Anointed Singers Tz - Jina La Yesu (Official Video 4K UHD)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ค. 2023
- Je umekata tamaa na kukosa Tumaini?
Je Dunia imekuchanganya na ukaona hauna Msaada?
Jina la YESU ni jibu lako, Jina hili lina nguvu ya kuondoa dhambi na kila chembechembe ya hofu, woga na wasiwasi, Jina hili ni Mungu pamoja nasi
Barikiwa na wimbo huu wa JINA LA YESU unaoletwa na Waimbaji wa Anointed Singers Tz
#hopechannel #song #morogoro #anointed #anointedworship #nyimbozadini #nature #newvideo #news #new #network - เพลง
Jina la yesu ni wimbo Bora kuliko zooote 2023
Hubiri tosha!!! No wonder wimbo huu ni utangulizi kwenye KESHA LA ASUBUHI! Barikiweni...
Amen
I like this song
Huu wimbo unanipatia matumaini mapya ya Ushindi duniani Mbinguni piaa
Amina
Nimeipenda sana
I love 2 very much anointed singer
Very sweet song, mbarikiwe
Mbarikiwe Kwa kazi nzuri na Mungu awabariki sana
Amina
Stay blessed
Wapendwa hapa mmemaliza ujumbe kwa ulimwengu. Wimbo mzuri, mtamu, unaogusa mioyo na ulioimbwa kitaam. Abarikiwe mtunzi nanyi mliouimba kwa akili. Mungu awapatie thawabu kwa hili. This is sacred music❤
Amina Amina
Nabarikiw sanaaaa sanaaa
Amina,
Bwana atukuzwe.
Amina. Mbarikiwe sana
Amen
Mungu awabariki mnajua sana
Amina,
Bwana asifiwe
Nimebarikiwa sana...
Amina
Muende Mbali😍
Amina
Naomba... Hapo namba ya Eliasi !!!!
Be blessed
Ameniiiiiiiii
Naupenda sana,hakika tumaini pekee limebaki kwake Yesu tu!
My favourite song
Mbarikiwe
Amina, Baraka tele wapendwa.
🙏😊
Amina
Aiseee kwaaakweliii, mpanglio mzur, muonekano mzuri, Actions 💪, Kwakweli mmefanya vizuri.. Hongereni sanaaaah ✊ ... I like sabath's
Be blessed my brother
Amen
Tunabadilika sana
Amina
Yesu tumaini pekee
Tumaini pekee lililobaki..🙏🏿 Mbarikiwe sana👏🏿👏🏿
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen tumaini pekee ni kwa Yesu
Am blessed 🙏
Amen. Be blessed.
My all time Anthem
Nice song
Good song 🙏
God bless you all guys
Jamn huu wimbo kwangu unanibariki Sana Sana Mbarikiwe Sana mlipo nipo
Barikiwa pia
Mbarikiwe kwa wimbo mzurii
Amen!!
Keep going anointed 🔥🔥
nice song, good inspiration.
Amen
Hongereni .. Sana wimbo mzuri sana ...... ❤❤❤ Tuko pamoja hapa Znzbr tunawapata vyema !! FORGIVEN SINGER'S.............
Amina, mbarikiwe
Be blessed all of you.❤
I’m blessed always With you guys
Godfrey nakupata sana na sauti yako ya tenor,karibu tena tambukareli tuimbe na hiyo sauti yako
Ameen MUNGU atukuzwe, 🙏🙏🙏
Nausikiaga huu wimbo kwenye audio ya kesha la asubuhi na unanibarikigi sana, mbarikiwe watumishi kwa wimbo huu mzuri
Amina
Huu wimbo unanipatia matumaini mapya ya Ushindi duniani Mbinguni piaa
Amina