JE YESU ALIKUFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Mjadala kati ya waislamu na wakristo Muhuru Bay, Migori county, 2018 October.

ความคิดเห็น • 119

  • @walterlema7034
    @walterlema7034 2 ปีที่แล้ว +1

    mch Nacha ubarikiwe kwa kutufafanua juu ya kufa kwa Yesu.MUNGU akupe maisha marefu.

  • @simonmumba654
    @simonmumba654 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe maisha marefu preacher ndacha kweli unajua kufundisha sana

  • @selvependo9364
    @selvependo9364 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe pastor

  • @josejosemulinge6773
    @josejosemulinge6773 5 ปีที่แล้ว +1

    Dacha,barikiwa sana,Na Mungu akufunze Zaidi kuondoa ujinga Wa waislamu wapate kuokoka

  • @josephmmaina3587
    @josephmmaina3587 3 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed the man of God

  • @nasht8604
    @nasht8604 5 ปีที่แล้ว +3

    I love your teachings man of GOD be blessed.

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu hajafa wala hajasulubiwa ni maneno ya uongo

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  ปีที่แล้ว

      Quran 3:55 Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
      kisha angalia maelezo ya Korani 5:79

  • @charlesjems4287
    @charlesjems4287 5 ปีที่แล้ว +4

    Wasilam njonii kwa yesu

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda msomaji wa ndacha.nikama alikuwa mslamu b4

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +1

    Bibilia yenyewe haieleweki kuhusu kufa kwa yesu kwasababu ukisoma matendo ya mitume 10:39 inasema walimuuwa ndio wakamtundika mtini lakini ukisoma mathayo 27:45 yesu yupo msalabani anamwamby mungu eloi eloi lamma sabaktani yan mungu mbona umeniacha,sasa kule aliuliwa akasulubiwa huku mathayo anasema alizungumza akiwa msalabani tuamini lipi tuache lipi.

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio hauelewiiiii

    • @morisdavidmkulima2239
      @morisdavidmkulima2239 2 ปีที่แล้ว

      You need to have a deeper knowledge on the linguistic discourse. To understand what did the writers mean by talk of "mti"

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  ปีที่แล้ว

      Korani 3:55 Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
      Yesu (Isa) kauwawa na Mwenyezi Mungu kisha akamnyanyua juu na wewe wapinga quran???

  • @ochungcalvince210
    @ochungcalvince210 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu kweli ameongozwa na Roho wa Mungu

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 5 ปีที่แล้ว +4

    Katika mada ngumu kwa waislam hii ni ya kwanza

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna mada nyepec kama hii maana maandiko yako wazi kuwa yesu hakufa na ata bibilia yenyewe haina ushahidi kuwa kafa

  • @danielwachira5292
    @danielwachira5292 5 ปีที่แล้ว

    asanti ndacha

  • @charlesjems4287
    @charlesjems4287 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana ndasha mwalim was kimataifaa

  • @hassanmuhidin871
    @hassanmuhidin871 4 ปีที่แล้ว

    hawajui walitendalo

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmeshindwa kutoa maandiko ya kusibitisha kwa maandiko kuwa YESU hakusulubiwa

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Qur'an imeshasema hawakumuuwa wala kumsulubu na bibilia haina ushahidi kuwa yesu alikufa ni maneno yenu tu

  • @danielwachira5292
    @danielwachira5292 5 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana ndacha

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 ปีที่แล้ว

    Wakristo hamna kitu nandymaan hua wanamtegemea ndacha tu lakn kwawaislam kitabu chenyew kinajieleza bayana kabisa lakn kwa wakristo bila yandacha BAC hamna kitu

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  2 ปีที่แล้ว

      Wacha kujiona bora kama wewe kidume kweli twende live chat na wewe kwenye vitabu bila porojo tujue mbivu na mbichi

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว +1

      @@bibleministry7175 ndugu usiwapeleke watu motoni kwa manufaa yako

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  2 ปีที่แล้ว

      @@ambarnelly6304 unamaanisha nini

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@bibleministry7175 ninacho maanisha acha kuwapeleka watu motoni kwa maslahi yko mwenyewe, na kam kweli uanawambia haki bsi wasibitishishie andiko linalosema ukristo ni dini na pia andiko yesu ni mungu usiwapeleke peleke tu kwa sababu hawaelewi chochote, ili ujinufaishe ww mwenyewe,

  • @clintonkaingu4343
    @clintonkaingu4343 5 ปีที่แล้ว +2

    Uislam kuna upuzi mwingi

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ukafirini kwenu ndio kumezidi na kudanganywa sana inakuwaje mtu afe kwa ajil ya dhambi ya mwengn uongo mtupu

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Tafuta dini ndugu yang utaend kuchomwa bure

  • @danielwachira5292
    @danielwachira5292 5 ปีที่แล้ว

    naamini hata kerugoya kirinyaga waislamu watapata haya maneno

  • @malota2138
    @malota2138 3 ปีที่แล้ว

    Dini ya kristo inaonesha wazi kua sio dini ya kwel

    • @Mhandisi2008
      @Mhandisi2008 3 ปีที่แล้ว

      Kasome Quran 29 aya ya 47 utajua kitabu cha wakristo kimetoka wapi, Quran inaitambua biblia takatifu imetoka wapi...

    • @Mhandisi2008
      @Mhandisi2008 3 ปีที่แล้ว

      Wakristo wameambiwa wasiamini kitabu kingine chochote zaidi ya biblia lakini chakushangaza Quran inaitambua biblia ni kitabu cha Mungu aliye hai....

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  ปีที่แล้ว

      Al-Baqara 2:62 Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 5 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu wote ni mashetani, kwani kaz yao ni kupinga ukweli. Hawakubali maandiko yasemavyo. Mtapata taabu sana.

    • @navokisembo
      @navokisembo 4 ปีที่แล้ว +1

      Gervas Kombo umeona eee yaani wamepotea hawa watu ni ubishi usiokuwa na hoja yeyote. Wamepotea waje kwa Yesu ukweli upo wazi wanazugazuga

    • @hagumatimothy495
      @hagumatimothy495 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndacha ubarikiwe kunawadamuyawo wale wanamafuta masikiyo

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      We ndo babu wa mazuzu kabisa

  • @saitotisapiyo7167
    @saitotisapiyo7167 5 ปีที่แล้ว

    Yusufu arudi school.

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 ปีที่แล้ว

    Waislamu wanabisha wakati kila kitu ki wazi hawana vigezo vya kushindia hoja zao.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Nyinyi wakristo mnafata dhana tu hamna ushahidi kuwa yesu kafa

  • @danielwachira5292
    @danielwachira5292 5 ปีที่แล้ว +1

    ndacha psalms 115:15

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

    Uyu pastor amechanganyikiwa ety isaya alimtabiri yesu wakat alisema kweny isaya 53:12 kuwa "kwababu alimwaga nafsi yake hata kufa" sasa maneno haya isaya alisema kuwa "alimwaga" sio atamwaga kwababu isaya alikuwepo kabla ya kuja yesu sasa huyo aliemwaga ni nani isaya anaemzungumzia wakat yesu hajaja

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  4 ปีที่แล้ว

      Ni hakika hata bila Isaiah kusema, kwamba Yesu Kristo kafa na kufufuka hata Quran inadhibitisha..

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@bibleministry7175 hhmm kuhusu kufa kwa yesu ni mawazo yenu tu maana maandiko yako waz kuwa yesu hakufa na kila kunkoelezwa kuhusu kufa kwa yesu basi bibilia yenyewe inapingana,isaya hakutabiri kuwa yesu atakufa ile ni habari kuhusu mtu mwengn alietokea kabla ya zama za nabii isaya na yesu alikuwa hajaja wakati wa isaya

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@bibleministry7175 nipe andiko katika Qur'an kuwa yesu kafa halafu uone

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  4 ปีที่แล้ว

      Soma pia Quran 46:61 Yesu ni alama (sio dalili) ya kiyama ama ufunuo (kutoka kwa wafu), wakati Quran inasema katika Quran 3.55 kuwa Yesu atatimiziwa muda, inamaanisha kifo kwa mujibu wa Quran 10:11

    • @bibleministry7175
      @bibleministry7175  4 ปีที่แล้ว

      Mathayo 27 (Biblia Takatifu)
      ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
      ⁵⁷ Hata ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu;
      ⁵⁸ mtu huyu alimwendea Pilato akauomba mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe.
      Mwili ni wa Yesu aliyekuwa ameshakufa hapa.
      Isaiah 53:5 iliyotabiriwa na nabii Isaiah ilitimizwa na Petro katika 1Peter 2:24:
      “Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

      - Isaya 53:5 (Biblia Takatifu)
      “Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.

      - 1 Petro 2:24 (Biblia Takatifu)
      “Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko;

      - 1 Wakorintho 15:3 (Biblia Takatifu)

  • @hussainabyan9646
    @hussainabyan9646 4 ปีที่แล้ว

    Wakiristo kweli mumefacebook.com/2m/2617450888277634/?sfnsn=m
    Wakirito kweli munepotea
    na muta Ingia Motoni na shetani.

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 5 ปีที่แล้ว

    Islam the true relegion of Allah.

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 4 ปีที่แล้ว

      Allah ana kubari mtume aone mtoto na kuchapa wana wake soma Bana

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@saitotisapiyo7167 wewe umesoma

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    Kweli MUNGU awasame hata ukweli unabisha tu bure. Hata ungesema mandiko ya nasema YESU hakukufa. Maneno mingi hayana mwelikeo.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Iyo bibilia yenyewe inapingana kuhusu kifo cha yesu na Hakuna ushahidi wa hilo

    • @janetkahada5206
      @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

      @@muslihmohd9420 kwa mufano nipe andiko linapinga kifo cha YESU si kwa mudomo my friend

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@janetkahada5206 kwababu kwanza bibilia yenyewe inapinga kuhusu kufa kwa yesu

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Hapo pastor alisema kuwa tunauliza mitume sw tuwaulize kama hawadanganyi tutaamini ila kama wakidangany iyo bibilia haifai

    • @janetkahada5206
      @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

      @@muslihmohd9420 kama unatafuta ubishi pole lakini kama ni mandiko YESU kasulubiwa, Soma Mathayo 27 kwanza moja ukienda, Marko 15 soma kwanzia moja pole pole, Luka 23 :kwanzia moja pole pole, Yohana 19 soma uelewe siyo kwa kukuwa Muyahudi wa kupiga kwa sababu ilianza mwanzo kambla ya Muhammad kuweko so yy anayathibitisha mandiko kama tu vile YESU alivyo Sema mandiko lazima yayimia. Kama umetaka kuthibitisha kifo cha YESU hivi vitabu nakupa ndivyo vina huo wakika na kama ni ubishi wanu pole. Kama pia kufufuka Mathayo 28 kwanzia moja kuendelia, Marko 16 kwanzia moja, Luka 24,Yohana 20 hao ndiyo waliyo kuwa na YESU kwa wale wanafunzi 12 so kama ni ubishi go on and do it because Jesus talk about you before he go to heaven and his words must pass.