ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

RAIS NDAYISHIMIYE WA BURUNDI ATEMBELEA SGR, “HII NI ZAWADI YA WATANZANIA KWA WARUNDI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2021

ความคิดเห็น • 38

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 ปีที่แล้ว +9

    RI P JPM we still remember you telling us we are not poor guy and the evils now thy are coming home and Hagaya/Mwakasafari bitraying us now we have evidence,now our eyes are cry fool blood no one cares Us... ooooh my God

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 2 ปีที่แล้ว +9

    kama vipi Tanzania na burundi tuungane lakini burundi iwe kama mkoa tu😂😂😂😂

    • @amidushaban8081
      @amidushaban8081 2 ปีที่แล้ว

      Bro mi murundi tena nakubali hiii

    • @alainbigero8609
      @alainbigero8609 2 ปีที่แล้ว

      Mwarasaze

    • @johnlembo2955
      @johnlembo2955 2 ปีที่แล้ว +1

      @@alainbigero8609 mbona unatukana sasa, labda walasaze bhalahisha😄

  • @mbeguofficial6646
    @mbeguofficial6646 3 หลายเดือนก่อน

    Katika nchi nazipenda sana ni Burundi na Congo

  • @alfinmbilinyi1326
    @alfinmbilinyi1326 2 ปีที่แล้ว +3

    History inaonyesha Burundi na Rwanda ilikuwa ujerumani ya afrika mashariki ambayo Ni Tanganyika Ni vizuri nchi ya Burundi kuungana na ndugu zao watanzania tuunde nchi iitwayo the United Burundi Tanzania republic tusiwaache ndugu zetu warundi wakati tz ikipata maendeleo.

    • @Belb3
      @Belb3 ปีที่แล้ว

      umenena vizuri sana. Mungu akubariki

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 2 ปีที่แล้ว +2

    tanzania lazima tuibebe burundi maana ni lango kuu la biashara

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nilidhani treni zimefika Kumbe Raisi wa Burundi. Treni zikifika mniamshe

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 2 ปีที่แล้ว +4

    Rais wetu Magufuli uliacha kazi Nzuri Tanzania baba Magufuli hatutakusau vizazi na vijukuu vyetu utabaki kwenye myoyoni Mwetu

  • @kilimanjaroICE
    @kilimanjaroICE 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji please please talk less Kaka,,, give us the news but don't be the news!! Duuuuu!! Inakera kwa kweli

  • @jumanurdin5891
    @jumanurdin5891 2 ปีที่แล้ว +2

    Selikali lipeni fidia kipande cha pili mor dodoma

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni watz sasa waburundi kuugeni mkono mumsaidie raisi wenu kama watz ili mpate maendeleo Maria wafanikiwe nayutajiri.waburundi kama watz wanavo fanikia namadini yao waburundi mue wazalendo kwa nchi yenu kila mburundi yachangie kwa Mali kwa nguvu kwa fikra ili Burundi yisongee mbali kati yanchi za afrika. uzalendo hoeeee

  • @everlightngowi5963
    @everlightngowi5963 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo salam kha

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa Rais wa Burundi kuzungumza Kiswahili...dah! Alafu wakenya wengine hapa bado wanang'ang'ania kimombo

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 2 ปีที่แล้ว

    Hemed kuna mda ua unacheza kabsa hahahaha

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 2 ปีที่แล้ว +3

    Msiwahambie waanze kujenga kisha muwabomolee muwapimie Kwanza maeneo

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 2 ปีที่แล้ว

    Tutapanda sana treni ya mkandarasi mpaka reli itachakaa ni upumba siku zinaenda dar to Morogoro haiishi ujinga mtupu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 ปีที่แล้ว

    Mwezi wa kumi moja (Novemba ndo huu) Kadogosa.....treni iko wapi?

  • @sadocklundi5216
    @sadocklundi5216 2 ปีที่แล้ว

    Kuna vichwa vya train nimeviona vinavyotengenezwa na kampuni ya SMH ya Malaysia aina H10 Series, sijui ni kwa ajili ya hii SGR?

    • @michaelmahmoud
      @michaelmahmoud 2 ปีที่แล้ว +1

      Nimeviona Hata Mimi ila nimena Ni vya diesel hivyo

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 2 ปีที่แล้ว +1

      @@michaelmahmoud ni vya meter gauge vile

    • @mussamussa8181
      @mussamussa8181 2 ปีที่แล้ว +2

      Za Umeme anatengeneza mkorea

    • @florianruttahindurwa1189
      @florianruttahindurwa1189 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni diesel-electric(inatumia vyote).

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 2 ปีที่แล้ว +1

    Raid wetu wa Burundi hovyo tu anaropokaropoka sana n'a kuzurura nchi zawatu nakushindwa kujenga nchi yake anazidi kuharibu Kodi zetu

    • @geoffreysoloshija1909
      @geoffreysoloshija1909 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha

    • @iga2023
      @iga2023 2 ปีที่แล้ว

      Wewe uragoye,none ushaka avyubake mumwaka umwe ?sivyiza kuropoka ropoka ibisunitswe n'impwemu vyose

    • @bizomenyimanaelias5455
      @bizomenyimanaelias5455 2 ปีที่แล้ว

      @@iga2023 None mwuwomwaka amaze gukora iki? Ataramajambo aguma avuga abandi imvugo ijana ningiro uravye amabarabara gusa wicwa nagahinda ntavyiwe

    • @jumaciza461
      @jumaciza461 2 ปีที่แล้ว

      Kila kitu nipole pole wewe kabla ya kusema tumiya akili apa sinafasi yakusema vibaya naweza kusema Burundi ndie raisi wakwanza mzuri namzalendo mlipa sasa vitu vinaenda pole pole sio haraka

    • @iga2023
      @iga2023 2 ปีที่แล้ว

      @@bizomenyimanaelias5455 ushaka kuraba ivyo yakoze uraba les rapports z'ama institutions amwe amwe yo hanze nka za BAD,FMI,FAO,...ukongera ukazunguruka igihugu kuko iterambere ry'uburundi ntiryubakiye kubintu bibonwa na Bose,ryubakiye k'umunyagihugu w'umurundi.