Boss wangu hongera uko vizur sanaaaaa lkn tunaomba uwe unataja sumu na kiambata chake mana tunakuangalia mikoa mbali mbali hivyo sio maduka yote yanakua na hizo sumu
mimi nimeanza kulima mwaka huu 2023 ila nipo mbali na mto hivo nategemea mvua ila kunachangamoto ya ukame nimeambiwa na baadhi ya wakulima wenzangu nitumie super glo je ni sahii niitumie hii SUPER GLO ili nikabiliane na ukame
Shalom! Nimefuatilia maelezo yako kwa umakini. Naomba unisaidie hapa, ni mara yangu ya kwanza kabisa kulima tikiti na sina elimu kabisa leo ni siku ya saba nimeshapika farmigadi sasa hapo kwenye kuweka mbolea na aina ya mbolea na mwendelezo wa kuweka dawa nahitaji ushauri zaidi
Chakulamba Mboga Ubora wa tikiti utalovuna,wakati utaovuna na soko utalouzia ndo vitu vitavoamua bei.Kwa majibu zaidi what's app my number +255764432888
Asnte kwa maelezo mazuri ndugu... naomba kuuliza swali juu ya huo mtego wa nyigu... je unautengeneza na nani zaidi ya hilo kopo.. hicho kitu cheupe kwenye kopo ni nn..je kinauzwa madukan pamoja na dawa ya kuweka hapo?.. naomba msaada kwa hili mkuu
Boss wangu hongera uko vizur sanaaaaa lkn tunaomba uwe unataja sumu na kiambata chake mana tunakuangalia mikoa mbali mbali hivyo sio maduka yote yanakua na hizo sumu
Artcan see inapigwa muda gan baada ya mmea kuota
Great job. A learning experience for the water melon farming.
Kaka naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza mtego wa nyigu
Hakuna mbolea ya Yara na mbolea ya Nitrabo but all in all you're good
Mbolea gan ya kuzalishia?
asante kwa elimu nzuru umetupatia
Dawa ya nyigu ni Pateje kaka
Habar naomb nmba yko ili nijifunze jinsi ya kulihudumia xhamba lngu
mimi nimeanza kulima mwaka huu 2023 ila nipo mbali na mto hivo nategemea mvua ila kunachangamoto ya ukame nimeambiwa na baadhi ya wakulima wenzangu nitumie super glo je ni sahii niitumie hii SUPER GLO ili nikabiliane na ukame
Unaendeleaje
Kazi ngumu Sana ziro
Kazi nzuri bro
Namm ninampongo ila naomba kujua mbegu gani ambayo inafaa kwaajili yamatikiti
Heka moja yaweza kugharimu sh ngap?
naomba namba yako il unpe ushaur
kama kjn mwenye nia ya kufanikiwa kimaisha nmeipenda Kazi ako kk naomba namba yako ya simu kk unipe ushauri nami nilime matikiti kk
Shalom! Nimefuatilia maelezo yako kwa umakini. Naomba unisaidie hapa, ni mara yangu ya kwanza kabisa kulima tikiti na sina elimu kabisa leo ni siku ya saba nimeshapika farmigadi sasa hapo kwenye kuweka mbolea na aina ya mbolea na mwendelezo wa kuweka dawa nahitaji ushauri zaidi
Naomba unisaidie matikiti yangu yanaoza yakiwa machanga
Piga simu
samahani nauliza dawa ya wadudu weup wanaoishi kwenye udongo asilimia kubwa wanaoishi kwenye mbolea ya ng,mbe dawayake niipi
Safi sana ndugu.Tunatamani kufanya na nyie kazi
Karibu sana
@@foodmark482 kaka naomb naomba yako ya wsp🙏🙏🙏
Sawa mr food mark! swali lingine je tikiti moja utauza shiling ngap sokon? Nipo na heka 2 dar pale ruvu ila nimependa mihogo na mm nipo nje ya nchi.
Chakulamba Mboga Ubora wa tikiti utalovuna,wakati utaovuna na soko utalouzia ndo vitu vitavoamua bei.Kwa majibu zaidi what's app my number +255764432888
Asante kwa namba ya simu. Ila nimeikosa video ya utayarishaji shamba hadi upandaji. Asante Fute,
Naomba nisaidie namba yako ya cm kaka
Baada ya kuwek mbolea ya kwanza iyo yara na urea siku ya 21 ulikuja kuwek mbolea gan nyingine.!? Siku ya ngapi.!?
naomba nambayako
naomba namba zako kaka nikutafute nahitajikulima tikiti
Mnapatkana wapi
Mbolea ya yara Na nitrabo jamani unatuchanganya .
Yara Ni kampuni yambolea. nitrabo ndo aina ya mbolea tutafafanulie jamani
Isaiah Matoke Yara ni kampuni bro
Natribor kunaweka stage ya mmea unakuza tunda au maua
Kilimo kwanza
Nahitaji dawa ya manyigu
Heka 2 za matikiti zikikubar vizur, je ni shilling ngapi waweza earn? kupata?
Chakulamba Mboga heka moja inaingia mashimo 3000-4000......wewe unapanda mbegu ngapi kwa shimo??kila shina lililo tunzwa vizuri linaweza kubebe tikiti 2!hesabu nyingine malizia mwenyewe sasa. Sawa Chakula mboga??
😍😍 mbon pesa nyingii
Hbr kiongozib, nami nimepanda tikitib, lkn majani yanatobolewa na kujikunja ..... Inaweza ikawa ni ugonjwa gani?
Marco Mathayo piga dawa ya utitiri na snow cron au dudu ya asali
@Food Mark
Ahsante
Brother
Nikuerewa kk
Asnte kwa maelezo mazuri ndugu... naomba kuuliza swali juu ya huo mtego wa nyigu... je unautengeneza na nani zaidi ya hilo kopo.. hicho kitu cheupe kwenye kopo ni nn..je kinauzwa madukan pamoja na dawa ya kuweka hapo?.. naomba msaada kwa hili mkuu
Elinami Ayo Hiyo mitego ipo madukani inauzwa na utapewa maelekezo ya jinsi ya kuitumia maana ipo ya aina nyingi
Soo nikienda duka la pembejeo nitauliza mitego ya nn kaka...ili nieleweke haraka
Elinami Ayo mitego ya nyigu
Samahan mr unaweza kupata mawasiliano ... natarajia kulima mwezi ujao ndugu angalau niwe napata ushauri kwako.... sikuwahi lima bfre hvyo nahitaji msaada wako..
+255764432888
Matikiti yako uliotesha Mwezi wa ngapi?
Hayo yalipandwa February
wapi hiyo kilimo cha matikiti?
Chakulamba Mboga mwanza
kwahiyo mbolea unaweka Mara 2 tu ukiwa unapanda na sku 21 tu au utawekea tena
Inategemea
Eka na namba au anymeans of communication
Neema Goodluck Nitafanya ivo dada Ney
dapu ni nini hiyo
Nasra hujui dap?
Pamoja sana
vp kak
Poa
Hiyo dawa ya kuzuia wadudu wanaokata mimea michanga inaandikwaje.. nasikia atkan c, naomba uniambikie please
Atticanc
Naomba maelezo juu ya dawa ya atkan c
Naomba simu yako
+255764432888