Haya ni maneno ya mwisho Rais Magufuli alimuambia Mhe. Samia Suluhu siku chache kabla ya kifo chake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @essaujonathan3773
    @essaujonathan3773 3 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli kwa Yote uliyojitolea kwa ajili ya wananchi🙏🙏🙏🙏 .....Ewe MWENYEZI MUNGU mpokee mja wako...🙏🙏🙏

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mwenyezi mungu Amueke pema peponi lnshaallah

  • @ndaganoanastazia2658
    @ndaganoanastazia2658 3 ปีที่แล้ว

    Maman wa nguvu, super woman wetu fron God.... Mungu akutie nguvu kwani viati vya baba Magu ni vikubwa.... ila Mungu kakuchangua wewe...#tutafikasalamanaMamanSAMIA

  • @EliahParpulisEvalyneMkulati
    @EliahParpulisEvalyneMkulati 3 ปีที่แล้ว +1

    Hotuba ya madam president inatoa faraja kubwa kwa taifa letu. Tanzania ipo mikono salama.

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 3 ปีที่แล้ว +5

    Namuangalia Mzee Kikwete naona n kiongozi asiyetaka makuu zaidi ametulia na mwenye hekima zake,yani kama hakuwa raisi wa TZ nae amekuwa kama raia tu wa kawaida. Mungu anipe hekima za Mzee Jakaya.

  • @aishaswab3942
    @aishaswab3942 3 ปีที่แล้ว +2

    Nani huyu anakatakata vitunguu hapa 😭😭

  • @polineoyalloofficial3505
    @polineoyalloofficial3505 3 ปีที่แล้ว +1

    Very painful 😭😭😭😭

  • @cosmasmpwage2576
    @cosmasmpwage2576 3 ปีที่แล้ว

    😭nenda baba

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

    Maskini mungu Mueke pema peponi yallabi Inshaallah

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 ปีที่แล้ว

    Ameen inshallah 🙏

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭

  • @mwanzomgumutv2111
    @mwanzomgumutv2111 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen.

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji 3 ปีที่แล้ว +1

    Sauti tamuuu🇷🇼🇷🇼🇷🇼🙏

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mtu nimetoka kubishana nae akidai Rais haitwi marehemu anaitwa hayati mbona Mama samia anamwita Marehem nini tofauti ya hayati na marehemu

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 3 ปีที่แล้ว +1

      dini ndo tofauti

    • @omarihamadumetishasanalava4725
      @omarihamadumetishasanalava4725 3 ปีที่แล้ว +1

      Rest in peace maguful

    • @mwatumsaidi5104
      @mwatumsaidi5104 3 ปีที่แล้ว +1

      Hayo ni maneno ya kiyarabu mtu akifa haitwi jina lake ana itwa marehem (markhum) maana yake mungu akupe rehema zake na khaytt maana yake ni mpendwa.

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mwatumsaidi5104 ohooo asante

    • @mwatumsaidi5104
      @mwatumsaidi5104 3 ปีที่แล้ว

      @George Kimani Hyatt ni mpedwa au unaweza kusema maisha. marehem ni mtu alio tangulia kwa uwelewa wetu wa zanzibar na wa Oman kutoka katika lugha ya kiarabu

  • @bundukitv
    @bundukitv 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja na ubize tulionao, ila ukipata muda unaweza kupata faida hii ya NENO LA ALLAAH (Surat Annisaa aya ya 127 - 130) By sheikh Hassan Mbarazi (Mbeya)👇..
    th-cam.com/video/B9--pimG7i4/w-d-xo.html

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 ปีที่แล้ว

    😂😂

  • @chany9950
    @chany9950 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭