BUNJU A DAY 2 PT 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @samuelwafula9334
    @samuelwafula9334 5 หลายเดือนก่อน +6

    Watibu mtumishi wa kweli wa mungu. Naamini umetumwa na Mungu

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu,

  • @chance0709
    @chance0709 5 หลายเดือนก่อน +1

    2watesalonike2:9-10❤❤❤

  • @egidideule7285
    @egidideule7285 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wape injili hao mpaka wakuelew

  • @ZafaraniMustafa
    @ZafaraniMustafa 5 หลายเดือนก่อน

    Kidume wa yesu Yuko uwanjani ukisema ng'wee. Andiko.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha ni dawa ya waisilamo

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 5 หลายเดือนก่อน

    Lakini waislam wakaogopa sana Kuliza maswali😂😂😂😂

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 5 หลายเดือนก่อน

    Eti hoo mmenyamaza kinywa eti ndio mshakubali 😂😂😂

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndacha hauna la kusema

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 5 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hauna jipya unapayuka payuka tu,haueleweki.

    • @iddyhassan7666
      @iddyhassan7666 5 หลายเดือนก่อน

      Tatiz ww kafiri ndo maan unamuona kuwa anapayuka ila watu Mungu wanamuelew vizur kabis

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@iddyhassan7666
      Unajua maana ya kafiri???

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@iddyhassan7666
      Yawezekana watu wakamuelewa Mungu wao kwa kupitia mafundisho yao ya uongo.

    • @benjaminheadman8337
      @benjaminheadman8337 5 หลายเดือนก่อน

      Kafiri nimpingaji kuwa yesu sio mwana wa mungu....

    • @benjaminheadman8337
      @benjaminheadman8337 5 หลายเดือนก่อน

      Mohamad akiwa kafiri namba 1 washetani kuwa yesu c mwana wa mungu....😂😂😂😂😂

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 naona uko peke yako kafiri huko tanzania wote wanaelewa dini ya haki 😂😂😂

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j 5 หลายเดือนก่อน

      Watanzania waoga nd maan hawtokeii😂

    • @JojoSrena
      @JojoSrena 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa mungu akuna kukokotana ata ukimusikiriza ww tu pekeyo inotosha

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe hubiri aja kutuinglia

    • @justintabu7291
      @justintabu7291 5 หลายเดือนก่อน

      Umeingiliwa ww na nani

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 5 หลายเดือนก่อน

    kwani Yesu munaodai ni Mungu wapi alijisemea???
    Quran sio Bibilia eti ajisemee, Quran ni maneno matukufu ya mwenyezimungu utake kila mtu ajisemee😂😂

    • @benjaminheadman8337
      @benjaminheadman8337 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tokeni kwa shimo mkamkanushe kuwa wewe muongo...hapo bunju tu"mbona kawafuata mpaka nyumbani tena mnapiga makelele...

    • @benjaminheadman8337
      @benjaminheadman8337 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mazinge na sule mmewapeleka wapi waje kuokoa jahazi la Mohamad...Islam nishida nikama kuingiwa na kunguni ndani ya godoro viva Yesu kriosto🎉

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo wewe unapinga yesu hana uungu

    • @franciscomtambakuluca2830
      @franciscomtambakuluca2830 5 หลายเดือนก่อน

      Swali likijibia inabidi ukae makini kusikiliza, yeye Kasema mwana Wa mungu ni Mungu na mwana Wa mbuz ni mbuz

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 หลายเดือนก่อน

      @@franciscomtambakuluca2830 kakosea wapi kujibu hivo yesu ni mungu au nikuhulize mtoto wa mfalume anaitwa je