JINSI YA KUPIKA PILIPILI YA EMBE NA MBILIMBI/ HOW TO MAKE MANGO CHILLI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @ryanwanje7401
    @ryanwanje7401 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa 😍

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @missmasao
      @missmasao  11 หลายเดือนก่อน

      🙏🏾🙏🏾😍😍

  • @njerikaranja9307
    @njerikaranja9307 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hi. Kwani nilazima uweka pilipili ya mbirimbi kwa fridge na umeweka vinegar.

    • @missmasao
      @missmasao  9 หลายเดือนก่อน

      Inakaa mda mrefu zaidi na kama ume notice nimeweka vinegar ndogo sana

  • @adamnasango
    @adamnasango 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vinegar ndimu

    • @missmasao
      @missmasao  2 หลายเดือนก่อน

      Vyote

  • @sarah09mkoba8
    @sarah09mkoba8 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo vineger Kama Sina naweza kuweka ndimu?

    • @missmasao
      @missmasao  2 ปีที่แล้ว +1

      Unaweka ndimu ,ila vinegar ndiyo inasaidia kufanya pilipili yako kukaa mda mrefu bila kuharibika dear.

  • @ryanwanje7401
    @ryanwanje7401 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaweza Kaa bila friji kwa mda upi?

    • @missmasao
      @missmasao  2 ปีที่แล้ว

      kwa wiki moja dear, ila hakikisha unatumia kijiko kisafi na kikavu kuchota na usiiweke sehemu itakayo pigwa na jua.