Dar es salaam To Mwanza Epic Road Trip | Watch This, You Gonna Love It 🇹🇿
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- When you go on a Road Trip, the trip itself becomes part of the Story. Watch my road trip I did from Dar es salaam to Mwanza in 10 minutes.
Don't forget to LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE ✅
Follow me on INSTAGRAM to see the Magic
Username 👉 | @edwintouches
#daressalaam #mwanza #roadtrip #tanzania #eastafrica
#bus #buses #travel #journey #road # daressalaamtanzania
#2022 #nature #photography #travelphotography
#love #travelgram #beautiful #adventure
First To Watch
Brother, I see you! 🤜🤛🇹🇿
Ila TZ kubwa sana jmn🙌🏾. Our country is
Beautiful
Sana, big and beautiful 🌿🌴🇹🇿
Mimi napenda kusafiri sanaa haswa hizi road trip hata kuwe mbali vipi mi na enjoy tu. Sijawahi kwenda Mwanza kwa bus.
Same here! Safari za mbali napenda 👐
the best trip, waiting for part two
Thanks for watching! Stay tuned 😊
Mzeee 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Brother! 🙏🇹🇿✊
Great video, quality pia🙌🏾🙌🏾
Thanks Miriam, thanks for watching! 🤝🇹🇿✊
Watching this nice video from Cape Town
Thanks alot boss! ✊🇹🇿
Nauri ni shingi ngapi
Nice content bro 👌
Thanks Sofi 🙏😊
The scene is wonderful
Thanks for watching boss! 🇹🇿✊
@@edwintouches welcome bro
Usafili ni mzuri ila ajali
Shure! Ila Mungu yupo atasaidia.
Asantee Eddy Kwa video nzuri,mara yangu ya mwisho nilienda tabora Kwa Tren but I hope Mungu akijalia nitaenda mwanza Kwa bus ,japo ni mbali ila nzuri kuenjoy road trip asee
Yes, Road Trip zinakuaga tamu sana! Hasa kama ni njia ambayo ni mpya kabisa huifahamu 😁 Thanks for watching Elly, nimefurahi kukuona hapa 🌹🙏
Pamoja Sana Eddiiiie
How many hours
Dar to karagwe
Sijaelewa chochote umetaja morogoro tu wakati umesema dar to mwanza kwa hyo umekomea morogoro tu!!? Ungeonyesha mikoa yote Dar, Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga mpaka Mwanza
Nilipoteza vipande vingi but next time utaona pote man!