Nyimbo za kuabudu tulizokulia. Namtukuza Mungu kwa huduma yako @Jackson Benty. Playlist hii imenibariki sNa. Nmekumbuka those days at Elerai EAGT na ulivyokuwa unakuja Calvary Temple Arusha kwa ibada za jioni. The songs are still fresh and the anointing of God is still upon them. May God bless you all
Hizi nyimbo za kuabudu zinapenye mpaka ya moyo.Ikiwa hizi nyimbo zina Utukufu huko mbinguni sijui ikoje siku ya kuimba wimbo wa Musa na Mwanakondoo,natafakari sana ni uzuri wa ajabu sanaaa
Nafurahia kuzisikia hizi nyimbo tena
Yessss lord unastahili wewe bwana mtakatifu hallelujah when praise goes up his grace come down,,,,
Ameen Ameen