@@alhilaltvonline Sielewi nani shabiki baina yetu na ww!punguza mihemko ili akiri yako iwe huru,mtume wako ama swahaba yeyote kuna aliyefanya hiv kwny misiba?
Tusomeni kwanza. Tukisoma hatuwezi kusema hili Mtume hakufanya na sisi tusifanye. Hapo ulipo unatumia TH-cam, Mtume alikuwa mtandao gani? Hapo wote unawaona majaahil, wewe ndiye mwanawachuoni. Hapo Kuna masheikh na elimu zao na wanajua wanachokifanya. Ila tatizo ni wewe kuona wote hawana elimu Ila wewe.
@@alhilaltvonline Dah jamaa angu uko mbali na dini yako namuomba Allah aniongoze Mimi na wewe,vipi ulinganishe mabadiliko ktk teknolojia na uzushi ktk dini?Dunia na Teknolojia zake zitabadilika itafikia watu kusafir km txt ama umeme hakuna zambi lkn dini ya Allah haitakiwi kuongezwa wala kupunguzwa kwa lolote lazima ibaki km ilivyoachwa na kukamilishwa na allah.
Ndugu yangu inaonekana wewe ni mjuvi wa tarikh ya uislam, pia yawezekana una 'ilimu kubwa kuliko hao masheikh wote waliokuwa hapo ktk msiba huo pamoja na waislam wengine waliohudhuria ktk msiba wa sheikh huyo, naomba nioneshe ktk kitabu kipi cha tarikh kilichoelezea kuoa kwa imam Zamakhshari, imam Nnawawi na imam Bukhari?!
@@abdallahmasanja621 hakika Hussen Omary amekurupuka, tatizo la watu wa namna hii huwa wanalishwa matango pori ya mitazamo ya masheikh zao ili wamkosoe kila sheikh asiyefata mitazamo yao ktk dini, tena hata ikiwezekana kukosoa kwao huko si ktk njia sahihi lakini wao wapo tayari kumtia sheikh ktk makosa ili aonekane hafai.
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Inna Lilah Wa Inna Ilayhi Rajioun Allah Amlaze Jannat Firdous Ameen 🤲
Mashaallah ulivyo skujua kama MZALAMO Allah amuifanz uyo Shekhe
Sheikh walid mungu akuzidishie kheyr
Allah akuzidishie umri Shaikh Waliid
Innalilah wainna ilayhi rajiuun Mungu ampe kauli thabiti
mwenyezimung amsameh mazambi yk na amrehem inshaallah
Innallilah wahnallilah raajuni...
Allahummaa A'miin yaarabi....
walaykum msalaam warahmatullilah wabarakatuh
ماأفصحك يا شيخ وليد..الله يزيدك من فضله
Innalillahi wainna illaihi Rajioun....yaaaa Rabbi 😢😢😢
Innalillah wainnaillah raj'uun....
Allah amrehemu in shaa Allah
Innah lillah wainna ilay rajiuon
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فى الجنة
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
Inna Lillah waina illah rajioun..
Allah amtangulizie kheri
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuun
Maa shaa Allah
Makanin cennet olsun Turkiyeden selamlar😷😷😭😭
Aleykum selam kardeşim sizlere de selam olsun
Alhamdu lilah
Innaalillahiw wainnaa ilayhir rajiuunn
رحمه الله رحمة الأبرار
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
Allah amraham!
Innalillah wainna ilah Rajiuun
Allah amsameh mazambi yake inshallah
Innalilah Wainna lilah rajioun Allah ampe kauli thabit
Twayyaba Allahu tharaahu
Innalillah wainnailayhi rajiun 😭😭😭😭
Maasshaallah
mashaallah
Mbona hujaweka manzungu ya sayyid Ahmad mzee mwenye
Alhamdulillah
INNALILAH WAIINAIHIRAJIUUN
Innalillah wainnailayh raaj uun
Innalilah wainna lilah rajuun
Du shekhe wangu nataka kusoma kwako mwalim Walid
Nenda masjid kichangani utampata
إنا لله وإنا إليه راجعون
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
Ukijua raha
@@salehmrombo1730 kichangani ipi zipo nyingi ww unasemea ya wp
Acha uongo ww heti imaam bukhari hajawahi kuoa.
Siku hizi misiba ya kiislam imekuwa mireefu Sana Hadi wasihi wa marehem upo?
Inategemea umeudhuria msiba gani!hawa wenzetu Quruan na Sunnah huwa hawatosheki navyo ila waiga na wabui mengine kwny Mambo ya Ibada za dini
Hapo inayozungumzwa kwani sio Quran na hadithi? Kila pahala mnaleta mirengo na ushabiki.
@@alhilaltvonline Sielewi nani shabiki baina yetu na ww!punguza mihemko ili akiri yako iwe huru,mtume wako ama swahaba yeyote kuna aliyefanya hiv kwny misiba?
Tusomeni kwanza. Tukisoma hatuwezi kusema hili Mtume hakufanya na sisi tusifanye. Hapo ulipo unatumia TH-cam, Mtume alikuwa mtandao gani?
Hapo wote unawaona majaahil, wewe ndiye mwanawachuoni. Hapo Kuna masheikh na elimu zao na wanajua wanachokifanya. Ila tatizo ni wewe kuona wote hawana elimu Ila wewe.
@@alhilaltvonline Dah jamaa angu uko mbali na dini yako namuomba Allah aniongoze Mimi na wewe,vipi ulinganishe mabadiliko ktk teknolojia na uzushi ktk dini?Dunia na Teknolojia zake zitabadilika itafikia watu kusafir km txt ama umeme hakuna zambi lkn dini ya Allah haitakiwi kuongezwa wala kupunguzwa kwa lolote lazima ibaki km ilivyoachwa na kukamilishwa na allah.
Sheikh huyu muongo kwa kuwazushia hao maimamu kuwa hawakuoa kadhaab huyu amche Allah
Hapo kasema ukweli na uongo pia ktk maimamu ALIO wataja hapo asie OA IMAMU nawawi tu ambae kafa akiwa na umri takriban 32
Ndugu yangu inaonekana wewe ni mjuvi wa tarikh ya uislam, pia yawezekana una 'ilimu kubwa kuliko hao masheikh wote waliokuwa hapo ktk msiba huo pamoja na waislam wengine waliohudhuria ktk msiba wa sheikh huyo, naomba nioneshe ktk kitabu kipi cha tarikh kilichoelezea kuoa kwa imam Zamakhshari, imam Nnawawi na imam Bukhari?!
Unamfahamu huyo anayeongea hapo,huyo ni shekhe walid nimiongoni mwa watu wa tz wenye Elimu kubwa ya dini ya kiislam kwaiyo usikurupuke.
@@abdallahmasanja621 hakika Hussen Omary amekurupuka, tatizo la watu wa namna hii huwa wanalishwa matango pori ya mitazamo ya masheikh zao ili wamkosoe kila sheikh asiyefata mitazamo yao ktk dini, tena hata ikiwezekana kukosoa kwao huko si ktk njia sahihi lakini wao wapo tayari kumtia sheikh ktk makosa ili aonekane hafai.
Maa shaa Allah
Innalillah wainna ilah rajiuun