Unampenda bwanako kwa kiwango chajuu ukijua mko kwa ndoa kumbe bwana pesa unayo mtumia kwa ajili yards familia anafuga vimada sai amehepa watoto peke yao sai anaishi na kimada, haki kwann mimi
Nimeonaa emotional ndani yako lakinii sio wotee wanaumee wako hvyoo sisi wengine tulipenda mwisho tukaachwa hivii nimelea kwa miaka nanee nikiachiwa mtotoo ndogoo wa kikeee saii ako 8yrs alhamdhulilah amekuwa kwahioo malezii twajuwa sana wengine wetuu ❤❤❤❤
Team golf hoyee 💃💃💃💃💃💃❤️❤️❤️
hoyeee
💪🤝
Watu wa saudi hapoo
Br uko juu sna twaombea uzidi kunawiri
Yani jey rasta huu Wimbo ulo imba hayo maneno ni ukweli mtupu yani umenigusa jey uko juuuu
Sawaa sawaaa MTU wangu🎉
Mapenzi hayana wasia kakangu ni bahati kupendwa omba mungu utampata was kudumu name maana hayasomeki
Umegonga ndipo
Uko juu tia bidii Zaid na mungu atakuzidishia kipaji inshallah
Uko juu baba j rasta' twakupata clear Sana" tukiwa ndani ya lunga lunga border mkali'
Jey ,rasta
Wanipa raha sana nkiwa 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 wakuliziba hakuna kwali kabisaa kaka mjane yuwaju
Sikudhani Salim upo juu kaka
asante sana
Love hzi taarab sana n vile got no friends in digo land wakunialika mahArusi
Jay huu wimbo umenigusa hadi machozi yanidondoka nimeachwa wakifaidika na pesa yangu
Usijali hayo ndio maisha utapata mwengine
Hapo chacha💕💋
Hapooo chachaa💃💃💃💃💃💃💃
Umeonaeeee twende nalo baba
Msambweni gonga like tukisonga.❤👌🏼💃💃💃dusheleleeeeeh
Yeeeh baba sina lakusema twende nalo mkuu
Nakubaali
Kabsaa
Akyniko galf lkn gitaa record Niko nayo kila leo naburudika
I like your songs uko juu kaka
Thanks sana
Big up @
Yamotooooooo💃💃💃💃💃💃💃
Mambo ya digo hayo safi sana j
Mapenzi kwenda mbaliii
Uko juu Sana Kaka napenda Sana nyimbo zako
T9
97
Yyu99
Ok
Iğğgy
Swadakta
Wale wa Mkwakwani wapite na Hapa 😂😂💪💪
Nimeshapita brother
@@salmamwagomba6529 Ausio
Yamoto inawasha moto
Mwenzenu sina pakushika
Yamoto iko juu
Yamoto tarabu
asante asante sana
Jay ni kweli broo tuko Pamoja na ww kaka, penzi lime nilaza jela kwa kupenda 😭
duuh pole bro
Rahaa tupu
Napenda nyimbo yako ninzuri
asante sana
Umeua G😘🤗
Naburudika nikiwa🇸🇦 🇸🇦
Thanks 4 your support
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waniliza baba 😭😭
Sisemi kt
Unampenda bwanako kwa kiwango chajuu ukijua mko kwa ndoa kumbe bwana pesa unayo mtumia kwa ajili yards familia anafuga vimada sai amehepa watoto peke yao sai anaishi na kimada, haki kwann mimi
salma uko serious
Pole somu wa mie waume hawaaminiki kbsaa,japo sio wote lkn
Nimeonaa emotional ndani yako lakinii sio wotee wanaumee wako hvyoo sisi wengine tulipenda mwisho tukaachwa hivii nimelea kwa miaka nanee nikiachiwa mtotoo ndogoo wa kikeee saii ako 8yrs alhamdhulilah amekuwa kwahioo malezii twajuwa sana wengine wetuu ❤❤❤❤
MashaAllah
👌👌👌
U a good broo
asante sana bro
Nkakubali Sana somu nakumbuka Kaya mwananyamala ulicharaxia Ngoma siku y ndoa yngu mashaallah somu naomba Allah akuzidishie kaz yko
Nimeamka nitaenda na nani 😂😂😂😂😂😳
Asante
🔥🔥🔥
My favourite..#limevuja tena
Waau Niko kwa warabu lkn napungwa ova
pamoja
Kaka jey rastaa yan mdundo uko juu mpka stesii nlizitupia warabu gitaa inafanya record inafanya mambo
Acha tupungike huku Saudia akutaki makasiriko
😢😢😢
😄😄😄😄😄😄
Siku hizi mapenzi yamekuw contract ukiacha achika
kabisa
Au sio najuta kkupenda wewe😅😅😅😅😅