Kipind cha karibu na uchaguz mtakuja kuongea kila kitu unaroho mbaya Kama sura yk … mtalipa kila kitu mlichowafanyia watu wanyonge. Ulikuwa wapi sikuzote???
Kaonewa sana watu hapendi kisa utendaji wake wakazi mzuri sana nifatiliji sana mambo ya maendeleo na pia wapizani pamoja na watu fulani wene uchuna madalaka wamepambana nae sana ila wakaona dawa nikumchafua mbunge ili watowe kwene leli ila mama wawatu sibaya watu ndowa baya
haiwezekani mtu aje kapewa masharti na boss wake mwingne afanye kazi kwako then unamuuliza nikipata kazi nitapewa masharti mengine alafu na ww umpokee umwajiri hii nikujisafisha tu
Huyo dada ni muongo ,tusimuamini Ni muongo anataka ubunge tu😮 N a sisi wajinga tutamchagua kutokana na ujinga wetu.😢😢Wale vijana ni masikini hawana haki.😢Achana na huyo dada .Ni muongo.😢😢
Alitaka awachanganye hakukuwa na baya sema yule dogo aliyekuwa anatafuta anabahati sana ndio maana walifanya hivyo ili wewe upanic umuondoe ila hapo yeye alikuja kufanya kazi tu Wala hakuwa na ubaya huyo aliyekuja kukwambia ndio mbaya tumia hakili kufumbua mafumbo
Comments kibao zina viashiria vya chuki. Wengine mna chuki za kidini tu. Halafu we unaesema mkorogo inaonekana huwajui wambulu/waIraq wakoje. Huyu Pauline hyo ni rangi yake acha ushamba.
Wamburu wana rangi nyeupe nawajua vizuri sana tena ni warembo ila comment nyingi ni chuku tu na wivu lakini mungu anawaona We dad piga kazi We ni jembe achana na washamba
Haya maelezo ya uyu mbunge wala sijayaelewa yan mtu aje ajiseme kabisa nimekuja kuomba kazi ili nikuuwe mh we mama ni muongo niamemin ni kweli uliwafanyia hivyo vitu vijana kwa imani yako mwanyewe ya chuki za kibiashara yan maelezo yako ayaelweki kabisa
Kwa kawaida vyeo vya kisiasa ukipatabkashfa yeyote inayoitaji uchunguzi ni Lazima uondolewe kupisha uchunguzi,ukiisha tunaweza kurejeshwa au ukaachwa,sio sawa na utumishi wa umma
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Nguvu kubwa sana inatumika kujisafisha . Mungu ndiye anajua
Kama kweli anamjua Mungu na hofu ya Mungu hasigombee tena
Pole dada hii dunia imejaa watu wabaya sana na wanachuki wivu hasidi mungu atakulipia inshaallah
Katika watu ambao hawana Akili ni wewe,yan unasema kitu kama vile una uhakik nalo,ila yatakukuta na wew kwa mtoto wako utakuja kujua
Ulifanya haukufaya utajua ww na mungu wako mwisho wa siku duniani tunapita
Mungu ndie anaejua ukweli. Tumwachie Mungu
Uchaguzi umekalibia sasa lazima kutengeneza mazingira
Tusimchague tena .Hilo ni lawama.Tayari tajiri atashinda siku zote Hela😢😢
Mmhh!! We ulifanya kweli unaonekana
Walimchafua tuu huyu mbunge aingiziwe chupa duh Mungu anamuona
Uchaguzi umekaribia, kujisafisha muhimu
Naona Mbunge umeamua kufanya media tour kwa lengo la kujisafisha eeeh! Uchanguzi unakuja na sinema zake😂😂😂
Leo kakubali kuhojiwa kweli pesa inaweza kukupeleka ipendavyo unaweza ukawa hata jini hata hao waandishi alikuwa hawataki
Mbunge wetu anaroho nzuri kwa sisi alie wahi kutusaidia muacheni kazin kuna fitna , majungu,chuki n kawaida
Mmmmh inasikitisha sana kwa kweli pole mh
you will be paid accordingly... we don't know only God knows
Waiaraq ni wajeur
Bei gani imekutoka kujisafisha
Hata sura ni mbaya na imejaaa uongo
Acha kashfa.. ni uumbaji wa Mungu
Ni mzuri wew ndo mbaya
Kaanza kujisafisha kwa ajili ya kampeni..Tuna wafahamu nyinyi ni wa janja kbs.
Kikubwa mungu alisimama na ww malengo yao hayakutimia kabisa hongera sana sasa wana babati tunakupa mitano tena ndo wapasuke kabisa 😂
Hayaeleweki haya, naona sielewi.
Kaomba interview kujisafisha 😮
Uchaguzi umekaribia
Nimemsikiliza mwanzo mwisho, Kwa maelezo yake huyu amefanya kweli
Kipind cha karibu na uchaguz mtakuja kuongea kila kitu unaroho mbaya Kama sura yk … mtalipa kila kitu mlichowafanyia watu wanyonge. Ulikuwa wapi sikuzote???
Huyu anaeleza maelezo yenye ukakasi sana,pia inaonekana we mama ni mbabe sana
Kaonewa sana watu hapendi kisa utendaji wake wakazi mzuri sana nifatiliji sana mambo ya maendeleo na pia wapizani pamoja na watu fulani wene uchuna madalaka wamepambana nae sana ila wakaona dawa nikumchafua mbunge ili watowe kwene leli ila mama wawatu sibaya watu ndowa baya
WEWE UMESHA CHAFULIWA HUFAI TENA KUWA KIONGOZI,
Maona ulitaka kukimbia
Ndio mkorogo umedunda
Sio muindi huyu?
Wambuli ndo sura na rangi zao. Hakuna mkorogo
Pole Dada
Mbwa huyoo twamjua xana
Sasa kumekucha hyo Mama mwakani atoboi huku.
Huyu alifanya sema anataka kujisafisha
Siwezi kutumia cheo changu kukuhujumu by the way uwezo huo ninao..... nitaondoka na kauli hiyo
Yes anao si nikiongozi hat shuleni ni hivy halipingiki hilo 😂😂😂
Kwa maelezo tuu una note kitu hapo. Still bado ana kwere ya kibiashara
haiwezekani mtu aje kapewa masharti na boss wake mwingne afanye kazi kwako then unamuuliza nikipata kazi nitapewa masharti mengine
alafu na ww umpokee umwajiri hii nikujisafisha tu
Mshangaz
Sitaki hata kuiona sura yake😮😮😢
Ninavyowajua wana siasa ni ngumu kukuamini unachoongea hata hivyo kwa mahojiano yote hayo unayosema ulifanya na huyo kijana usimu record kweli?
Kwenda ukalime tu wewe ni shetani tu nyoko wewe mjeuri wee mama mpaka mtaani kwako wanakujua
Mmmh yaani mtu atumwe kwa siri Kuja kuomba kazi na asipopata atauwawa aje akwambie tuu kirahisi hivyo,uongo,uongoooooo
DU! PAULINA PAULINA PAULINA NIMEKUOTA JINA LAKO MARA 3 MUOGOPE MUNGU,
Mbunge unakuwa na maelezo mengi kma hvi, ni ishara ya uongo,hakunaga maelezo kwenye ukweli
Hapo kashapoteza cheo yupo mpole alipo kuwa na cheo kikubwa alikuwa akiongea sauti ya juu
😂 akuna kumchagua uyo
Limekaa ko shetan shetan linaonekana katili hata mfanyakaz wake wa ndan chamoto atakua anakiona
Bro hiyo kichwa ya mic inakaa kama nani liu......
Uchaguzi unakaribia next year, wewe ni muuaji..ova!
Huyo dada ni muongo ,tusimuamini Ni muongo anataka ubunge tu😮 N a sisi wajinga tutamchagua kutokana na ujinga wetu.😢😢Wale vijana ni masikini hawana haki.😢Achana na huyo dada .Ni muongo.😢😢
Na ancheka kama mazuri, yaani washenzi hawa wanakula kodi za wanamchi alafu tena wanawadhulumu. Kwanza muone vile amejipaka mkorogo
Alitaka awachanganye hakukuwa na baya sema yule dogo aliyekuwa anatafuta anabahati sana ndio maana walifanya hivyo ili wewe upanic umuondoe ila hapo yeye alikuja kufanya kazi tu Wala hakuwa na ubaya huyo aliyekuja kukwambia ndio mbaya tumia hakili kufumbua mafumbo
Hakuchagui mtu wala nini waite waandishi waje mtaani kwako waone unavyo ishi na majirani zako nyodo tu na zarau
Comments kibao zina viashiria vya chuki. Wengine mna chuki za kidini tu. Halafu we unaesema mkorogo inaonekana huwajui wambulu/waIraq wakoje. Huyu Pauline hyo ni rangi yake acha ushamba.
Ao warabu ty wana rangi yao ya asili lakin wanajichubua
Wamburu wana rangi nyeupe nawajua vizuri sana tena ni warembo ila comment nyingi ni chuku tu na wivu lakini mungu anawaona We dad piga kazi We ni jembe achana na washamba
@@halimamasai2234
Sawa wamburu ni weupe ila uyu mama kajiharibu umuon ana miwan kwa macho yake
Kwaiyo hio mikono meusi huioni
@allyahahmed1091 ndo hapo anajifanya haon
Haya maelezo ya uyu mbunge wala sijayaelewa yan mtu aje ajiseme kabisa nimekuja kuomba kazi ili nikuuwe mh we mama ni muongo niamemin ni kweli uliwafanyia hivyo vitu vijana kwa imani yako mwanyewe ya chuki za kibiashara yan maelezo yako ayaelweki kabisa
Huyu ni gaidi hata huo ubunge hafai kuwa
Unaomba Interview Siyo..?? Uwe umefanya Uwe hujafanya hii interview yako haitatusaidia chochote.. We kawatumikie wananchi wako wa Babati hizo ngonjera hazisaidii..
Pure lies.......Shame on you..
Iyo ni kujisafisha tu ila mungu ndiyo muhukumu mama samia amefanya yake kukutengua 😢😢😢
Kwa kawaida vyeo vya kisiasa ukipatabkashfa yeyote inayoitaji uchunguzi ni Lazima uondolewe kupisha uchunguzi,ukiisha tunaweza kurejeshwa au ukaachwa,sio sawa na utumishi wa umma
We listen but we not judge
Wewe ni muonho kabisa .unaonekana kabisa wewe ni myanyasaji kabisa.
Huyu Matako alimuuingizia kijana wa watu chupa matakoni mpk leo kijana wa watu ameathirika kisekolojia
Hichi chama likija suala la tumbo ni life and death. Uchaguzi huo halaaaa.
We listen but we not judge