NANI ALIYEKWAMBIA UTOE!?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • Karibu sana! Mwana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu Katika muendelezo wa Kipindi chetu cha kijiweni na Roho Mtakatifu sehemu ya pili ya Muendelezo wa Mahojiano na mwana wa Mungu Irimina Laurent.
    Ni furaha yetu kuendelea kupokea ushuhuda kutoka kwako kupitia yale uliyoyapata kupitia vipindi vyetu vinavyokujia kila siku ya Jumatano.
    Usiache ku comment, share, like na subcribe uwe wa kwanza kupokea vipindi vyetu

ความคิดเห็น • 4

  • @wilbertmaridadi6105
    @wilbertmaridadi6105 3 หลายเดือนก่อน +3

    UTOAJI ni matokeo ya Baraka ambazo Mungu Baba katika Kristo Yesu amekubariki

  • @machageorge9083
    @machageorge9083 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kama kulivyo na kanuni na hekima ya kiungu kwenye kupanda, ndivyo hivyo pia katika mavuno.
    Asante Sana Kijiweni na Roho Mtakatifu🥳❤