Nawakumbusha wale fans wa ukweli wa joti tv, ukiwa unaangalia clip usisahau kulike pale juu kwenye video yake. Hii itampa Moyo! Views sio wengi sana lakini tujitahidini sisi ambao tumeview tunalike pia. #Nihayotu🙏
HAHAHAHAHA kweli mchujo ni nouma jamani ni wangapi tuliochelewa kukoment sababu ya kuanza kuutazama huu mchujo ndipo tunakoment sasa hebu gonga like hapa tujuane 👊👊👊👊
Hapo mnakosea Sana,kuonyesha jina la soda halafu mnasema eti imepasuka kiwandani halafu Kuna jina la hiyo soda hapo mnaharibu biashara za watu,ni Bora msingeonyesha jina la hiyo soda maana hapo mnaharibu jina la kampuni hiyo ya soda
#kalii sanaaaaa...... Wanao mpenda Joti wa angushe like zao hapa 2juane
Mchujo huu ni nomaa #hadi kwa wake zenu!! Nimeelewa kuwa tutumie condom kwa usalama wetu 😂😂😂,,, somo
nikuele sana lazar maan ya mchujo
Ukisema umewahi bas wenzio wamelal humu humu😂😂😂joti i lov u💜❤
Ukisema umerauka wenzio wamekesha,
yaan alipotokeza Sopa nikaanza kuandaa mbav zangu..Sopa hunifurahisha kwakwel..
Big up guys
Joti wewe ni fireeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umenichekeshaaa saaanaaa. Utabaakiii kuwaaa juuuuuuuuuuuuuuuu kileleeeeniiiiii. Woteee seeemaaaa chiiiiiiiiiiiiiiiiiii
🤣🤣🤣🤣 joti muache mbuzi alie banaaaaaa
😂😂😂 Kwel huo mchujoo
😂 😂 😂 mchujo very best funny
#bestcomedian #joti
Namkubali sana joti
Yaani joti akichezagi kibabu ..anapendeza sana
Ni mecheka Sanaa waallah kweli mchujo nipo saudia Arabic uku basi nacheka Sanaa jotiii
My whatsapp number, i'm in Oman
+96891458160
First to comment oye
....anti Ugandan love as always....plz somenlikes❤❤❤
🇺🇬 here we are.
@@yacoubalalwy2852 💃💃
Kweel nimeshafk Ug ww
🇺🇬
Hahahaha Ni mchujo kweli 🤣🤣
Huo mchujo huo Ni potezaaa😆😆😆
Nawakumbusha wale fans wa ukweli wa joti tv, ukiwa unaangalia clip usisahau kulike pale juu kwenye video yake. Hii itampa Moyo! Views sio wengi sana lakini tujitahidini sisi ambao tumeview tunalike pia. #Nihayotu🙏
Video kali
Kweli100%
Nime jikuta naceka aise😂😂😂😂mucujo balaa
Nimeipenda mpaka
😁😂😁😁😁 eeh kweli mchujo 😆😆😆 nawapenda jamani
Upo single?
Duuh huo mchujo n nomaaa
HAHAHAHAHA kweli mchujo ni nouma jamani ni wangapi tuliochelewa kukoment sababu ya kuanza kuutazama huu mchujo ndipo tunakoment sasa hebu gonga like hapa tujuane 👊👊👊👊
eti mchujo maranyingi tuna tumia kwenye vinywaji,, vyakula na hata kwa wake zenu 😂😂😂😂😂 shikamoo Joti
Oh nimechelewa leooooo😘😘😘😘😘😘😘😘
Mchujo hata kwa wake zenu😂😂😂
Joti km Mzee kweli. Naomb like zenu
Hahahaaaa joti noma sanaaaa
HATA WAKE ZENU. 👀😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂joti umetuteka tyr ila cio mchujo kwa mke
duh!!!! yani hata 50 bora nimekosaaa
punguzeni kuwah jamani
Joti shikamoo
🤣🤣🤣🤣🤣.umetisha joti
......... Hata wake zenu!! 😂😂😂😂😂
Iv kumbe thoda bado jero kibongobongo😂😂😃😃😃😂😂😂😂😂😂
Jamani mie sjui kwanini yani kilasku nalike wenzngu mi lakn mie ata moja sjawai pata
Jot noma sana unyama mwingi
😂😂😂😂😂joto umenikumbusha utotoni
Babu kakata kiu na soda ya mchujo😅😅😅😅
Na wewe mbuzi subili kwanza nakuuza wewejua kali siku hizi.....mbavu zangu mieeeee joti we mpuuzi sana
mchujo uwo hahahhaha joti nakugawa buree
jamani joti kazuka na meeee🤣🤣
deep msg sentensi ya mwisho hapo
hahahaha mchujo kwenye chakula
Joti weeee n shidaaaaa😆😆😆😆😆😆😆😆
Ahsante Joti kwa mchujo....hahahaah
joti tv naomba muifanyie part 2 tuone mwisho wa sopa na kipande
Aisee mchujo noma
Haaaa nzuri san
Hamjawai kukutana na mchujo, 😀😁😀😁😁😀😁😀😁😀📌📌📌📌jot😁😀😁😁😀😁😀
M nampenda sopa jaman
Nani apendi tabia ya waomba LIKES
BongoHood Tv
Tupoooooh
Bong
Nipo
kama umeanza kucomment
kabla ya kuitazam mpaka
mwisho gonga like kwa #JOTI
Kwahyo nani kalipia soda 😀😀
Joti love you 😅😅😅😅😅
Daah kumbe Leo ijumaa
Mchujo noma sana
Ugomvi upo pale pale babu
Jamaa imekula kwake lok
Wakwanza kuangalia npen like zangu from lagos
Aya bwan watu wapo makini
Kkkkkkk mchujo kwelikweli
😂😂😂😂😂😂joti hachuji kabisa
JOTI umemaliza kesi kwa mchujooo hahahaha
Very interesting to watch it. 😃😃😃
Manina zake huo ndo mchujo boya we
Hapo mnakosea Sana,kuonyesha jina la soda halafu mnasema eti imepasuka kiwandani halafu Kuna jina la hiyo soda hapo mnaharibu biashara za watu,ni Bora msingeonyesha jina la hiyo soda maana hapo mnaharibu jina la kampuni hiyo ya soda
Joti😂😂😂😂nomaaa
Bwana mbona maneno na vitu vinapisha naaaa
Team joti tunajuanaga kwa likes
Mchujooo😂😂😂
Hahahahaah Wazee wa mchujo
Unafanya vizuri Joti, ila video zako ukiondoa kile kicheko kila inapoanza video itakuwa vizuri zaidi. Ahsante
Ahahahah joti kiboko kweli ni mchujo haswaa 😆
hiyo ni hatari sana ndugu unatsha
Wakwnza from kenya
Nakukubali joti, from Germany
Mtoto wa kiume Kuomba omba like ni umama
@@helenerasto230 ni umama
Wakenya tumeteka FB group ya UDAKU Tanzania iliobaki ni kumteka Joti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Me ndo mamba black nadhani unanijua kwenye hiyo group uwezo huo hamna
😁😁😂😁😁😁😁
Halaf mnafaidika na nini mkiteka hizo group
Noma sana
jmn sopa, mwache kipande wng unamuonea bure
P1 sana
Maajabu aya nimeanzaje kuwa wakwanza Leo😂😂😂😂😂😂embu nipen izo like namimi nikanunue baiskel🤣
Nilipo muona joti nime cheka mbaya
Love team joti
"Vinywaji, chakula - hata wake zenu!"
#MAE
mucujo hahaha nakuku bari joti
Congo dlc
Fundi joti nakubali
Sasa umeamuaje..
Dunia bwana hahahaa
Team LUCAS 🔝🇹🇿
Likes
😀😀😀kweli mchujo
Leo nimekua wakwanza jamani wanaompenda jot like hapo place. jot utabaki kilelen
Mchujooo🔥🔥🔥🙌🙌
Peter Moshi 😁😁😁
The best team ever
Leo nimekuwa wa kwanza hahhahahhaa
Mtoto Joti Maku mjue...!..🤣🤣🤣
Part 2 pls
Wakwanza Mie
😂😂😂😂😂😂mchujo kweri
😂😂😂joti
Adi wake zao tena
😂😂😂😂😂😂