SOMA DUA HII KUKIFUNGUA KITANDA CHAKO KUMBE HATA VITANDA VINAROGWA (IMAMU MOHAMED MALINA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @KasimuMikingi
    @KasimuMikingi 9 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli, kwa mafundisho haya tuna faidika sana, Allah akufanyie wepesi katika kila zito na akuhifadhi na akukubali wewe na sisi tuzidi kufaidika.

  • @destineluna5768
    @destineluna5768 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @KhadijaRashidi-q1q
    @KhadijaRashidi-q1q หลายเดือนก่อน

    😢wallah nmejikuta natokwa machoZ Allah akulipe kherii yanatutesa sana haya mambo inshaallah 🤲 tunafanyia kaz Allah atyongoze tuwe n wenye kunfuata yeye tu inshaallah

  • @Mombasamatatugallery
    @Mombasamatatugallery หลายเดือนก่อน

    Allah akupe nguvu afya na umri

  • @BallethSalha
    @BallethSalha 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Shekh Allah akupe afya na umri mrefu shukran sana

  • @KuruthumSeif
    @KuruthumSeif 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

  • @saidmatondo909
    @saidmatondo909 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkuu akutiye nguvu shehe wetu

  • @naimajuma3577
    @naimajuma3577 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran JazakaAllah kheira

  • @RahmaMdoe
    @RahmaMdoe 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana shekhe

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 5 หลายเดือนก่อน

    MBONA KWELI wallah SubhannaAllah

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @MaryamNassor-l7y
    @MaryamNassor-l7y 6 หลายเดือนก่อน

    shukran 𝚜𝚑𝚎𝚔𝚑e tunasoma ilaubaya upo

  • @habibaabass2922
    @habibaabass2922 หลายเดือนก่อน

    Jazaakallahul khair sheikh alla akulipe kheri

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam alaikum shekh Mungu akubariki una mafundisho mazuri sana yameniponya

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 5 หลายเดือนก่อน

    Asalaam Alykum warahmatullah wabarakatuh shukran Sheikh..Naomba No yako..

  • @MariamSalum-f3s
    @MariamSalum-f3s 6 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaiku' warhmatulhah wabarakatuh leo nimeingiya kwenye mtari wako nikakufata shekh Allha akulipe yote umeongeya. Nimejikuta ndo magonjwa yangu nimeishi emo myaka sina wakunielewa wala kunisikia nilikuwa mfanya biashara ila nimefeli nimekuwa wanyimbani na hakuna ninaye mliliya anisaidiye pia na sukar inaniasir shekh

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb 6 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. mazbut wallah,,,napata faida wallah. Allah akulipe fiidunya wal aakhera

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe naomba namba yako

  • @BagesiAshi
    @BagesiAshi 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuunga mkono kwasasabab unayoyasema nayaelewa anaepuuza anahasara

  • @KuruthumSeif
    @KuruthumSeif 4 หลายเดือนก่อน

    Shehe Nina shida ila nikipiga namba zako hupatikani

  • @YusufuNgereza
    @YusufuNgereza 6 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum warahmatullah, shekh mm mguu waniuma sehem ilio karib na vifundo vya mguu nifanyeje

  • @mrkassim-zw1vy
    @mrkassim-zw1vy 6 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum ya shekhe tunaomba ujitahidi kuwakaribu na vinasa sauti usikivu wako unakuwaga mbaali sana husikiki inavotakiwa sauti ikombaali ktk video zako shekhe wetu

    • @imamumohamedmalina6995
      @imamumohamedmalina6995  6 หลายเดือนก่อน

      Wa alaykum ssalaam warahmatullahi wabarakatuhu sawa shukran jaziira kwa ushauri nitajitahidi in shaa Allah

  • @gilliansimon8517
    @gilliansimon8517 หลายเดือนก่อน

    Ndio kabisa eeh