"SIMBA BILA AHOUA NI KIPOFU, ATEBA NI RONALDO MTUPU, YANGA BILA AUCHO HAKUNA SHIDA" MKALABOKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • "SIMBA BILA AHOUA NI KIPOFU, ATEBA NI RONALDO MTUPU, NI JANGILI, YANGA BILA AUCHO HAKUNA SHIDA" MKALABOKO
    #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff

ความคิดเห็น • 9

  • @user-Reelrecaps97
    @user-Reelrecaps97 6 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏👏brain

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 4 วันที่ผ่านมา

    Eti ahua hajui mpira mlete mamaako acheze bwabwa wew

  • @AbedKhonga
    @AbedKhonga 4 วันที่ผ่านมา

    Huyo mchambuzi Kavuta kikali kachanganyikiwa akae kimya

  • @mohamedbakari7690
    @mohamedbakari7690 7 วันที่ผ่านมา

    Kama kuna mtu hajui mpira ni huyu hata mm nina afadhali, hakuna kitu anajua sijui wanapataje kazi hawa watu

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mkaliboko simuelewi yaani km anaenda na upepo dkika moja anasifia dakika ingine anasifia

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 7 วันที่ผ่านมา

      Dikika Moja anaponda sana dakika ingine anasifia

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan 7 วันที่ผ่านมา

      Hana jipya

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 6 วันที่ผ่านมา

      Juzi tu alikuwa anawaponda wachezaji wa Simba akisema ni wachezaji wa kawaida sanaaaa huyu Ahoua ni mmoja wapo ya wachezaji aliwasema kuwa ni wa kawaida sana!!!! Mtu kama yeye ni hatari sana kama watu hamna msimamo na mmachokiamini cause leo anasema hichi kesho anageuka badala ya kusimama kwenye uweledi mpira ni mchezo wa muda huyu hakutaka kabisa kuwapa muda wachezaji wa Simba aliwashambulia straight "ni wa kawaida sanaaaa"

  • @RamadhanJuma-x1z
    @RamadhanJuma-x1z 7 วันที่ผ่านมา

    Mlizemaga chama Simba kafanya usajili wa kijinga n mwakaa huu nyie tena