Nawashukuru sana watu wa Mungu kwa kuendelea kunitia moyo kwa ajili ya kazi ya Mungu, Mungu awabariki sana kwa support yenu na msipungukiwe na kitu kwa jina la Yesu Kristo.
Huu wimbo sichokiii kuusikiliza ni mzuri sana sababu umebeba ujumbe mzuri sanaa na wakutia moyo kwa wale wote waliokata tamaa .Hakika Mungu anatenda Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kazi nzuri mnoo🙏
Hongera sana Mtumishi, Mungu mwenye kazi yake na huduma yake asimame nawe daima uzidi kuona ukheri na kuzidi kusonga mbele pasipo kujari changamoto zozote utazokutana nazo katika huduma,... kibari cha Mungu kiwe juu yako.... "MWANZO 12:2 Nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;" pokea mbaraka huu kutoka kwa Bwana na haya ndio maombi yangu kwako.
Kazi nzuri sana namuomba mungu atende na kwangu
Amina mtumishi, Mungu wangu atakutendea.
my supervisor, more appreciation good music hakika Mungu atatenda na kwangu 🤲🙏
Naendelea kubarikiwa na wimbo huu mtumishi Enock
Atatenda na kwangu kama anavyotenda kwa Wengine. Naipenda sana hii nyimbo ...
Hongera sana kwa wimbo mzuri soul mate, Enock
upo vizuri mtumish wa mungu mungu akubariki
Hakika umetufundisha kitu.
Mungu akubariki
Barikiwa sana ticha uende mbali zaidi
Wimbo mzuri mno,,,ubarikiwe sana kaka yangu....Mungu akuinue juu sana
Atatenda mungu hamtupi mja wake,tunapokea kwa zam.
Director Japheth we jamaa unajua sanaa Video kali & Audio kali💥💥💥💥
Kazi nzuri rafiki yangu
Yes he will do wonders💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Job well done sir , keep it on and may the PERFECT WILL of GOD done..!!
🎉🎉🎉🎉Amina
Kazi nzuri daima mbele kiongozi kuitangaza injili ya yesu🙏
Amen
Amen Dada yangu ubarikiwe
MUNGU akubarikii na akuinue katika viwango vya juu zaidiii🙏
Amen mtumishi
Mungu azidi kukuinua
Mungu wetu ATATENDA KWA HAKIKA.
Ujumbe mkubwa sana huu...barikiwa mnoi mtumishi
Amen mtumishi 🙏🙏
Uzidi kubarikiwa Kaka.
Hongera sana
Ujumbe mzuri Sana nimeupenda hakika mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ya hapo ulipo ili uzidi kumutumikia daima. 🙏🙏🙏🙏
Amen
Its really amazing . Nyimbo hii imemtukuza sana mungu may GOD keep safe for his work 🙏
Mungu akubarki
Hongera sana shemu Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juu mno wimbo ni mzuri Sana Hakika Mungu atatenda na kwangu pia.
Amina shemeji 🙏🙏
Mungu akuinue zaidi na kukutumia kupeleka ujumbe kwa njia ya nyimbo
Amen 🙏🙏
Hongera mtumishi Mungu azidi kukuinua viwango vya juu sanaaaaa nimebarikiwa na Ujumbe huu 🙏
Amina mtumishi 🙏🙏
Mungu akubariki sana. Unaipa tabasam Dunia na KANISA la Mungu aliye hai
Amen 🙏🙏
Let's goo Engineer
Nawashukuru sana watu wa Mungu kwa kuendelea kunitia moyo kwa ajili ya kazi ya Mungu, Mungu awabariki sana kwa support yenu na msipungukiwe na kitu kwa jina la Yesu Kristo.
Ameen
Hongera Sana sir Mwenyezi mungu akubariki utumikie vema wito wako kwake
Amen 🙏🙏
Huu wimbo sichokiii kuusikiliza ni mzuri sana sababu umebeba ujumbe mzuri sanaa na wakutia moyo kwa wale wote waliokata tamaa .Hakika Mungu anatenda Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kazi nzuri mnoo🙏
Amen
Ni wasomi wachache sana waliowekeza kutumikia Mungu kwa njia hii jamani kwa kweli una insipire wengi👏
Amen 🙏🙏
Amen, Wimbo mzuri unatia moyo kwa tuliokata tamaa!
Amen dada yangu barikiwa 🙏
Mwl ubarikiwe sana, this is a blessing song
Amina
Video nzuri, audio nzuri, ujumbe mzuri Barikiwa sana mtumishi
Amina
Mungu akubariki sana Enock, hakika Mungu atatenda bila kujali mazingira ya sasa
Amen 🙏🙏
Mwimbo mzur sana mtumishi mungu akubariki sana uzidi kumtumikia
Amen
Kazi yako njema mtumishi barikiwa Sana
Amen
Hongera sana Enock utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Amen 🙏🙏
Barikiwa sana Naamini atatenda Kwa kila amwaminiye
Amen 🙏🙏
Hongera shemeji Mungu azidi kukuinua zaidi
Asante sana mtumishi 🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kazi yako njema.
Amen mtumishi 🙏🙏
Hakika atatenda Baba 😊😊
Mungu abariki kazi ya mikono yako uzidi kumtumikia zaidi na zaidi katika roho na kweli🙏🙏
Amen 🙏🙏
Kazi nzuri sana kaka MUNGU azidi kukuinua zaidi na zaidi
Amen 🙏🙏
Hongera Sana shem. Atatenda Mungu Ni mwema
Amina mtumishi 🙏🙏
Hongera sana mr enock Mjwahuzi
Asante sana 🙏
kweli bwana atatenda kwa wakati wake hata kwa magumu na masimango nayo pitia....kweli unajua
Amen
Wimbo mzuri .Atatenda kwangu
Asante sana mtumishi 🙏🙏
Atatenda na kwangu, kama anavyotenda kwa wengine 🙏
Amina mtumishi 🙏
Amina mtumishi, nmebarikiwa Sana.
Hakika atenda
Amen 🙏🙏
Hongera mtumishi sifa ni kwa Bwana
Asante sana mtumishi 🙏🙏
Mungu anabrk kazi ya mikono yako teacher
Amen 🙏🙏
Uko vizuri kaka kweli Mungu anatenda
Amen
Hongera sana Enock , wimbo unabarik sana
Asante sana 🙏🙏
Hakika Kaka Mungu anatenda zaid yatuombavyo
Amen 🙏🙏
Go go go!green lights ahead mdogo wangu!
Amen Amen my sister
Kazi nxuri Mungu akubariki sana
Amen 🙏🙏
Good
Kazi Nzuri Mhandisi.. Hongera sana
Asante sana 🙏🙏
Aww jamoon kanyimbo kazuri haka😍
Amen
❤❤❤
Umenibariki Mpendwa wangu🤝👏
Amen
Hongera Sana , kazi nzuri
Amen 🙏🙏🙏
Umetisha sana mr Enock
Asante sana 🙏🙏
Atatenda na kwangu kama alivo tenda Kwa wengine
Amen
Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
Amen mtumishi 🙏🙏
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amina kaka 🙏🙏
Mungu akuinue my dear kaz nzuri
Amen 🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amina 🙏🙏
Hongera kwa utumishi kaka,
Asante sana mtumishi 🙏🙏
Nice video. good music
Amen 🙏🙏
Mtumishi MUNGU akubariki sana
Amina mtumishi 🙏
Kipaji hakijifichi 💯
Amen
I see you brother Mjwau🙏🤩
Asante sana dada yangu
Aminaaaaaaaaaa, hakika Atatenda baba 🙏
Amen 🙏🙏
🔥 🔥 👏👏
Hongera sir kaz nzuri😍🙏
Asante sana 🙏🙏
Hongera sanaaa mtumishi
Asante sana mtumishi 🙏🙏
Nice video, Nice music , good message....proud of you .. my lecture
Amen 🙏🙏
Amen
Hongera bro,Mungu akusimamie kaka
Amina 🙏🙏
Hongera sana Mtumishi, Mungu mwenye kazi yake na huduma yake asimame nawe daima uzidi kuona ukheri na kuzidi kusonga mbele pasipo kujari changamoto zozote utazokutana nazo katika huduma,... kibari cha Mungu kiwe juu yako....
"MWANZO 12:2 Nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;"
pokea mbaraka huu kutoka kwa Bwana na haya ndio maombi yangu kwako.
Ninapokea kwa jina la Yesu
Ameeeen na ikawe kama ulivyoamin na kupokea..
Big up saana wimbo huu ni sala tosha ukiimba kwa imani unapokea 🙏👏👏👏 wimbo wa ushuhuda very annointed🙌🙌🙌🙌
Amen 🙏🙏
Amina atatenda hakik a🙏
Amen 🙏🙏
Waaa...hongera saan dogooo..
Asante sana
Hongera sana kijana
Asante sana kaka
Barikiwa sana best
Amina 🙏🙏
Atatenda na kwangu. Kama anavyotenda Kwa wengine. Nguvu zako na ukuu wako naujua. Hakuna lolote lisilowezekana kwako. Wewe unatenda Kwa wakati wako.
Amen mtumishi 🙏🙏
Ubarikiweee mtumishi ni ujumbee mzurii,,,nimebarikiwa nao mungu akuinue kwa viwango vya juu
Asante sana kwa Ujumbe Mzuri
#Wewe unatenda kwa wakati wako.
Asante sana
Hongera sana bro,
Asante sana kaka 🙏🙏
Mungu akubaliki kaka
Amen mtumishi
🔥🔥🔥
video kali🔥
Asante sana 🙏🙏
Ooh hallelujah kazi nzuri sana MTU wa MUNGU hakika atatenda na kwangu.
Amen 🙏🙏
Very nice 👍
Amen
Mungu abariki
Amen
,🙌🙌🔥🔥🔥haleluyeah
Amen
Utabarikiwa
Amen 🙏