaume ameumbiwa tamaa,sio akioa au kuwa na mwanamke mwingine,sio kuwa atakuwa hampendi yule aliyenaye,hata mtume alikuwa na wake wake,lakini mke mkubwa ndio alikuwa ndio kila kitu

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว

      @@nuriatkassim3311 Yupi mke hapa?

  • @justiciaamboko5141
    @justiciaamboko5141 4 ปีที่แล้ว

    Wachaneni na tanasha bado ni young kitambo afike miaka ya zari 42 atakwa tajiri

  • @estherwaigumo9929
    @estherwaigumo9929 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure

  • @midianousra2824
    @midianousra2824 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha achana nao

  • @salimmwanaidi9295
    @salimmwanaidi9295 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha queen never mind domo kaya wa mitandao,,,kumbuka hata uendeshe lipi,la gharama ipi mwisho lazima utaiacha na kuingia chooni kwa kutumia miguu!!,,,never compete and you will b happy always 😘😘😘😍😍😍

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 ปีที่แล้ว

    Mnaongea sana mnapaswa muige SNS

  • @puritykalama7631
    @puritykalama7631 4 ปีที่แล้ว +1

    Ile sku wakenya wakiamua kuwa chamba mtakoma

  • @puritykalama7631
    @puritykalama7631 4 ปีที่แล้ว

    Wa tz achen ujinga bwana hamtaangalia maisha yenu ninyinyi tu na tanasha Razi why guys why

  • @mwaminiwivine2840
    @mwaminiwivine2840 4 ปีที่แล้ว

    Munakosa habariyakutowa bila tanasha ameimba nani nayeakepeda jiuza kama wegine atapata gariyenye anataka

  • @redibatafulai2583
    @redibatafulai2583 4 ปีที่แล้ว

    Mimi kama mimi na akili yangu ya utajiri kirohoni na umaskini kiduniani niko na miaka 35 niko na mtoto kijana miaka 16 kama leo hii nikitaka kujiheshimu na kuheshimiwa kwa mambo ya ndoa na jamii ...nitaolewa na mwanaume wa miaka 45. atleast nimpe heshima aniheshimu aheshimiwe na mtoto wangu pia na jamii ila sio niolewe na mtu wa miaka 25 at age is just a number .SHAME ON YOU ZARI ...kaa kama mwanamke urembo ni maua ujana ni moshi tia akili wacha kushindana na watoto wadogo unatia aibu

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว

      Hajielewi huyo hata unene kwa lugha hatakuelewa, mwacheni azeeke na mitandao.

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 4 ปีที่แล้ว

      Wewe Kama una heshima si Ni wewe unataka watu wore wawe Kama we? Achana na zari

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha anahakiri atamuri muzalau miyeniriwolewaniko mudogosinahakiri bwanakanifuza nakuzala

  • @tanashajanney1865
    @tanashajanney1865 4 ปีที่แล้ว +1

    Zari mama lao ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @farijihaule6881
    @farijihaule6881 4 ปีที่แล้ว

    Sasa tanasha ananini jamani daaah

  • @athanaziakamana5300
    @athanaziakamana5300 4 ปีที่แล้ว

    Munamidomo kweli

  • @user-kt6ti3vj5c
    @user-kt6ti3vj5c 4 ปีที่แล้ว

    Ni colola sio Corona 👌🤣😅

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 4 ปีที่แล้ว

    Kumekuchaaaaa

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna cha kuongezewa pesa,hapana la asha.Diamond mwenyewe kalilipa cash kwa kampuni kisha kampigia zari aende hapo kuko na surprice yake na watoto wote watano.Huo ndio ukweli.

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha atapambanaka kama anaachapombe anahakirisana niwambiye asegemeye watu

  • @edithkageha9473
    @edithkageha9473 4 ปีที่แล้ว +1

    Zari ni shujaa mrembo akili nyingi sanaaaa hafananiswi na nyinyi msimkopi zari tafadhali mama tee mrs Diamond niwakipekee 🔥🔥⭐️⭐️❤️❤️👌🏻🤞🌹👏👏👏👏👏👏

    • @khadijashaban3218
      @khadijashaban3218 4 ปีที่แล้ว +3

      Urembo wa kununua mwambie ajiachilie tuone hiyo sura

    • @millycentgati2541
      @millycentgati2541 4 ปีที่แล้ว +2

      Umemuozesha kwa diamond?? Au kuropoka tu usoyajua au unadhani kuongezewa hela ya gari ndo kuwa na akili? Tanasha ni binti mdogo sana...sana...na anafuture kubwa sana tena wakupambana sio wakuhongwa

    • @joymbirithi1832
      @joymbirithi1832 4 ปีที่แล้ว +3

      Ety mrembo😂😂😂😂😂😂😂ata akili hana

    • @khadijashaban3218
      @khadijashaban3218 4 ปีที่แล้ว +1

      @@joymbirithi1832🤣🤣

    • @millycentgati2541
      @millycentgati2541 4 ปีที่แล้ว

      @@joymbirithi1832 waambie ajiachie bila makeup ndo wajue org yukoje ni mzee sura imenyauka kweli...

  • @sabinadede9138
    @sabinadede9138 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha

  • @annegruvy
    @annegruvy 4 ปีที่แล้ว

    🚘🚙🚒🚕 🖕 we ❤ TD

    • @annegruvy
      @annegruvy 4 ปีที่แล้ว

      Tz 🖕, i ws in Kenya 🥂😍

  • @yvonnebarasa44
    @yvonnebarasa44 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Watanzania hamna akili?

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว

      Watanzania wote au?

    • @yvonnebarasa44
      @yvonnebarasa44 4 ปีที่แล้ว

      @@nuruabraham3769 Eee

    • @garoedod6272
      @garoedod6272 4 ปีที่แล้ว

      Yvonne barasa wewe ndio una akili sio watanzania komaaa

  • @christabelathiambo3038
    @christabelathiambo3038 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujinga ndio waganda wana mtusi kila siku

  • @fadhilimakwaya8609
    @fadhilimakwaya8609 4 ปีที่แล้ว

    Me vyovyo guddd tyu hata akiwa nani vyote guud kikubwa mond apge kaz tyu wanaojiita kond bwy wazd kuwa nyuma

  • @fedrickagustino991
    @fedrickagustino991 4 ปีที่แล้ว

    Kashatadona akili ziro mbona akuzaa na alikiba na wizkid

    • @khadijashaban3218
      @khadijashaban3218 4 ปีที่แล้ว

      Huna akili unayo ongea yanatoka mkundun

    • @tonianekesa342
      @tonianekesa342 4 ปีที่แล้ว

      kichwa ziro ni wewe na vizazi vyako tanasha ako na point mwenye akili anaelewa

    • @evelyneatieno1671
      @evelyneatieno1671 4 ปีที่แล้ว

      Na wewe umezaa na nani??

    • @liliannyakundi4541
      @liliannyakundi4541 4 ปีที่แล้ว

      Hamisa afaa kuongea ..wakenya kwa kitanda ofyo ndo masana mondi hataezana na maji baridi ikabidi Apache kiporo kwa zari

    • @tonianekesa342
      @tonianekesa342 4 ปีที่แล้ว

      @@liliannyakundi4541 so inamanisha u r lesbian mmmmh .

  • @kareembashir4064
    @kareembashir4064 4 ปีที่แล้ว

    Lulu atamuua majizo maana alimuua kanumba.

  • @mariammganga4301
    @mariammganga4301 4 ปีที่แล้ว

    Kwani tanasha anataka nini? Akae mbari

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 ปีที่แล้ว

    Tanasha kinaroho mbaya kweli kimeacha kwa rohoo mbaya bora kilipoachwa heeee

    • @marianahmauyabbybitch1025
      @marianahmauyabbybitch1025 4 ปีที่แล้ว +3

      tanasha c ki-vi....tafazali....ako na uhai n vyema u2mie A-WA....
      toka apa mbio

    • @OmanOman-iu7jf
      @OmanOman-iu7jf 4 ปีที่แล้ว +1

      @@marianahmauyabbybitch1025 ana roho mbaya kweli ukimuona hacheki kwa roho mbaya yuko sirias aaak

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว

      @@OmanOman-iu7jf nikweli ana roho mbaya iki kitanasha binadam gani Asie tabasam ata kwenye msiba ndo mana wana tandale wamembwaga

    • @jackypottrick1pottrick641
      @jackypottrick1pottrick641 4 ปีที่แล้ว

      Wewe huwa haunakazi au vipi ?

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 4 ปีที่แล้ว +3

      Oman Oman . Nyani haoni kundule. Who are you to judge.

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 ปีที่แล้ว +2

    hakuna cha daimond. kumuongezeya zari pesa y’a ku nunuwa gari. kiki hizo. kutafuta kungelewa na watu daimond anavyo penda pesa yake 🤣🤣🤣