NI KUFURU MJENGO WA NANDY NA BILLNASS, NSSF WAFANYA KWELI WAWAPA MJENGO BURE BILA SENTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #uhondotv #uhondo

ความคิดเห็น • 30

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 ปีที่แล้ว

    Yan kweri tz ariokuwa nazo ndio pesa ndio anaenderea kuzipata,hariokuwa hana ndio hanakosa kabsaa hii ndio tz mifumo mibovu

  • @rigobertraphael2594
    @rigobertraphael2594 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnakwama nyie kwann mmempatia huyo hizo pesa mbona wapo wengine wanachama wasiona pesa

  • @aishalucas3502
    @aishalucas3502 2 ปีที่แล้ว

    Ok walikuja juz kazin sikuelewa wamekuja kufanyaje

  • @rukiamohamedi6835
    @rukiamohamedi6835 2 ปีที่แล้ว

    Watu tunakufa njaa nyie mnachezea Ela dah 😭😭

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 2 ปีที่แล้ว +4

    Pongezi kwao, wenye mijengo tupo wachache mjini 😂😂 Nakushukuru tu Allah 🙏

    • @mohamedaden5881
      @mohamedaden5881 2 ปีที่แล้ว

      Kweli ndugu yangu alhamdulillah

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamedaden5881 mnawezaj jmn😅😅🤦

  • @cathelinemanyara4670
    @cathelinemanyara4670 2 ปีที่แล้ว

    Mjengo ni wa Nandi ndoa j mosi mara wameshajenga na mabaunsa wa nan

  • @khadijarashid3926
    @khadijarashid3926 2 ปีที่แล้ว +5

    Raman za kizaman

    • @sumayaishengoma4543
      @sumayaishengoma4543 2 ปีที่แล้ว

      Zipo sehemu gani?

    • @williamkavishe397
      @williamkavishe397 2 ปีที่แล้ว

      Mambo ya dunia ya kupita tu heri hiyo hela wangepewa maskini ambao hawana hata nyumba wengine wananyeshewa na mvua wengine hata dawa Hakuna wengine wanasumbuliwa na hata mafao yao

    • @ussenemunalaga2558
      @ussenemunalaga2558 2 ปีที่แล้ว +1

      Watu na wivu wao. Hongereni

    • @sadasaid4408
      @sadasaid4408 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa kama kambini

    • @aishalucas3502
      @aishalucas3502 2 ปีที่แล้ว

      hujaingia ndani upaone wewe ndo maana unaongea ivoo pazuri saana mm nafanya kaz humo

  • @marthagodson4447
    @marthagodson4447 2 ปีที่แล้ว +2

    Baada mlipe watu hela zao matoazawad

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 2 ปีที่แล้ว

    Ranani haijalishi nyumba ni nyumba tunakoishi Mungu anajua hizo zinajengwa na NSSF kumiliki mpk miaka 15, hazinaga kodi kubwa!! Kama National housing tu!!
    Wataamua wakae wapi

    • @zainabmapezi5730
      @zainabmapezi5730 2 ปีที่แล้ว

      Wanajichanganya Hawa. Binnasi alikopa kabla hahaha. Hajapewa bure.

    • @zainabmapezi5730
      @zainabmapezi5730 2 ปีที่แล้ว

      Kabla hajaoa alikopa.

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulation

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 ปีที่แล้ว

    Nyumba za

  • @fransiskababyqueenmadimpoz148
    @fransiskababyqueenmadimpoz148 2 ปีที่แล้ว

    Wanajenga nyumba yao

  • @rashidyahya6904
    @rashidyahya6904 2 ปีที่แล้ว +1

    Sija fahamu jaman mie nme sikia kodi laki 5 kwa mwezi alaf apo kwenye umiliki baada ya miaka 15 ina kuwaje maelezo nisaidieni mlio elewa 🙇‍♂️🙇‍♂️

    • @zawaditamari9752
      @zawaditamari9752 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @alidamgeni7051
      @alidamgeni7051 2 ปีที่แล้ว

      Nyumba zima analipa laki tano

    • @rashidyahya6904
      @rashidyahya6904 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wame sema baada ya miaka 15 jengo lina kuwa la kwako

    • @adamsonizoka9967
      @adamsonizoka9967 2 ปีที่แล้ว

      @@rashidyahya6904 unalipa asilimia kumi halafu pesa iliyobaki unalipa ndani ya miaka 15 ukimaliza mjengo unakuwa wako.

    • @rashidyahya6904
      @rashidyahya6904 2 ปีที่แล้ว

      @@adamsonizoka9967 owk iyo asilimia 15 ni ngapi na kila mwezi ni ngapi