- 17
- 34 448
Enock Mjwahuzi
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 23 เม.ย. 2016
Enock Mjwahuzi_Unifadhili_(Official 4k Video)
Enock Mjwahuzi_Unifadhili_(Official 4k Video)
มุมมอง: 2 244
วีดีโอ
Enock Mjwahuzi_ Yesu Murokozi (Video Lyrics)
มุมมอง 867ปีที่แล้ว
Ni wimbo ulioimbwa kwa lugha ya Kihaya lakini unaomtukuza Mungu wetu aliye hai. Naamini utakubariki hata kama hujui Kihaya lakini tafasiri yake ipo kwa ajili yako, karibu sana.
Enock Mjwahuzi_ Engonzi z'Omukama (Video Lyrics)
มุมมอง 3.1Kปีที่แล้ว
Ni wimbo ulioimbwa kwa lugha ya Kihaya lakini unaomtukuza Mungu wetu aliye hai. Naamini utakubariki hata kama hujui Kihaya lakini tafasiri yake ipo kwa ajili yako, karibu sana.
Enock Mjwahuzi-CHAWA WA YESU (Official Audio) #255713898272
มุมมอง 6412 ปีที่แล้ว
Mungu akuongoze vyema
Enock Mjwahuzi_SI WA MAUTI_(Official 4K Video)
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Ugonjwa wako, shida zako na matatizo yako havitakuua ni Mungu anataka kujitukuza kupitia kwako.
Enock Mjwahuzi- Atatenda_(Official 4k video) #255713898272
มุมมอง 7K2 ปีที่แล้ว
Mungu akutendee jambo kupitia wimbo huu katika jina la YESU Kristo. Amen.
Enock Mjwahuzi- SI WA MAUTI (Official Audio) #SiWaMauti #EnockMjwahuzi
มุมมอง 1K2 ปีที่แล้ว
Yesu akawaambia ugonjwa wake SI WA MAUTI bali ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Hata wewe ndugu yangu Yesu anasema ugonjwa wako hautakuua mtegemee yeye utakuwa mzima kama Lazaro alivyofufuliwa akawa mzima.
Enock Mjwahuzi- Jiwe (Official Audio Lyrics)
มุมมอง 8762 ปีที่แล้ว
Jiwe waliloluweka juu ya kaburi la Yesu walidhani litamzuia asiweze kufufuka kumbe walisahau kwamba nguvu za Yesu haziwezi kuzuilika kwa jiwe. Hata wewe mpendwa kuna mahali unawekewa Jiwe kwenye maisha ili ufe na upotee kabsa lakini kwa nguvu za Yesu Jiwe litaondolewa.
Enock Mjwahuzi - Unifadhili (Official Audio)
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
Mwanadamu anaweza kukufadhili lakini fadhili za mwanadamu hazina uhakika, zina masengenyo na masimango. Fadhili za Mungu pekee ndo za kweli, hazina mashaka na ni za milele. Fadhili za Mungu hazina masimango wala masengenyo bali zi za kweli na uhakika. #EnockMjwahuzi. #Unifadhili
Enock Mjwahuzi - Atatenda (Official Audio)
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
Karibu kusikiliza wimbo wangu mpya unaoitwa ATATENDA uweze kupata tumaini jipya kupitia Kristo Yesu. Usisahau kusubscribe channel yangu, kushare kwa marafiki wengine pamoja na kuacha comment. Mungu akubariki sana. #EnockMjwahuzi#Atatenda
Enock Mjwahuzi - Bado Kidogo (Official Audio Music)
มุมมอง 1.1K5 ปีที่แล้ว
Ukivuta subira Mungu atakutendea sawasawa. #EnockMjwahuzi #BadoKidogo
Enock Mjwahuzi - Usiyeshindwa (Official Audio Music)
มุมมอง 1.7K5 ปีที่แล้ว
#Enock Mjwahuzi #Usiyeshindwa
Mr & Mrs Enock Mjwahuzi - Weddding (Official Audio Music)
มุมมอง 1.3K5 ปีที่แล้ว
Mr & Mrs Enock Mjwahuzi - Weddding (Official Audio Music)
Mr & Mrs Enock Mjwahuzi - Weddding (Official Audio Music)
มุมมอง 2335 ปีที่แล้ว
Mr & Mrs Enock Mjwahuzi - Weddding (Official Audio Music)
Barikiwa Mtumishi
Wakola
Waitu Kasinge 2024
Engonzi zo Mukama!! ❤
Umetisha kinoma kaka na wimbo wako nzuri wakutia moyo
Wimbo ni mzuri ni hakika Kutoka Vizag ninakupa vzri
Barikiwa sanaa Mungu azidi kukuinua viwango hadi viwango
Barikiwa sana kwa huduma
Uko vizuri sana. Mungu azidi kukuinua. Jumbe zako zinagusa nyoyo za watu.
Kiwango bro
very good
Huu wimbo naupataje niwekee kwenye frash yangu. Wimbo unafundisja sana
Kazi yako ni nzuri sana.
Nice video. good music
Amen 🙏🙏
nice
Naendelea kubarikiwa na wimbo huu mtumishi Enock
Atatenda mungu hamtupi mja wake,tunapokea kwa zam.
Hongera sana kiongozi Mungu ni mwema kila wakati na ndia asili yake
Mungu akulipe mema unafikisha ujumbe wake.❤
Amen dada yangu napokea 🙏🙏
Utabarikiwa
Amen 🙏
Kazi nzur
Hongera sana miuu
🎉🎉🎉🎉Amina
🎉🎉🎉Amina
🎉🎉Amina
Amen, Wimbo mzuri unatia moyo kwa tuliokata tamaa!
Amen dada yangu barikiwa 🙏
Amen mtumishi
upo vizuri mtumish wa mungu mungu akubariki
Hongera sana
Ameeeeen kaka ubarkiwe sana kazi nzur sana
Kazi nzuri,,unastahiri tuzo.amen ni maombi yangu Bwn akuinue viwango vya juu zaidi
Mungu akuinue kwa viwango tofauti
Mungu akubariki
Mungu akuinue..akuinue..halafu akuinue tena...wimbo una msg nzuri sana sanaaa...
Mungu akubariki sana
Mungu akubariki sana kwa huduma yako
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri Sana
Barikiwa mtumishi 🎉
Kazi nzuri sana kaka Enock
Kazi nzur Sana! Twashemelelwa ulige waitu!
Uzidi kubarikiwa Kaka.
Endelea kubarikiwa mtumishi wa Mungu
Endeleaaa kubarikiwa Kainjiniaa haka kawimbo ni kazuri sanaa 🤣🤣🙏🙏🙏🙏
congratulations
Huu ni wimbo wa viwango vingine kabsa. Hongera sana
Barikiwa sana mtumishi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ujumbe wa nguvu Sana huu 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Mungu Akubariki mtumishi kwa ujumbe mzuri