MALAIKA WALIOZAA NA BINADAMU NDIYO WAZAZI WA MAJITU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2023
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 89

  • @JacklineKamoga
    @JacklineKamoga 12 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu uko vizuri sana, watakuelewa tu, hata kama sio sasa

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waaoohhh Waaoohhh waaaooohhh!!! What a lesson!!! Asante sana kwa muuliza swali yamkini bila swali lako tusingejifunza siri hizi.
    Asante sana Mwalimu kwa hakika nimejua mengi leo. Mungu aendelee kukuatamia, akufunike kwa Damu ya Yesu na akutie nguvu ya kuendelea kutufunulia mengi zaidi. Binafsi nimebarikiwa sana, Asante.

  • @JohnMayala-k9b
    @JohnMayala-k9b 28 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu spree sifamtumishi wa Mungualiye hai napenda kukutis moto kazana wala isolate tamaa anayekutukana usimjali naitwa eliya

  • @JumanneBulili
    @JumanneBulili 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuerewa sana

  • @user-yd2yt2ej6y
    @user-yd2yt2ej6y 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwalimu kutupa elimu ya MUNGU,. ya MUNGU Mengi,zidi kutufunulia hii ni sehemu ndogo ya kazi ya MUNGU na uzidi kutufunulia

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu wewe ni muwazi na musema kweli natamani uwe Askofu wetiu tunao kuamini tupate biblia ya kiibrania tufundishe usahihi wa neno

  • @officialmubytz1076
    @officialmubytz1076 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu umetisha mnooo nimekuelewa sanaaaaa
    Yale Mambo ya kielezea vita vya urusi,Israel yalikuwa hayana maaana

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana mtumishi kwa sababu unasoma vitabu vingi,hasa kitabu cha Enoch.

  • @user-mr3mb2nj1l
    @user-mr3mb2nj1l 4 หลายเดือนก่อน

    Asanti sana mwalimu mimi ninasiku ndogo nikikufatiya Mungu akubariki sana kwajinsi unavyo fundisha,mimi niko Bujumbura,ninaombi je huwezi kufanya mkutano wamaswali na majibu moja kwamoja?kwasababu siwote amebahatika kupa sim ili wapate majibu yaswali zao,nakuna waumini wengi wamechanganyikiwa kwakukosa majibu yamaswa wanayi jiwaza miyoyoni mwao kama apa kwetu Burundi.naitwa Gérard NDAYISENGA

  • @emmanuelscdbacher2281
    @emmanuelscdbacher2281 4 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kaka

  • @user-gz1tm6ck8i
    @user-gz1tm6ck8i 24 วันที่ผ่านมา

    Sharom
    Manayake Kuna vitabu vingine kabura ya mwanzo

  • @JacksonSimon-zb5ip
    @JacksonSimon-zb5ip 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Jackson ukweli kabisa mimi sina hofu nawewe ubarikiwe sana

  • @swahililanguagemasterclass
    @swahililanguagemasterclass 7 หลายเดือนก่อน

    Mafunzo mazuri ya kina kweli...Barikiwa Sana.. ila ni maswali.
    1. Kuna baadhi ya watu husema yes alikuwa na Bibi na watoto...ni kweli...?
    2. Mtu akifa roho huenda wapi?
    3.Mbinguni ni wapi na jahanamu ni wapi?
    4. Kuna wengine husema hamna mungu... Na ushahidi hutoa kwa kusema... Mbona basi kaacha maovu mengi kutendeka.. Kama magonjwa...vifo vya watoto...watu kuzaliwa vilema... Majanga na kadhalika.. tafadhali unijibu...Nko Kenya Nairobi. Asante.

  • @RichardStephen-xc7yc
    @RichardStephen-xc7yc 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu siku uliyosema nabii devii ni Nabii mkuu wa kweli hapo hapo ndipo nikajua ww una changamoto ya neno la Mungu

    • @marobaraka
      @marobaraka 4 หลายเดือนก่อน

      Anataka kupewa pesa na Geodavie maana ukimsifu kidogo anakupa kitita. Halafu huyu anatafuta umaruufu.

    • @adam-sr9jk
      @adam-sr9jk 3 หลายเดือนก่อน

      Mwalim kweli malaika Wana mwili na damu?damu uchemka mwili utamani ndio uzae,

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@adam-sr9jkmajin kibao wamezaa na wanadam, spiritual world is bigger than your brain,malaik wana uwezo kuvaa mwil kama shetan,na wapo tunapishana nao, wote malaika na majini tunapishana nao

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna..slimu..imejifija..tufununulie..tujitabue🙏🙏🙏🙏

  • @cosmasmaryogo1473
    @cosmasmaryogo1473 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa mwalimu!!!

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 5 หลายเดือนก่อน

    Shalom mwarim naomba kuuliza swali je,nikipi kitatanguliya kati yaunyakuo nautawala wa mpinga kristo

  • @user-sl7ze5ph1v
    @user-sl7ze5ph1v 5 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @lengaingwandai
    @lengaingwandai 7 หลายเดือนก่อน +1

    mwl asante sana kwa mafundisho yako nina swali moja. malaika waliumbwa kabla ya mwanadamu. na wao tunaambiwa hawafi hivyo hawafi je DNA yao na zinakubalaje DNA ya mwanadamu kiasi ya kuzaliana?(

  • @Immanueljames-qk5dn
    @Immanueljames-qk5dn 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalim naomba kuuliza kwasasa hakuna malaika wanaoendelea kuzaa na wadam

  • @user-yd2yt2ej6y
    @user-yd2yt2ej6y 5 หลายเดือนก่อน

    Ya MUMGU Mengi

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu wewe unajua kabisa kua mwokozi anaitwa yahshua namba ufundishe kuhusu jina Hilo watanzania walifahamu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza kazi za masisi hawa wa makanisani ni na mabruda ni zipi?

  • @JohnMayala-k9b
    @JohnMayala-k9b 28 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi ikikupendeza nope naomba yako ya wasap

  • @RutaRubedi
    @RutaRubedi 7 หลายเดือนก่อน

    Shalom mwalimu, naomba sana siku moja uelezee roho mtakatifu ni nini, je mwonekano wake ni kiumbe kama malaika?

  • @111dudi
    @111dudi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona tunaamb iwa malaika hawana uume wala uke?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 2 หลายเดือนก่อน

    Je,nikweli kazi za masisita nikuwa budisha mapadre na maasikofu kimapenzi?

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu naomba nikuulize je mwanadamu ana roho ngapi na nafsi ngapi, je roho zetu kabla hazijapata mwili duniani zilikua wapi, na kama roho zetu ziliishi kwanini hatuna kumbukumbu na tutokako

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo biblia ya vitabu 84 naipaje? Nataman kuipata

  • @lengaingwandai
    @lengaingwandai 7 หลายเดือนก่อน

    mwl nimvutiwa na mafundisho yako naomba au weka namba ya sim yako.

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu malaika wanazaa unatuchanganya

    • @meshakiwalioba48
      @meshakiwalioba48 5 หลายเดือนก่อน

      Kama walikula chakula na Ibrahim. Na Ibrahim akawasindikiza je uhamini, je unaamin hata sasa majini yanazaa na binadamu?

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@meshakiwalioba48majini ni malaika walioasi WAO waweza kuwa WEZI jinimahaba nk lkn malaika watakatifu hawafanyi machafu ya kuasi.na kuhusu vitabu vya biblia pia vipo vyakujihudhurisha.hata ktk ufunua imeandikwa wapo wajiingizao kwa Siri. Wenye mavazi ya kondoo kumbe sio. Tupate Neno lenye pumzi ya Mungu .walioongozwa sawa ni kwa Roho MTAKATIFU
      Kama YESU mwenyewe KASEMA malaika Hawaoi vipi tuamini mtu mmoja na imeandikwa Neno huthibitika kwa vinywa vitatu.

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tufundishe Biblia kitu ambacho Kiko nje ya Biblia unatuchanganya

    • @benedictojoseph5803
      @benedictojoseph5803 3 หลายเดือนก่อน

      Hili kiko ndani ya biblia sema tu huwa hamsomi biblia mnasubiri wachungaji wawasomee biblia, nenda kasome Mwanzo 6:2

  • @jonathantimani6394
    @jonathantimani6394 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu samahan hivyo vitabu nikitaka kuwa navyo navipataje mtumishi??

  • @user-sn9sf8tn8e
    @user-sn9sf8tn8e 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mdahalo na wewe nikufundishe hili somo ulijue kwa mujibu Wa Biblia.Niko Arusha tafadhali sana naomba mawasiliano yako nikutafute.

  • @onesmonyoni2703
    @onesmonyoni2703 7 หลายเดือนก่อน

    Wafu wako wapi, Peponi, Motoni, Au Kabulini

  • @ahmedmagoma8831
    @ahmedmagoma8831 3 หลายเดือนก่อน

    Wayahudi wamepitia Changamoto nyingi za kuwa watumwa na walitawaliwa na watu waliokuwa wanaamini miungu kuanzia,babylon,wagiriki,warumi hata waingereza walikuwa wana edit hivi vitabu.
    Na hata watawala wa dunia wa sasa hivi America wana edit hivi vitabu leo na wenyewe nao ni wapagan wanafata mila za babylon kirumi na kifarao wote wanabadilisha,wewe huwezi kuwa na elimu sahihi kwasababu unafanya reference kwenye vitabu vilivyofanyiwa upotoshaji

  • @BRUNOADELINO-rv8zt
    @BRUNOADELINO-rv8zt 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani Malaika ana jinsi?

  • @BENSONHENRY-tq4sk
    @BENSONHENRY-tq4sk 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi kulikua na malaika wa like mbona wa kiume TU naje Malika wakike wangezaa na binadamu wakiume ingekuwaje?

  • @GorbaChev-yn2tb
    @GorbaChev-yn2tb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa je hao malaika wasingeshuka mambo ya science na technology hivi Leo yangefundishwa na nani?

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      Tungeyajua in a good way,devil ametufundisha kula matunda tutajua wema na mabaya, tulipojichanganya tu tukajikuta tumempa ufalme shetan yule joka na mwendo wa kufa, mateso, maisha heavy, magonjwa, Ashukuriwe Bwana wetu Yesu Kristo aliyeandaa uokovu na kuturudishia tena ufalme, unakuja tutawala maana anetushindia tayar, so shetan ni mjanja na huja ka mwema, mbeba mwanga kumbe killer mweny chuki kali ya kutisha mno

  • @boniphacejames3356
    @boniphacejames3356 3 หลายเดือนก่อน +1

    Swali hao malaika waliwazalisha hao wanawake kwa njia ipi? ikiwa tunajua malaika hawana cha kukojolea kama binadamu wa kawaida? naomba ufafanuzi hapo!!

    • @godfreymsemwa
      @godfreymsemwa หลายเดือนก่อน

      Ni kwa sababu malaika wanauwezo wa kujibadilisha kuwa kiumbe wanachotaka

  • @user-sn9sf8tn8e
    @user-sn9sf8tn8e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Biblia inasema malaika hawaoi wala hawaolewi sababu hawana mwili malaika in Roho watumikao sio watu acha kupotosha watu kalime hii sio huduma yako .

    • @benedictojoseph5803
      @benedictojoseph5803 3 หลายเดือนก่อน

      We nae hujui kitu, nyinyi ndio watu mnajifanya mnaijuia biblia lakini wala hamsomi bibilia. Nenda kasome Mwanzo 6:2 utaona kuwa malaika (wana wa Mungu) walivyowaoa binti za wanadamu.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu hiyo habari ni uongo hakuna malaika aliyezaa na binadamu usipotoshe watu isome surat attariq ktk kuraan tukufu inaeleza wazi namna Mwenyezi Mungu namna alivyomuumba binadamu hao waliyetunga biblia wote ni wapinga ukweli na uhalisia wa mambo ya Mungu na hakuna Mtume yeyote aliyetoka nchi za ulaya hapa mm napata tabu waandishi wa bibilia wanatoolea ulaya hasa hasa ni ulaya ya magharibi ambako ni chimbuko la eneo wanaishi watu wakorofi wa dunia wapiganishaji vita na mauwaji na kuhamasisha ushoga leo ndio Makuhani wakubwa eti hapa siwaelewi

    • @benedictojoseph5803
      @benedictojoseph5803 3 หลายเดือนก่อน

      Hili kiko ndani ya biblia sema tu huwa hamsomi biblia mnasubiri wachungaji wawasomee biblia, nenda kasome Mwanzo 6:2

  • @eltabusenzia765
    @eltabusenzia765 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli nimegundua walimu wa uongo ni wengi kama haziwezi kupatikana ww umepata wapi acha uongo

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 6 หลายเดือนก่อน

      Ata mimi kitabu cha enoka na jades hao wote waliandika. Uende usome masomo ya chuo kikuu cha biblia wanafundisha. Je haujawai kusiki mtu anasoma PHD ya biblia ??? Miaka 12 ya kusoma biblia ivo usiwe mwepesi kuhukumu bila kujua maarifa.

    • @user-sl7ze5ph1v
      @user-sl7ze5ph1v 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@blueeyes5952 mim nashaa TU bt ni mdau

    • @benedictojoseph5803
      @benedictojoseph5803 3 หลายเดือนก่อน

      Hili kiko ndani ya biblia sema tu huwa hamsomi biblia mnasubiri wachungaji wawasomee biblia, nenda kasome Mwanzo 6:2

  • @innocentamisi
    @innocentamisi 7 หลายเดือนก่อน

    Je tutawezaje kupata hivo vitabu vilivyotolewa kwenye biblia (mfano enoko )

    • @mwalimuisayabenson4859
      @mwalimuisayabenson4859  7 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda kwenye maduka ya kanisa Roman Catholic unaweza kuvipata mkuu wangu au hata hapo kwenye play store au app store unaweza kupata.

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 7 หลายเดือนก่อน

      Viumbe wa kiroho je wanawaze je kuwaingilia binadamu bila kuvaa mwili hata wakatungisha m

    • @michaelobed3022
      @michaelobed3022 7 หลายเดือนก่อน

      Si hivyo tu mara nyingi nimekuwa nikijiuliza, kama mwanadamu alifundishwa mambo mengi kiasi hicho inamaa haya tunayofanya sisi walianza wao ndio yakaja kwetu, mi nauliza Hivi mtu anaweza ambacho hana hisia nacho wala hakijui? Je ni kweli malaika hawafanyi tendo la ndoa? Walipata wapi hisia kama hawajawahi kufanya, na tumeona mambo mengi yalianza kwao ndio yakaletwa kwetu je ni kweli hakuna malaika wanawake?

  • @jacksonngilu6097
    @jacksonngilu6097 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu malaika hawana njisia. Yesu Kristo alifundisha kuwa malaika hhawana njinsia je walionaje na wanadamu?
    JACKSON NGILU NYANDA

    • @meshakiwalioba48
      @meshakiwalioba48 5 หลายเดือนก่อน

      Soma vizuri hata wakati wa lutu walikuwa ni wanaume wawili, samoni,pia hata wakati wa yakobo

    • @MinaniBahinzaChristian
      @MinaniBahinzaChristian 5 หลายเดือนก่อน

      MWALIMU KASHAWAHI KUFUNDISHA KWAMBA MALAIKA HAWANA JINSIYA, ILA WANAPO ONEKANA KWA BINADAMU, HUWA WANAONEKANA KAMA WANAUME, ILA HAWANA JINSIYA.
      KUNA SOMO AMBALO YEYE MWENYEWE KASHA FUNDISHA.
      SASA IMEKUWAJE LEO ASEME KWAMBA MALAIKA WANEZAA NA BINADAMU?

  • @user-sn9sf8tn8e
    @user-sn9sf8tn8e 5 หลายเดือนก่อน

    Malaika hawana mwili maandiko yanasema unawalisha watu matango pori

    • @jolamjuma-dh6hx
      @jolamjuma-dh6hx 4 หลายเดือนก่อน

      Mt .22:30 kwel kabsa

    • @benedictojoseph5803
      @benedictojoseph5803 3 หลายเดือนก่อน

      Hili kiko ndani ya biblia sema tu huwa hamsomi biblia mnasubiri wachungaji wawasomee biblia, nenda kasome Mwanzo 6:2

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      Wanavaa mwili, soma biblia, mara nying sana wameonekana na mwil, hta hivi leo majin wanazaa na binadam, tuna vitoto vya shetan kibao

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuuuuuuu hapa ndo najifunza zaidi juu ya ujio wa nabii Muhammad ili kuyaweka sawa yale yalio fichwa

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      Kaweka kipi sawa, ntajie kimoja, hyo ni pumba kuliko watu wote, jifunze uislam na hadith zak, Muhammad si nabii, ni jambazi

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      Anakuambia Yesu anaitwa issa, mara mariam ni dada wa Harun wakat harun kaish miaka 1500 kabla ya Kristo, mara mariam alipata mimba siku moja na kuzaa siku hyo hyo akiwa medina wakat mariam ni myahud wa kabila la Yuda na aliishi Nazareth Yerusalem, mtu hana hata akil ya kujua vitu vidogo halaf nabii gani, na Quran ilichomwa moto na Otuman ikaandikwa upya, kadil na hiyo kwanza labda aliiweka sawa hiyo, nabii mbakaj, muuaj, muongo, mfanyabiashara ya utumwa, HAWEZ KUWA NABII

    • @mussamohammedy8014
      @mussamohammedy8014 7 วันที่ผ่านมา

      jiepushe na adhabu ya siku ya mwisho maana msomi alosoma taurat na injili akiiona qur an na kisha kuisoma basi huiamini nayo pia itakua imetoka zilikotoka taurat na injil ukiwa ni mfuata upepo utakua unayatetea mslahi ya watu wa kidunia na kumuacha mungu

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      @@mussamohammedy8014 Quran,Taurat (agano la kale),na injil ni tofaut kabisa
      Quran imetoka kwa shetan, hakuna mbingu unapewa mpini wa punda na mikahaba 72 na uwezo wa kufanya ngono na mikahaba 100 kwa siku,pili Yesu siyo issa maana ,na mariam mama yake Yesu sio dada ak harun, harun kaishi miaka 1500 kabla ya Yesu kuja katika mwil, habar za uokovu katika agano la kale na jipya zinaendana kimtiririko na tofaut kabisa na Quran, Muhammad na maswahaba wak walibaka, wakaua kulazimisha watu waamin, Yesu na wanafunz wak wao waliuawa kwa walichoamin, mbingu ya waislam kuna mpka pombe, kila kitu fresh hakuna dhambi, agano la kale na jipya mbinguni hakuna uchafu, hayo ni mambo ya mwil huu na huu mwil utaharibika hauingii mbinguni maana una asil ya dhambi, Muhammad kajipa unabii mwenyew, ni mwiz na muuaj, hakutabiriwa popote, mbakaj wa vitoto (aisha),huku watoto wanabarikiwa hawabikiriw, siwez mfuata shetan mm, Muhammad na Allah mapepo

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 7 วันที่ผ่านมา

      @@mussamohammedy8014 halaf hamuelew chochote, torat torat vichwa zero, agano la kale lina zaida ya vitabu 30 na Mussa kaandika atleast vitabu 5 ,sijui ka mnaelewa injil ni nini, hebu unionyeshe hyo injil na torat, kama huna bas allah hajitambui, iweje alete manabii laki na arobain na nne ,kila mtu na kitabu halaf vyote apoteze, yuko careless hafai kuaminika kwa lolote

  • @LIBERATUSNSEKELA
    @LIBERATUSNSEKELA 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu, walaka wa Yuda wenye sura moja na mistari 25, ulivyokitaja tu imenibidi niusome kwa kurudia rudia, hakuna simulizi yoyote inayohusu malaika kufanya mahusiano ya kujamiiana na binadamu. Ninaomba maelezo yako uyarudie kwa uzuri zaidi.

    • @meshakiwalioba48
      @meshakiwalioba48 5 หลายเดือนก่อน

      Mwanzo 6 Soma utaelewa

    • @LIBERATUSNSEKELA
      @LIBERATUSNSEKELA 5 หลายเดือนก่อน

      @@meshakiwalioba48 Mwanzo sura ya 6 au Waraka wa Yuda?
      Ndugu, haujaelewa comment yangu.

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu wanaokusikiliza ni wengi jitahidi kuwa making unapofundisha malaika hawana jinsia

    • @MinaniBahinzaChristian
      @MinaniBahinzaChristian 5 หลายเดือนก่อน

      UKWELI KABISA, MAANA NIMESIKIYA HATA SOMO AMBALO KAFUNDISHA KUSEMA KWAMBA MALAIKA HAWANA JINSIYA.
      IMEKUWAJE LEO MALAIKA WANEZAA NA WANADAMU?
      MWALIMU ANAFUNDISHA VIZURI, ILA AEPUKE SAANA KUCHANGANYA WAAO MFUATILIYA

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani si amesoma kwenye biblia au?

    • @HinohiatHidoCo
      @HinohiatHidoCo หลายเดือนก่อน

      Ndio, yote anayoyazungumza yamo kwenye Biblia. Hakuna la uongo hapo wala uzushi.

  • @chiefmwananzengo4620
    @chiefmwananzengo4620 5 หลายเดือนก่อน

    Nakipataje kitabu Cha yashari Je nikigugo mtandaoni nakipata

  • @user-sn9sf8tn8e
    @user-sn9sf8tn8e 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mdahalo na wewe nikufundishe hili somo ulijue kwa mujibu Wa Biblia.Niko Arusha tafadhali sana naomba mawasiliano yako nikutafute.

    • @MinaniBahinzaChristian
      @MinaniBahinzaChristian 5 หลายเดือนก่อน

      NDUGU, WATU WANASUMBUKA BURE. DINI ZOTE DUNIYANI HAZIKUJA KUMFUNUWA MUNGU MUUMBAJI WA KWELI.
      DINI ZOTE ZINAPOTOSHA WATU, NA WALIO WALIO POKEYA MAFUNDISHO HAYO POTOVU WENGI NI SISI WA AFRIKA.

    • @meshackleonard
      @meshackleonard 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu anafundisha habari za mapepo walio potosha maisha ya watu,huoni naye yamkini kuna roho ya upotofu juu yake??🤔🤔