PART46:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว +3

    Zabron ametufurahisha sana jamani kwa hivyo tumfanyie kitu ajisongeze mbele kimaisha zaidi akuze kipaji chake and God will bless us. . alafu zabron nawe uache mambo ya nguvu za ngiza pliz na mungu atafungua milango ya baraka na hakuna atakaye ifunga.....🔜

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +8

    Zabron ana kumbukumbu sana yaani anakumbuka kila hatua.

  • @swaifasaid1742
    @swaifasaid1742 4 ปีที่แล้ว +1

    davister sijui mnalala saa ngap.aisee polen sana mungu awasimamie

  • @angelmilele4730
    @angelmilele4730 4 ปีที่แล้ว +2

    Ikiisha naanza na moja nimwikubali Sana iyo sťoly

    • @dashyajulius5513
      @dashyajulius5513 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmechekaaa ka mwehu mbona kuanza moja tena

    • @angelmilele4730
      @angelmilele4730 4 ปีที่แล้ว

      @@dashyajulius5513 hahhhahhh wamejua kutuwwza

  • @momyusuf7731
    @momyusuf7731 4 ปีที่แล้ว +3

    Kaka davistar mwambie gamboshi akusaidie kushika hicho kipaza sauti please

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว +1

      Gamboshi nani tene mbone makosa heshima

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 4 ปีที่แล้ว +2

    ma sha Allah..nitakuja tz kwa ajili ya zabron

  • @mkzoose5266
    @mkzoose5266 4 ปีที่แล้ว +1

    kumbuka vizuri

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri kaka zabron Mungu mkubwa

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 4 ปีที่แล้ว +3

    UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +7

    Sasa mganga si alikuchanja dawa mbona shida aziishi???😂😂😂😂😁😁😁😁yan kila siku shida mpyaa wanawake wapyaa maangaiko mapyaa kila siku ...akuna awezae kumbariki mwanadamu zaidi ya Mungu...sasa kazi kwenu mnao wafata waganga kazi kwenu...yyte aendae kwa mganga ajue ameingia kwa shetani na amemkana Mungu mana ameona Mungu awezi peke yke ndio maana ukamfata mganga..msisaau Mungu anaga mshirika ktk kazi zke

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah nmekua wa kwanza🏃‍♀️🇪🇭🇪🇭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      Hongera Aysha 😍😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      Wajulia kama london😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      Kilasku ww ndo w kwanza💖💖💖

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      Bendera yuuuu🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Hongera. 😍😍😍😍

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe unapenda watoto wakalii wakati mtu huangalia tabia mambo mengine badae😂😂😂😂

    • @jessybaraka5636
      @jessybaraka5636 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana kwamisukosuko za maisha ama kwali mwanadamu hupitia mambo mengi ila wewe kwakeli mungu anakusudi na wewe kaka..na pia nigeombo iniambie hayo mafuta yarasta kwani umesema yanakuza rasta haraka hebu tutajie yanaitwaje nasi yatusaidie kaka rasta..

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawew ulikuwa nanyota ya mwangaxa mana kila mwanamke unaempata anakushikishaa pochi nene😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 4 ปีที่แล้ว

    Kofia.,msivae Tena...zinaziba uso...mpiga picha kajitaidi hajaacha nafasi kubwa juu...

  • @lightjewel6119
    @lightjewel6119 4 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali Zablon nijibu swali moja, Nawezaje kujua sina kimvuli bila kwenda kwa mganga?

    • @aishahassan9812
      @aishahassan9812 4 ปีที่แล้ว

      Nenda kwenye ukurasa wake wa fb atakuona harak
      Kwa swal lako

    • @bonifaceandrea695
      @bonifaceandrea695 3 ปีที่แล้ว

      @@aishahassan9812 we umejuaje kama huna

  • @asiaside9558
    @asiaside9558 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo katupia Zabron

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ukiwa na shigongo ulikuwa na laki sita ulizipeleka wapi mpaka unakosa nauli?

  • @salmajumanne8914
    @salmajumanne8914 4 ปีที่แล้ว +1

    Mapema sana

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana simulizi yako Zabron from kenya

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu!!! Nakuona Mr Zablon umetimga toper I say

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว +1

    And in all circumstances life must continue so look forwad for a better start......

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 ปีที่แล้ว +2

    ZABRON MBONA HAPO UNATAKA KUNICHANGANYA, UMESEMA ULIPO FIKA MANGO GARDEN KUONANA NA SHIGONGO ULIKUA NA LAKI SITA, HUKAMALIZA HATA WIKI DAR UMEKOSA NAULI. ULITUMIAJE LAKI SITA

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwamba hamjawaona hao watoto walioanza kucheka cheka na kucheza baada ya kuona camera😅😅😅 4:17

    • @tenkeytz
      @tenkeytz ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @stivenmgonja5908
    @stivenmgonja5908 4 ปีที่แล้ว +2

    Zabron leo kapigilia kinyamweziii mbaya😁😁

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว

    Dev mungu Hakubari mdogo wangu kwa Elimu hii kwenye kipindi chako namini wengi tunajifuza vitu vingi kupitia Kipindi chako

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo umemetisha mzee wa misosi

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee baba hana siri ukipendana nae atakutaja kwenye stori zake 😂😂😂😂

    • @emmanelly6864
      @emmanelly6864 4 ปีที่แล้ว

      Hapo sasa!

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa, 🤣🤣🤣🤣

  • @kurwpaul1134
    @kurwpaul1134 4 ปีที่แล้ว +2

    Good story 🤔🤔

  • @aminamrope1797
    @aminamrope1797 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah watu wapo haraka sana. Ila sijachelewa sana✌️✌️🥰🥰

  • @zaitunichibako1214
    @zaitunichibako1214 4 ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza Leo nmewahi stori nzuri ii

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 4 ปีที่แล้ว +1

    NA kukubali habibi

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanji wanji 2nasololea mastory

  • @meckylucy215
    @meckylucy215 4 ปีที่แล้ว +5

    Leo Nimewah

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 4 ปีที่แล้ว +3

    Aysha na pili njoon vipenz vyangu

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +2

      Nmefkasaaahiii shkuran 😍😍😍😍😍😍

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Ndiyo nimefika kipenzi changu. Asante

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzao ni kiswahili cha kanda ya ziwa.sio pwani

  • @azizamohd5728
    @azizamohd5728 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista nzao neno la kawaida tu unafupisha badala ya kusema nna watoto sita unasema nzao ya sita

  • @aliaalooya3896
    @aliaalooya3896 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo zabron umependeza mashallah

  • @williumgeofrey9587
    @williumgeofrey9587 4 ปีที่แล้ว +9

    Naombeni likes zenu wadau

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 ปีที่แล้ว

    Kwani vip dm leo unasinzia au?

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Wake zawatu nao wanatabia yan unamumeo tena mgeni amekuja unamtega tegaa😄😄😂🤣🤣🤣wanawake tuna tabu kweli

  • @maznaz3591
    @maznaz3591 4 ปีที่แล้ว +5

    Na mara yako ya kwanza kwenda dar ulienda cocobeach kuogelea sasa inakuaje kuwa mara ya pili kuoga baharini unasema ndio mara yako kwanza

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Embu msikilize vzr..kasema alishaenda dar ila kibiashara na akuweza panda panda tren mala ya kwanza alipanda gari..

    • @kareemalamoody6345
      @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo gambosh si pati kwa ramani

  • @babeshiblenden5075
    @babeshiblenden5075 4 ปีที่แล้ว

    Sema kiukweli davista stor ikiwa ndefu sana inanifanya niwe mvivu ,tushazoeaga part 1 part 2 imekwisha hii ngoja 47 inakataa🤣😂😂

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 4 ปีที่แล้ว +2

    Zablon nakubali na hiyo cheni shingoni

  • @florencerose859
    @florencerose859 4 ปีที่แล้ว

    Baado tuko mamoja🙏mpaka mwuisho

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว +1

    We need to know the current situatin.......

    • @liliankemuma9475
      @liliankemuma9475 4 ปีที่แล้ว

      He's appealing for donations to enable him open studio

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo Zabron kavaa pete ya ndoa.Poleni wadada mlioanza kummezea mate.😜😜

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ww ndo umeiona leo?? Hata mie ipo siku ntakuja kufanya kipindi apo...mtanimezea mate hadi mkomeee

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 Ukitaka wadada wakuchukie we vaa pete ya ndoa tu! Utasikia kaka mwenyewe mbayaaaa!

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@abbyadams8691 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe sio mbayaaa

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว

      pete haizui kitu iyo 😀😀😀😀

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijaomari9344 Wacha weee! Kumbe mme wa mtu si sumu bali ni maziwa au!! 😲😲

  • @felistambwale2687
    @felistambwale2687 4 ปีที่แล้ว

    Kwann usimpe maik ashike mwenyewe huchoki mikono?

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzeee Babaaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Mwanaume mwanaume tuuu hataukaekewaa wanawake 100 uchague moja utachagua lkn bado utarudi nyuma uazee kuvizia hao 99 manayangu eti unasema bint mxuri anamshinda Angle wanaume kazi mnayo

  • @josephineasiza7888
    @josephineasiza7888 4 ปีที่แล้ว +3

    Zabloon unatesa

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 4 ปีที่แล้ว +2

    We are waiting part 47😁😁😁😁😁😁

  • @tonywambua9505
    @tonywambua9505 4 ปีที่แล้ว +1

    Mambo Safi Niko ndaaaani

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว +1

    zabron umenisahau nipo khadija hapa 😀😀😀😀😀

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani wanawake mtu kaja kufatilia michongo ya hela yeye anatoa ahadi za kwenda bichi ili azitafune hahahaaaaaa

  • @popoali6641
    @popoali6641 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista maswali kweli

  • @sharonmwanza1810
    @sharonmwanza1810 3 ปีที่แล้ว

    Zabron leo uko smart sana

  • @sheikhaalmandhari125
    @sheikhaalmandhari125 4 ปีที่แล้ว

    Haya twende kazi

  • @aliaalooya3896
    @aliaalooya3896 4 ปีที่แล้ว +7

    Jmn zabron kila demu mzuri🤣

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 4 ปีที่แล้ว +1

    Dereva masai yupo kwenye basi la Ally's star huyu broo ni hatariii

  • @danielmwangi9506
    @danielmwangi9506 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo Zabron hyo label imekutoa sana imeweza👊

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona davista anasoma comments zetu hapo

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว

    Je ulieza kunyoa rastar ?

  • @angelmilele4730
    @angelmilele4730 4 ปีที่แล้ว +2

    Kila dmu ni mkali khaaa we noma

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 ปีที่แล้ว

    Woooooo leo wa 10 lkn namba yako ya.whattta sikuoni

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว

    Woow zablon ume upasua moyo wangu yani hivyo ume piga mzee baba hatari kinyama

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanz leo jmn

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 ปีที่แล้ว +1

    Unahudumiwa kila kitu hizo laki 6 zilishaisha?

    • @pili3750
      @pili3750 4 ปีที่แล้ว

      Ni huzuni kwa kweli😂😂😂

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 ปีที่แล้ว

    safi nimewahi

  • @maznaz3591
    @maznaz3591 4 ปีที่แล้ว

    Naomba nisaidie nifahamu kaka zablon

  • @ndonyekavinga2876
    @ndonyekavinga2876 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar salimia mwana asenali

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Somoe pili Aisha Aiyam Fatma Hamis mimi Nguwalo violine blessed Fm morn sapna cute emmy Nura Shem langu Eric Hussen Neeem malima na wengineo njooooooon mambo tayari💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Asante ndiyo nimefika😍😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 😘😘😘😘😘😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 kitamboooo wngu🤣🤣😋😋😋

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 saaaaana. Hujambo lakini

  • @theunseen.believe5672
    @theunseen.believe5672 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nachukia sana watu wanaokupa masharti eti ndo wakupe msaada.mimi nimefuga rasta ila siwezi kuyanyoa bila hiari ya nafsi yangu,

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂nyie kila mtu wa kwanza wa mwisho nani sasa

  • @victoriakyara8000
    @victoriakyara8000 4 ปีที่แล้ว +1

    Mapema leo

  • @winnyenockwinnyenock6986
    @winnyenockwinnyenock6986 4 ปีที่แล้ว +2

    Zablon umependeza kinoma nakofia

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +4

    Bwana misosi 😂😂😂😂😂😂

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว +1

      Hilo jina haitaki kasema sije ukafungiwa😂

    • @juliusphabian6336
      @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว

      @@rosecruiz4348 😂😂😂🏃🏃🏃

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

      @@rosecruiz4348 Tusha mpa halifutiki🤣🤣🤣🤣

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza

  • @tadeymdota8480
    @tadeymdota8480 4 ปีที่แล้ว +5

    Unamtoa mtu mkoani halafu unakataa kumtafutia pakujihifadhi, hii dunia!!

  • @stivenmgonja5908
    @stivenmgonja5908 4 ปีที่แล้ว

    As usualy mjengoni

  • @tracyangells7595
    @tracyangells7595 4 ปีที่แล้ว

    Nimewahii fastsa👍

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 ปีที่แล้ว

    Yes nakumbuka kipindi hicho kweli tren ilikua c mchezo mabehewa mengine hadi chooni walikua wakijaza mizigo

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 4 ปีที่แล้ว +2

    Zile lak sita zimeishaje mpka ukakossa nauli

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 4 ปีที่แล้ว

      Hii episode Ina contradiction s nyingi tu 😁

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว +2

    Elfu Leila U Leila

    • @hamisimtemi3803
      @hamisimtemi3803 4 ปีที่แล้ว

      asha kuturudisha darasan kiongozi

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 ปีที่แล้ว

    Tupo 1 kak had mwisho wa story

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe jahazi wasukuma wanaita nyangama shika hiyo

  • @rajabumlaluko2897
    @rajabumlaluko2897 4 ปีที่แล้ว +1

    Naam

  • @tynoblack5996
    @tynoblack5996 4 ปีที่แล้ว

    Hatukwami....tuko pamoja

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 4 ปีที่แล้ว

    Nimewahi🙏

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 ปีที่แล้ว +1

    Zablon Kila mwanamke mzr haaahaaaa

  • @shiaochang1335
    @shiaochang1335 4 ปีที่แล้ว

    Un hii ni sizon ya kihindi kwa kweli ila haichoshi

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 ปีที่แล้ว

    Kutafuta pesa hodari naukizipata hodari wamatumizi yani mzee baba unatufurahusha kwakweli

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa 30😃😃😃😃zabron kajua kutunyoosha

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 ปีที่แล้ว

    wale ni chokora?4.30

  • @remigjohn4843
    @remigjohn4843 4 ปีที่แล้ว

    Jiwe juu ya jiwe.

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 4 ปีที่แล้ว

    davistar inaonyesha una ratiba tight maana kama umechoka hivi na kausingizi kana kuwinda..hahaaa

  • @raheemaraheema5453
    @raheemaraheema5453 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmh mzee wamabinti wakiaraabu😜

  • @maznaz3591
    @maznaz3591 4 ปีที่แล้ว +2

    Pesa uloenda nayo dar laki tano imekuaje paka kuchangiwa nauli

  • @mkzoose5266
    @mkzoose5266 4 ปีที่แล้ว +1

    umeshanga safiri namboti utotoni nawele wazee wachawi

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว

    Davix gari enzi hizo zilikuwa zinakimbia kinoma mpaka sasa kuna watu washafungiwa kuja dar mpaka sasa kuna tajiri anaitwa ZAKARIA duh duh gari zinakimbia kama chopa

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupo makini kabisa twasubiri 47 mr fact