KATIBU WA CCM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI,MBUNGE AWA MKALI MBELE YA MWILI "NIMEWAHI KULALA NA BUNDUKI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 257

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 ปีที่แล้ว +3

    Poleni ndugu jamaa na marafiki wa marehemu. Raha yamilele umpe ee bwana na mwanga wamilele umuangazie apumzike kwa amani. Aminaaaaaaa!!!!

  • @evanswinston5102
    @evanswinston5102 ปีที่แล้ว +1

    Mnapenda sana kuabudu wawekezaji na mnawaabudu kwakuwa hamuishi kuwakingia mikono mnasubiri vishilingi shilingi vinavyodondoka
    Unashout shout apo kimaigizo mbona hukuwa emotional walipokua wanapotea na kuuliwa watu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika ปีที่แล้ว +5

    Ni hatari kubwa sana. Tunaenda wapi jamani?. poleni sana. Amen.

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว +6

    Zake zimetimia Mwenyeez mungu aipokee Roho ya marehemu mahara pema pepon Amina

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 ปีที่แล้ว +11

    Nimekumbuka Maneno ya Lema...nanukuu "mkimaliza kutushughulikia sisi basi mtaanza kujishughulikia nyinyi kwa nyinyi"

    • @jacksongabriel4693
      @jacksongabriel4693 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga ndiomana unaishi maisha ya ziki pumbavu ww lema nibabako

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 ปีที่แล้ว

      @@jacksongabriel4693 Tako ww

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว

      Mbona hata wao wanamalizana wao kwa wao ?? Ndio maana akina kabwe wakakimbia

  • @asyashariffu7717
    @asyashariffu7717 ปีที่แล้ว +9

    Msiban unaleta hutuba za sifa ..msiban toa hutuba znazohisian na KIFO wamby watu km "mtu hafi kwa baht mby kila mmoja lazm atakufa cku yke ikifik ..kwhy tujitahd kufany ibada" ..hyo ndo manen mzr lkn ivo unavoongy ulpasw uongee sehm tofaut na msiban

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +8

    Mungu amlaze mahali pema peponi, Poleni sana

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +4

    Zile Risasi alizo pigwa Tundu Lissu laiti angepigwa mwana CCM au raia na akapona. Jambo hilo lingekuwa la kimataifa, la kulaaniwa ndani mpaka nje ya taifa na ungefanyika uchunguzi mkali na kukamatwa watuhumiwa. Kwakuwa aliyefanyiwa ni mpinzani ikafikia hatia mpaka raia wanaona jambo lake ni maigizo flani hivi!.

  • @christophertarimo3044
    @christophertarimo3044 ปีที่แล้ว +5

    JAMANI MBONA AKINA BEN SAANANE WALIPOTEA NA AKINA L8SSU KUPIGWA RISASI HAMKUONGEA KWA UCHUNGU..AU HII NCHI IPO MARA MBILI..UPANDE WA CCM NA UPANDE WA UKAWA..EBU TUELEZANE

    • @elgidiuselzeus1992
      @elgidiuselzeus1992 ปีที่แล้ว

      Ben Saanane hausiani ardhi ya wazazi wetu na ndg zetu Muleba Kuna CCM na vyama vingine vya upinzani kwahiyo mtu unapocomment matope kwenye ndg zetu kunyanyasika na kubakwa kwenye nchi yao nakushangaa hamna anayebariki kupotea Kwa Ben tunauzunika lakini haimanishi Kwa kuwa alipotea Ben Saanane na wengine inapelekea kuuawa, kubakwa, kuteswa na kupingwa ndg zetu kwani sisi hatuhusiani na kupotea hao mnaowazungumzia after all we're not affiliated with any political party we demand for our right of life with full of peace so msilete siasa kwenye swala linahusu maisha ya ndg zetu tunalaani vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa ndg zetu kwenye nchi yao we've no other place to call home for our poor brothers and sisters so please we would like to see government intervention in this issue because is there to save their people.

  • @mkomboraahmedchome
    @mkomboraahmedchome ปีที่แล้ว +21

    Nyinyi kuwauwa wenzenu mnapenda kumbe mkuki kwa nguruwe Tu

  • @ellymlay9266
    @ellymlay9266 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli inaumiza sana, Mungu atusaidie kwani kila mtu Ana haki ya kuishi.

  • @gosppediapinnacle4230
    @gosppediapinnacle4230 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wakifa wanasiasa ndiyo inauma.....Mbona Mbarikiwa Mwakipesile anapiga kelele hasikiwi

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +6

    Innalillah wainna ilaih rajiuun Allah is great

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 ปีที่แล้ว +19

    Kwani heche maeongea mara ngap,, lissu pia, mkasema wanatumiwa na mabeberu haya leo umepigwa nyie mmekuwa wakali nakuona polis wazembee,, kazi iendeleee

    • @Ray-vk7bp
      @Ray-vk7bp ปีที่แล้ว

      Wape chadema nchi baadae ndo utakuja kuelewa

    • @zuwenaabdallah7748
      @zuwenaabdallah7748 ปีที่แล้ว

      Chalamila masikini anamuangalia tu hana hata la kusema

  • @lama6310
    @lama6310 ปีที่แล้ว +8

    Nyie Fanyeni Vyote Uwaeni Wenyewe kwa wenyewe Ila Msije Mkajaribu Kumuua John Heche wetu.

    • @abuukamugisha5994
      @abuukamugisha5994 ปีที่แล้ว +3

      Sasa heche aliwahi kuwa mkazi au kiongozi wa muleba, acheni siasa upofu

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว +2

      @@abuukamugisha5994 Kazi ya kukurupuka...heche ndo mtaa gani!!!

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +1

    WAMEOMBOLEZA SANA WAPINZANI KWA KUTEKWA, KUPOTEZWA NA KUUWAWA. SASA MMEANZA KUUMIZANA NYIE KWA NYIE CCM

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +2

    MLIZOE KUWAONA CHADEMA WANALALAMIKA MAUJI

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 ปีที่แล้ว +25

    Mama Samia hii nchi inataka kuendesha Kibabe tofauti na hapo hii itakuwa endelevu na Amani itavurugika.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      kabsa

    • @nasorosaid3227
      @nasorosaid3227 ปีที่แล้ว +4

      Ndo maana MAGUFULI Mimi nilitokea kumuelewa sana

    • @renatusrevocatus3895
      @renatusrevocatus3895 ปีที่แล้ว +1

      Aliyeendesha kibabe mbona akina Lisu walipigwa Rusasi au kwasababu hakufa

    • @renatusrevocatus3895
      @renatusrevocatus3895 ปีที่แล้ว

      @@nasorosaid3227 ulimwelewa eeeeh......kwahiyo kitendo alichofanyiwa Tundu Lisu kwako wewe ni dua siyo

    • @JAKODAMO
      @JAKODAMO ปีที่แล้ว +1

      ​@@renatusrevocatus3895 Tundu Lisu ni Mumeo?

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 ปีที่แล้ว +2

    Ahaa mmeanza kuuana wenyewe safi sana roho ya mauaji ni mbaya sana

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +14

    japo sifa ulizikataa ila unazo Tena nyingi had zimepitiliza mama anakutaftia nafsi

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 ปีที่แล้ว +2

    Muosha huoshwa...!!
    Hapo watajulikana.. kwa wengine Wasiojulikana !!
    Dr. Remmy aliimba .."ukitukana nawe utatukanwa. "

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 ปีที่แล้ว +9

    Malizaneni tu hamna jipya ccm

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 ปีที่แล้ว +2

    Hongera.sana.mwaijage.mbunge.kwa.kutete.wananchii.wako

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 ปีที่แล้ว +5

    Imenitoa machozi hii speech Mungu ingilia Kati😭😭😭

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว

      Mungu yupi ??

    • @jacklinejosam3713
      @jacklinejosam3713 ปีที่แล้ว

      Hii haki ingeenda mpaka kwavyama pinzani , mbona lisu alipigwa lisasi lakini hamkusema?

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 ปีที่แล้ว +1

    Mwijage ni kichaa mm namjua toka akiwa waziri 😅😅😅😅

  • @petercat2062
    @petercat2062 ปีที่แล้ว +5

    Nafasi Bado zipo kweli sidhani kama zipo tugawane kidogo kidogo ushatafuna Sana mzee waachie wengine time will tel

  • @geey7893
    @geey7893 ปีที่แล้ว +1

    Tuliwaambia hii nchi inataka Chuma kama Magu mkasema ni Mbabe sana. Endeleeni Ku Enjoy mnapiga kelele za nini?. MASAUNI mwenyewe amezaliwa huko kwa akina afande Rama atayajuaje ya Rutoro

  • @himoda7647
    @himoda7647 ปีที่แล้ว +7

    Punguza jaziba ww imekuuma San kisa yy ccm mbona vyama Pinzan wana uawawa na serikali iko kimya

    • @csato9415
      @csato9415 ปีที่แล้ว

      Msiba umefika ndani sasa wanalia na kufoka, ingekuwa wale wa vyama vingine mnakuwa 😷😷

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +22

    Nimekumbuka yaliyompata mawazo, Ben⏱8..

    • @ombenianton3611
      @ombenianton3611 ปีที่แล้ว

      Mwangu daaaahhh,, halafu siku ya mazishi zikaja vurugu 🥲🥲

    • @christophertarimo3044
      @christophertarimo3044 ปีที่แล้ว

      Ccm mlijisahau sasa mnakulana wenyewe Tatizo mkipewa uongozi ccm mnajiona Mungu watu....

    • @mchunguliechibwa198
      @mchunguliechibwa198 ปีที่แล้ว

      Heti chegu avalaa..bure kabisa

    • @priscasway3492
      @priscasway3492 ปีที่แล้ว

      Lia mpaka ufe

    • @elishuaisaya4176
      @elishuaisaya4176 ปีที่แล้ว +1

      Mawazo na Beni saa nane bado wapo sijui?

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 ปีที่แล้ว

    Kumbe Huwa mnahisi maumivu duh😭😭

  • @josephshuma1975
    @josephshuma1975 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo wanapowawa wapinzani mlikaa kimya na mnakaa kimya watu wameokotwa kwenye viroba mnakaa kimya leo CCM inawajeukia ninyi ndo mnaona uchungu wake mwogopeni Mungu mnachopanda lazima mtavuna tuu

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 10 หลายเดือนก่อน

    Duh!!! Mwijage ameumizwa

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 ปีที่แล้ว +2

    Na bado mtakulana wenyewe kwa wenyewe hii ndio TANZANIA ya leo

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +4

    Mungu tunaomba ulinzi na Amani katika taifa letu la Tanzania so poleni saana kwakweli wafiwa

  • @deodatusdeusdelity1928
    @deodatusdeusdelity1928 ปีที่แล้ว +4

    Yaan maneno mengi point hakuna 😆😆

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 ปีที่แล้ว +2

    Poleni.sana.watu.wa.Lutolo

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 ปีที่แล้ว +6

    Hii nchi nzuri Sana hii

  • @yussfujonhmasengese7049
    @yussfujonhmasengese7049 ปีที่แล้ว

    Inauma sana kweli

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +2

    Hiii Tanzania, eee mmh tutajionea mengi

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 ปีที่แล้ว +3

    Alfonce mawazo. Dah huyu ndo kama tundu lisu. Dunia hii nimehuzunika sana. Hii nimekumbuka beni saa8 dah. Hii nchi kusiwe ccm na chadema. Tanzania ni ya watanzania jamani

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +2

    SUBHANNA LLAH

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +3

    inalilahi wainailah rajiun 😭

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +1

    Tuliipenda wenyewe mmmh Chaguo letu wenyewe acha tuosome No.??? Kax ipo

  • @ombenianton3611
    @ombenianton3611 ปีที่แล้ว +2

    Daaaahhh na sisi CHADEMA tungekuwa tunaliliwa hivi na watawala basi ningeona kuna haki sana ktk taifa letu hili

  • @dellynevermlanga2772
    @dellynevermlanga2772 ปีที่แล้ว

    Jaman inauma sana

  • @elihurumatukay3018
    @elihurumatukay3018 ปีที่แล้ว +1

    Mi niwape pole kwa msiba 😭😭😭wakatilisu anapigwa risasi mbona mulikaa kimya? Haipendezi lakini

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 ปีที่แล้ว

    Tutarara musikitini duh kazi mnayo mwijage muleba ina hekita 20 elifu😂😊

  • @salmoncelestine6840
    @salmoncelestine6840 ปีที่แล้ว

    Naamini Mwijage ni mtu safi,, mengine yaliyotokea huko nyuma kwenye system pengine hayamhusu moja kwa moja.Serikali iingilie kati haki ipatikane

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว +1

    Mukimaliza wapinzan mutageukiana na kumalizana wenyewe kwani anayeua kwa upanga........

  • @kingjapheth-lj1wr
    @kingjapheth-lj1wr ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @matildamkombachepa2149
    @matildamkombachepa2149 ปีที่แล้ว

    very painful speech

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 ปีที่แล้ว +1

    Wawrkezaji wasiwekwe kwenye makazi ya watu ndo chanzo Cha migogoro. Mbona maeneo ya wazi yako mengi jamani😭😭

  • @justinekoko6805
    @justinekoko6805 ปีที่แล้ว +6

    Nyie kuuwa wengine uwa mnaona sawa

  • @sarahwalker5093
    @sarahwalker5093 ปีที่แล้ว

    bado 1:09 sana mkuki kwa nguruwe

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว +1

    Una piga kelele ben 8 yupo wap et acha fujo c ya kifo c ya kumuombea mwenzako lakn ww mbona ya upinzani haupigi kelele

  • @paskalinaawaki4398
    @paskalinaawaki4398 ปีที่แล้ว

    Huu ujasiri ungetumika kipindi cha Saanane, Lissu nk ingeleta maana.
    Sema nn, au basi

  • @bozanassoro1877
    @bozanassoro1877 ปีที่แล้ว +1

    Mwqijage mbona mapovu yanakutoka mbona Tundu lissu alivyopia lisasi atujawaona mkiongea? Au tundu lissu paka?

  • @chiefandrewkidulile3028
    @chiefandrewkidulile3028 ปีที่แล้ว +5

    Foolish words ever..Viongozi wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii, hana mpangilio wa mazungumzo . Kiongozi gani anatetea tumbo lake

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 ปีที่แล้ว

      Anajiita mzee wa sound.

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

      Mchungaji shikamoo wengi wariombere ukiua kwaupanga na wewe utauwawakwaupanga mungu mwacheni arivyo mkuu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 ปีที่แล้ว

    Polen sana inauma lakin mbona upizani huwa hamuongei hivi?

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 ปีที่แล้ว +3

    Mkimaliza kitushughulikia mtajishughulikieni wenyewe kauli ya upinzani

  • @jseventz
    @jseventz ปีที่แล้ว +7

    heche alishaongea sana

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Hapo hatupo kwaajili ya kumtambulisha mama Samia bali tupo msibani

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 ปีที่แล้ว

    Kulia kupokezana msahau Izory gwanda, Benn saanane,, mumemteka hadi leo hawajulikan waliko na je vp kuhusu Tundu Lisu wale waliompiga risas kule dodoma,, Leo imekuwa nyie mnatupigia kelele mbona kwa Tundu Lisu hamkuchukua action yoyote!!!

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 ปีที่แล้ว

    Tukiona wana CCM wanakufa tunashukuru Mungu hao ni washenzi ukimuona anataka kukata roho basi msaidie afe haraka sana

    • @josephselesitine224
      @josephselesitine224 ปีที่แล้ว

      Uzuri wote njia moja hakuna atakayeota hapa duniani.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 ปีที่แล้ว +4

    ndo maana mkuu wa mkoa alisema tuache ujuaji wahaya hivi kwa ongea hii ya mbunge pata picha kila kijiji bukoba kina watu wa aina hii hivi tutajenga stend kweli kwa ujuaji huu

    • @marley42
      @marley42 ปีที่แล้ว

      Tuulize tulioko huku

    • @livinuskamugisha5296
      @livinuskamugisha5296 ปีที่แล้ว +1

      Wewe stend ya kwenu ndo uliyeijenga ama??

    • @innocentmtashobya1257
      @innocentmtashobya1257 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo wameongea wote umewaona au ndo chuki na ushamba wa ukabira vinakusumbua

    • @livinuskamugisha5296
      @livinuskamugisha5296 ปีที่แล้ว +1

      @@innocentmtashobya1257 huyo vinamsumbua tu mjngamjinga

  • @aloyciaurassa378
    @aloyciaurassa378 ปีที่แล้ว

    Imungu ailaze pema rohp ya marehemu inasikitisha sana watu kuuwawa namna hii Tanzania tunakwenda wapi?mungu inusiuru tz

  • @fredyshirima8594
    @fredyshirima8594 ปีที่แล้ว

    Viongoz wengine bhana, yani ni viazi kweli kila sentensi kadhaa mama samia mama samia, acheni unaa.... fanyeni kazi

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 ปีที่แล้ว +2

    Namuona Chalamila ameinama kama anatafakari nini aseme.

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mwishimiwa 😭

    • @fredyshirima8594
      @fredyshirima8594 ปีที่แล้ว

      Kweli huyu ni mwishimiwa na sio mheshimiwa 😅😅

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 ปีที่แล้ว

    Sijui Yuko wapi beni saanane

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

    Viburi na ubabe na kujiamini sana ni kujioana upo sawa kwenye kila jambo ni kosa kubwa sana..
    Nchi hii imeonekana ni ya wachache sana na wanajiona wana haki kuliko wengine

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 ปีที่แล้ว

    Duh,mwijage huwa simwelewi kabisa mie😁😁

  • @chachaE1992
    @chachaE1992 ปีที่แล้ว +3

    Aisee 😭😭

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว

    Mama hii nchi inakuangalia kwatofauti sana,wanzkuona mpole hujui kufoka,hujui kitumbua hadharani,hawa watu wanacheza nawewe mama.Hii nidharau kubwa sana mama.Mama kuwa mkali hii nchi inawatu wenye vichwa vigumu dharau mazoea kukuona hujui Tanzania kbisa.Insums sana mauji hya umezidi jmn

    • @renatusrevocatus3895
      @renatusrevocatus3895 ปีที่แล้ว

      Aliyejua kufoka mbona Lisu alipigwa risasi Ila hakufoka......? Sema tu mkuki kwa Nguruwe............Ila kwa Binadamu mchungu

    • @safihunasingo5413
      @safihunasingo5413 ปีที่แล้ว

      Kisema eti Rais wetu hafoki siyo kweli. Kwani kufoka ndiyo uongozi? Mnapenda kuongea sana. Mh Charles Pole sana sana. Mwenyezi Mungu akailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

  • @kelvinsehewa3751
    @kelvinsehewa3751 ปีที่แล้ว +1

    Malizaneni tu msitusumbue sisi ARAAAH

  • @alphaxardkailembo5465
    @alphaxardkailembo5465 ปีที่แล้ว

    Aisee mwijage ameongea kwa uchungu Sana aisee

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @salmaseifu4775
    @salmaseifu4775 ปีที่แล้ว +1

    Dunia yetu Tanzania ishafika mwisho

  • @abdallahnassoro2460
    @abdallahnassoro2460 ปีที่แล้ว +5

    Nawasalimia Kwa salamu ya katiba ya jamhur ya Tanzania Kaz iyendelee

  • @kabwikaibrahim-up3vg
    @kabwikaibrahim-up3vg ปีที่แล้ว +5

    It is a sensational speech!!

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 ปีที่แล้ว

    Mungu awaponye

  • @bozanassoro1877
    @bozanassoro1877 ปีที่แล้ว

    Leo. Ndio,nimeamini kumbe. Ccm Mdio kirusi cha nchi,hii katibu tu kelele je siku akipigwa mbunge wa ccm? Hayo Umeyanza,wenyewe tulieni sasa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    JESUS 🕊️💔

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe inaumiza kukiuliwa nyinyi munahuzunika mbona mukiuwa wenzenu kunachekekea Wapemba wanauliwa kila uchaguzi mbona hamuhuzuniki

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 ปีที่แล้ว +6

    R.i.p ALPHONC MAWAZ

    • @jacklinejosam3713
      @jacklinejosam3713 ปีที่แล้ว

      Poleni family ila Mungu asipoulinda mji wlindao wakesha bure

  • @lubavacastory1831
    @lubavacastory1831 ปีที่แล้ว

    Malipo ni hapa hapa duniani..!Uwaneni mbaka muishe Pumbavu...!

  • @ernestsinje-ng8hm
    @ernestsinje-ng8hm ปีที่แล้ว +2

    Kuna shida sehemu fulani, mambo yamebadilika Sana.....mmh

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      sana ndugu ila wafrica wajinga sana nchi inanuka damu na maut yakilasiku ila watanzania wakosa akili wanasema sasahivi inchi ipo salama kisa tu hawana akili yakuona maovu yanavo zidi awamu hi ya samia kiukweli tanzania inatisha sana

  • @immanueljoseph7190
    @immanueljoseph7190 ปีที่แล้ว

    Mm nmtiifu wa chama natucokuwa na chama je?

  • @kelvinsehewa3751
    @kelvinsehewa3751 ปีที่แล้ว +1

    Hii inchi watu wanakufa kila ciku kimyakimya na hata kwa nguvu na wanaofanya wanatuchekea kwa media.....hata HUYU jamaa alipokua wazir nazani alishuhudia na mpaka sasa anashuhudia ....hivo asijitie anauchungu sana kisa jamaa ake

  • @ameria2332
    @ameria2332 ปีที่แล้ว

    Yangu macho napita 2 kuangalia comments .Kweli Kiswahili ni kibantu mwijaaaaa😂😂

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Poleni wafiwa!

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    Tatizo ninittena huko mbona nihatati....

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว

    🥺

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว +1

    Wacha inyeshe kabisa tuone panapovuja. Wakitekwa na kuuwawa akina chama fulan . Kimya.

  • @selemaniismail4406
    @selemaniismail4406 ปีที่แล้ว +2

    😢😢 Jamani ndio nini sasa hiii

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Mbona sasa analipiga sanduku na mkuu wa mkoa unaangalia tu wakati wengine tunauchungu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว +1

    Wananchi wakawaida wakifa haina neno kifo cha bahati mbaya tu labda jamaa alijua ni mnyama imekuaje mpaka apigwe risasi

  • @ansilakimwenyi2003
    @ansilakimwenyi2003 ปีที่แล้ว

    Mwekezaji anafanya ujinga mnamwangalia UVCCM na Green guard huyu ni kumkatili inatakiwa kimpotezea kwa muda kusahaulisha na kumgawa vipande na yeye

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 ปีที่แล้ว

    Inauma sana.
    Yaelekea kila aliyepewa madaraka katika nchi hii anajichukulia maamuzi ya hukumu.

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 ปีที่แล้ว +6

    Mmeua wengi acheni muuwawe