😛😜😛Yaani wahindi ndio hivyo hivyo na kukaa kote Afrika au Tanzania au kuzaliwa huku huku kwetu kwenye hili Bara, Yaani Tabia zao za kihindi ziko pale pale, walaaa hawabadiliki, nadhani ni Uasilia Wa Mtu, hajalishi amkulia wapi? Au amezaliwa wapi? Mradi nimradi ni kundi la jamii la hao watu wako hivyo kiasilia
Safi sana wazee wa kazi back in action salute matanga na bambo heshima kwenu
Nimependa mgongo wa sikitu 👌
I'm akenyan but mtanga is my favorite comedian
Mtanga unaweza baba duh kwanza nkishakula madude naisha kabisa💥💥💯AbuAli barisheba Mombasa Kenya
Wee baba kuja bana chai moto sana kuja poza..😀😀😀 from 254 .
😂😂 these guyz nowadays knows to make me happy
Nimezimia kwacheko 🤣🤣🤣🤣🤣 aiseee, Bambo we ni nomaaaa eti we mshenzi kabisa huna hadabu 😝😝😝
Mungu awape maisha zaidi hawa watu.
Wahindi wapuuuzi saana
😃😃🇰🇪❤The way Bambo Talks it's a stress Reliver
Sikitu mali safi .much love from kenya
🤣🤣 swahili jinga kabisa, yote nafanana mtanga wewe kiboko, endelea na ukanjibai ndio sehemu yako sahihi. Love from Switzerland, 06.02.22.
😛😜😛Yaani wahindi ndio hivyo hivyo na kukaa kote Afrika au Tanzania au kuzaliwa huku huku kwetu kwenye hili Bara, Yaani Tabia zao za kihindi ziko pale pale, walaaa hawabadiliki, nadhani ni Uasilia Wa Mtu, hajalishi amkulia wapi? Au amezaliwa wapi? Mradi nimradi ni kundi la jamii la hao watu wako hivyo kiasilia
@@monicahovda4524 ni kweli kabisa.
Umeona ehee eti swahili jinga kabisa yoote yafanana😂😂😂.
Aiseee
Big up mtanga na bambo kazi nzuri
Kali sana
Mtanga....Hogo mbichi hii
Bambo.....labda tu utafunaji wako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbambo na mtanga mbavu zangu mm dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣From India...mmenivumja mbavuuu.😀😀
Hogo bichi 😂😂😂😂😂😂
😝😝😝😝😝
Huyo mteja niwakupiga,wahindi wanadharau saaana
Yaani ikitokea mda nimeona tu notification Kanjibai naacha shughuli zote naja view. Thanks bro. One love from Mombasa Kenya.
Nakweli
Muhindi unatuma sana alafu hela una 😂😂😂😂😂😂😂👌
Ndotabia zao wahindi
Hahaaa kanjibahiii unatupunguzia stress hatari
Aaa bambobwana kamachuga vile wanavyojidaisha inapendeza sana
Wapo sabaniiiiiiiiiiii
Mko juu sana
Mtanga ni balaaa 😀😀
😀😀😀 napend xn
Apo kazitu😂😂😂😂😂😂😂heeee atakama nikazi iyo yajutumwa mpaka upoze cai itakuwa ngumu.pole papa nitilie 😀😀😁😁😁😁😁
Mtanga mmerudi vizuri wakongwe, endelea kuboresha utafika mbali....
ungekuwa tajiri kweli watu wangeona taabu kanjibhai.
Nice job
Kichwa Kama ugali😀😂
😂😂😂😂 weka na mindevu bro , utauwa mnoooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani mtanga leo umenimaliza
leo nimecherewa kumuona bombii nyumbii ndugu yangu bamboo mgon mwexangu
Jero ipo sahau jumbani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌🏾
Apa uwezi kutoka ulemundu afilemundu
Kanjibai noma
Yani Leo mmenimaliza .....🤣🤣🤣🤣,Bamboo ameuchuna vbya, maana c kwa mikofi hyo...👈👈🤣🤣🤦🤦🤦
🔥❤🔥
Mimi teja
Mtanga aaah, Mimi baba fanya kazi Yako, mia tano aaah
Nice
Hataaree 😅😅😅😅
🤣🤣🤣wewe oja oja
Una Hogo lol
Bambo anasema kichwa kama ugali. Nitakufumua ubongo🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 muhindi kakipata
Aboreshe muonekano wa sura ya kihindi ili kuleta uhslisia hilo wigi halitoshi, andebandika madevu babdia. Sauti kidogo amepatia
Nawapenda sana jaman,
Wa kwanza kuangalia leo like ata comment yangu kanjibai
🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏
@@mtangacomedy ila lipa pesa ya watu kanjibai swahili UA wew
Kwani kanjibai uko na nguo moja kutoka India
Demu anacheka vibaya
Teja fara
Mhindi kapatikana 😄 🤣 😂 😆
😂😂😂😂Swahili imejaa meza
Nanenepa mwili kichwa nakonda nini sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😝😝😝
Polezea chai wapi
😂😂😂😂😂🤣🤣eti hapana fumuana bongo
Mahali pachafu inzi kibao na ghasia nyingi. Muindi anawafundisha usafi kisha wanakuwa jeuri....
Achonge viazi.. huyo kanjibai mwizi..!
Ngap unadai
Mbn imeshia njian
Kweli anakupa kizunguzungu mzee
Kanjubai mkorofi
Kanjibai bhn heti umepiga Kofi sabuni imeruka juu
😝😝😝
Leo bambo kapoa😆😆
Bambo umekuwa mstaalabu xana
Swahili iko jaa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kanjibai amepatikana leo
Kanjibai ananivunja mbavu analeta na dharau. Ni kweli wako hivyi hata huku tunawaona. Na Bambo huongeaji na Action zake ananichekesha saaana.
🤣🤣🤣🤣 dah
kanjibai niatari
Swahili inafanana
Naona sikitu cheka apo nashindwa ekta sinema
ka wahindi wako hivi kweli ,mm siwezi kuvumilia 🤣🤣🤣
Khaa😂😂😂
😂😂😂
hii kali
Teja nakuja nakuta chafu
Sijawai kufanya biashara iyo pulizia chai mtanga fala ww
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Dah nyie wa2 mupewe2 crown.
Shikilia hapo hapo kanjibai
🤣🤣🤣
Mhh mko vzr sn
Saf sana mzee
😀😀😀😀😀😀
😅😅😅😅😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂👍
Swahili nakula bhana
Saf
😅😅
Hahahahah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂Diamond platnumz acheka sana baada yakuiona iyi video ebu na wewe bonyeza apachini ujioneye👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/WbGSs1CFdeQ/w-d-xo.html
We mpumbavu nini Huna adabu kabisa mshenzi wewe
Click kuskiliza Darasa mziki type new vision th-cam.com/video/jgoZ7qMrV1E/w-d-xo.html don’t forget to subscribe
Nice