Rostam Feat Ferooz - Hujambo Mwanangu (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2021
- #Rostam #Ferooz #HujamboMwanangu
ROSTAM (ROMA & STAMINA) PROUD TO PRESENT A BRAND NEW AUDIO HUJAMBO MWANANGU FEATURING FEROOZ
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina, Roma & Ferooz
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
jameni nipee like atleast zifike kumi nmekua nasaport mziki wa stamina toka .. WAKENYA TUPO DANI... ONE LOVE
Unapenda like
Mziki sawa
Dah wimbo mkali Sana huu
th-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/w-d-xo.htmlsi=kSrtbvEwAKKsXpB2❤
Nmerudi tena... Sijaona likes🇰🇪
Nyimbo kali wanangu Rostam na ferooz
Pongezi sana Rostam
Alioickiliza hii ngoma Zaid ya mara kumi kutafuta haya mafumbo jiwe gizani limempata nan Tujuwane hapa kwa like
Yani hii Bakora inapiga kimnya. Wale wadau wenzangu wa rostom Gonga like tujuane... Listing From Zurich Switzerland 🇨🇭
Zurich imexhana mikeka bhn
@@trynergang1371 yani kinoma Boy
tuko pamoja bro
@@brightshola3778 poa Boy. Be blessed mjengoni uko p1
@@chumkhamis8924 pamoja braa
WANAOAMINI AWA JAMAA NI MA GENIUS. KILA WAKITOA DUDE LINA TREND LIKE APA JMN👋👋👋👏👏
Unausikiliza wimbo huu najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Dah rostam mnafanya mpka najisikia kuimba wakati siwez ila ii ngoma naomba irudiweeee iirudiweeeeee naomb like zifike 20k kwa leo tu
"Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.” Luka 9:60
Noma kaka
Yap
Mad sick 🔥
Otiti
Piga kazi na rostam kaka
Noma sanaa
Kaka fanya Kazi na hawa Rostam nawakubali sanaa
Collabo kaka inaeza kuwa kubwa
Wanao sema "ROSTAM KAZI IENDELEE" like yako pia
😄😄
Walioirudia zaidi ya mara moja naomba like zakutosha ✍️✍️
Naombeni hata like 10 jamani tunaokubali hii ngoma
Mamae mnajuwa mpaka mnaniuz like kama zote kwa ferouz✅✅🙏
Kwanza atali
You guys God bless you....couse this is the reality guys
Naombeni likes japo tatu tu jamani mimi nduguyenu wa damu mkinibagua ntawasema na mama...
mama Mtia saini2
@Hilal haswa huyo huyo😂😂
Luke 9:60
📜 Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.
Wavivu kusoma Bible umetusaidia sanaaa🙏🙏
@@jessieboaz4592 hhhhh
🔥🔥🔥
luka 9:60 Lakini Yesu akamwambia, “Waache waliokufa wawazike wafu wao. Ni lazima uende kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu.”
shikamo Roma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good sana kija
Ĺ
Eeh this is talent...achana na kina,diamond
Kama Uelewi Code Hapa Uezi Elewa Kinachoendelea Respect Sana Chama Langu Rostam ✊✊
Mwanacha ndaki ndaki wa rostam naomba like 100 ivi
Wanaosema nyimbo hii angeshirikishwa nay wa mitego gonga like hapa🤙🤙
609:60 Mt 3:2Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”
Narud January ntafikia kwa kaka bumbulli...........sijawahi pata like 100 jaman
We timu yako inashuka daraja huko wew unatafuta likes huku🤔
@@smartworktz2128 😂😂😂
Mzee umapata ongea mengine
Mziki ungekua wa namna hii czan kama mzki ungekua na mashabiki,,,mana kwa hii ngoma inaitaji ufikir sana ndipo uielewe respect my ROSTAM🎶🎶🎶🎶🎶
Hahahahaha
Tunaitaji video🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮
Ferooz voice is Priceless 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ila wimbo nilikuwa nausubiri sana kabisa..... Wa Congo nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nyinyi wasenge mnajuwa xana
Kaka mimi mbondo tuko pamoja
Zambi wa moyo
Nimekupa dislike na comment au hutaki 😂😂😂
@@Isaac_The_Genius 😂😂😂Niatari nehemia nimekupata
Roma umeprove km umekimbia uhaibuni dah! Sema ngoma kali madini mengi yanayok kw hivi vichw 2 ila feruu hodari w mda wot 💣💥🔥😍
Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao. Bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.” luka 9:60
Nice
This deep...🔥🔥shout out to Ferooz for bringing out the emotion on the hook.
Jamaaa tufanye fanye STAMINA aingie SUBSCRIBERS LAKI🔥🔥🔥🔥🔥☀️☀️☀️
Kabisaaa
Hakika
Fresh
*Tunaimba wote nafungiwa Mimi* -Roma
Hii nyimbo ni bonge la GOMA. Safi Sana.
I don't stop to listen to this song,vijana wanafanya kazi kweli na sio upumbavu waki diamond na Harmonize social media,we need good music,positive vibes,strong msg,respect to Feroos,professional chorus big up guys and keep the good tracks
Please give us frequent music.. Sometimes I listen to your lyrics and am just crying.
Kenya listening
Mm nimesikiliza... Zaid ya Mara Tano... Kam ww umesikiliz gonga like
Damn! The art in this song... Maana fiche!
Love from Kenya 🇰🇪
Hawa jamaa ni shiidaa!
@@abbyadams8691 but mkenya huwez elewa hapo mpak ujue siasa ya TZ
@@hafydhmo9566 Km unajua Kiswahili walau 50-70% utaelewa ila km hujui Kiswahili hapo ni Zero kabisa!!
kama hujui habari za tanga huezi elewa
Ferooz unaninilizaa mwenzio😭🙌🙌
Madini kama Madini
Kama unawakubali wasanii naombeni like zenu Leo..wimbo huu ni shiiiidaaa
Anaeijua Luka 9:60 tangu utotoni na alisahau ila leo malegendary wamemkumbusha Basi gonga like Hapa ili kupitia kumbusho MUNGU pia akukumbuke ktk Mambo yako.
PST Chris Soraya.
Rostam wanajua mziki wao!
Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe nenda ukautangaze ufalme wa Mungu.
Hii ndio ngoma yang pendwa ndan ya mwaka huu haitokei respect rostam ft ferooz .
Ng'ombe wew kumbe unajua kuimba nyimbo tamu
Kumbe ng'ombe humjuiii?
Rostam for life..kama unawakubali rostam like hapa..🤝
All the way from Germany, In love with the flow, 100 likes for we Tanzanians in Germany.
Kali
Kali
Kali
Kali
Kali
Bonge la ngoma
Ile swimming pool ya rufijii
Daa sema wana wanajua sanaa aseeb
Shout out kwa #rostam
Ngoma kali sana kama umeelewa code gonga like tujuane🔥🔥😘
TUNAIMBA WOTE ILA NAFUNGIWA MIM"" hili hata Mimi najiulizaga na sipati jibu".... Roma mtata Sana.. Kuna vitu vinafikirisha humu
nomaaa
Niamini Mimi hii nyimbo unatakiwa uisikilize si chini ya mala 5 ndiyo uielewe vizuri tena ukiwa umetulia TULIII. Rostam hawajawahi niangusha 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ni kwel
@@salehkupaza4547 mala moja uongo labda kama ulikuwa unarudisha rudisha nyuma. But the reality lazima uisikilize zaidi ya mala moja ili kuielewa
Roma ni fala
Luka 9:60 hongereni sana vijana! hawa ndio wasanii sasa wanaoonyesha nini maana ya msanii maana wengine sio kioo cha jamnii tena👍 like kwa ajili ya vijana hawa.
Waache wafu wakazike wafu wao bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.
Ho ngera sana rostama wimbo mzuri mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu ameen
Rostam ni kibokoo aisee😂😂 🇹🇿🇹🇿 sihami Mimi
R.I.P magufuli......KAZI IENDELEE
Anaitw roma
Rostam mnastahili kupewa tuzo nyimbo zenu hazichoshi kusikiliza na Zina ujumbe mzuri Kama ukiweza kufumbua mafumbo yake,,big up @rostam
Njiwa wanatutia hasara tuuu wanaumia mikono wanatibiwa Kambodiaa daaaah
Luka 9:60 BHND
Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”
Naomba like za mtumzima Roma na Stamina. Mana walikua wame nifanya nipoze mtaani💪🏾💪🏾💪🏾
Magufuli . Kweli ataishi miyoni mwetu daima . Kumbukeni alituambia mungu anaipenda tanzania .Kwaiyo tumtangulize mungu
Kenya tuko hapa kwampigo
LUKA 9 : 60
Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”
Pamoja sana
imeisha hio....
Maana Yake??
@@jandaboytzz2755 waache wajinga wapotoshane wenyewe
Kaka mbona kmya sana jamani
Rostam tufanye feat na kikosi kazi 🔥🔥 please itakuwa soo sana nakukuza mziki mbali wa hip-hop . Tungo Safi sana mchabiki wenu number moja toka drc congo Nataka like 💯
Ferouz umetendea haki chorus..alafu Roma aisee kick unapita nazo vizuri...Stamina umejitahidi sana
I can't get enough of this song☺️ Lyrics hatari🙌 It's a beautiful song with so much behind it if you can listen carefully....
wangapi wanataka tuwachambulie hii ngoma
Mm hap
Tuchambulie Tafadhali
@@user-tb4lj6zv5p njiwa ni zile ndege halaf banda la kijijin ni airport chato
Tufafanulie
@@iradiboni5272 dada.. ni Mange Kimambi, Njiwa ni Ndege, banda kijijini.. uwanja wa Ndege Chato
Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”
pamoja nawe
et broo hyo ndo kitab Cha Luka alichosem roma
@@veriasmathayo7306 Luka 9:60
@@veriasmathayo7306 ndio hivo kk
Rostam wana fanya mtu apende Hip-hop na poetry. Kazi safi hawajawahi ku ni angusha.
Tuliosoma luka 9 mstari wa 60 gonga like hapa
awa jamaa wanajua mbaka wanajua tena
kama kutakuwa na uhuru wa kuongea kwenye hii nchi basi tutegemee ngoma kari kwa hawa jamaa ROSTAM ❤❤
Roma na stamina never disappoint
love from 🇰🇪
We Chikenya kuma tu
BASATA wamekaa chini na kamusi nabado hawakuelewa kitu.Hivi wanasoma comments ndiyo akili inawafunguka🤣🤣
Genius Sana ROSTAM
Kikaocha familia _BUNGE
Ankowa singida _LISSU
Baba mkubwa --JK
Njiwa___NDEGE
Banda--Airportchato
Mashangaz wawil
Like za kutosha kutoka kwa ROSTAM 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮from bujumbura
ba mdogo mchungaji ni nani
I've struggled to find a proper way to put it but nothing sufficed more than "YOU GUYS ARE TALENTED"
FROM KENYA WE RECOGNIZE AND KNOW THAT ROSTAM ARE THE BEST🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂☀️☀️☀️☀️☀️
Kweli kabisa
True
Mwaelewa hiyo ngoma imehusu nani hasa ndugu zetu?😂😂
@@erickmweta8215 we bado hujaelewa bro
Nyimbo mbovu inakamata namba one on trending wameisumbua sauti ya ferooz
Rostam wanajua sana💯🙌🙌
Rostam tunawapenda milele nyimbo zinu zinaelmisha hatuwezi kuwasahau Mungu awalende milele
Bonge la ngoma mzazi
💯💯
wanangu fiti bana ferooz arudi game nipeeni like ya Rostam 🔥🔥🔥🔥🌟
DAAH ROMA FUNGUA DARASA UTUPE KOZI, COZ UNAONGEAGA KIKUBWA UNATUTOA HADI MACHOZI!! KILA NKIJARIBU KUONA NDANI NABAKI TU NA MACHO YANGU YA NAZI, MA3 LAKINI SIONIIII 🤔🤔🤔😆😆😆😆
@@masoudsaleem4063 ukweli bana tunangoja darasa ya Rostam tu
Huu wimbo uko kimafumbo,big up Rostam👊
Wabongo bana , wanaogopa kuongelea siasa alafu wanapita kwa mbali .
Wote mlioguswa na ujumbe acheni wivu gonga like 💯
sanaaa
Pamoja
Napenda label yako haina mipasho wcb imeharibika sana pambana jitahidi usiwe kama wao tembea kulia tembea kushoto na uwaache washamba🙏
Jexhiiiii🎌🎌 pa1xana broooh!!
Jeshiiii
Aliye enda kuangaliaa #luka9:60 gonga like tujuane
Akamwambia waache wafu wawazike wafu wao, Bali wewe nenda ukatangaze ufalume was mungu
@@neemaernest2906 👏
Luka 9:60
Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.
LUKA 9:60,Yesu akawaambia "Waache wafu wazike wafu wao,bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa mungu"
Luka inasemaje wengine waislam
Mama amwanagalie kaka ake atamfelisha. Kama umelewa gonga like chini twende sawa🔥🌄🇹🇿.
Sema Daaah Hebu Kama Umerudiya Mara Mbili Kuskiliza Gonga Like 👍 Tujuwane🔥🔥
Nime chelewa dakika chache Sana ila like nipewe Mana so kwa hili lijimbo
dah hawa jamaa ngoma yao kalii ni balaaaaaaa...hii ngoma ukisikilza mara tatu ndio unazidi kuielewa......NAOMBA STAMINA HII NGOMA IRUDIWE
Hiii no noma noma kama noma ferooz mmepatia hapo kati wazee goma litazaa matunda
Congrats Rostam.....!!!
This how artist potrey things...Artistically...Hahhha!!!!
Wakenya liteni like za rostm 🇰🇪
Aliye sikiya Roma ata Rudi ivi karibuni agonge like apa.
Mashangazi wawili ndo nani dah nyimbo ngumu kweli yani
Hiii ndo Tanzania I like it Roma never give up
"Hata kaka aliyekuwa hakupendi,
Mambo yake yako mshazali,
Aliuza nyumba ya kino bila hela ya udalali,
Akapata ya kigamboni ikasombwa na upepo wa bahari,"
Makonda tunapita nae hapo kweny uo ubet
Makonda huyo
Mmerisha humohumo nikosawa na nyinyi
Itakua Ni nani huyo
Kondakta
Jamani tuliyoplay hii nyimbo zaid ya mara7 ili tuielewe tujuane hapa kw likes #viva roma🇹🇿
Kama angekaa one six kwenye chorus angeua sana Ila huyu kama kapigwa loba ya mbaoo🥵
Na wasiwasi na waliobaki mama uwaangalie vzr kama kaka yetu aliye HAI na Yuko hapi YUle chenga polepole haya mambo sasa ni musiba njoo nchemba
Ney alitoa ngoma wakaifungia! Haya fungieni na hii nyie wachumia matumbo! Watu Wana mengi vifuani mwao! Acheni waseme ili wawe huru! Wewe Kama unaona ulineemeka kaa ukijua Kuna wengine waliumizwa Tena moja kwa moja acheni waongee watoe ya moyoni! Kuwazuia kwa kivuli sijui Cha maadili haisaidii! Bravo rostam! Hii ngoma ni Kali na ya kufikirisha sana!
Fact line
hawawezi kuifungia sababu haieleweki.... kirahisi
Hahahahhajahajjaja
Ni kweli bro umenena
Hii ngoma wametumia akili kiasi kwamba hata professa kuielewa anahitaji muda@ big up rostam
Hatari hii ngoma ukiisikiliza kichwa kichwa huwezi kuelewaaah Ila big u rostam
hamjawai toa bokoo you have too much creativited..... @rostam forever
Ummy mwalimu ckia vijana wako mama Samia ckia wanao majaliwa mariza tofauti za vijana makonda utapata tabuu juu ya vijana Hawa🙏🙏
This dual , ROSTAM is on another level watching from KENYA😎😎😎
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Very true huge banger of a tune maulana azidi kuwapa ujuzi kingi
@@scotchykardinal3254 they are creative!!!
usisahau Yamato band
🔥🔥🔥