Nitaendelea kumshukuru Mungu kwa ajili yenu wapendwa wangu kwa kuwa sehemu ya wimbo huu na kuufanya uende mbali zaidi Mungu ninayemtumikia awabariki sana.
Halleluiyah..Iam so proud of you Son Dilunga..Namtukuza Mungu sana pia ninapokusikiliza ukimsifu na kumuabudu Mungu wetu.Mungu akuinuinue zaidi na zaidi.
Mungu awabariki sana wapendwa wangu kwa sadaka yenu ya kutazama wimbo huu. Niendelee kuwaomba kutazama na kutazama pia tuwaambie rafiki na ndugu zetu watazame na wa subscribe. Yesu awatunze
Ooh amen amen asante sana dada Neema Mungu akubariki sana na wimbo huu uendelee kukuhudumia kila unapoutazama kwa jina la Yesu. Nikuombe u subscribe ili uweze ku share na rafiki zako. Barikiwa sana.
Amen Dada Pendo Mungu aendelee kukuhudumia kupitia huu wimbo. Lakini pia unaruhusiwa kushare na ndugu na rafiki zako kama sadaka yako kwa Mungu. Na pia uwaambie wasubcribe kama utakavyofanya wewe ikiwa pia ni sadaka yao kwa Mungu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Thanks too much to all singers for the good song plenty of meanings, may God our Lord who inspired you bless you amen. From DRC
Amen, am really blessed with this song
Hallelujah glory to God be blessed my brother
Nitaendelea kumshukuru Mungu kwa ajili yenu wapendwa wangu kwa kuwa sehemu ya wimbo huu na kuufanya uende mbali zaidi Mungu ninayemtumikia awabariki sana.
Mbarikiwe, wimbo mzuri sana, una upako❤❤❤
Kazi yako ni njema kaka barikiwa sana Mungu aendelee kukupaka mafuta mabichi kwa viwango vya juu zaid
I really like the song.its full of anointing, both the lead ,vocalists,instrumental, younare GOOD.above all,your dress code brings glory.more grace
Amen Amen Amen Glory to the Lord
Wimbo mzurii
Halleluiyah..Iam so proud of you Son Dilunga..Namtukuza Mungu sana pia ninapokusikiliza ukimsifu na kumuabudu Mungu wetu.Mungu akuinuinue zaidi na zaidi.
Amen mama yangu mama Kyoma sifa na utukufu tumrudishie Mungu napokea pongezi hizi kwa unyenyekevu mkubwa.
Hakika Jehovah jina lako limetukuka haleluyah
Mungu awabariki sana wapendwa wangu kwa sadaka yenu ya kutazama wimbo huu. Niendelee kuwaomba kutazama na kutazama pia tuwaambie rafiki na ndugu zetu watazame na wa subscribe. Yesu awatunze
Mafinga huji tena tumekukumbuka sana Dilungaa from Hofan Mafinga kwa Pastor Ambakisye....
Amen🙏🙏 God bless the all Team,, I really Love that Guy (Hallo Mbinguni)🇰🇪
Nabarikiwa mno na huu wimbo Mungu awabariki sana jaman
Ooh amen amen asante sana dada Neema Mungu akubariki sana na wimbo huu uendelee kukuhudumia kila unapoutazama kwa jina la Yesu.
Nikuombe u subscribe ili uweze ku share na rafiki zako. Barikiwa sana.
Powerful worship. More Grace to this ministry in the name of Jesus
Hii saxophone 🎷 it's everything....thank you for this powerful song
Nawashukuru sana wapendwa wangu sifa apewe Yesu tuendelee kuomba ili mavuno yawe mengi.
Mavazi safi🎉
umetisha bro
Amen
Powerful Worship Brother
Huu wimbo nlikuwa naùsikiliza ktkà madhabau ya mana ministry asant kwa kutuletea official
Umewahi kusikiliza audio yake...iko njema zaidii (kwa mtazamo wangu lakini..)
Hujawahi niangusha. Barikiwa Sana mtumishi. Songa mbele songa Songa.
Ameni, Brother kazi zuri hakika Yesu ametukuka sana
Be blessed mdg wangu, Mungu akuinue zaidi na zaidi.
My favorite song be blessed man of God 🙏
halleluya limetukuka jina lako Yesu
Amen Amen Osca ni hakika
Kaka kazi nzr sana arrangement iko poa naendelea kujifunza sana kwako
Sifa utukufu kwa Yesu. 👏👏👏
Bless you kaka
nice bro dilungaa Unajua Unajua Unajua tenaaaa
Amen 🙌🙌🙌🙏🙏 be blessed 🎉🎉🎉🎉
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Naupenda mno huu wimbo jamani🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mungu awabariki mnooo
Mungu akutunze kaka yangu nyimbo hii imenikumbusha mbali sana
Amen Mungu akubariki sana
Ahsante sana MUNGU azidi kukubariki kwa kuifanya kazi yake
Mtumishi Baraka za Bwana zisikuache.
I waited for this 🙌🏽
🔥🔥🔥🔥🔥
Amen asante sana utukufu apewe Yesu
Jina la Yesu Limetukuka 🙏
More grace papa
Ongera sana mtumishi wa Mungu Adamu Dilunga
Asante sana mtumishi
Powerful song glory to God be blessed Dilunga
🙏🏽
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉God bless you my brother
Amen Amen
Nice teacher,, Be blessed😊 🙏
Hongera sana Mtumishi ✋
Amen asante sana ndugu yangu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa Edric ndugu yangu
Amen amen
Wimbo unanibariki sana
Amen Dada Pendo Mungu aendelee kukuhudumia kupitia huu wimbo. Lakini pia unaruhusiwa kushare na ndugu na rafiki zako kama sadaka yako kwa Mungu. Na pia uwaambie wasubcribe kama utakavyofanya wewe ikiwa pia ni sadaka yao kwa Mungu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Powerful worship.Be blessed!
Amen dada Veronica Mungu akubariki sana
honor to our God Almighty forever
Hongera bro ubarikiwe!
Thanks Yohana
Amen 🙏 🙏
Niseme nini zaidi ya kumtukuza MUNGU kwa ajili yako fire 🔥 🔥🔥
Utukufu na heshima ni kwa Yesu aliye juu
God bless you 🎉
❤
Glory glory glory…
Blessed
🙌🙌🙌
🙏🙏🙏
Hakika Jina la YESU limetukuka .
Amen Amen
Amen
❤
❤