ALBUM MPYA YA ZUCHU YASHIKA NAMBA (01) MOJA TRENDING DUNIANI AVUNJA RECORD MBELE YA WASANII WAKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sanaaa 🤲 imeenda hiyoooooo Zuchu 💯🤲✅🇹🇿🥀🥀🥀🥀🥀

  • @DavidMarash-su6eu
    @DavidMarash-su6eu 8 วันที่ผ่านมา +6

    Jamani leo naomba likes zangu tena Mungu awape kuvuka mwaka wa2024 na kufika mwaka2025 mkiwa salama wote watakao ni likes

  • @SaudaKasinje
    @SaudaKasinje 7 วันที่ผ่านมา +6

    Zuchu hongera kipenzi

  • @JoackimYusuph
    @JoackimYusuph 8 วันที่ผ่านมา +6

    Mzee wa fact Mr pimbi good job kaka

  • @MeshackMagaro
    @MeshackMagaro 8 วันที่ผ่านมา +6

    Mi nilisema huyu dada ni level nyingine kabsaa na hii album itafanya wale wanaomulinganisha na hao wataumbuka simba jike ilo we huogopi bwana

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s 3 วันที่ผ่านมา

    Nchi ya kwanza

  • @comm611
    @comm611 5 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera zuchuuuuu wetu ❤❤❤

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 8 วันที่ผ่านมา +5

    Mzee wa fact

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s 3 วันที่ผ่านมา

    Pimbi ushakula skanka

  • @RehemaKatana-m6l
    @RehemaKatana-m6l 5 วันที่ผ่านมา +4

    Zuchu forever 🥰

  • @safarimusa5946
    @safarimusa5946 7 วันที่ผ่านมา +3

    Zuchu asilinganishwi na takataka yeyote accept Diamond tu.

  • @EndeshiMollel
    @EndeshiMollel 5 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana zuchu

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 วันที่ผ่านมา +1

    Albam inaongoza namba moja duniani?! Hiyo dunia ni dunia gani labda huko kwenu Tanzania huku uliko hata jina hatujui amkeni kwenye huo usingizi mliolala

  • @margaretbirenge4081
    @margaretbirenge4081 4 วันที่ผ่านมา +1

    I just love her❤❤❤❤ zuchuuuu

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 5 วันที่ผ่านมา +5

    Zuchu ❤️❤️❤️❤️

  • @AmigoAmigo-d7b
    @AmigoAmigo-d7b 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mr pimbi mzee wa fact

  • @comm611
    @comm611 5 วันที่ผ่านมา +2

    Félicitations zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DesmaAkinyi-v6u
    @DesmaAkinyi-v6u 3 วันที่ผ่านมา

    Zuuuuuu ni wakipekeee

  • @achatafereche7287
    @achatafereche7287 8 วันที่ผ่านมา +3

    Zuchu wetru ❤❤

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mashaallah my cute zuu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 7 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 2 วันที่ผ่านมา

    Ndo muache kumbeza diamond mana anapiga shoo kila siku lakini wewe tu leo umeshinda siku moja tu unasema umechoka na unausingizi ila saiv ukweli saiv unaujua

  • @SaumuNasenya
    @SaumuNasenya 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤ zuchu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe unaakili sana wewe.unaongea ukweli

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 8 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JacksonKachila
    @JacksonKachila 5 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa ndo nini nafasi ya kwanza nchi 59😂😂😂😂😂😂

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 5 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio maana yake Album inasikilizwa sana zaidi katika nchi hizo 59 na inachukua nafasi ya kwanza.

    • @doctorpillo
      @doctorpillo 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kamuulize mamako

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 3 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wajinga sana nchi hii eti wanamfananisha Zuchu na vitu vya ajabu. Wakapimwe akili

  • @RabiaWahadh
    @RabiaWahadh 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @FatumaKipita-h4l
    @FatumaKipita-h4l 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤