ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
KANJIBHAI "NAITA MOJA KUJA KIJIJI "UTACHEKA UFE.
แชร์
ฝัง
ขนาดวิดีโอ:
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2022
- VUNJA MBAVU NA VITUKO VYA KANJIBHAI
#mtanga #kanji #sikitu
ความคิดเห็น • 109
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
KANJIBHAI ,MKE WA BOSS .MTANGA COMEDY
มุมมอง 26K
MTANGA NA NIVA MARIOO ,BUZI LA KIHINDI /KANJIBHAI LAZIMA UCHEKEMTANGA COMEDY
มุมมอง 21K
MTANGA NA BAMBO ,KANJIBHAI AMEJICHANGANYA KWA BABA NT'ILIE.MTANGA COMEDY
มุมมอง 59K
Billkin, PP Krit - ยอม (Surrender) - Live Session (BILLKIN PP KRIT x BUS7)Billkin & PP Krit Official
มุมมอง 139K
เจ๊เอ๋ จัดหนัก เงินดิจิทัล | สำนักข่าววันนิวส์ข่าวช่องวัน
มุมมอง 1.2M
หมาคาบเกิบ - โจอี้ ภูวศิษฐ์ (JOEY PHUWASIT)「Official MV」Genierock
มุมมอง 640K
MTANGA NA BAMBO,MGONJWA MTATA ,UTACHEKA BALAA.MTANGA COMEDY TZ
มุมมอง 28K
ngoma ya kiyaokinta moses
มุมมอง 50K
MTANGA NA BAMBO ,WAZEE WA KUMALIZA KESI . NI BALAA. UTACHEKA UFE.MTANGA COMEDY TZ
มุมมอง 13K
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINICHEKESHA
มุมมอง 86K
MTANGA ,KANJIBAI AMEPIGWA SIMU KIULAINI ,UTACHEKA UFE.MTANGA COMEDY
มุมมอง 248K
PASTOR NGANGA DESTROYS RUTO'S GOVERNMENT FOR ATTEMPT TO DEMOLISH HIS CHURCH part1🤣🤣KunguriComedy
มุมมอง 30K
MTANGA NA BAMBO ,WAUZA MISHKAKI YA NYAU ,HII KIBOKO KABISAMTANGA COMEDY TZ
มุมมอง 598K
MTANGA NA BAMBO ,KERO ZA TANESCO UMEME WA MGAOMTANGA COMEDY TZ
มุมมอง 13K
MTANGA COMEDY ,KANJIBHAI KAKUTANA NA WACHEZA CHURA ,VIGOMA ,UTACHEKAAMTANGA COMEDY
มุมมอง 15K
เตะบอลกี่ครั้ง..ลูกบอลถึงจะแตก? & สร้างลูกบอลขึ้นมาใหม่The Snack
มุมมอง 86K
Live! ถ่ายทอดสดหวย ถ่ายทอดสดการออกรางวัลสลากกินแบ่งรัฐบาล งวดวันที่ 1 สิงหาคม 2567เรื่องเล่าข่าวร้อน
มุมมอง 824K
Epic Ghost Car X หลอนไดอารี่ EP.69 พิสูจน์ผี!! วัดร้างกลางเกาะ (เจอผีสะกิดหลัง)Epic Time
มุมมอง 431K
John's trick leads to Harley Harleyn discovering #Shots #Love #Kolic #FinneyAnne Crazy Girl
มุมมอง 1.1M
เลือกยากจัง Ep.2 #แป๋มวัดดวง #freefireแป๋มวัดดวง
มุมมอง 93K
LIVE : AC MILAN vs REAL MADRID | Soccer Champions Tour 2024 | 01.08.24BG SPORTS
มุมมอง 219K
Wanawake wengi wana tamaa na hio ndio dawa yao safi sana mtanga kwa kuigiza uhalisia wa jamii
😀😀😀😀🤣😂😂😛😝🤪
Erick na tanga ze comed bora dah nimefurahi
😭😭😭jamani Erick R.I.P pumzika kwa amani daima tutakukumbuka
Kanjibhai wewe noma hapo nakupa max 💯 😂😂bhana shida unanifurahisha sana ongea yako
Acheni hizo tabia mkome 🤣😂😂😂
Kwahy mtanga alikuwa amekuja na elfu3 buku2 aliyolipa ya boda jero la maji na jero la kurudi mbagala
One thing I like mtanga unakua na respect na other comedians, so far umepiga collabo na various actors. Kudos 👏👏
Mtanga umependeza
Nakukubali sana mzee muda ote unanifanya nicheke
Mtanga leo menuna kweli,swahili jinga sana, 🤣🤣
Swahili wanampiga muhindi wa watu
Muhindi koko usiache kuigiza
Sura zao tu mbaya
Hapana Shida Mama 😀😀😀😀😀😀
Mtanga tunakubali kazi yako
Njo Somalia ufanye Show
Huko Somalia mabomu mengi chaliii yangu
"We nani hapa"😂😂😂MTANGA 🔥🔥
Mimi Kama Mimi daiwa🤣🤣🤣🤣
Kanjibai again na swahili
Nakukubali mtanga
Nice mtanga
Nakubali sana mtanga
😂😂😂et utachangamka motoni
🔥🔥🔥
Mimi kama Mimi daiwa? 😂 Mtanga anaweza sana hasa hiyo accent ya kihindi
Nice mtanga😅🔥🔥
Mtanga noma dah
😀😃😄😁😆😅🤣😂 Naijua hiyo mtanga mbona umeumia inanihusu🤩🤣😅😂😆😁😄😃😀
Good job mtanga
HUWO NI MOTO KWELI MAANA SIYO KWA MIODA HIYO DUUU....
Tachangamka motoni!?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Manager mimi kama mimi nadaiwa? Hahahaaaa
Kazi safii @kenya
Joti alikuwa anaringa leo kapata mpinzani wake
Asante San
bora ubaki n erick mzee baba
My comment is always one Hatari🇰🇪❤🤣🤣
Nimeipenda hyo
Kazi iko poa kiasi ...ongeza bidii mtanga wapemba wanakuacha
ma malaya tuu
Ivo ivo😅🇰🇪🔥
Mhhh karibu ukren kivu the same Upige shoo uko poa baba kanjbay
Nimependa
Hii imekaa vizuri litakua funzo kwa wale wenye tabia kama hii
Sikituuu sikitu mtangaa
Swahili penda kula sana
Heshima kwako mtanga
Mtanga na Eric duuh hii kali kubwa kuliko
Daaah hakika hiyo ni dawa na ni komesha kwa kila mwanamke mwenye tamaa
Maji lokunjwa toshaa!!
Nakubali😂🤣🤣💯✅
Hii idea mbn imetawala sana
Mukome na nyny tembeeni hko
Mwamba sana uyu mtangalile😁😁😁
😂😂😂😂😂unachangamka kwenye moto
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mbne waangalia camera mtanga🎥 bt ime weza 🔥🔥🔥
😂😂🤣🤣🤣utachangamka motoniiii
Hahahaha nachangamka moton
Kila umuonae wa muhindi kuna wengine wahindi wa mbagala na karyako,# mtanga mtangarire 🤣
Erick daaaah😭
Kanji bahi amepima unga na maji leo hahaha
menejaa...mimi daiwaaa? hahahaaha.Muhindi umeniuwa
😂😂👏👍
Mtanga chagua wanawake warembo sio hawa sura zimekomaa kama mbuzi wa vingunguti
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Kwa mbali sura nzuri karibu sasa, msitugombanishe na Mungu jmn
Mbona kama mnaigana hamna aidea mpya
Kanjibhai ( mtanga mtangarire) chunga hao madem wasikufanye ukenda hosha mashuga ya geust wana hasara hao.
😁😁🙌🏼
Hahahahahhahah jmn mashemeji hao kha
niatar kweli
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂👍🏻
Mtanga acha kuangalia camera unapoteza uhalisia
Utachangamka motoni😃😃😃😃😃😃
😁😁😁😁
Hahaha, we jamaa ni hatari!
This women are so chaotic and noisy.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Script nzuri ila pisi hizo n mbovu sanaaa. Keep doing as a brand! Otherwise it's good job.
Ngoma draw
Ntachangamka motoni
Hili fundisho mkome wenye tabia kama hizi
Mpiga picha anahangaisha camera
Nimeelewa saana hii mm sijanuna banah vipi?nimecheka kama mtt
aposawa
😂😂
Ila mtanga kuigza kanjibahi ndio unapendeza zaidi na kuchekesha sana
Hahaha
Acheni tabia hizo mnafeli
tachangamka motonii????🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi kingwendu umeikubali hiyo ni motooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hako ka wigi huka badirishi
Iiio
Ujinga wa wanawake wa kibongo,Unamwambia unamtoa out ana alika na marafiki zake utafhani anaenda kwenye Sherehe ,hafu mbafika mna agiza vitu vya gharama,wanasahau maana,hata sherehe za siku hizi nazo zinachangiwa bila kuchangia hupewi kadi ya Mwaliko,wewe unaenda kwa shemela una amua kumkamua koma.
Mtanga uko good sana 🤣🤣🤣👇👇 Angalia part 2 yake noma 🤣👇 usisahau ku subscriber 👇
th-cam.com/video/5N00cvt7aoo/w-d-xo.html
Click kuskiliza Darasa mziki type new vision th-cam.com/video/jgoZ7qMrV1E/w-d-xo.html don’t forget to subscribe
Kanjibai Leo utatokea choooni
Ujinga wa wanawake wa kibongo,Unamwambia unamtoa out ana alika na marafiki zake utafhani anaenda kwenye Sherehe ,hafu mbafika mna agiza vitu vya gharama,wanasahau maana,hata sherehe za siku hizi nazo zinachangiwa bila kuchangia hupewi kadi ya Mwaliko,wewe unaenda kwa shemela una amua kumkamua koma.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hata maji hawakunywaa