Damn I’m ur big fan 🇺🇸💯 Kamtanga kanachekesha sana everyday after work I have to check kama umetoa new video and yeah you never lemme down keep pushing💪👏
JINSI YA KUSUKA VINZI KWA MTU MWENYE NYWELE NDEFU (FULL VIDEO) NYWELE ZA UZI | Kutazama Video hii nzima Bonyeza Link Hii 👇 th-cam.com/video/EuMZltKW1HQ/w-d-xo.html : Usisahau Kusubscribe, Ku Like, Ku Share Na Ku Comment TH-cam channel yangu iitwayo #GwijiTv Asante sana 🙏🙏🙏🙏
Mtanga mtanga lile bigapu sanaaa
Napenda sana niko inchini ufaransa nawafata sana skitu ni kiboko
Nakubali nakupata kutoka port Alfred
Bwana unatisha sana sukuma one
Masai namwelewa sana
Aaah sema love u ilove you 2, aaah kanjibai
Mtanga na group lako mmenifurahisha kama kawaida yenu, asanteni sana, much love from Switzerland. 25.02.22.
He doesn’t know how he entertains us wale tuko upcountry
Naikubali sana
Napenda sana from kenya🤣🤣🤣🤣
Kazi kuch neihe
Hahahhhaha Masai bana mshamba hyo
Wa Lweba Fizi D R Congo,Safi sana.Masai anagonjwa Masikio😀
Kanjibai noma eti masai iko na guu ya toto. Dah nimecheka kisefenge
Nc
MOZES ndendya hakuna shida kutoka LUGOBA chalinze
Taka acha swimming pool kwa sikitu 😂😂😂😂😂😂
Mtanga umepata team sahihi komanao wakovizuri saluti 👏👏 Pascal tena from USA
Kama kawa from kahama shinyanga tushaona na ku like chapu sema masai ataua mtu 😄😄
Noma na nusu
Sikitu njoo kwangu bas jamaniiiiiii😍😍😍😍😍
Muke nilikuwa nayo
Daaah masai umetisha nakukubali sana masaiiiiiii, 🌷
Nakupenda sana mtanga from malawi nakufatilia sanaa kweni sana sana ufanyeje sana na mzee senga na kingwendu
Good
Safi sana kabisa Mungu awabariki kwa kazi mzuri
Napenda sana kuku fatilia from Burundi
Aseee leo mara ya pili hamnitaji au niache kufuatlia au nibadili jina😫😫😫😫😫😫
Usibadili tuko pamoja tunakupenda sana putin
Ni Hussein Voi mko juu
Mtanga natamani siku zirudi nyuma broo❤️❤️
Kazi mzuri
Tupo pamoja,,Mtanga comedy
Sikatai masai mm
Kazi kazi, mupo vizuri sana
NI YULE YULE ZED ONE AK MJUKUU KALIMANZILA KWELI WE MTANGA UNAFAA KUWA MHINDI UNATISHA SANA TUKO PAMOJA KALIBU KISIWANI KOME MWANZA
alway you make happy kamtanga from turkey. mambo baya
Much love
Damn I’m ur big fan 🇺🇸💯
Kamtanga kanachekesha sana everyday after work I have to check kama umetoa new video and yeah you never lemme down keep pushing💪👏
Big up sana weye ni mkali Kwa comedy
Mmh sikitu uko vzr mno, big up nakuelewa mno,hasa rangi Yako nzr, chonde chonde usije ukajicream
🤣🤣🤣🤣kanjibai busu moja no mshahala.
Iko poa sana, geofrey malekana kutoka mbagala dar es salaam
Mafinga Karibu bnh kanjibhaiiii
Mtanga unanifurahisha sana nawaangalia nikiwa Qatar 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
😅😅😅 nawakubali kinom wana wang
Nakukubali sana et utaachia swiming pool
Sura ya sikitu the same naya exwangu
from kenya nawapenda snaaaa
Nampenda "Sikitu" jinsi alivyo na karangi kake 🥰🥰
Omary chungu kyela boda kasumulu
Sikitu taka masai kanjibai
From sinza palestina
Nice work
Mimi ni Evariste tokeya Congo DR
Naipenda mtanga comedy.
Israel solar kariakoo mdau wako kinyama
Mtanga noma!!
Pongezi,mutanga na wenzako,ni Josphart morara Basweti,lolgorian kenya nimekupata moja kwa moja.
Tuko pamoja mtanga kutoka Saudi Arabia
Mtangaaa kukupata toka Arusha
Wa masai watatupa kazi kwakutuhelewa kihindi Mr kanjibhai...hahahaha🤣🤣😂😂😂
From durban....
Mtanga forever
Safi sana mtanga
Good job (USA)
Mtanga mtangalile ni shidaass😁😁
Unachekesha sana Kweli
Tupo pamoja Mtanga Comedy - wazee wa kutoa Stress. Tommy from Firtek Fluid Connector Solution Mapinga Bagamoyo.
Gabby khan mkenya naenjoy kila sikuu
Nakuaminia mtanga
Nataka ingie kwa sikitu ache swimming pool 😂😂😂😂😂
Kanjibaiiiiii
Safi sana kutoka +254
Parking ya magari
Kama ifyatavyo
John from Dodoma raha
Hi
Tamu sana
Tuko na weye mupaka mwisho
Hahahaaa eti Maasai wote nawajua wako na guu ya toto unataka uingie kwa sikitu uache swimming pool 😂😂😂😂😂😂 Khanjibai
JINSI YA KUSUKA VINZI KWA MTU MWENYE NYWELE NDEFU (FULL VIDEO) NYWELE ZA UZI | Kutazama Video hii nzima Bonyeza Link Hii 👇
th-cam.com/video/EuMZltKW1HQ/w-d-xo.html
:
Usisahau Kusubscribe, Ku Like, Ku Share Na Ku Comment TH-cam channel yangu iitwayo #GwijiTv Asante sana 🙏🙏🙏🙏
🇺🇸🇺🇸🇺🇸
mtaga vp
Vocês me deixam feliz 😅😅😅
Onder pais pra voce
sauti hakuna kaboss mtanga
Sauti mbona ipo kaboss
Wacha akuachie swimingpool uogelee vzrp
Mishangaza mingapi
Mtanga comedy forever
Wa masai wagumu kuelewa atari
Njoo USA bwana kamkubwa🤭🤭
🤣 🤣 🤣 🤣
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mimi niko Kenya Mombasa ni Mpenzi wako mkubwa kuanzia enzi zileeeeeee hadi leo
pot kimbiza from hale TANGA
Nimekawona ka lewoo😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From durban 🤣🤣🤣🤣
Shangazi yupo kijijini ?😂😂😂
Nawatazama nikiwa kilifi kenya
Nimimi npo Tz
Masai yote ina guu ya toto,taka ingia sikitu niachia swimming pool 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti mimi nina ukiimwi
Uko vizur kamtanga toka 2004 kwenye tangazo la Aha dawa ya meno 😂
Kajibhai,mbona husomi kiindi....🤣🤣🤣🤣🤣🤦🤦
Kakitu kako Kamtanga kasafi sana