DUDU BAYA, uko vizuri, mute Yesu akutumie Roho mtakatifu afundishaye, akuachanishe na AINA YA WATU WABAYA, NA KAMA UNAFUNDISHA FUNDISHA KWA LUGHA NZURI ISIYO NA MATUSI SABABU ULIMI WAWEZA KUTELEZA UKAJIKUTA WATU WANASHTUKIA WAKIHOFU MAJIBU SOYO SAHIHI 😊TUNAKUPENDA AKILI YAKO NA MAARIFA PEVU
Unaona??...alivyopata shida tu alikimbia kwa mama yake ....sio kwa baba yake !......a mother has the ability to solve problems .....yeye mwenyewe amejicontradict hapo ... kama kulelewa na mama tu ni utaila kwann alimtegemea mama yake wakati wa shida ????
Sio kila anaelelewa namama anakuwa chizi siokweli haomachizi nihakilizao sababu mwingine unaolewa mume akafaliki akamuachiamke watoto wadogo je aamini analeamachi
Kiukweli huwa na kukubali ila kuhusu kusema et mtoto asie lelewa na baba et nitahira siyo wote mamba naje nawale wakataliwa na babazao napia nawale waliyo poteza wazazi wao wakiwa wadogo na mpakaleo wako na mamazao je wafanyeje wajiuwe?.
Nacho kupendeya ni pale unavyo samanisha dini zote kumpenda yesu kristo nakumupa utukufu bila ku zarauilisha naku muacha mtume muhamadi Pastor elie from Bujumbura
Hii fani ya burudani imeingiliwa na shetani wasanii wote kama Akina dudu baya wamemezwa na upepo mbaya na kwa sababu ya kukosa mitaji kumiliki studio zao basi wamezimwa.. Shetani ameharibu Sana Dunia ndiyo maana mimi binafsi siipendi Marekani... Marekani amechafua Sana dunia ya mwenyezi mungu
Mm namuelewa sana uyu dudu baya...kusema za ukwel mnaona ni kama anasema vibaya lakn ni kweli baba ata akutelekeze akukane sie sisi watt hatuna haki ya kumlipa ubaya sisi tutende wema kwa wazazi wetu wawiili haijalishi nini wametufanyia tuwaachie MUNGU watapata hukumu yao wanaostahili
Manabii hawakutaka wao watende waende zao , bali mungu ndio alitaka hivyo . Hawa manabii hawatendi mapenzi ya mioyo yao , wala hawahukumu kwa mapenzi yao , bali wanatenda mapenzi ya mungu .
We dudu akili huna kwani uyo mtoto mwelevu alikaa tumboni kwako acha ubwege alafu sikuzote pombe sio chai. Na ndomaana ata wazazi wako walikuita dudu tuachie utaila wako🙏🏻
Mbona na wewe unamtaja mama Ulivyo umwa ulienda kwa mama mbona humtaji baba? Mara mama yangu mzazi alisema mbona Kutwaa mama humtaji babaa Litoto la mama lina wasema wenzake fyuuu
Mshirikina yeyote kazaliwa na nshiriki, ina maana hana uhakika na uwezo wa Mwenye-ezmngu, katekwa na shetani,kajisahaulisha kua yuko duniani kwa uwezo wa Mungu, kakaa tumboni miezi 9 kwa uwezo wa Mungu,Rizki yake kapewa na Mungu, pumzi, ni Mungu amuwezesha, kama mganga ni hodari kuliko Mungu, angeishi milele,mbona waganga wanakufa, wanaugua, wanashindwa kupata mahitaji yao mengine? LAA SHARIKALA, Na wala Usimshirikishe Mungu,,,, Ni upungufu wa.akili tuila ukitafakari hakuna binadamu awezae kukudhuru jama umesimama na Mungu, na hakuna kitu chochote kinaweza kukutokea illa kwa idhini ya muumba wako,,,,,,, Ushirikina ni udhaifu nauoungufu wa kufikiri, Mungu atuokoe,,
Ubarikiwe sana dudu baya
Ubalikiwe sana dudu baya mungu azidi kukupa himani iyoiyo uliyo nayo nakupenda sana🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Unamfaa sana Mungu akupe neema ya wokovu ili umtumikie sana katika zama hizi
Asante kwa ujasiri wako wa kuweka dhambi hadharani mungu akulinde
Dudu Baya uko Sawa kabisa ...nakuskiza from Lodwar.Kenya.
Naitwa Amina dudu.baya umenifungua macho mungu akubarki sana uwe na maisha mema
DUDU BAYA, uko vizuri, mute Yesu akutumie Roho mtakatifu afundishaye, akuachanishe na AINA YA WATU WABAYA, NA KAMA UNAFUNDISHA FUNDISHA KWA LUGHA NZURI ISIYO NA MATUSI SABABU ULIMI WAWEZA KUTELEZA UKAJIKUTA WATU WANASHTUKIA WAKIHOFU MAJIBU SOYO SAHIHI 😊TUNAKUPENDA AKILI YAKO NA MAARIFA PEVU
Uko sawa kabisa Dudu baya wanawake wengi wanacomment matusi juu yako lakini kiukweli uko sahihi kabisa na Mimi nakuelewa saana
Acha uongo wewe muzee mukubwa
Nice kaka
Bigger upp Sana Mr Dudu kichwa chako ni kitabu Cha uchambuzi lakini hakiuzwi
Mungu akupe maisha marefu san
oyaaa blaza dud uko poa kak
🎉🎉😊 8:42
Upo vzr mkuu mkwel sana🙌🙌
Dudu Allah akuongoze Muslim madam unaamin Muhammad na issa bin Maryam yaani yesu umebakisha shahada tu ndugu yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Nimefurai sana yesu na Muhammad anawapenda jambo Zuri sana endelea kuwafunza niko 🇰🇪
Aliemzaa Dudubaya (mamba) mungu anamuona kwakweli 🤣🤣
Unaona??...alivyopata shida tu alikimbia kwa mama yake ....sio kwa baba yake !......a mother has the ability to solve problems .....yeye mwenyewe amejicontradict hapo ... kama kulelewa na mama tu ni utaila kwann alimtegemea mama yake wakati wa shida ????
Umeongea ukweli sana, ila mbona umedhoofu sana kiafya
Konyagi sana huyo
Dudu Kati ya siku nimekupa salute Leo uko sahihi
Aise we jamaa uko sawa kabisa
DUDU BAYA basi Asante 😊😊😊😊
Dudu baya anasema kweli
Yan shida ya wabongo ukwel hawautaki wanataka uongooo
Baba atabaki kuwa baba,Miezi 9 ya mtoto tumboni kwa mama kabeba mtoto wa Baba na haipingwi Kaka Dudu Baya A.K.A Mamba,Konki Master 👊👊👊 🤟🤟🤟.
Mungu akupe mwisho mwema
Haleluya tuna Yesu haleluya
Dudu Baya huo ni ukweli kabisaa mimi nko Kenya na habari hizo ni za ukweli
Upo sawa mkuu
Nyie hata mtukane dudu baya nd kashapigilia msumali😅
Ndiii haogopi wala nini yuko more fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yaani huyu na magufuli wako njia moja
Malaya inawauma lakini ndio ukweli. Baba ni kiungo muhimu sana.
10:30 # ku..m hahahah 😂😂😂😂
Dudu Mambaz mnyamwezi uko vizuri kaka hakika unatia moto NAMI nimgeukie Mungu
Sasa bado unasibiri nini? Angalia usichelewe
Sio kweli...😂😂...
Mwenyezi mungu akujaalie uslimu
Mjinga aslimu aje kw mapepo
Mpepo yako kanisani na yanaamoni Yesu ni mtoto wa Mungu.@@DaudiMakaza MARKO 3:11
@@DaudiMakazaNamimi ndio nashangaa cjui anataka akamfunze kufuga majini mmhh!! Ashindwe kwakweli
Waaa!dunia imeisha
Sio kila anaelelewa namama anakuwa chizi siokweli haomachizi nihakilizao sababu mwingine unaolewa mume akafaliki akamuachiamke watoto wadogo je aamini analeamachi
Kaka Mungu akupe Maisha maref San
Dudubaya oil chafu😂
Huyu hajuiagi kunyamaza yaani na mpenda kwa ukweli wake wallahi yeye na ney wa mitego more fire 😂😂😂😂😂😂
Sio kweli kuna kina mama bora kwa malezi kuliko baba. Na tafauti na hiyo.
Kiukweli huwa na kukubali ila kuhusu kusema et mtoto asie lelewa na baba et nitahira siyo wote mamba naje nawale wakataliwa na babazao napia nawale waliyo poteza wazazi wao wakiwa wadogo na mpakaleo wako na mamazao je wafanyeje wajiuwe?.
😂😂😂ukweli unauma
Kweli ukweli unauma
Kaka unau baguzi umemtaja yesu ume mtaja mtume hongela mungu akuta ngulie
Nacho kupendeya ni pale unavyo samanisha dini zote kumpenda yesu kristo nakumupa utukufu bila ku zarauilisha naku muacha mtume muhamadi
Pastor elie from Bujumbura
Dia alikuwa anampenda sana Konde hajawahi kumPDD ?
Mwenyez Mungu atakuja yesu atakapokuja
Usihukumu usije ukahukumiwa Mungu TU anajua!
Jaman! Sielewi mala Yesu mala Mohamed mhuu!
Hii fani ya burudani imeingiliwa na shetani wasanii wote kama Akina dudu baya wamemezwa na upepo mbaya na kwa sababu ya kukosa mitaji kumiliki studio zao basi wamezimwa..
Shetani ameharibu Sana Dunia ndiyo maana mimi binafsi siipendi Marekani...
Marekani amechafua Sana dunia ya mwenyezi mungu
Yesu je kalelewa na baba
Ndio ....yosefu
Ndio Yusufu
Dudu baya ujengewe sanam
Bola mfazili mbuzi sio dudubaya😅
Watu bhana wanamponda wakati anasema kweli? Mashoga ni wengi wcb
Niko Kenya na hayo mambo Ni ukweli kabisa
Kuwa kenya c sababu uliona?
Baba c Mwenyezi Mungu umekosea
Some people are just used to putting all the blame on women without taking any responsibility for their contribution to the problem .....
True dudubaya we love u +254
Yupo true uyu jamaa..
Kwann usingeenda Kwa baba Yako ulivyougua koz walio lelewa na mama umesema niwajinga
Kwan nyie mbuz hamuoni mazuli yake ad mnachambua yanayowagusa.
Eu concordo contigo isso é verdade
❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbona ss utaki p d
Watapigwa miti mpaka wakome,😂😂😂 futa litawahusu😂😂😂😂
😂😂😂
Ungeandamana na Ricado Momo nawe Dudu baya 😂😂😂
Weeee alaaar kumbe niukweli diamond anawafira vijana vywa watu
SIYO WOTE BWANAA. KUNA WATOTO WAMELELEWA NA MAMA ZAO NA WAMEFANYA VIZURI KULIKO HAO WENYE MABABA. LABDA WALE WENYE MAMA WA HOVYO.
Kweli
Nyie ndio mmetumika sana kuiharibu Dunia wasanii
Uko matter kweli dudu baya tena unaongeyaka ukweli bro hata kama watu hawapendaki ukweli 💪💪💪💪💪
Every fact
Mm namuelewa sana uyu dudu baya...kusema za ukwel mnaona ni kama anasema vibaya lakn ni kweli baba ata akutelekeze akukane sie sisi watt hatuna haki ya kumlipa ubaya sisi tutende wema kwa wazazi wetu wawiili haijalishi nini wametufanyia tuwaachie MUNGU watapata hukumu yao wanaostahili
Wàkati unataja aibu za watu usisahau nazakwako 😮
Manabii hawakutaka wao watende waende zao , bali mungu ndio alitaka hivyo . Hawa manabii hawatendi mapenzi ya mioyo yao , wala hawahukumu kwa mapenzi yao , bali wanatenda mapenzi ya mungu .
Haleluya
Dudu baya sio mtu wa kumuambia siri zako hana kifua
😂😂😂😂
, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Umeongea kweli kabisa ambae anauwezo wakuelewa naamini atajifunza kitu
❤❤
Jibu kama mtoto ulielelewa na bimkubwa 🤣🤣
😂😂ni limzigo la mamaaaangu
Vp kk damond wee choko wa p d
Dunia sio mbaya ila wanadamu waliomo ndo wabaya ni huzuni sana 😢
Wewe MWENYEWE ulivo na Tabia za ajabu unaonekana tu ni mzigo kwa mamaako
Wanaumupinga warisha endauko
#dudubaya waambie kuwa maisha ukiruka formula au stage lazma kikukute kikubwa wawe makini maana wanaume tumebaki wachache #wolfsim@
Jaja jaja 😂jaja 😂 😂
Ila kweli watoto weng ambao wamelelewa na mama hawana maadili mazur....nimeshihudia wengi...
Huyu atakufa kwa pombe apunguze😢
Waambie ukweli ukweli siku zote unauma na masanii mengi siyaamini ni hatali
Sasa iambie jamii na ww uliliwa huko Arushaaa au?
Mpe vidonge
Kama wanabisha asemayo Dudu basi waende wakapimwe matako watuletew majibu live.
We dudu akili huna kwani uyo mtoto mwelevu alikaa tumboni kwako acha ubwege alafu sikuzote pombe sio chai. Na ndomaana ata wazazi wako walikuita dudu tuachie utaila wako🙏🏻
Hujui kitu ndugu
Amen
Naona Mamba kashachachuka kichwani tayari K-Vant imeshahusika.
Dudubaya ndio mtanzania pekee ninayeweza keti nikamsikiliza, ndio maana uyu jamaa chuo alisomea kenya 🇰🇪
Kuna wengine wanalelewa na mama vizuri ...wanakua na madili na mchapa kazi kuliko wale waliolelewa na baba tu !....
Huyu jamaa kalewa nini?
Ngosha upo vzd
Uyu Bora angekua mchungaji kuliko wachungaji wote tz
Mbona na wewe unamtaja mama Ulivyo umwa ulienda kwa mama mbona humtaji baba? Mara mama yangu mzazi alisema mbona Kutwaa mama humtaji babaa Litoto la mama lina wasema wenzake fyuuu
Umetisha sana konki masta
Dudu mbona hukusema kipindi hiko unayasema leo
Ndio mana DIDDY anamu kiss Mamake mzazi kwa mdomo hadharani.
Juma lokole ni
Ka left GROUP ..hilo mulize Dotto magari
Mshirikina yeyote kazaliwa na nshiriki, ina maana hana uhakika na uwezo wa Mwenye-ezmngu, katekwa na shetani,kajisahaulisha kua yuko duniani kwa uwezo wa Mungu, kakaa tumboni miezi 9 kwa uwezo wa Mungu,Rizki yake kapewa na Mungu, pumzi, ni Mungu amuwezesha, kama mganga ni hodari kuliko Mungu, angeishi milele,mbona waganga wanakufa, wanaugua, wanashindwa kupata mahitaji yao mengine?
LAA SHARIKALA, Na wala Usimshirikishe Mungu,,,, Ni upungufu wa.akili tuila ukitafakari hakuna binadamu awezae kukudhuru jama umesimama na Mungu, na hakuna kitu chochote kinaweza kukutokea illa kwa idhini ya muumba wako,,,,,,,
Ushirikina ni udhaifu nauoungufu wa kufikiri,
Mungu atuokoe,,