BURUDANI AFRICA Habari ya kazi ndugu yngu mi ninashida na ulewimbo wa "Khadija kopa unaimba hivi Nipe nipe raha mtoto wa kitanzaniaaa Nipe bipe raha mtoto nakupenda ile mbaya,Nikuweke kwenye himayaa yani nitakupa hata hela ya vocha mkuuu
jamani yani this is momryline ,nakumbuka ulipigwa marufuku na mwinyi wimbo huu ,plz weka za nasma kidogo ❤❤tanamani nikuite ewe wangu mfumbazi nimepate kuku veyote wanginewe hawezi 😗😗😗😗
Mi Nautafuta ule Nipe nipe raha mtoto wakitanzaniaaaa nipe nipe raha mtoto niweke kwenye himaya Alikuwa khadija kopa ila chini ya T.O.T band yani niki upata huo wimbo nitampa mtu hata elf 30,000 ya vocha my friend ,ukiupata nicheki 0679930-776 plz my friend
Tamba x wangu Mimi ni wako
BURUDANI AFRICA THANKS A LOT, SINA LA KUSEMA ni mda mrefu nilikua natafuta huu wimbo mungu akujaalieni 😘😘😘😘
Hata mimi nimeutafuta sana finally nimeupata
Tumeutafuta wengi 😂😂
Waoooo mashaallah🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani mm naomba wimbo wa khadija kopa unaoitwa achekwe
Khadija kopa we ni noma
One of the best song of malkia herself ♥️
Nakupenda sn mm yng toka tabora hadi sasa nipo omani na bado nahitaji nyimbo zako za zamani
Zilikuwa nzuri sana na hazichuji
Hupasua katikati hapasui pembeni ....Asanta mama kopa mungu akupe umri mrefuuu uzidi kutuburudisha...nakupenda bureeee mama.
Hii nyimbo ametumia ujuzi mkubwa na maarifa makubwa sana ametumia misaimiati vizuri mnooo...
Asnante Bi mkubwa Bingwa wa Taarab East Africa
Leta na ile taarabu ya kuni tele msituni mwagombea kuni moja
BURUDANI AFRICA Habari ya kazi ndugu yngu mi ninashida na ulewimbo wa "Khadija kopa unaimba hivi Nipe nipe raha mtoto wa kitanzaniaaa Nipe bipe raha mtoto nakupenda ile mbaya,Nikuweke kwenye himayaa yani nitakupa hata hela ya vocha mkuuu
Brooo hata mm nautafuta huo wimbo khadija kopa alikua anakuja kwetu tabora lakini mm sasa ivi naishi oman lakini bado nampenda mm yng
Nakuita TX wang uje hapa
Nimekuja huku baada ya JAMBO NA VIJAMBO.
Thanks khadija I love you so much.i love this song so much,please can u make remix with zuchu 🙏👌.am listening in 2021
Safi bi Khadija kopa
2020 watching from Dubai
Imeweza
Nimekua nikijua huu wimbo umefungiwa. kipindi kile erotic writings ilikuwa taboo.
Santhaa mumy 🥰🥰🥰👌👌👌
Hataree!
Nice song
, thanks,
jamani yani this is momryline ,nakumbuka ulipigwa marufuku na mwinyi wimbo huu ,plz weka za nasma kidogo ❤❤tanamani nikuite ewe wangu mfumbazi nimepate kuku veyote wanginewe hawezi 😗😗😗😗
Mi Nautafuta ule Nipe nipe raha mtoto wakitanzaniaaaa nipe nipe raha mtoto niweke kwenye himaya Alikuwa khadija kopa ila chini ya T.O.T band yani niki upata huo wimbo nitampa mtu hata elf 30,000 ya vocha my friend ,ukiupata nicheki 0679930-776 plz my friend
🤣🤣🤣🤣 Nusu Kaputi Wazimia,Je Full Kaputi Si Icu Jamani, 🤣🤣🤣 Santa Madam Kopa.
🤣🤣🤣🤣
@@salomewandya7257 🤣🤣🤣🤣 Mbona Umecheka Sana Swahiba.
😍😍🥰🥳🥳🥳🤐🤐🤐
👩👧👧💯
Nipasue nipasue