Njoo na kigamboni kwenye makazi ya watu kuna kituo cha mafuta kipya pia huo huo mtaa kuna kanisa lina kelele usiku na mchana mpaka tunao ishi mtaa wa liverpool hatuwezi hata kulala kwa kelele
Aise kiukwel upo sahihi san waziri, lkn mipango miji yetu ilishahalibiwa muda mrefu san, kwa iyo sheria hii ukiangalia kwa makini endapo ataifuatilia ipasavyo bac nyumba kalibia zote zitavunjwa Tanzania
Mhe.waziri msamehe tu huyo mtanzania hiyo gorofa ni nzuri kwa kweli inapendeza inafanya dar izidi kupendeza zidi ya Nairobi.Huyo balozi aende Dodoma ndiko wanatakiwa na kupata haki zao ili wasikwaze maendeleo ya Tanzania ya mzee Nyerere na mama yetu Hassan suluhu mie nilizani huyo jamaa kajenga kwenye kiwanja cha raia mnyonge.Aachwe amalizie ila wengine wazibitiwe.
Kasimamie Barabara za Jimbo la Ukonga maana hazipitiki achana na bomoabomoa ya Nyumba za Watu na hao Mabalozi waambie Ardhi ni mali ya Watanzania Wanyonge wanatafuta kipato kama wanaona shida kuishi jirani na Watanzania wafunge virago waende wakaishi huko Kibera Nairobi.
@@Hamy1109 sisi wapiga Kura wa Jimbo la ukonga tunamsubili kwa hamu 2025 atwambie tofauti ya Jimbo la Ukonga na Ilala ni nini maana miundombinu ya Jimbo la Ilala inajengwa kwa Kasi ya 5G wakati Barabara za Ukonga ni Mabwawa matupu.
Anafanya kazi kweli. Nikupe hii senario. Tatizo ni pale mtaani kwangu tayari nyuma yangu baa kubwa, mbele ghorofa la floo 8, vilijengwa miaka kadhaa imepita. Kweli tunaishi kwa kero makelele. Sasa na mie leo nataka kujenga mgahawa nazuiliwa na waziri huyu. Wakati ghorofa nnahakika halitabomolewa ni la mmoja wa waziri. Bar haitabomolewa ni ya tajiri mmoja. Hapa jamani semeni inakuaje? 😢 Hakuna mpango tena ..... walishaharibu. Unless pia afukuze watu wake wote. Maana vibali vya ajabu bado vinatolewa. Kuna wananchi wanapoteza pesa kwa kuja kubomolewa wakati anahakikishiwa we jenga tu hamna tabu. Chunguza kwa umakini waziri na humo ndani wizarani kwanza. Na pia hizi Elimu toeni kwenye radio na TV kubwa za nchi.
Watendaji wako wapi? Waziri atazunguka nchi yote kweli!? Kama watendaji ni mzigo peleka mswaada bungeni ubadilishwe mfumo wa ajira kwa uma tuwe na ajira za mkataba
Safi sana mh.waziri"huyu agombee urais tutampa kura nyingi
Asante Kwa Kutufuatilia
Waziri kanyoka na mwenye huruma,mwelewa mpole 🎉🎉
Asante Kwa Kutufuatilia
Nakukubali sana waziri ubarikiwe sana
Asante Kwa Kutufuatilia
VIVA MH. WAZIRI SILAA.....KWA HAKIKA WIZARANI KWAKO, MIJI NA HALMASHAURI 'KUMEOZA'....SAFISHA....RUSHWA NA UFISADI UMEKITHIRI.
Asante Kwa Kutufuatilia
Waziri asante kigamboni Dar bado ni changamoto waziri tunakuomba utusaidie
Asante Kwa Kutufuatilia
Slaa kaka wewe ni kiongozi wa kweli. na unajali haki za watu. tunakuombea uongezeke zaidi ya hapo ulipo.
Asante Kwa Kutufuatilia
Mpaka waziri afike du.
Asante Kwa Kutufuatilia
Kazi Kazi
Asante Kwa Kutufuatilia
Waziri uko vizuri sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Ngoja nione mwisho
Asante Kwa Kutufuatilia
Njoo na kigamboni kwenye makazi ya watu kuna kituo cha mafuta kipya pia huo huo mtaa kuna kanisa lina kelele usiku na mchana mpaka tunao ishi mtaa wa liverpool hatuwezi hata kulala kwa kelele
Asante Kwa Kutufuatilia
WATENDAJI WA WIZARA RUSHWA.....ITAWAONDOA KAZINI. WAPO WASOMI WENGI WANATAKA KAZI , MSIJE LAUMU VIONGOZI WANAPO KUTUMBUENI
Asante Kwa Kutufuatilia
Ndugu waziri oyster bay tunomba umechafuka ovyo
Asante Kwa Kutufuatilia
Makelele kwa kweli ni tatizo hii inasababisha watu kuwa vichaa
Asante Kwa Kutufuatilia
Waziri hao watendaji wako ndio wana haribu plani ya Mji Kwa ulaji wao wa Rushwa safisha Wizara imeoza
Asante Kwa Kutufuatilia
Nchi hii ina mijitu mipumbavu hakuna mfano, hebu angalia mitendaji hata haijui inafanya nini
Asante Kwa Kutufuatilia
Aise kiukwel upo sahihi san waziri, lkn mipango miji yetu ilishahalibiwa muda mrefu san, kwa iyo sheria hii ukiangalia kwa makini endapo ataifuatilia ipasavyo bac nyumba kalibia zote zitavunjwa Tanzania
Asante Kwa Kutufuatilia
Siku JPM alipokuja na mpango wa kuuza nyumba za serikali nilijua haya!
Asante Kwa Kutufuatilia
Mhe.waziri msamehe tu huyo mtanzania hiyo gorofa ni nzuri kwa kweli inapendeza inafanya dar izidi kupendeza zidi ya Nairobi.Huyo balozi aende Dodoma ndiko wanatakiwa na kupata haki zao ili wasikwaze maendeleo ya Tanzania ya mzee Nyerere na mama yetu Hassan suluhu mie nilizani huyo jamaa kajenga kwenye kiwanja cha raia mnyonge.Aachwe amalizie ila wengine wazibitiwe.
Asante Kwa Kutufuatilia
Hakika wewe waziri nimtu safi sana hunaupendeleo mtu apate hakiyake nakama amekosea unamnyoosha wanyooshe baba
Asante Kwa Kutufuatilia
Kasimamie Barabara za Jimbo la Ukonga maana hazipitiki achana na bomoabomoa ya Nyumba za Watu na hao Mabalozi waambie Ardhi ni mali ya Watanzania Wanyonge wanatafuta kipato kama wanaona shida kuishi jirani na Watanzania wafunge virago waende wakaishi huko Kibera Nairobi.
Asante Kwa Kutufuatilia
Huna akili wewe umaskini umeua ubongo wako. Tuachie waziri wetu apige kazi.
@@Hamy1109 sisi wapiga Kura wa Jimbo la ukonga tunamsubili kwa hamu 2025 atwambie tofauti ya Jimbo la Ukonga na Ilala ni nini maana miundombinu ya Jimbo la Ilala inajengwa kwa Kasi ya 5G wakati Barabara za Ukonga ni Mabwawa matupu.
Nonsense
Hiyo ni kazi ya waziri wa ujenzi yeye anatoa mapendekezo tu kwa waziri husika na kusubili mapendekezo hayo kama yatafanyiwa kazi@@modestwenceslaus9
Anafanya kazi kweli. Nikupe hii senario. Tatizo ni pale mtaani kwangu tayari nyuma yangu baa kubwa, mbele ghorofa la floo 8, vilijengwa miaka kadhaa imepita. Kweli tunaishi kwa kero makelele. Sasa na mie leo nataka kujenga mgahawa nazuiliwa na waziri huyu. Wakati ghorofa nnahakika halitabomolewa ni la mmoja wa waziri. Bar haitabomolewa ni ya tajiri mmoja. Hapa jamani semeni inakuaje? 😢 Hakuna mpango tena ..... walishaharibu. Unless pia afukuze watu wake wote. Maana vibali vya ajabu bado vinatolewa. Kuna wananchi wanapoteza pesa kwa kuja kubomolewa wakati anahakikishiwa we jenga tu hamna tabu. Chunguza kwa umakini waziri na humo ndani wizarani kwanza. Na pia hizi Elimu toeni kwenye radio na TV kubwa za nchi.
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa MH asiimamishe au avunje? Sheliya MSUMENO
Asante Kwa Kutufuatilia
Watendaji wako wapi? Waziri atazunguka nchi yote kweli!? Kama watendaji ni mzigo peleka mswaada bungeni ubadilishwe mfumo wa ajira kwa uma tuwe na ajira za mkataba
Utamaduni?
Asante Kwa Kutufuatilia
Hapo umechemka sana barozi moja wa nchi nyingine analalamika nini si ahame.
Umewaza kwa ufupi sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Jifunze kwanza kuandika, barozi ndio nini? Huyo aliyejenga ghorofa ndio kachemka
Mabalozi waende dodoma
Asante Kwa Kutufuatilia