Mzee mmoja huko Murang'a ametayarisha kaburi yake na kutengeneza ratiba itakayofuatwa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
- Mzee mmoja katika kijiji cha Mbombo kaunti ya Murang'a amewashangaza wengi baada ya kuchimba kaburi lake na kujiandikia ratba ya jinsi atakavyozikwa atakapoaga dunia.
Wah!!!Mungu ongezea huyu mzee miaka mingi
Mzee ako sawa tu
Sawa kabisa.
Huyu ataishi hadi hio kaburi waifanye store ya mahindi au nyumba ya mbwa
🤣😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂dunia ina vituko daah yani adi na majaribio.....
Na mpongeza kwa kufanya aliona ni vyema machoni pate. Na mpongeza kwa kijinjengea nyumba yake ya milele,
Hadi amepika picha 😂😂🤣🤣
Si atanuja jamani
What if akichomekea Kwa nyumba akuwe jivu atazikwa na hiyo position?So petty,kukaa bila sati...😂🤣🤣🤣🤣
Hako wapi ndidi nyoro hasaidie mzee?
😁😁😁😁😁
Basis mwambie a chimbe chini mwili itanuka.
Anaogopa kuliwa na mchwa😏
😂😂😂😂
Mzee ukioza si utanukia watu. You will smell all over. Think about people around you.
Akipata hajali ya Moto
Kenya jameni 😂😂😂😂
Anapunguza karama