My father my God continue to bless Senior Dave and his team for all the sacrifices they make to make sure justice is served to all those families who are affected by these events ❤🎉🙏
hizo transactions za shamba ni fake sababu mwenye shamba ni marehemu na aliyekufa mali yake lazima ipitie kortini ndio igawe ama iwe transfered.wapi mawakili wasaidie baba kabui
This is a dealt with issue.May God light the dark secret and represent us to the next stage This operation will bring havoc to statemen. Non corrupt will defeat God's spirit on the surface. Kiri kumia kimwe cimiaga cithothe. Kurihonoka wamuru.
@@LucyNjoki-wt2po kabsaa!n umeona sekunde chache akachukua ile file baada hyo kimemia nae kutamka yuko radhi shamba ichukuliwe ikiwa n loise ndio aliuza
He denounced injustice once and for all. Iriguikio ikagia iria ingi. Climax will be when Nairobi city will be like London. Creative words spoken by former president Uhuru.
😊😊Hugu guzee gunaitwa baba kafue akili yake imejaa Wanawake Dave mfukuzee akwende na uko huyu mama kafue ndio ataftiwe Mali yao.. 😅😅😅Woooiii justice fir mama kafue
It's open,Haron arudishe shamha ya baba Kafwe,alipie siku zote ambazo baba Kafwe amelala inje, Codi alio chukuwa myezi zote alipie,because hiyo siyo mali ya Haron.
Yaani hapa ni Kama hii serikali inasaidia baba kafue kukula mali yake😂😂😂😂 chief anamanga Margret na assistant chief anakula rose wote wakiwa mabibi wa baba kafue😂😂😂😂
Dave ,that case is so tense, let the court handle and DCI ,hold the Rose muhado and the sub chief,.. The death of Baba yake Baba kafue lazima ingestakiwa, so that the land can transfared to Baba kafue then to the buyer....so huyo buyer amepotesha
@@betykim Ukarabati of the highest order.Sub cheif just signed documents for little cash to oil the fraud. Lands office is a fraud center. The USA fella has been totally clean. Baba Kaff is right, no due diligence was followed.
Mwenye amenunua shamba ya wizi yy pia ni mwizi inafaa ashitakiwe, coz ukinunua ng'ombe ya wizi na ww ni njuuzi pia ww hushikwa na pesa zako zinapotea hivo, maybe udai mwenye alikuuzia lakini ng'ombe inarudi kwa mwenyewe, so huyu baba Steve kitamlamba either arudishiwe pesa zako pila intereste ama atoke kwa plot ya mwenyewe na wadayane na mwenye alimuuzia na huko
Let's wait and see what is happening. We are living one day at a time and God is always making something new today. Before dawn expect many more wonders.
Let's start moving from where we reached with Catholic bishops and we will succeed. Enough is enough. Creative words spoken by president Ruto. This confusion in the country must come to an end. Turauma Kiahiti tugathii kia Ngari. From abduction to land grabbing. Making mistake is no mistake but repeating the same mistake. The worst of it all is that everything is happening at the hands of the three arms of governments.
Mungu halali kazi nzuri sana mungu awabariki wote na mafans wa senior dave
Amen huyu sub chief ni muhuni
Give some to baba Kaff, DUE Diligence was never done or followed.
Mungu mbele
Eee Amiiin Masha Allaah
EEE AMIIIN MASHA ALLAAH
Justice to mama Kafue niko na lmani huyu mama Kafue atarudi kwake
In JESUS NAME 😢
Amen
Amen Mungu sikia ombi hili😢😢
Amen 🙏🏼
Asante mungu senior deve ,chef kaz ni nzuri sana hakika mungu ni mwema .
😂😂😂😂😂😂chief kazi safi asante justice for kafue family
Shamba ni la marehemu kwa wafu huuza mashamba Tena this is realistic congratulations
Congratulations bwana chief wakora waende jera
Oh God continue blessing Senior Dave,he really do a good job,especially in Baba Kafue’s family God bless.
Anything I do write down is fulfilled. Expect many more wonders CJ Koome. You do represent human race This is a rank above your own.
Plot ya mama kafue lazima irudi
In Jesus name
My father my God continue to bless Senior Dave and his team for all the sacrifices they make to make sure justice is served to all those families who are affected by these events ❤🎉🙏
Huyu sub Chief D.O a deal nayenye he's not supposed to be near any government office mkora
Waiting,,Team SD,,,💪💪, power of prayers
Subchief seems to be .entally sick,how can he keep laughing on serious matter😢
Mama Kafue must have justice 👍👍👍
na huyu mzee wakununua shamba ya mama kafui kuna mahali nimemuona kwa comera ingine wakisanitaiziwa na bibi yake alikua ametoka ngabo
Senior Dave ndiye aliwa sanitize
This God's nation must be free from corruption. This operation affects from youngest to oldest.
Muhando hajui baba kafue lakini documents zinasema waliuzania nayye shamba😮😮subchief anasema hawajuani...wezii!!!!!
Raha huku huyo subchief mkora huyo 😂😂😂
Navenye akona privet sura😂😂😂
Uyu chief ananibamba sana😅😅😅😅
Bt huyu baba kafue kichwa yake iko sawa kweli mbna aseme kama ni loice wacha shamba iende tu hvyo mtu anaumia ni mama kafue justice for her pls😢
Weee wacha kupinga kelele...kaaa seli😂😂😂😂chief mzeee unanifurahisha
Let's start moving from where we have reached with senior Dave and we will succeed. Njamba irundugwo ni muchakwe. Expect many more wonders.
Jameni tumuombe mama kafwe plot irudi hii umri wako nao si yama stress tena pzl
Mbona hiyo sauti inasound ya huyu bibi ya bb steve
Ni Kama ni yy huyu ngombe anaitwa Steve anatupima akili
Exactly
Of course he deserves that punishment,,,wacha atulie huko ndani sasa
I truly appreciate your work S.D. Hope everything will be OK for mama kafue and family.
hizo transactions za shamba ni fake sababu mwenye shamba ni marehemu na aliyekufa mali yake lazima ipitie kortini ndio igawe ama iwe transfered.wapi mawakili wasaidie baba kabui
Very true
True
Great job our son Daviii congratulations 🎉🎉
Wooi. Hii maneno yote inaendelea kenya
God will help this Baba kafwe amueshim mke wake mungu atasaidia
This is a dealt with issue.May God light the dark secret and represent us to the next stage This operation will bring havoc to statemen. Non corrupt will defeat God's spirit on the surface. Kiri kumia kimwe cimiaga cithothe. Kurihonoka wamuru.
Huyo mtu nimkola nyumba za millions of money añasema 5,000,000mwiziiii mkuu
God hear mercy upon Mr ad Mrs kabui
Huyu chief mubadilishe memory iko full 😂😂
Justice for kafue's family
Alisema tu vizuri wakimpea pesa atawajilia shamba
Wacha afugwe ana mchezo sana alikula hongo😂😂😂😂😂atakipata na nn😂
Huyu mama kafue si atulie
Hii studio imemfanya mama kafue ajue kuongea sana,,,, lakini apunguze,, ata alala
@@Mamas-06kN majungu ameteseka ya kutosha😢😢
Love that He has to tell the truth
Mbona hyo haroun amening'onezana na chief??!!
Mimi pia nimshangaa, anamnong'oneza nini, Chief mwisho atakula hongo
kuna kitu wanasema
@@Zulfa-sc4bu umeona eeh
@@LucyNjoki-wt2po kabsaa!n umeona sekunde chache akachukua ile file baada hyo kimemia nae kutamka yuko radhi shamba ichukuliwe ikiwa n loise ndio aliuza
He denounced injustice once and for all. Iriguikio ikagia iria ingi. Climax will be when Nairobi city will be like London. Creative words spoken by former president Uhuru.
Ati Mihando. Huyu chief 😅 😅😅😅
Hii ni funzo kwa wanaume malaya vitombi wote hallelujah 🙏
Huyu musaidizi wa chief nimkora hata sura yako inaonyesha
Haha 😂😂😂kizungu ilikuja na meli😢😢putted
Mama Kafue kaa mpole mambo itajileta tu by God's grace
Huyo nwanaume ni mukola
Khai rosemohando sio Loice😂😂tena
Ni mm nasikia rose Muhado ama masikio yangu doh baya.
😂😂😂😂 ety Rose muhando,yupi wa TZ ama wa kenya
Mayuuuuu!baba steve kwan ako na sura yake personal.kazi poa Senior
Mama Kafue kimia tu you’re going to get help,God is fighting for you the battle is not yours
Huyu mzee alipea loice tilt weee
Mama kafwe mungu yuko utapata mali yako kwa jina la Yesu kristo 🙏
Mama kafue nae amemsidikiza.kwa cell
Mungu alali mama kafue mungu atakumbuka utapata plot yako
Aki hii kesi ni ngumu sana MUNGU asaidie jamani🙏🙏
Kama umenotice face ya baba Steve(Aaron) inafanana na ya Gachangwa piga like tukisonga 🎉🎉🎉🎉🎉
Baba Steve apatie Mama Kafue nyumba ya kukaa case ikiendelea
Anaeza muua
Huyo hafai kuwa subchief hako corrupt sana
Mnafungia mabusu ndani na akona simu kabambe sd,,,ungemnyanganya hata hiyo simu,,y kabambe,,
😊😊Hugu guzee gunaitwa baba kafue akili yake imejaa Wanawake Dave mfukuzee akwende na uko huyu mama kafue ndio ataftiwe Mali yao.. 😅😅😅Woooiii justice fir mama kafue
It's open,Haron arudishe shamha ya baba Kafwe,alipie siku zote ambazo baba Kafwe amelala inje,
Codi alio chukuwa myezi zote alipie,because hiyo siyo mali ya Haron.
Yaani hapa ni Kama hii serikali inasaidia baba kafue kukula mali yake😂😂😂😂 chief anamanga Margret na assistant chief anakula rose wote wakiwa mabibi wa baba kafue😂😂😂😂
Dave ,that case is so tense, let the court handle and DCI ,hold the Rose muhado and the sub chief,..
The death of Baba yake Baba kafue lazima ingestakiwa, so that the land can transfared to Baba kafue then to the buyer....so huyo buyer amepotesha
True lazima wangeshtaki kaburi ndio hio majona wa change niliwahi nunua shamba kama hio process ilikua ndefu sana but kila kitu kilkua sawa
@@betykim Ukarabati of the highest order.Sub cheif just signed documents for little cash to oil the fraud. Lands office is a fraud center. The USA fella has been totally clean. Baba Kaff is right, no due diligence was followed.
No he should not be refunded money he should go get money to whom he sold to
Huyu haroon kuna kitu anataka kuficha maybe hajanunua io plot na io pesa kuna kitu anaficha kweli itajulikana soon
I like how chief is talking with authority
Hi chief ALLAH bless him walahi mtu akona utu
Mwenye amenunua shamba ya wizi yy pia ni mwizi inafaa ashitakiwe, coz ukinunua ng'ombe ya wizi na ww ni njuuzi pia ww hushikwa na pesa zako zinapotea hivo, maybe udai mwenye alikuuzia lakini ng'ombe inarudi kwa mwenyewe, so huyu baba Steve kitamlamba either arudishiwe pesa zako pila intereste ama atoke kwa plot ya mwenyewe na wadayane na mwenye alimuuzia na huko
This is true if found handling stolen property you loose it all.Baba Steve hata ww kinaweza kuramba
Jamani God bless kwa kusaidia baba kafue harudishe shamba
Mama kabue ata wee saa ingirie uko na ujinga kiasi,,si utulie,,mnashindia kitu moja tu.
Baba Stive arudishiwe dooh na hawa wakora juu ata aliuziwa cheap sana...ati 5million na imejengwa
We need DCI wetu fred kindly come and help our mum
Chief great job
Ati Rose mhando 😂aki watu Baba Steve itajua haujui potia jia halali wacha sort cut ATI uko na dollar
Mambo yamechemkaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Baba kafue nyege zimeisha😂
Shenzi kabisa
@margaretwambete1228 😁😁
ebu wapigie rose wa baba stive mm naona nikama ni huyo
Huyu subchief ni dwanzi kiplani😂😂
😂😂😂sasa baba kafue ulikuwa unafurahisha wasichana na title na pesa...na ni jasho yako n bibi yko
😂😂😂 huyu chief nimempenda sana
Let's wait and see what is happening. We are living one day at a time and God is always making something new today. Before dawn expect many more wonders.
Wewe baba steve faida utapewana rose mhando
Dave, please call DCI to arrest mungai. Shamba ya baba Kafue irudishwe, na Harun pia arudishiwe pesa zake na mungai na wakora wenzake.
Bona amenunua shamba ya wizi
Atoke akastaki ware Alipatia pesa!
Hiyo plot ifanyiwe valuation upya
Dave sanitize simu vizuri
Huyu bb kafue ni mjinga sana sijui kama anajielewa
😂😂😂😂😅😅😅 nyang'hau imepatikana 💪💪💪💪💪
Huyo rose anakaa mtz
Huyo mama ni mkikuyu🤣🤣🤣🤣
Mama kabue wewe ni fala acha kubeg huyo stevo mali ni yako usitetemeshwe
Chief chief for me👏👏👏👏🙏🙏
Mungu saidia hii familia
Seniour Chief is very good aki ...
Hata huyu Baba Steve anajua hakununua hio shamba kihalali.
😅😅😅😅mama kabue atapitwa naye aty anakatiwa tena😂😅
😂😂 surely
Let's start moving from where we reached with Catholic bishops and we will succeed. Enough is enough. Creative words spoken by president Ruto. This confusion in the country must come to an end. Turauma Kiahiti tugathii kia Ngari. From abduction to land grabbing. Making mistake is no mistake but repeating the same mistake. The worst of it all is that everything is happening at the hands of the three arms of governments.
Huyu chief apewe maua yake 😂😂😂😂😂
For those who are following this story, there are many valuable lessons to learn, stay away from these women
Marehemu ali sign aje ati title transfer na alisikwa mzamani sana hii kesi iende kortini.