Baba kafue alimpigia loise live on camera😭Chief seem to be the light of this family😭God help mama😭❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 264

  • @EzraEzzy-e6l
    @EzraEzzy-e6l 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Mungu saidia mama kafue apate amani na baba kafue ajichune sikio kwa kupenda penda wanawake

  • @Sarah-iw6cg
    @Sarah-iw6cg 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    HUYO MARGRET PIA ALETWE DIO BABA STEVE ASEME KAMA ALIMUONA KWA WALE WAMAMA WA NNE WALIOUZA SHAMBA

  • @HHfhf-o9g
    @HHfhf-o9g 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Mungu wa mbinguni kumbuka mama kafue🙌🙏

  • @leonardnjau9006
    @leonardnjau9006 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Baba Steve is innocent na akichezwa pia huyo bibi ameoa atamuosha vibaya sana

  • @HildaWainaina-n2e
    @HildaWainaina-n2e 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    1:Mama kafue aondoke wanaume wakesi wenyewe anachoma.
    2:subchief alikuabincluded kwa kidnap ya mama kafue,mesoo zilionyesha margret akmwambia akiskia anything kwao asireact
    3:Loise na Margret walishikana na subchief kuuza mali ya baba kafue
    4:Margret ndiye alitafuta Loise aende aseduse baba kafue ili apewe title mission yoke kabla ya kukidnap mamakafue ikamilike..period!!!!!

  • @OmanJjs
    @OmanJjs 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Baba wetu wambinguni naomba ulete mwangasha wa samba nama kafue please Jesus lord 😭😭😭

  • @kipkuruimutai
    @kipkuruimutai 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mungu,unaye tetea wenye haki,tetea hii familia, kisha musamehe baba kafue,alitenda kwakutojua

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Bring rose muhando... Why are you going around the bush. You don't want to bring this rose here

    • @margaretwambete1228
      @margaretwambete1228 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Rose muhando is loise

    • @NyathiAheroOkech
      @NyathiAheroOkech 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Deve hapa ulikosea, ulisanitize loose sim ukapata kuna mwanaume smemtuma title deeds so unajifanya tu mbona auku mwambia mama kafue aitepolisi hii samba singe uswa wewe dave 😢😢

    • @Zulfa-sc4bu
      @Zulfa-sc4bu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@NyathiAheroOkech okay Kumbe Dave aliona msg kwa loose na Akahamua kunyamazia? ni video gani hiyo niisikilize vizuri?

    • @NyathiAheroOkech
      @NyathiAheroOkech 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@Zulfa-sc4bu wale wasichana wawili mmoja alichukua, ilikua video ya mwisho kwa mama kafue

  • @naomigitonga5340
    @naomigitonga5340 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Huyu sub chife is not supposed to in any Government office

  • @MaggieK-z2b
    @MaggieK-z2b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Baba Steve ur wise n understand rundichia mum shamba

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Bona rose haletwi guys😢😢😢😢 naskia vibaya sana

  • @serahwambuamukuimukui6957
    @serahwambuamukuimukui6957 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu chief mndogo anajua kila kitu juu ya hiyo shamba

  • @perisnjerikuria3803
    @perisnjerikuria3803 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    God will restore everything that was lost because He's merciful.

  • @LilianKarisa-nv3sr
    @LilianKarisa-nv3sr 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mungu ingilia Kati Kwa hii familia ya BB Kafue wapate haki yao

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu atafanya kue na nuru gizani juu ni mkuu mama kafue mungu hatakuacha kamwe.

  • @maggiesteer6655
    @maggiesteer6655 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kesi hii ingekuwa tz, baba steve angekuwa nje ya plot mpaka kesi iishe

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      That's true kwanza kanunua shamba bila mashahidi wa wenye shamba

  • @rosegathoni3958
    @rosegathoni3958 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    For this Title to be able to be sold. First thing the court as to give out Confirmation of the grant to Bb Farua as administrator of the Estate. If the court that parcel of land is 💯% of Kafue Kimemia, then he surrender the Title to the office and get in his name. That is the time he can transfer to Rose Muhando. Hio hapo yote Bwana Chief ni ukora tuuuu

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      True

  • @LucyNjoki-wt2po
    @LucyNjoki-wt2po 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    huyu subchief anajua everything kuhusu hiyo shamba

  • @HIDAIAZngbar
    @HIDAIAZngbar 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha utani kwenye maneno magumu kamahayo Dave msaidie baba kafue

  • @Zulfa-sc4bu
    @Zulfa-sc4bu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Margaret Kimnyaaaaaaaa, kama sio yeye Mbona hajitena kwa S Dave???

  • @rahma6189
    @rahma6189 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Devi msaidie baba kafue huyo msichana apigiwe

  • @WilfrideAthone
    @WilfrideAthone 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Subchief anajua kila kitu ona vile anakaaa nyangau,kinyangari a form one

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ila Huyu Mzee baba kafue ni hovyo Sana all these troubles analetea mama kafue ni umalaya yake

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alikosea hata wewe huwa unakosea

  • @Moruridorine
    @Moruridorine 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu kijana alifikiri n kurahisi venye alisign document sasa wacha kiwarambe

  • @willykipkorir194
    @willykipkorir194 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hawa wote ni wakora chief baba steve

  • @ZenyGold-g7h
    @ZenyGold-g7h 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sheria ni ata uyo rose muhando angeuza lazima wangiitisha baba kafuwe akakubalisha kuwa aliuuuza

  • @naomikemuma3337
    @naomikemuma3337 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Baba Steve is speaking something good u need to listen to it Dave

  • @JamesMuthangya-y8v
    @JamesMuthangya-y8v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo muzee nimukola sana anafukuza mama watoto warembo wanausha samba

  • @chadoski5
    @chadoski5 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pia wewe Dave uko Na wasaliti kwako ,Jeremy ndiye aliunga Nisa hiyo Maneno ya kuuza shamba

  • @ayubkamau5130
    @ayubkamau5130 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Salamia gachagua saana

  • @marionnanjala1806
    @marionnanjala1806 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hio ukora kabisa hio plot iko more than 50milion, yawizi ndio waliuza 5 million

  • @BillaBla-x8y
    @BillaBla-x8y 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Huyu assistant chief arleweki hata sijaona akijitetea hata kidogo nikupanua mdomo tu kuubwa😂😂

    • @LydiahObungu-l9e
      @LydiahObungu-l9e 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huyu subchief ni confused element 😢alijielewi kabisaa

    • @nmogaka889
      @nmogaka889 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anaona kimemuramba wakati wamekula 5m walifurqhia sahii kimewaramba​@@LydiahObungu-l9e

    • @chadoski5
      @chadoski5 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂,,,😂😂😂😂😂kimewaramba😢😢😢​@@nmogaka889

  • @ElizabethMuthoni-x8r
    @ElizabethMuthoni-x8r 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sina kitu lkn aoba Mungu aingirie kati mama kabuì apate mali yake yote in Jesu name

  • @hillarycheruiyot7224
    @hillarycheruiyot7224 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hakuna number ya rose muhando Kwa land agreement, lasima iko

  • @AishaTyler-q6d
    @AishaTyler-q6d 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mahali imefikia Dave tafutia baba kafue daktari tujue ukweli n baba kafue apate mali yake,,coz huyu chief nikama ameongwa tayari 😢,,, juzi alikuwa amesimama n ukweli lakini sai amengemea upande mmoja 😢😢😢

  • @annaachola8866
    @annaachola8866 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve amefanana na Gachagua😮😮

  • @trizahmasilah1663
    @trizahmasilah1663 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani hii shati ya baba steve alinunua yues 😂😂😂

  • @PeterNguvu
    @PeterNguvu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi mzuri senior dave

  • @virginiawaeni2662
    @virginiawaeni2662 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo Rose Muhando labda ni magret anajiita hivo

  • @LucyNjoki-wt2po
    @LucyNjoki-wt2po 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    chief ekelea mtu kofi😅😅

  • @DeanahOnea
    @DeanahOnea 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na baba kafue sialisema ako na title jamani hakua kama ame conform 😳😳😳

    • @kifenjijunior132
      @kifenjijunior132 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eee adi akasema ameeka mahali

    • @elimukariuki4791
      @elimukariuki4791 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ee alisema iko kwa advocate wake na hakuna mtu anaweza pewa ila yeye😅😅tuliskiza vizuri

  • @estherthimo3775
    @estherthimo3775 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Muireth 😂Muiretu😂😂 chief Aki

    • @margaretwambete1228
      @margaretwambete1228 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      I love chief

    • @chadoski5
      @chadoski5 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @RoseNyamburathuo-pr1cb
    @RoseNyamburathuo-pr1cb 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leteni rose.aseme kwenye alitoa title.

    • @eznahnyaboke7249
      @eznahnyaboke7249 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Exactly,mbona wasiletwe hiyu rose wanamfochakaa ARVs???

  • @Mamas-06k
    @Mamas-06k 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lakini baba Steve seems to know everything,

  • @felistasgitau-nb4zg
    @felistasgitau-nb4zg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve is an innocent buyer. The sub-chief, Margaret, Loice/Rose ni kitu moja.

  • @annitahmaina5580
    @annitahmaina5580 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ingilia kati🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @maryngandu3864
    @maryngandu3864 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve is revealing the secret because he knows everything.

  • @Charles-j3r
    @Charles-j3r 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu saidia hii familia

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu chief ni comedian 😅😅😅😅😅

  • @philvankadenge7805
    @philvankadenge7805 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu chief naye haelewi vitu hapa,,,mara uku mara uku

  • @marykamau6625
    @marykamau6625 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baba kabue mori zitakupeleka mpaka kwa kaburi chunga sana eee chief mwambie ukweli mori ni more fire

    • @marynjuguna438
      @marynjuguna438 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eti ati Mori....

  • @esthernjonjo6858
    @esthernjonjo6858 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wee Dave Wacha kuingilia mzee saa kama hizi wee huna rafiki na unajua kila kila kitu

  • @khamistv6138
    @khamistv6138 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wana wake wame kuwa sumu sasa 😅😅

  • @IreneWasike-pn4mx
    @IreneWasike-pn4mx 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Let God take control

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii mdomi ya senior chief si itangoka 😂😂😂😂

  • @agnesNyambura-z5b
    @agnesNyambura-z5b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    God remember this family

  • @Quee-t5m
    @Quee-t5m 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyo baba Steve anashinda akituimbia jina rose Muhando c alete huyo rose Muhando araka,,Sisi tunajuwa Rose Muhando mwimbaji cjawai ckia Kuna rose Muhando, mwingine

  • @Susanwairimu-b9n
    @Susanwairimu-b9n 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani tittle inatoka kwa babu bila kusitaki kifu ya baba yake iyo ni ukola ulifanyika kubandilisha hiyo tittle huyo msishana alifiki iyo tittle na kuandika fiki agreement.

  • @JulianaAnatoli
    @JulianaAnatoli 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waiting 😢

  • @TobetobeTobe-c9i
    @TobetobeTobe-c9i 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani huyu mnunuzi c anajua Kuna wizi hata yy aliibiwa na bibi yake, but God wa .ama kafue atampigania

  • @SusanMaina-j2v
    @SusanMaina-j2v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo plot Baba kabue alishauza....Baba Steve won the case

  • @LydiaNyambura-y9t
    @LydiaNyambura-y9t 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu subchief ana respect

  • @KhanKhan-j4x6d
    @KhanKhan-j4x6d 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zike vitambaa mulichoma za church za mama kafue mutajua mungu alali

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    They should also take note of who signed the consent foams because it's mandatory b4 transfer of the title deed. It seems they by passed some legal requirements b4 finishing the all process.

  • @JamesMuthangya-y8v
    @JamesMuthangya-y8v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mama ataishi vipi sasa kenya mambo ni mengi mungu asimame na haki

  • @ساليبولندا
    @ساليبولندا 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muchunguze.simu.yahuy😢😢😢😢chef😢😢s

  • @NancyNjeri-d4t
    @NancyNjeri-d4t 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo rose alete makaratazi Yala aliusis shamba Na baba kafui

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We pray hawa wazazi wapate haki yao wache kuhaingaika wqpate amani

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    100peoples mnipitie niwapitie right now unasema uko number ngapí

  • @carolinekorio2902
    @carolinekorio2902 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve ako poa ,Davie peleka mambo pole pole bila kurudi Sana na hiyo ya zamani ,,

  • @JustusMwania-bj7xe
    @JustusMwania-bj7xe 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama kafue pliz unachoma, unachomaaa mama kafue mama kafue, mama kafue nimekuita mara gapi unachomaa mama kafue

  • @KenguBeatrice
    @KenguBeatrice 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi sioni baba kafue visuli

  • @njerimaina6285
    @njerimaina6285 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢 mbona naona nikama chief nae ako Kwa hii mission 😢😢

    • @marywanjikukaranja1439
      @marywanjikukaranja1439 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Noo he is not involved at all..this man is very sincere.

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu chifu ni hilarious 😂😂😂

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama kafue sulisema yure musicha mama yake munaingiya kwa church moja,

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo bibi wamutafute ,baba kafue mujinga Sanaa ,hajuwe hata kujieleza,wasichana walikuwa kwa misión Yakuyiba makalatasi ,mutajikuta mama Kafue mdogo yimo ndani, kwa hiyo ukola hakuna nyumba ya miliyoni 5.000.000

  • @JosephineBiyaki-t4o
    @JosephineBiyaki-t4o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve hajana Ni hiyo plot Ni ya mama kafue Na baba kafue wewe ndie utakufe vibaya😢😢

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo sub chief alete yeye sijui kama mumerogwa

  • @godslove3700
    @godslove3700 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Let's go to the land office and see when the transfer of land + transaction was done

  • @mercywambui6392
    @mercywambui6392 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sub chief hana manners

  • @Gemomu
    @Gemomu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba kabui alikua na Rose muhando,rose muhanda akupee baba kabui mapezi aka mubadilishia title

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sanitaze simu ya hicho kibwana sana muralista yeye na Margrete wameuza pamoja

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chief ni kigeugeu😂😂😂 sometimes hakuna pande haingilii siasimame na msimamo moja

  • @STELLAMGENI
    @STELLAMGENI 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    this is life tld ya baba Kafwe iliibiwa ,ndipo ikafanyiwa ukora .

  • @SusanKungu-i7i
    @SusanKungu-i7i 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu saidia aki

  • @jacintanjambi7115
    @jacintanjambi7115 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Peleka baba kabui kwa pasta

  • @EdnaJelagat-j1i
    @EdnaJelagat-j1i 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Kafue sema ukweli

  • @judith4661
    @judith4661 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vile Steve waliadikishiana na rose vile vile kafue aliadikishiana na Nani

  • @HANNAH-kc5kz
    @HANNAH-kc5kz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sub chief anafaa achukuliwe hatua Kali ananjua kila kitu juu hanja yake n hongo

  • @lenismokeira5056
    @lenismokeira5056 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU kumbuka mama kafue😢😢

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba steve chunga kuoewa simiti na huyo mpango wako kaa chonjo juu hujui plan b ili aachwe na Mali yako

  • @charlesmburu5075
    @charlesmburu5075 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wacheni ujinga, kama title imeadikwa kafue kimemia leteni huyo rose dio atoe mwenye alimuzia

  • @eznahnyaboke7249
    @eznahnyaboke7249 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona msilete rose muhando

  • @teresiahnjeri7018
    @teresiahnjeri7018 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alipigwa Ako wapi

  • @UlenjeNyamvula
    @UlenjeNyamvula 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama kafue nyamaza

  • @moureenkananu9392
    @moureenkananu9392 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akh huyu chafchief ni mkora

  • @Stellamaris-c3m
    @Stellamaris-c3m 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Steve alisema akirudishiwa pesa yake atapeana shamba Sasa tafuteni mwenye aliuza😮

  • @ndungumburu6463
    @ndungumburu6463 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kafue kimemia afukuliwe kutoka kaburi ama namna Gani?😮😮

  • @rachealnkatha5202
    @rachealnkatha5202 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sub chief anakaa mwizi mkora😂

  • @judithnawire9050
    @judithnawire9050 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ni cifu 🤣🤣