MZEE MAGOMA ABURUZWA VIBAYA MAHAKAMANI | YANGA WASHINDA KESI YA PINGAMIZI | NITAWASHITAKI FIFA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 25

  • @user-po3vy9bc6r
    @user-po3vy9bc6r 7 วันที่ผ่านมา

    Tamaa mabaya we babu

  • @fredylucas2484
    @fredylucas2484 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee wangu wakati wa kutisha viongozi kusudi kupiga mzigo umekwisha vijana wameshika hatamu hakuna ulaji kubali yaishe

  • @kasokawilliam
    @kasokawilliam 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee kweli msenge huyu unajua wachezaji wapo yanga bezaki nau najua kukaa kambi nibegani hawo wanamwenyekiti uli waki kuwona Wana kaa pamoja kwamwaka mziwa
    Wemze kagoma acha umbumbu ungekuwa hapa south Africa wewe ungepigwa lisasi wewe mana Kuna hakili anayekutumaye utapotea, yanga siyako na una card yoyote una card zako zawizi hizoo uli kuwa unalipa shikumi

  • @MwajumaFundi-ex5tj
    @MwajumaFundi-ex5tj 7 วันที่ผ่านมา

    Si uanzishe timu Yako kwani yangayako

  • @athumantuwa4542
    @athumantuwa4542 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu kumfunga tu ili kesi iishe na huo mdomo

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe umeona timu za ulaya zina mwenyekti

  • @YassinSauka
    @YassinSauka 7 วันที่ผ่านมา

    Yanga msimsamehe huyu kuwakomesha mwambie akimbie fifa tena upesi

  • @kanoleausi4204
    @kanoleausi4204 7 วันที่ผ่านมา

    Katiba hiyo hiyo Magoma 😂 umefoji Saini, uliofoji Saini zao wanataka uwalipe, ACHA porojo!

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 7 วันที่ผ่านมา

    Wacha ujinga we mzee utaumia bure!!

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 7 วันที่ผ่านมา

    Ahweke ndani kidogo yanga wanakazi zao zamsingi za kufanya yuko anawapotezea mda

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee una ubongo wa samaki....anzisheni timu yenu, maana hata kufungua kesi FIFA hujui kuwa gharama

  • @jumamsabaha
    @jumamsabaha 7 วันที่ผ่านมา

    Njaa itakuuwa yanga wako makini lakini watakutia adabu

  • @ikwabemagesa5876
    @ikwabemagesa5876 7 วันที่ผ่านมา

    Kachukue sasa Yanga yako ya mwaka 68 tuachie Yanga yetu ya sasa 😂😂😂

  • @ElishaMwenga-ti7of
    @ElishaMwenga-ti7of 7 วันที่ผ่านมา

    Wee njaaaa

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee magoma hujasoma wewe Mzee achana Na haya Mambo,huwezi washinda mabilioni ya watu Kisha nyie MPO 20 Tu, we mzee achana Na hayo mambo

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 7 วันที่ผ่านมา

    Wambien GSM NAE AMEPELEKA KESI TAYRI UKO😂😂😂😂😂😂UYU MZEE ATAKUFAA KIFO CHA MENDE

  • @BashiruMchelenje-zs3fs
    @BashiruMchelenje-zs3fs 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo mzee mwambieni wengi wao waliyoanzisha klabu wamefariki , Magoma siyokatiyao waliyoanzisha klabu, yanga sc haiwahusu.

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ni mpumbavu na nyie waandishi badala yakumsaidia aache kuwa mpumbavu bado mnaendekeza upumbavu...zaidi ya 99.9% ya wanachama wamekubali kuendesha club katika mfumo huu wa sasa,yeye na mwenzake huyo ndondocha hapo wasijione wao ndio wana haki juu ya wanachama walio wengi..pili,utapata wapi ukumbi wa watu zaidi ya laki moja wote muhudhurie mkutano na uwe effective?ana mawazo ya kizamani na yanga ya 68 wakat watu wapo mwaka 2024.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee Magoma kufuatana na kauli yako hiyo ya ng`ombe wa maziwa wanao wao unataka kusema Mahakama imechukuwa hongo sio ? Unamaana gani ukisema hivyo.

  • @BashiruMchelenje-zs3fs
    @BashiruMchelenje-zs3fs 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo mzee anakimbilia mahakamani lakn akishindwa haiamini mahakama

  • @mohameduliza7607
    @mohameduliza7607 3 วันที่ผ่านมา

    Peleka kama unaweza pimbi ww

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee kichwa kimejaa maji na sio akili

  • @RamadhanHaruna
    @RamadhanHaruna 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee magoma achana nayanga utaumia

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyingi waandishi mbona hamjiongezi muwe mnafanya utafiti kabla ya kuhoji watu. Hivi Taasisi gani inaweza kufanya mkutano wa wanachama wote? TFF yenyewe inatumia uwakilishi sasa nyingi mna endelea kuchukua content nyepesi kila mara hata kama ndiyo njia ya kujipatia riziki jiongezeni.
    Ukumbi gani unaweza chukua wanachama zaidi ya 100,000 na kuendelea?
    Fanyeni uandishi wa habari uheshimike sio kufuata upepo wa mnao wahoji wanawaharibia sana.

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee kalegea antia huruma