Hi Manlango, inspired on your travel from Dar es Salaam to Johannesburg, I did my travel from Maputo-Mozambique to Gaborone-Botswana and it was amazing. Keep inspiring people to know each other
You should feature the Dodoma-Babati-Arusha road, I remember our driver had a challenging time driving on that road due to many corners and meanders plus very heavy fog . It was a huge relief when we reached Babati town,otherwise kazi safi mdau. Shabik toka Kenya hapa
Hii video yako leo imeanza kiaina tu mzee. Hujasema unasafiri na bus gani. Hata hivyo, hongera kwa kazi nzuri ya kuwapa taarifa muhimu wapenda kusafiri ndani na nje ya nchi. Siku moja uje ufanye safari kwenda North Africa (Misri, Sudani, Tunisia, Mauritania nk) na West Africa (Ghana, Nigeria, Cameroon, Togo nk)
Ndiyo mana kama content creator tunashauri uangalie video Hadi tamati ili uweze kuelewa zaidi. Jina la gari limetajwa ndani ya video. Maelezo yote hayawezi kukaa mwanzoni
Sema watu wamejaa mijini. Nchi zote ndio zilivyo. Ukienda mijini kama Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Moshi, watu wengi tu. Na majengo yapo. Hata hapa marekani ni hivyo. Ukienda mijini watu wamejaa, ukiendesha gari nje ya miji, hakuna watu wala majengo. Ni misitu na vinyumba vidogo vidogo.
A little more history about the stop overs...eg what does Dodoma mean? When was it first inhabited, who are the main inhabitants, why was it made the seat of government, Singida..Meaning of the word ,who are the main inhabitants, what are the foods of Singida, main economic activity and for tourists some places they can visit and stay...I always enjoy your content...but unaweza kutupea more information especially those of us who areplanning to do road trips as tourists (MIMI MKENYA AND LOVE YOUR VLOGS)
Safi sana
Asante
Samahan nauliza vituo vyenu hapa dar
My brother you are doing a great job promoting Tanzania and Africa at large 👏👏
Thank you brother 🙏
Hi Manlango, inspired on your travel from Dar es Salaam to Johannesburg, I did my travel from Maputo-Mozambique to Gaborone-Botswana and it was amazing. Keep inspiring people to know each other
Wow, thanks
So amazing
I love Tanzania's beautiful scenery... And their accent too 😊
Welcome 🇹🇿
Tz mko Na Basi Kali Kali ..nice roads well marked❤
Thanks
It is nice to see new bus terminals in many towns.
True that. Thanks for watching
The bus terminals are perfect
True that 👍
Very useful video.
Glad it was helpful!
I would like to take this trip next week. Very inspiring .
Yes, its worth it
I'm one of your greatest fans...keep up the good work
Thank you 🙏
Wow my brother
Thanks my sister 🙏
Keep pushing🎉
Thanks
ok naona kama kawa kama kawaidaziiii
Pamoja
Brother this was a nice video, I like how you make bus trip videos very interested, Kudos to you bro, we are learning from you
Pamoja sana mdau
Wadau wadau
Mambo vipi 😀😀🙏
Mamb ni fresh kabisa
@@amanimakovya2228 pamoja sana
So amazing 👏
Thanks 👍
@@malangotravels you're welcome
Jembe lako toka Mbeya apa nakukubali Sana mwana ata mi niko mbioni kuanza safari hope one day tutamit mwana
Bila shaka mdau. Pamoja sana
There needs to be a nationwide supermarket chain with stores in every town in Tanzania.
Kenya has Naivas 100 stores. Zambia has shoprite 52 stores.
Agreed 💯
What would be the benefit?
Very nice video
Thanks 👍
Vipi Mudau.
Wasalimie watu wa Tabora
Salami zimefika mdau
Kenya should take some notes
The bus terminals in Tanzania 💯🙌🏾
Agreed 💯
You should feature the Dodoma-Babati-Arusha road, I remember our driver had a challenging time driving on that road due to many corners and meanders plus very heavy fog . It was a huge relief when we reached Babati town,otherwise kazi safi mdau. Shabik toka Kenya hapa
Thanks for recommending that route. Wape Salamu pande hizo 🇰🇪
Hii video yako leo imeanza kiaina tu mzee. Hujasema unasafiri na bus gani. Hata hivyo, hongera kwa kazi nzuri ya kuwapa taarifa muhimu wapenda kusafiri ndani na nje ya nchi. Siku moja uje ufanye safari kwenda North Africa (Misri, Sudani, Tunisia, Mauritania nk) na West Africa (Ghana, Nigeria, Cameroon, Togo nk)
Ndiyo mana kama content creator tunashauri uangalie video Hadi tamati ili uweze kuelewa zaidi. Jina la gari limetajwa ndani ya video. Maelezo yote hayawezi kukaa mwanzoni
Tanzania watu na majengo yamejaa Dar tu Bara kweupeeeee amna ata watu
Kweli? Mambo yote yapo Dar es Salaam 😃
Sema watu wamejaa mijini. Nchi zote ndio zilivyo. Ukienda mijini kama Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Moshi, watu wengi tu. Na majengo yapo. Hata hapa marekani ni hivyo. Ukienda mijini watu wamejaa, ukiendesha gari nje ya miji, hakuna watu wala majengo. Ni misitu na vinyumba vidogo vidogo.
@@SimbaM2kufu kweli kabisa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
🇹🇿👍
A little more history about the stop overs...eg what does Dodoma mean? When was it first inhabited, who are the main inhabitants, why was it made the seat of government, Singida..Meaning of the word ,who are the main inhabitants, what are the foods of Singida, main economic activity and for tourists some places they can visit and stay...I always enjoy your content...but unaweza kutupea more information especially those of us who areplanning to do road trips as tourists (MIMI MKENYA AND LOVE YOUR VLOGS)
Thank you. Advise well received
tuko pamoja mdau
Shukrani mdau 🙏
Great vlog...Keep going bro...What is brand type is that camera?
Thanks 👍. Am using Feiyu pocket 2 gimbal for now
Hiyo chunya ndo ya mbeya au chunya nyingne?
Mwenyewe nimeshangaa. Ya Mbeya!
Chunya ya Mbeya imepakana na Tabora upande wa kaskazini
N if I may ask why are empty tracts of land right in the middle of Tanzanian big towns?...might be proper city planning ?
Maybe owners are not willing to develop them now!
Hapo mlipokula cha mchana panaitwaje?
Nadhani nimepataja jina, sipakumbuki
@@malangotravels ni mji gani? Manyoni?
🇹🇿🇧🇷🤝🤝🤝👏👏👏
👍
This is supposed to be a four ways highway, otherwise its too narrow to be baptized a highway.
I got you
What lodge or guest house do you recommend in Tabora for less than 30.000TSh ???
BMK Lodge, Madaraka Street 20.000 Tsh
@@malangotravels thank you that's perfect
How much does it cost from Dar to tabora
40,000 TShillings