Suala linalohusu Utume wa Muhammad, Mtume wa Waislamu limekuwa likiibua maswali fikirishi kwa watu wanaoamini kuhusu uwepo wa Mwenyezi Mungu na Manabii wake. Karibu katika mjadala wa leo.
@@brightzone.kwanza huwa wanasema kumbukumbu la torati sio torati yenyewe bali ni kumbukumbu tu hii yote kuna wakati vichwa vinafuta kumbukumbu wanaitegemea tena biblia yani hawa watu wanatapatapa kila kona
@@khatibal-zinjibari6956 ipo mingi sana hata katika kitabu cha henoko kilichotolewa kijanja katajwa sana,infact biblia yote na vitabu vyote vya agano la kale vimamuongelea na kumuhusu yesu muhammad hayupo kwenye biblia anakwambia yupo ni muongo sana
Kabla ya Uislam yaani wakati wa ujahilia, mbogo amesoma mwenyewe maneno hayo. Hiyo ni hoja nyingine, kumbe Uislam haukuanza tangu Adam kama wanavyodai Waislamu
Quran 61:6 “Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!” Atokee Muislamu mmoja anioneshe hilo jina la Ahmed kwenye Biblia.
Halafu Huyu Daniel hajui Maana ya Neno Mkataba? Mkataba NI makubaliano, kwaio Ukitaka Muhammad alazimishe cheo chake Kwa Watu wasiomkubali utaondoa Maana ya Neno Mkataba.
Nyinyi Wakristo kila siku mnapiga kelele njooni kwa Yesu njooni kwa Yesu, Kwani sisi Waislamu tunamkataa Yesu, ndani ya Quruani details za Yesu na familia yake ni kubwa kuliko iliyomo ndani ya Bibilie, utapata bishara yake ya kuja kabla haja zaliwa, mama yake alipo mjia Roho Mtakatifu akampulizia Roho ya Mungu Mariamu akashika mimba ya Yesu, halafu uchungu wa kumzaa na baada ya kumzaa halafu Mwenyezi Mungu akamuamrisha atingishe shina la mtende zikaanguka tende akazila kusudi aondoe njaa yake halafu pia akamjaalia kijito kidogo cha maji kusudi anywe …. etc itaikuta storia hii kwenye surat Maryam 19: 16-34 na kwenye surat alii-imraan 3:33-56 utapata ukoo wa Yesu kwa upande wa mama, babu yake na bibi yake na miujiza ya Yesu mwenyewe ya kufufua watu na kuponyesha wa gonjwa yote hiyo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Nyinyi Wakristo ni wapinga Kristo number (1) lakini hamjijui, kivipi? Mumemzulia Yesu uwongo, mnadai kama yeye ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu at the same time na hamna dalili yeyote ndani ya bibilie kama Yesu mwenyewe alisema hivyo
Nimesikiluza hoja za Mwalimu Daniel na hoja za shekhe mbogo, nimejikuta na cheka. Shekhe mbogo unachojibu ni tofauti na hoja alizo jenga Mwalimu Daniel. Kuhusu Yesu Kristo hakuna sehemu uliyo ainisha kuwa Yesu Kristo siyo Nabii wa Mwenyezi Mungu. Mbogo unachekesha sana na katika hili hauna hoja za kumjibu Mwalimu Daniel.
Kumbukumbu la torati 34:10 inasema "Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa". Hii inathibitisha mtume kama Musa atatoka nje ya Israel (kumbukumbu la torati 18:18 ).
Mwenyezi Mungu ndiye aliemtuma Nabii Mohammed, na aya nyingi kwenye Quruani zinathibitisha hivyo, ila kwa wale wabishi kama Danieli na Ndacha na vikosi vyao ndio wanao takabari kwa kukubali hilo, someni aya hizi: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu al_fatH 29 Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. --as_saff 9
@ Wewe hukusoma aya hiyo nilio itoa kama Muhammad katumwa kwa watu wote, bora nikurushie tena na nikuongeze nyekine labda utafahamu: Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote. --al_a`raaf 158 Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote. --al_anbiyaa' 107
Mwalimu Daniel unanishangaza,mbona unasoma aya ndani ya qurani ambayo ameshushiwa nabii ambaye humuamini,kama humuamini Muhamad sww,basi usisome kitabu alichopewa maaana yeye si nabii..unatuchanganya,unasoma ndani ya qurani kwamba Mungu amemchagua Mussa kua nabii,unaikubali aya hiyo kama hoja kisha unampinga huyo aliyepewa kitabu hicho?
Kwa sababu Quran ina copy yale ya kwenye Biblia. Je jina Musa likianza kuonekana kwanza kwenye Biblia au Quran? Bila shaka ni kwenye Biblia. Quran 26:196 inasema imenukuu Suhuf Ibrahim na Musa
@@BAYYINATDMTVtukubaliane naio akili yako sawa Qur-ani imekopi,lkn biblia si imekamilika?sasa mbona unaacha mafundisho mama (biblia)unaenda kukot kwenye copy (Qur-ani )??
Makureshi walimkataa Muhammad siyo mtume, wakamwambia afute neno mtume wa Mungu kwenye mkataba, Muhammad akafuta yeye mwenyewe. Na ni vitabu vyenu vinabainisha hayo. Daniel hana hoja kivipi, tufafanulie.
Shida yako Danieli unasoma vitabu kabla hujaelewa badala ya kuuliza maana yake ukafunzwa,wewe unafundisha watu. Sasa yafaa ufundishwe ndio ukosowe laa sivyo wewe utapoteza watu na wewe mwenyewe pia.Ndiio tunasema nyinyi ni wapotoshaji ole wenu musipo tubia.
Hapa nimepotoshs nini? Je alipoambiwa futa kwamba yeye ni mtume hakufuta? Mnona Allah hakumsaidia kama nikivyosoma kwa wengine akina Musa na Eliya ndani ya Biblia?
Acha kujitoa ufamaham( Muhammad anajisemea mwenyewe kwamba Yeye ni mtume, shahidi Mungu wake) mwamposa akisema mtume hamtaki Ila Muhammad akisema mnamuamini Next topic iwe kati ya mwamposa na Muhammad nan mkweli 😢
Kumbukumbu la torati 18:18 inamuhusu nabii Mohammad na kumbukumbu la torati 18:15 inamuhusu Yesu.
Umesoma na kuelewa au umesikia uongo unakuja kuandika hapa blaza.
Muhamad hayupo hata aya moja katika biblia
@@brightzone.kwanza huwa wanasema kumbukumbu la torati sio torati yenyewe bali ni kumbukumbu tu hii yote kuna wakati vichwa vinafuta kumbukumbu wanaitegemea tena biblia yani hawa watu wanatapatapa kila kona
@@jeanmusamba8448Na Yesu hakuna mstari hata mmoja kwenye Agano la Kale la Biblia.😂
@@khatibal-zinjibari6956 ipo mingi sana hata katika kitabu cha henoko kilichotolewa kijanja katajwa sana,infact biblia yote na vitabu vyote vya agano la kale vimamuongelea na kumuhusu yesu muhammad hayupo kwenye biblia anakwambia yupo ni muongo sana
Kabla ya Uislam yaani wakati wa ujahilia, mbogo amesoma mwenyewe maneno hayo. Hiyo ni hoja nyingine, kumbe Uislam haukuanza tangu Adam kama wanavyodai Waislamu
Quran 61:6
“Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!”
Atokee Muislamu mmoja anioneshe hilo jina la Ahmed kwenye Biblia.
@@brightzone. Ahsante kwa Aya lakini vile vile atokee Mkiristo atuoneshe jina la Jesus kwenye Agano la Kale.
@
Isaya 49:6
Onesha Jina la Muhammad kwenye Biblia.
Halafu Huyu Daniel hajui Maana ya Neno Mkataba?
Mkataba NI makubaliano, kwaio Ukitaka Muhammad alazimishe cheo chake Kwa Watu wasiomkubali utaondoa Maana ya Neno Mkataba.
MAKAFIRI NA WAISLAM
Makafiri walikuwepo zama za Mtume Muhammad (pbuh) ambao walikataa Qur'an. Pia Makafiri wapo Tanganyika na Zanzibar.
Kimsingi quran ni maneno ya Muhammad tu, siyo ya Mungu. Kwahiyo haiwezi kutumika kama reference kwenye mijadala ya utume wa Muhammad.
@@daudimichael7338 Kimsingi hakuna neno la Mtume Muhammad (pbuh) kwenye Qur'an.
Waislamu wacheni unafiki mnasema biblia si kitabu cha Mungu na mara mnasema biblia imetabiri Mohammed
Hawajielewi kabisa
Uislam ni msiba, inangoja kuzikwa tu
Mandiko yaka siku za mwisho kila lililofichwa litajulikana waislam muda umekwisha njoni kwa YESU
Nyinyi Wakristo kila siku mnapiga kelele njooni kwa Yesu njooni kwa Yesu, Kwani sisi Waislamu tunamkataa Yesu, ndani ya Quruani details za Yesu na familia yake ni kubwa kuliko iliyomo ndani ya Bibilie, utapata bishara yake ya kuja kabla haja zaliwa, mama yake alipo mjia Roho Mtakatifu akampulizia Roho ya Mungu Mariamu akashika mimba ya Yesu, halafu uchungu wa kumzaa na baada ya kumzaa halafu Mwenyezi Mungu akamuamrisha atingishe shina la mtende zikaanguka tende akazila kusudi aondoe njaa yake halafu pia akamjaalia kijito kidogo cha maji kusudi anywe …. etc itaikuta storia hii kwenye surat Maryam 19: 16-34 na kwenye surat alii-imraan 3:33-56 utapata ukoo wa Yesu kwa upande wa mama, babu yake na bibi yake na miujiza ya Yesu mwenyewe ya kufufua watu na kuponyesha wa gonjwa yote hiyo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Nyinyi Wakristo ni wapinga Kristo number (1) lakini hamjijui, kivipi? Mumemzulia Yesu uwongo, mnadai kama yeye ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu at the same time na hamna dalili yeyote ndani ya bibilie kama Yesu mwenyewe alisema hivyo
Dah ukristo kuutetea ni kazi kubwa aise
Nimesikiluza hoja za Mwalimu Daniel na hoja za shekhe mbogo, nimejikuta na cheka. Shekhe mbogo unachojibu ni tofauti na hoja alizo jenga Mwalimu Daniel. Kuhusu Yesu Kristo hakuna sehemu uliyo ainisha kuwa Yesu Kristo siyo Nabii wa Mwenyezi Mungu. Mbogo unachekesha sana na katika hili hauna hoja za kumjibu Mwalimu Daniel.
Inaonekana masikio yako yana makengeza
Debate haihusiani na unabii wa Yesu, inahusiana na utume wa nabii Mohammad.
Kumbukumbu la torati 34:10 inasema "Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa". Hii inathibitisha mtume kama Musa atatoka nje ya Israel (kumbukumbu la torati 18:18 ).
Unaota sana - Zinduka blaza.
Soma 18:20 kumbukumbu la Torati- Ndio hapa Muhammad yupo.
18:15 inamuhusu Yesu na 18:18 ni nabii Mohammad. Inakaziwa na 34:10. Ukisoma bila mihemko ya kishabiki na Kwa kuiruhusu AKILI kutafakari unaelewa vzr.
Yesu mnamwita Mungu mkuu, JE na Musa ni Mungu?.
Nje ya Israel sio Saudi Arabia tu. Kuna China na Africa Pia kulikuwa na Watu.
Maelezo yake wana Ukweli na Uongo kwa lengo la Kupotosha Kondoo badala ya kuwaongoza kama ilivyofanya Yesu (pbuh) aliyetumwa na Allah.
Onesha ya uongo hapa
Daniel mfundishe huyo hajui maandiko
Wana watumikia wa rumi, hawawezi kubanduka maana waneweza kukosa kazi, hawo ni bala
Hivi hizo hadithi zimeandikwa na nani na zipo ngapi ?
Mwenyezi Mungu ndiye aliemtuma Nabii Mohammed, na aya nyingi kwenye Quruani zinathibitisha hivyo, ila kwa wale wabishi kama Danieli na Ndacha na vikosi vyao ndio wanao takabari kwa kukubali hilo, someni aya hizi: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu al_fatH 29 Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. --as_saff 9
Kama Muhammad alitumwa na Mungu ni kwamba alitumwa kwa Waarabu waQuraish ambao walikataa Ukristo na Wakaendelea kuamini Masanamu yao.
@ Wewe hukusoma aya hiyo nilio itoa kama Muhammad katumwa kwa watu wote, bora nikurushie tena na nikuongeze nyekine labda utafahamu: Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote. --al_a`raaf 158 Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote. --al_anbiyaa' 107
Mwalimu Daniel unanishangaza,mbona unasoma aya ndani ya qurani ambayo ameshushiwa nabii ambaye humuamini,kama humuamini Muhamad sww,basi usisome kitabu alichopewa maaana yeye si nabii..unatuchanganya,unasoma ndani ya qurani kwamba Mungu amemchagua Mussa kua nabii,unaikubali aya hiyo kama hoja kisha unampinga huyo aliyepewa kitabu hicho?
Kwa sababu Quran ina copy yale ya kwenye Biblia. Je jina Musa likianza kuonekana kwanza kwenye Biblia au Quran? Bila shaka ni kwenye Biblia. Quran 26:196 inasema imenukuu Suhuf Ibrahim na Musa
@@BAYYINATDMTVNa Yesu amekopi kwenye Agano la Kale.
@@BAYYINATDMTVtukubaliane naio akili yako sawa Qur-ani imekopi,lkn biblia si imekamilika?sasa mbona unaacha mafundisho mama (biblia)unaenda kukot kwenye copy (Qur-ani )??
@@BAYYINATDMTVvipi khs wale manabii tunaowaona saivi katika ukristo akina Mwamposa na wengine wale ni manabii au nimitume kwa mujibu wa biblia?
Jamani achaneni na hao wakrsto hamna elim ya kupambana nao
JEHOVA ALIKUWA WAPI?
Jee Mungu wenu Jehova alikuwa wapi mtoto wake wa pekee wakati Makafiri walipotaka kumsulubu?
Kweli umekosa haja Daniel
Makureshi walimkataa Muhammad siyo mtume, wakamwambia afute neno mtume wa Mungu kwenye mkataba, Muhammad akafuta yeye mwenyewe. Na ni vitabu vyenu vinabainisha hayo. Daniel hana hoja kivipi, tufafanulie.
@@daudimichael7338Aliyosoma kwenye vitabu ni sawa lakini maelezo ni ya kweli na upotoshaji.
Shida yako Danieli unasoma vitabu kabla hujaelewa badala ya kuuliza maana yake ukafunzwa,wewe unafundisha watu. Sasa yafaa ufundishwe ndio ukosowe laa sivyo wewe utapoteza watu na wewe mwenyewe pia.Ndiio tunasema nyinyi ni wapotoshaji ole wenu musipo tubia.
Hapa nimepotoshs nini? Je alipoambiwa futa kwamba yeye ni mtume hakufuta? Mnona Allah hakumsaidia kama nikivyosoma kwa wengine akina Musa na Eliya ndani ya Biblia?
Mbona mtume amejibu mwenyewe kwenye mkataba, tafuta hoja Daniel acha chuki silimu
Bishana tu na hilo aubujahel kafiri linachuki na mtume urafikiri kamuibia
Daniel huwa hakurupuki anasoma vitabu nazani msibikatae hivyo vitabu
Utume wa nabii muhammad upowazi ktk taurat na injili wala hakunashaka yoyote❤
Endeleeni kudanganyana ivyo ivyo namaandiko yenu yakuunga unga yani yesu hatabir takataka mudi uyo ninabii wa uwongo ndowale yesu alisha tupa taazari
Acha ujinga ww, utume kapewa na mke Wake pmj na padri, soma kitabu chako vzr
𝐔𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐚𝐲𝐚 𝐤𝐭𝐤 𝐭𝐨𝐫𝐚𝐭𝐢 𝐭𝐮𝐢𝐬𝐨𝐦𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐦 𝐛𝐢𝐧𝐚𝐟𝐬𝐢 𝐭𝐚𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐦 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐚𝐝 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐭𝐞𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐛𝐢𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐖𝐚𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨 𝐭𝐮𝐤𝐨𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨
Acha kujitoa ufamaham( Muhammad anajisemea mwenyewe kwamba Yeye ni mtume, shahidi Mungu wake) mwamposa akisema mtume hamtaki Ila Muhammad akisema mnamuamini
Next topic iwe kati ya mwamposa na Muhammad nan mkweli 😢
Muhammad hana sifa ya kuwa kwenye biblia
Danieli elimndogo ata yesu aliponyweshwa sum aina ya sifongo mungu alifanyanini?😂
Sifongo ni sumu?