'Malaika' mtu aliyempiga 'mungu' wake picha - Dawah kwa Jehova Wanyonyi (Part 2)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 354

  • @dorcasfaith6215
    @dorcasfaith6215 2 ปีที่แล้ว +3

    Akhhh!!!huyu mzee mungu amfungue macho jamani wanyonyi atakuwaje mungu!!!hata anavyo jibu maswali inaonesha hajui anacho sema ame changanyikiwa

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 2 ปีที่แล้ว +8

    huyu mzee.imani yake Kwa wanyonyi ni kubwa Sana, Allah awape subra Sana mashekhe wetu, mpaka aje asilimu dah Kuna kazi kubwa Sana, manake ni mbishi Sana,

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว

      Sana lkn kwa Allah nimadogo anamuongoa amtakae

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 2 ปีที่แล้ว +1

      @@husna34562 kweli kabisa

    • @everlyneiminza5722
      @everlyneiminza5722 2 ปีที่แล้ว +2

      Yani huyu mzee ningekua Mungu ningempa adhabu kali adi uyo wanyonyi hangemtaja tena😏😔😔😔

    • @luluadhara9879
      @luluadhara9879 หลายเดือนก่อน

      Subhannallah unakufuri​@@everlyneiminza5722

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 ปีที่แล้ว +16

    ALLAH awape subra hii kazi ngumu mana jehovah ameingia kwenye nafsi zao ALLAH awaogoze

  • @fenimoreka6017
    @fenimoreka6017 ปีที่แล้ว +1

    Hajajibu maswali, achunge sana Mwenyezi MUNGU sio kakuchezea.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah sheikh Ramadan kurya kwa mafundisho mazuri Allah akupe afya njema

  • @EvansSyengo
    @EvansSyengo 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awafunulie mkombozi wetu masii mkombozi wetu

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว +12

    Allah atupe mwisho mwema sote pamoja na wazazi wetu na vizazi vyetu Allah hummah Amiin

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 2 ปีที่แล้ว +5

    KWELI MULIKUA MUNAFURAHISHA KENYA NA BADO MPAKA SASA MUNAFURAHISHO IN SHAA ALLAH ALLAH AMUONGOWE NA WOTE WANAOMFWATA WANYONYE ALLAH AWAONGOWEE AWAJALIA WAPATR UFAHAMU

    • @fakijuma7549
      @fakijuma7549 2 ปีที่แล้ว

      CORRECTIONS / MUNAFURAHISHA WAPATE

  • @iddyally7228
    @iddyally7228 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam

  • @aliyusuf5957
    @aliyusuf5957 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah hapo ustadh wamepata kazi ngumu ,jamaa haelewi kabisa ..eti yesu babake alikua wanyonyi..dah..!

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 ปีที่แล้ว +26

    Islam is the only true and clean religion on earth and hereafter. Alhamdulillah ya Allah for choosing us this religion

    • @edwinngetich2230
      @edwinngetich2230 ปีที่แล้ว +1

      You're a human approving your religion for your personal ego, God will not judge religion but your deeds and faith in Christ Jesus whose blood will pay for your sins if you believe in Him. Islam is just an identity for self gratification

    • @maherzain615
      @maherzain615 ปีที่แล้ว

      @@edwinngetich2230 where you'll know deeds and faith without religion you are big liar

    • @edwinngetich2230
      @edwinngetich2230 ปีที่แล้ว

      @@maherzain615 on earth, faith and deeds are the key aspects that will determine your afterlife destiny, there is no religion in heaven. But you Muslims believe that being a Muslim is the gateway to heaven. I love the rational Muslims who are open minded, but there are another group of Muslims who are so radicalized about their religion

    • @alextercisio
      @alextercisio ปีที่แล้ว

      That is nonsense

    • @maherzain615
      @maherzain615 ปีที่แล้ว

      @@alextercisio every christian land have more AIDS and some churches allow LGBTQ

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanyonyi pôle sana nyinyi sibaridi wala moto muchaguwe na ili muwe n'a fasi siku ya kiama na lia mimi mungu samehe mwanadamu

  • @jacobwakweika2130
    @jacobwakweika2130 2 ปีที่แล้ว +2

    Am a christian but atleast even these man should be converted to be an Islamic

    • @nida4509
      @nida4509 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @tatujuma8781
    @tatujuma8781 2 ปีที่แล้ว +2

    Waaahh masheikh walahi muna kazi....Allah awape nguvu

  • @tawhidislam4418
    @tawhidislam4418 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah tume barikiwa kua waislamu na inshaa'Allah tuta kufa waisilam. Hyo mzee ana amini wanyonyo, manyonyo hata hai eleweki dunia ina maabo kweli tuta ona mengi, inshaa'Allah Allah awa ongoze katika ukweli wafe na wao ni waislamu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Hayo ni mafundisho ya kipumbavu hayahusiani na mungu

  • @mariamwaabdul773
    @mariamwaabdul773 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah masheikh wetu jamani Mimi n cheka lost Israel haki hao watu jamani ALLAH hatujalie mwesho mwema sote Ameen

  • @abdimohammed3564
    @abdimohammed3564 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 huyo mzee anaongea mpaka anachanganyikiwa. ALLAH awape maisha mema duniani na akhera mashekh wetu

  • @radhiaoman9828
    @radhiaoman9828 2 ปีที่แล้ว +8

    Haki huu ni mtihani Allah atunusuru

  • @drunkardsassociations2507
    @drunkardsassociations2507 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu wamepigwa 10 nil

  • @abuisabwa9074
    @abuisabwa9074 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio daa'wa ya kweli. Mwenyezi Mungu awajaze hikma katika hili.

  • @mufid707
    @mufid707 2 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah kher Sheikh Ramadhan na wezako.
    Allah awalipe kila'lakheri nyote Ameen Ameen.

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 7 หลายเดือนก่อน

    Innalillahi wa innaa ilaihi rajiun 😢😢😢...Subhanallah

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @samuelpaul5733
    @samuelpaul5733 ปีที่แล้ว

    Masheikh wangu Mimi ni mkristo lakini nafurahi Sana mnavo elimisha watu kama hawa Yani huyo Mzee haelw moja wala mbili kafungwa.

  • @oumadanieloduory7849
    @oumadanieloduory7849 ปีที่แล้ว

    Wote wako na shida na hawajuwi Wala kutambua. Tubuni na mgeuke kutoka kwa dhabi. Time is over receive the Lord Jesus Christ of Nazareth the son of the living God

  • @aliyusuf5957
    @aliyusuf5957 ปีที่แล้ว

    Jamaa ywachekesha sana ..

  • @almascomprime1351
    @almascomprime1351 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kwakwelinawapata vizur masheikh wetu ramadhani kuria Allah wape afya jema yakutangaza dini yetu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Awajaarie pepo mashehe zetu mna subra Sana juu ya kulinga IA watu Inshallah

  • @abdallahnyamu
    @abdallahnyamu 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah
    جزاكم الله خيرا....

  • @didahadam9530
    @didahadam9530 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanyonyi mungu awape ufahamu ya rabby

  • @hassanabubakar3001
    @hassanabubakar3001 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ijtihaada zenu. Allah awalipe jana 🥺🥺🥺🥺🇬🇧
    Wooooooooo kumbe kuna watu 🤔🤔🤔🤔 sisemi kitu. Malaika ilyak, 😟😟😟 akili akizeeka kweli ni ngumu 😱😱😱😱😱😱

  • @nyabutosamuelondieki2267
    @nyabutosamuelondieki2267 ปีที่แล้ว

    The more I watch Hawa sheikh wawili the more nahisi kukutana nao. Sijui nifanye aje

    • @nida4509
      @nida4509 2 หลายเดือนก่อน

      Go back to Jesus Christ

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwinngetich2230
    @edwinngetich2230 ปีที่แล้ว

    Wah! Dunia Ina mambo, mungu atuweke katika jina la yesu

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 2 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah ustadh ramadhan kuria Allah azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilinganiya dini ya haki

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 2 ปีที่แล้ว +1

    Watching this from Pemba Island

  • @khalfanmbaroukmohd4943
    @khalfanmbaroukmohd4943 2 ปีที่แล้ว

    Subhaana allah allah awaongoe hao wanaojiita malaika na wanao kufuru

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 2 ปีที่แล้ว +1

    Mhh kazi ipo. Ndugu Ramadhan rafiki zako kazi nzuri mnatenda. Allaah Awape nguvu na afya. Allaah Awaruzuku Ikhlas wadawaman ni'am wahusnal khitam

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanaallah mungu awazidishie mashekhe yaarabi

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 2 ปีที่แล้ว +1

    Ramadhan kwa kweli brother unajitahidi kuwapambania wanadamu

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 2 ปีที่แล้ว

    Yehova wanyoni yaan mfuasi wakahiyp hatar San kweli hapo mnakazi masheikh wetu

  • @jumasiwe3281
    @jumasiwe3281 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo pastor ata ajui kudanganyana

  • @aminaoman2100
    @aminaoman2100 ปีที่แล้ว

    Yarab tujaalie mwisho wako 🤲🤲

  • @frankjuma1854
    @frankjuma1854 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah!eti Mungu anafanana na nabii Musa a.w kisogo.

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 ปีที่แล้ว

    Ustadhi ramadhan kazi unayo 😭😭 Allah akupe nguvu uzidi kuelimisha🤲🤲🇹🇿

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 2 ปีที่แล้ว

    Waaah mungu tusaidie kama mungu si yule wa mbinguni kama haiko kwa bibilia sifuati naona sheikh kuria ameshtuka

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashekh wallahi kazi ngumu Allah atawalipa malipo makubwa

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 ปีที่แล้ว

    Iko kazi asa yaarab Mwenye Enzi Mungu amhidi yaarab amu onyeshe njia ya haqi

  • @ismailponda1269
    @ismailponda1269 2 ปีที่แล้ว

    Ameuelewa uislam ila shetan amemzidi nguvu, mungu atamuongowa

  • @shamimnassor6192
    @shamimnassor6192 2 ปีที่แล้ว +1

    Isay mnafanya kazi na mnajituma sana ALLAH awalipe kheri duniani na akhera

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 ปีที่แล้ว

    Mashekh kazi mnayo
    Allah awafanyie wepesi

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii dunia kumbe kuna watu wapo kizani sana, yaani mtu anawazee wake, et anasema ni mungu

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 2 ปีที่แล้ว +3

    Mansha Allah May Allah bless you our Sheekh

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

      Maa shaa Allah

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mzee tahira kweli yaaniata
    Ajielewikabisa

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli dunia ina mambo mengi sana maana kila nikifikiria hao watu wanaoabudu hiyo nafikia tu kuishiwa mawazo namshukuru Mungu!

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 2 ปีที่แล้ว

    Ramadhani Kuria nashukuru kwa kuleta huu mjadala sikuwa najua kuna watu wanatumia Biblia vibaya hivo.Yehova maana yake ni Mwokozi.Ni jina la Mwenyezi MUNGU mwenyewe.Kwa kweli shetani anapinga neno la MUNGU.

  • @ggv866
    @ggv866 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh Ramadan kwa wasiyo elewa mazuri Allah akupe kila la kheri na Afya njema

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 2 ปีที่แล้ว

    YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na Ndio BWANA na mwokozi Yeyote asiyemkiri na kumuamini YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjachelewa

    • @abdimohammed3564
      @abdimohammed3564 2 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo Mungu aliuwawa na wanadamu aliyowaumba

    • @ashleypetertv5894
      @ashleypetertv5894 2 ปีที่แล้ว

      @@abdimohammed3564 huyo huyo ndie Mungu wa kweli.

    • @ibrahimhajji6210
      @ibrahimhajji6210 2 ปีที่แล้ว

      Read John 17:3

    • @ibrahimhajji6210
      @ibrahimhajji6210 2 ปีที่แล้ว

      @@ashleypetertv5894 John 17:3 yesu anasema mungu wa ukweli ni nani?

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee sijaona Mahali amejibu maswali yote alioulizwa. Akiulizwa akwepa. MA sheikh wetu mahadhiri wetu. Allah awalipe kila la kheri. Kwa Kaz munayofanya

  • @saumukayaa3979
    @saumukayaa3979 2 ปีที่แล้ว

    Subuhana. Allah.roho.inaniuma.sana.huyo.mzee.yuko.kweye.geza.Alla.amuogoze.kweye.nuru

  • @diana56-lorient
    @diana56-lorient ปีที่แล้ว

    Oh God forgive my fellow Kenyans and kenya ,my Father almighty God never die he is the living life,ALPHA AND OMEGA KING OF ALL KINGS 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇫🇷🇰🇪🇫🇷

  • @alextercisio
    @alextercisio ปีที่แล้ว

    I agree with Muslim washing hands using water

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni ปีที่แล้ว

    SubhannaAllah

  • @al_huda_theguidance5034
    @al_huda_theguidance5034 2 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah tabarak Allah

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jazakallah kheir

  • @hadiyamohamed594
    @hadiyamohamed594 2 ปีที่แล้ว

    Ama kweli masheikh munayo subra ya huyu mtu .alichokipanda katika roho yake na huyo wanyonyi. Dah mtihani huu.

  • @aliyusuf5957
    @aliyusuf5957 ปีที่แล้ว

    Hapo kazi ipo...

  • @mohamedtv20
    @mohamedtv20 2 ปีที่แล้ว

    سبحان الله 😭😭💔💔😭😭😭 الله

  • @bigfish291
    @bigfish291 2 ปีที่แล้ว +1

    May Allah guide them to Islam.

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ustadh wetu. Twawapenda... Allah awape subra na afya leo na kesho akhera... kazi mnayo ndugu zangu

  • @DjchiboEntertainment
    @DjchiboEntertainment ปีที่แล้ว

    Hii Dawah Unayo Ifanya Maswali Yako ni Yale Yale Hauna Maswali tofauti Kila saa YESU c Ulete Verses zingine pia
    Yafaa Upatane na Mwalimu Ndacha

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 2 ปีที่แล้ว

    Jehova hiyo gari alinunuwa mpya ama used

  • @mohamedomaronline7459
    @mohamedomaronline7459 2 ปีที่แล้ว

    Allah awape subra kwakazi hiyo

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 ปีที่แล้ว

    Poleni kwa kz ngumu mashekh wetu

  • @kessylukombe1811
    @kessylukombe1811 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watu duniani wapowapo tu yani huwezi kuamini wanachokifanya lakini mambo ya Dunia yalivyo

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 2 ปีที่แล้ว

    Allah awape nguvu na umri mrefu uzidi kuwaelimisha hawa makafiri

    • @clencysimuli1773
      @clencysimuli1773 2 ปีที่แล้ว

      Makafuri ni waislamu ambao wanapiga yesu
      Majini pia wanapinga yesu Koran 72:2

  • @hamdishide3137
    @hamdishide3137 2 ปีที่แล้ว

    My role model sheikh Ramadan, I love you in fact please pray for me

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 ปีที่แล้ว

      May Allah bless and protect you. Kindly inbox me through the numbers

  • @thechairmanbarrybenson6312
    @thechairmanbarrybenson6312 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni mtihani

  • @Est1434-e7l
    @Est1434-e7l 2 ปีที่แล้ว

    Yesu namuaabu sana tuuuu

    • @kassimngao9828
      @kassimngao9828 2 ปีที่แล้ว

      Muabudu mungu mmoja tu...mungu wa yesu pia

    • @Est1434-e7l
      @Est1434-e7l 2 ปีที่แล้ว

      @@kassimngao9828 Imani ninkitu Cha ajabu.
      Chamaana heshima tu. Nikuchukulie kama ndugu yangu Imani na tofauti zetu tuweke kando🙏

    • @kassimngao9828
      @kassimngao9828 2 ปีที่แล้ว +1

      Okay 👌

  • @benardodhiambo5872
    @benardodhiambo5872 2 ปีที่แล้ว

    A quality video, Nangojea part 3

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 2 ปีที่แล้ว

    Lost Israel Astaghfirullah Mwenyezi Mungu awaonekanie viumbe wake wanapotea

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 2 ปีที่แล้ว +1

      Subhanaallah..Umetakasika Rabby wangu na himidi zote ni zako mfalme wa wafalme.YAA RABBY nijaalie nife hali ya kuwa ni muislam wa kweli.

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah maustadhi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Mbona ananenembo ya kishetani kofia yake kujielewa muhimu sana na ikikosa elimu mtihani kweli

  • @AbCd-gc8ve
    @AbCd-gc8ve 2 ปีที่แล้ว +1

    Cant imagin how u guys were holding on the laughter

  • @AminaCuisine692
    @AminaCuisine692 2 ปีที่แล้ว +11

    Truly God the almighty Allah s.w.t guides those he wills to. Imagine this old man's reasoning is like that of a 2 year old.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @mohamedasaid7910
      @mohamedasaid7910 2 ปีที่แล้ว

      Even 2 years know Allah.Man becomes rebellious in later years

    • @shueb123
      @shueb123 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha this notion of saying God appears or is born in form of human is the epitome of loss among disbelievers

    • @AminaCuisine692
      @AminaCuisine692 2 ปีที่แล้ว

      @@shueb123 very true. This guys come with their own narrative which suits their lifestyles to their benefit

    • @shueb123
      @shueb123 2 ปีที่แล้ว

      @@AminaCuisine692 absolutely i just wonder what stops every one else to also claim he or she is born in human form bt he is god ,,just so ridiculous and u cant help

  • @didahadam9530
    @didahadam9530 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh inalilahi waina ilahi rajiun mithani huu picha hiyo kama ya movies tuu

  • @FatmaAli-dp9ps
    @FatmaAli-dp9ps 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awahifadhi ila Kenya kuna vituko vya dini jamani
    Allah awaongoze maana inafika sehemu mashekh mnapigwa kitu kizito mpk mnapata fadhaa ila mna moyo sana mimi ningeshikwa na hasira

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 2 ปีที่แล้ว

    Hapo shehe wetu utatwanga maji ndani yakinu uyu mzee mtihani

    • @radhiaoman9828
      @radhiaoman9828 2 ปีที่แล้ว

      Uyo mzee ameshapigwa mhuri mweusi kwenye moyo wake kuusafisha kazi ipo

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 ปีที่แล้ว +1

      Lakini wapo ambao watajifunza hatakama yeye nimfano wa firauni

  • @oman7710
    @oman7710 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah mtihan kwel

  • @mgenibwanamdogo2826
    @mgenibwanamdogo2826 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabaraka allah

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว

    Kazi hipo Mashelhk wetu

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 2 ปีที่แล้ว

    Naonaleo Mzee kakomaa kwelikweli

  • @SalmaWangari
    @SalmaWangari 6 หลายเดือนก่อน

    I love Muslim

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 2 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi iko ..subhanallah

    • @abelcleofas5243
      @abelcleofas5243 ปีที่แล้ว

      Makampeni ya shetwani Wanataji majina ya makufuru pombavu zenu

  • @FatmaAli-dp9ps
    @FatmaAli-dp9ps 2 ปีที่แล้ว

    Shekh Ramadhan uzalendo umekushinda maskini umecheka ni vituko huyu mzee

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 ปีที่แล้ว +1

    Vedio inaruka dunia nzima kweli me nipo Zanzibar nafuatilia

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 2 ปีที่แล้ว

    Jehova ana gari

  • @زينبأمينة-ظ7ق
    @زينبأمينة-ظ7ق 2 ปีที่แล้ว

    Mtihan mkubwa wallah

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 2 ปีที่แล้ว

    Choon sio mezani