KESI ya GEKUL: WAKILI MADEREKA AMVAA DPP NDANI ya MAHAKAMA - ADAI ALIPITISHA NYARAKA KINYEMELA JAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • KESI ya GEKUL: WAKILI MADEREKA AMVAA DPP NDANI ya MAHAKAMA - ADAI ALIPITISHA NYARAKA KINYEMELA JAJI
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 39

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 หลายเดือนก่อน

    ​​ JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @user-oq9xc8ci7t
    @user-oq9xc8ci7t 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hili ndiyo tz kiozi yupo juu ya kitabu kafunga 4 mwenzangu na mm kauguze ilipopita chupa
    Ewe mungu tusaidie

  • @masoudkashato1378
    @masoudkashato1378 5 หลายเดือนก่อน +2

    Unaripot vizur sana na kila nikikuona huwa unanikumbusha kesi ya SABAYA Kwan ndyo nilianza kufatiria taarifa zako za kimahakama

  • @NestoryNjunwa
    @NestoryNjunwa 5 หลายเดือนก่อน

    I appreciate your help and support you in whatever 6:30 way youmay find it good

  • @michaelboay1061
    @michaelboay1061 5 หลายเดือนก่อน

    Boay

  • @markgeorge2929
    @markgeorge2929 5 หลายเดือนก่อน +1

    Global ondoeni hiyo sauti inakera. Tunajua ni Global hakuna haja ya hiyo sauti. Hakuna ubunifu hapo ni kero.

    • @phinah9728
      @phinah9728 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yaani inakutoa kwenye mstari

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 5 หลายเดือนก่อน +4

    msemaji we ccm ameshasema maskini mahakamani awezi kutoboa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu lazima mbivu na mbichi zijulikane. Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 5 หลายเดือนก่อน

    Peter madereka tunakukubali hata ukigombea ubunge kura yangu nakupa

  • @Kasonadi-hp1lv
    @Kasonadi-hp1lv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mhoji na dpp, madeleka ndio haelewi anachofanya

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka madeleka binafsi mimi nakukubali sana ila kwshili umeniangusha sana kaka

  • @gmalipula1
    @gmalipula1 5 หลายเดือนก่อน

    Muandaaji kipindi please usiingize matangazo katikati ya interview. Unaharibu mtiririko wote wa interview.

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 5 หลายเดือนก่อน

    YANI uyo Gekul Fanyeni Mpango Auwawe TU. Huyo ANATAKIWA kufa sio Kumfungulia Kesi hamuwezi kushinda Kwa Sababu Yupo Upande Wa SERIKALI ambayo mahakama ipo chini ya SERIKALI ✍️✍️😡😡😡😡😡😡😡😡😡😠😠😡😡😡😡😡😡😡😡😡😠😠😠😠😡😠😡😠😡😡😡😡😡😡😡😡😠😡😡😡😡😠

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 5 หลายเดือนก่อน

      Aiseee unavyosema auawe huoni hilo unafanya kosa? Au unajua umejificha? Shauri yako

    • @Kasonadi-hp1lv
      @Kasonadi-hp1lv 5 หลายเดือนก่อน

      Kwamba yeye hana haki mpk auawe. Acha sheria iongee

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 5 หลายเดือนก่อน

    Katiba mpya ni sasa

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 5 หลายเดือนก่อน

    UYO DPP ANAFIRWA HUYO anamtetea Gekul Wa Nini ? 😡😡😡😡😡😡😡😡😡

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mbunge ni kawaida yake kukafarisha watumishi wake mambo yake yaende waabudu miuungu. Tunazidi kuwalaani na wengine wa njia za namna hiyo lazima tufanye hivyo kuwalaani. Maana pindi wanapopita kuongoza uta wala wao huwa wakishetani kwa jina la YESU mfalme wa wa falme

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 5 หลายเดือนก่อน

    Hiv madereka ni nan? Yaan amekuwa ni mfitini mkubwa hana lolote zaidi ya kutaka umaarufu tu

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 5 หลายเดือนก่อน

      Tulia Sheria zifanye kazi yake

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 5 หลายเดือนก่อน

    BONge la ripota

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ni nchi ya ovyo sana wengine wako juu ya sheria, huyo shetani Gekul haji mahakamani ni dharau kwa mahakama ila angekuwa mtu wa chini wangemlazimisha kwa nguvu aje mahakamani , Tanzania hamna haki ni bora kumuwinda huyo shetani na kumuuwa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kesi ya kisiasa, hamna ukweli

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 5 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi, yaelekea una taaluma ya sheria, unaonaje ukiwa mmojawapo wa mawakili wa Gekul.

    • @piusmdoe3200
      @piusmdoe3200 5 หลายเดือนก่อน

      Hamna ukweli kuna uongo,tujuze ni uongo upi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@sylvestercameo6263 hadi wakati huu hakuna kesi iliyosikilizwa..ni mambo kimbinu tu/technicalities.. tusubiri kwa watafika huko.. maana hata hii rufaa kuna matundu mengi

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 5 หลายเดือนก่อน

      @@josephlorri431 Kama unakili kwamba kesi haijanza kusikulizwa how do you jump to the conclusion claiming that the case is politically motivated? Can you justify your accusations or it is just a mere assumptions? Anyway, let's wait for court procedures!

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu wewe angekuwa mtoto wako au ndugu yako ametiwa chupa mkunduni sijui ungeongea upuuzi huu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada paulini wamemletea chuki ya kisiasa Mama samia wangarie Madui wa chama chenu cha CCM

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu wewe angekuwa mtoto wako au ndugu yako ametiwa chupa mkunduni sijui ungeongea upuuzi huu

    • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
      @RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 หลายเดือนก่อน

      Mpubafu wewe unayetetea muuaji ameharibu vijana wangapi maishani mwake? Kwa kuwa ni ccm auwetu!!!!

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 5 หลายเดือนก่อน

    Siasa tu.
    Je kuna ushahifi wa kutosha?

    • @amos878
      @amos878 5 หลายเดือนก่อน

      Rudi shule wewe pumbavu

    • @drkalokola5861
      @drkalokola5861 5 หลายเดือนก่อน

      @@amos878
      Kumbe hujui umuhimu wa sec.101(1) ya evidence Act.
      Who ever alleges has a burden of proof.
      Wewe ndiye ambaye hujaenda shule.