Ukija hapa oman mtt akizaliwa analipwa kila mwezi wazee kuanzia miaka 60 basi kila mwezi wanalipwa hela nyingi tu wao hawselewi ipo mijitu mijinga sana hii
Siasa za Zanzibar ni viroja tu,, ukiendekeza unakufa kweupe , ni hakuna sera ila kuna uchonganishi baina ya watu na watu, 😢 Tupeni sera mtafanya nini ili tushawishike
We baradhuli kweli kwaiyo ZANZIBAR kuwa na maamuzi yake ndani na njee ni jambo ambalo halina maana au sio tokeni ZANZIBAR muone watu wanavyo ishi sio kukaa maskani mkambiwa mtaajiriwa vikosi mkaona ndio maendeleo wao wanachukua mabilioni ya pesa nyie mnashikiswa mabunduki na kukopeswa vspa mnaona maendeleo ZANZIBAR ndio jambo la msingi
@@Foodgrower112 Africa sahau kama kuna nchi ina mamlaka kamili ya kujiamulia wenyewe tu,, duniani hakuna nchi inajiamulia tu pasina kufuata sheria za kimataifa
Hongera rais wangu inshallah
Ccm wa Zanzibar hawafahamu wao wanataka ccm tu sio maisha bora wangetembea wakaona watu wanavoishi vizur wao wapo tu
Ukija hapa oman mtt akizaliwa analipwa kila mwezi wazee kuanzia miaka 60 basi kila mwezi wanalipwa hela nyingi tu wao hawselewi ipo mijitu mijinga sana hii
Zungumzia ya sasa
Tupo pamoja mpk mwisho wa dunia
🎉
Omo wewe ni mtu na nusu ingawaje miccm unaikera ila endelea kukandamiza nondo tunakuelewa
Siasa za Zanzibar ni viroja tu,, ukiendekeza unakufa kweupe , ni hakuna sera ila kuna uchonganishi baina ya watu na watu, 😢 Tupeni sera mtafanya nini ili tushawishike
We unataka sera gani wakati sera ya kwanza ni mamlaka kamili au hujaisikiya hiii
We baradhuli kweli kwaiyo ZANZIBAR kuwa na maamuzi yake ndani na njee ni jambo ambalo halina maana au sio tokeni ZANZIBAR muone watu wanavyo ishi sio kukaa maskani mkambiwa mtaajiriwa vikosi mkaona ndio maendeleo wao wanachukua mabilioni ya pesa nyie mnashikiswa mabunduki na kukopeswa vspa mnaona maendeleo ZANZIBAR ndio jambo la msingi
Nimekupa like illa wewe sio mfuatiliji bandika bandua iliopita zilielezwa sera kwenye brand promis yetu ya ACT
@@amerwelder7786 hayo mamlaka tunayotaka Zanzibar ni ndoto tu,, maana hakuna nchi ya Africa hata moja yenye mamlaka kamili