@@MohdJuma-w6l hata zanzibar makatili wapo chuki fitna na choyo kwani wale walokua wakijiita mazombi wakaiua watu kipindi cha uchaguzi si wazanzibar au walitoka wapi? Walochinja watu baada ya mapinduzi na kuwafunga na kuwatesa si wazanzibar, kumekua na tabia yakufanya mambo na kusingizia eti Tanganyika ikiwa sie wenyewe watu madhalim wamejaa
@FahadAbubakari-y3f kwataarifa yko hao mazombi unaodai ni watanganyika waruguru tena wale wametengenezwa na smz wamejaa na halafu musitake kujitetea mkajiona nyie ni watu wazuri
Una uhakika kama wote walifanya hayo Wana asili za uzanzibari au kwa kuwa wamejaa watanganyika na kupewa vitambulisho vya uzanzibari kwa makusudi waonekane wanaofanya hayo ni wenyewe Wazanzibari hatukatai kwasababu huko huko Tanganyika hakuna wanaotetea na kupinga udhalim huo
Nakubaliana na wewe sie wenyewe tumo lakini ni wachache baba inawezekana sana lakini pia ujuwe kama hao ni walojazwa chuki toka matumboni mwao baada ya mavamizi mauwaji kwa kivuli cha so called mapinduzi kwa influence za kichuki
hawapo nduniyani piya wanadhani hayo ndiyo maisha. kwisha washazoweya mateso. ya maisha. wanadhani. kuwa wezi na kuwa. wauwaji. ndio serazao.
Mtihani😢
Mweshimiwa mansour uko vizuri yani ww nikama maalim msefu
Kweli hawaja niwauwaji wameanza zamani mauwaji hawafayi kutawala tena wabaya saba
wamelaaniwa damuzawatu zinawazuru.
Yaan naon mnaongea Pumba tu
Someni historia ya Mapinduzi ndio mutajua wauwaji ni nani.Hata Lisu alilisema hilo katika bunge lao na mikutano ya hadhara
Unamanisha nn
Wanatuona ss wazanzibari ni watu wa tamaa kama wao watanganyika kwanza walivo wakatili wanauwana wenyewe kwawenyew
@@MohdJuma-w6l hata zanzibar makatili wapo chuki fitna na choyo kwani wale walokua wakijiita mazombi wakaiua watu kipindi cha uchaguzi si wazanzibar au walitoka wapi? Walochinja watu baada ya mapinduzi na kuwafunga na kuwatesa si wazanzibar, kumekua na tabia yakufanya mambo na kusingizia eti Tanganyika ikiwa sie wenyewe watu madhalim wamejaa
Kwanza nikuulizi umezaliwa mwaka gani Fahad ulomjibu bin Juma
@FahadAbubakari-y3f kwataarifa yko hao mazombi unaodai ni watanganyika waruguru tena wale wametengenezwa na smz wamejaa na halafu musitake kujitetea mkajiona nyie ni watu wazuri
Una uhakika kama wote walifanya hayo Wana asili za uzanzibari au kwa kuwa wamejaa watanganyika na kupewa vitambulisho vya uzanzibari kwa makusudi waonekane wanaofanya hayo ni wenyewe Wazanzibari hatukatai kwasababu huko huko Tanganyika hakuna wanaotetea na kupinga udhalim huo
Nakubaliana na wewe sie wenyewe tumo lakini ni wachache baba inawezekana sana lakini pia ujuwe kama hao ni walojazwa chuki toka matumboni mwao baada ya mavamizi mauwaji kwa kivuli cha so called mapinduzi kwa influence za kichuki
mansor ata we unaweza kufa kwn m2 akifa anauliwa na ccm ebu kua mmkwel
hata mimi nakichukiya
Mh Mansour unazungumza kwa hisia kali za dhati ndani ya moyo wako 7:07
Kwani maalim Seif yupo Cuf??
hatukosi poa hatujawahi kukosa. naishaalla hatutakosa. tupo na imani na zanzibar yetu
hata hawajielewi waoni wizi tu. ndio. walijuwalo hawajali mtu wala utu.
Mambo yatakuwa yale yale....kama kawaida kila uchaguzi!
Amini hivyo ila hii ni dunia inazungumka
Mh Mansour wamekubagua bure weye ndio ulistahili nafasi ya al marhoum.
Njoo CUF tukupe heshma yako
Mamlaka kamili ndio msimamo wa zanzibar na ndipo itakaporudi ktk usawa bila ubaguzi heshima upendo kwa wazanzibar wote