Hongera sana mtumishi wa Mungu hata kama ninyi wachache watumishi wengine wengi na bado huyu kijana hata baada ya kufungwa na kulipa fine sasa anatekwa kwa sababu gani? Ni kweli kabisa Mtumishi wa Mungu. Sasa ni mamba ya hatali kwa sababu wengine tuliishi kwa amani lakini sasa kunalaana gani hii. Hasa kuteka watu na kutesa.
Mungu akuongezee hekima Mtumishi.Nadhani Africa yote tumekuwa wa mwisho katikaubaya. Hivi upendo wetu umeenda wapi? Ee Mungu tusamehe na uturudishie upendo wa kupenda wengine kama tunavyo jipenda wenyewe.
Safi sana Baba mchungaji ,picha ya rais kwenye gazeti kuna watu kijijini pia wanatumia magezeti kwa kusokotea sigara. Kwa picha ya rais ikitumika kuvutia tumbaku 😂
Watumishi wote mapadre mashehe wachungaji maaskofu mngeacha unafki na uchawa kama alivyo fanya lusekelo huu unyama ujinga wakuonea watu unaofanya na ccm ungekoma
Uhakika inauma sana hii inchi huru lkn nashangaa sana mapolisi wetu mtu akiwa na mawazo tofauti anapotezwa wataleta taharuki kubwa sana kwenye hii inchi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya VYOMBO VYA DOLA ,VYOMBO VYA CCM , NAONA ISIJE IKAWA VYOMBO VYA KUPIKIA CHAKULA SIO VYA DOLA TENA AIWEZEKANI KILA KUKICHA KUTEKANA KUMEZIDI
Tangu nimekufahamu mzee leo umejua kunigusa,kikundi kidogo cha nzi wa kujani kwa sababu ya tamaa ya madaraka na mazoea wanataka kuharibu nchi ambayo ndio urithi wetu sote.
serikali ni wakati wakuajili watu wafanyaji kazi wa kweli kama wanapenda madaraka ayo mambo yamabavu athari zake sio nzuri wanazidi kuwajengea watu jinsi yakuishi nyakati ngumu ipo siku itafikia tamati wakae wajadili waende na wakati Dunia inakwenda kasi mno wasijisaau
Nashukuru kwa kuzungumzia katiba maoni katiba hii nahisi irikua irikua ya zarura kupitia bunge kwasababu haikupigiwa kura na wananchi kwa maana hio katiba nimari ya bunge na viongozi wa ccm .sababu nyingine iripitishwa na wabunge wa chama kimoja ccm na wakati huo hakukua na vyama vingi ya sisa na ndio maana kwa maana hio katiba inafunga mana na katiba ya jamuhuri ya muungano na chama ccm katika kusaidiana kubana haki ya vyama vingine ya siasa .kwa maana hio katiba turio nayo haitendihaki kwa vyama vingine kwa maana hio faifai kuenderea kutumia katiba yenye upendereo wa chama kimoja .tuna hitaji katiba mpya ambayo ipigiwe kura na wananchi iweni ya wanachi isiyoegemea upande wowote!
Leo ndio umeongea ukweli mtupu 👍👍👍
Yani sahiz Boda boda akinifuata nyuma nasepaaa😂
Barikiwa mzeee wangu
Asante Baba tusemee Sisi wanyonge hatuna maik
Hallelujah
Fact Fact
Ubarikiwe mzee wa upako
Umeongea vema babayangu mungu kupitia maneno yako Tanzania itapona
Kweli kabisa
Leo umeogea. Ukweli, na mungu akubaliki
Hongera sana mtumishi wa Mungu hata kama ninyi wachache watumishi wengine wengi na bado huyu kijana hata baada ya kufungwa na kulipa fine sasa anatekwa kwa sababu gani? Ni kweli kabisa Mtumishi wa Mungu. Sasa ni mamba ya hatali kwa sababu wengine tuliishi kwa amani lakini sasa kunalaana gani hii. Hasa kuteka watu na kutesa.
Mungu akuongezee hekima Mtumishi.Nadhani Africa yote tumekuwa wa mwisho katikaubaya. Hivi upendo wetu umeenda wapi? Ee Mungu tusamehe na uturudishie upendo wa kupenda wengine kama tunavyo jipenda wenyewe.
Good 😊
Safi sana mzee wa upako utekaji umezidi
Inauma sana
CCM HAWANA KIBALI TENA CHA KUONGOZA NCHI NI WAUAJI WAKUBWA.
Hata mimi Leo nakuunga mkono umeongea point hata sisi tulioko mikoani tunaanza kuhofu sana juu utekaji huu
Safi sana Baba mchungaji ,picha ya rais kwenye gazeti kuna watu kijijini pia wanatumia magezeti
kwa kusokotea sigara.
Kwa picha ya rais ikitumika kuvutia tumbaku 😂
Kwani raisi nani picha yake isivutwe sigara
Big up
Watumishi wote mapadre mashehe wachungaji maaskofu mngeacha unafki na uchawa kama alivyo fanya lusekelo huu unyama ujinga wakuonea watu unaofanya na ccm ungekoma
Hapo mzee wa upako hapo umeongea vizuri
Nimebarikiwa sana na ujumbe wako mzee wa upako
Amen Mzee
aah baba mzee wa upako,Mie sikuwahi kukuelewa hata kidogo,lakini leo umeongea na Zaidi,Kwa maneno haya, Mungu amehusika,uishi zaidi
Fact
Kwer kabisa
Hapo umenena km mtumishi wa Mungu.
Mzee kwa ghadaf apo ni kweli kbsaaa
Umelonga vizuri sana,lakini sijui...
Ameen 🙏🏽
Mzee upako endelea kuwa na viwango big up
Uko vzr
Tz nchi yangu😢 umeongea kiuzalendo wakusikie
Nakupa bg up kwa leo mzee
Kweli kabisa ni hatari mno
Uhakika inauma sana hii inchi huru lkn nashangaa sana mapolisi wetu mtu akiwa na mawazo tofauti anapotezwa wataleta taharuki kubwa sana kwenye hii inchi
Huyu kama huwa anjifyatua akipewa hela
@@josephkaveya4284kweli kabisa
Baba sema Nchi uikomboe kutoka mikononi mwa watekeji na wafiraji wanao haribu tanganyika
Kwa kweli juu ya bunge hili sijawahi kuliangalia Wala kulisikiliza na sitathubutu, Halafu Mzee wa upako Leo nimekukubari.
Asante
🙏🙏🙏🙏
Ata msipo piga kelele haya mawe yatapiga kelele🇹🇿✌️💪💪💪💪💪💪🔥🔥💪💪💪💪
Leo umeOna Useme na wakat ulikuw kimya..Safi Na 👏
Nakukubali sanaaaaaaaaa kwakweli
Amesema kweli
Umeogea pot❤❤
Baba safi kazinjema,tusemee,hii vazi lakijan linapoteza watu wasiokua naatia,mifisadi inaiba pesa wanailea tu sijui tunakwenda wap.
Katika siku ambayo umenibariki ni leo umeongea kama mtumishi wa mungu kweli, sijawahi kikuamini lakini leo nakupa mama yako.
Baba nakukubali sana wambie ukweli watekeji
Nimeyakubali maneno ya hekima kutoka kwa mtumishi wa mungu
Hapo ndo umeongea vzr , bigup
Umeongeya point
Mtumishi kama mtumishi
Kwa mara ya kwanza nime kukubarii
Ila jman watanzania ni Waoga kuliko uwoga wenyewe, hakuna mtu amekemea ukitoa huyu mzee.
Kumbe hata Kipindi hiki Cha Mfalme Hangaya watu wanatekwa😅
Kiukweli mom
Ee Mungu endelea kuilinda nchi yetu
❤❤❤❤❤❤❤❤
Kuna tofauti kubwa sana kati ya VYOMBO VYA DOLA ,VYOMBO VYA CCM , NAONA ISIJE IKAWA VYOMBO VYA KUPIKIA CHAKULA SIO VYA DOLA TENA AIWEZEKANI KILA KUKICHA KUTEKANA KUMEZIDI
Mkuu leo umeongea sawa bila woga asante sana 'machwa wanachikia
Kweli kabisa inauma mimi naona amani hakuna tena
Hapa ndio umezungmza kitu haswaaa kzur
Ukweli mtupu
Saf mchungaj nam Leo hakika umeongea vizur sana
8:20
ukewli utabaki kuwa ukweli tu.Wanatuharibia sifa ya nchi yetu
Rais na aijipii wako likizo,wanajifanya hawasikii/hawaoni
Kweli hakuna bungee
Wanaotakiwa kutulinda wanateka sijui sasa itakuaje Mungu tusaidie
Leo nimekuelewa mchungaji
Tanzania tena hakunaga amani😊
Siwez kuangalia bunge hili hata akuna chochote kipyaaa
Hapa umeeleweka
Tangu nimekufahamu mzee leo umejua kunigusa,kikundi kidogo cha nzi wa kujani kwa sababu ya tamaa ya madaraka na mazoea wanataka kuharibu nchi ambayo ndio urithi wetu sote.
Wazo sahihi wakipotea watu wa upinzani basi na watu wa CCM nao wapotezwe
Hiii ndo faida na kaz ya watumishi wa Mungu Ubarikiwe sana
Kwa hiyo kwan lazima wote tuikubal ccm
Tunako herekea ni kubaya sana
Hata Mimi siangalii bunge kabisa.
Mi naamini kwamba kama watu wanatekwa hadi mchana polisi hawawezi kukichunguza wenyewe
Mama karipia hichi kitendo tunaishi kwa mashaka wananchi wako
MUNGU akutangulie kwa maneno mazuri ulio yaongea. Tanzania ijayo ni Tanzania ya damu.
Me nafikiri kwa sas tunaviongozi ambao hawaitakii Aman nchi hii
Hata Mimi siangariagi kabisa
serikali ni wakati wakuajili watu wafanyaji kazi wa kweli kama wanapenda madaraka ayo mambo yamabavu athari zake sio nzuri wanazidi kuwajengea watu jinsi yakuishi nyakati ngumu ipo siku itafikia tamati wakae wajadili waende na wakati Dunia inakwenda kasi mno wasijisaau
Mimi.pia.siikubari ccm..ni majambazi
Sasa hapa ndio nimejua kua uyu mtumishi ni wamungu alie hai
Hakuna bunge kuna wahuni kunyoka nae
Kaz ya watumishi wa MUNGU ni kututeteaa
Nashukuru kwa kuzungumzia katiba maoni katiba hii nahisi irikua irikua ya zarura kupitia bunge kwasababu haikupigiwa kura na wananchi kwa maana hio katiba nimari ya bunge na viongozi wa ccm .sababu nyingine iripitishwa na wabunge wa chama kimoja ccm na wakati huo hakukua na vyama vingi ya sisa na ndio maana kwa maana hio katiba inafunga mana na katiba ya jamuhuri ya muungano na chama ccm katika kusaidiana kubana haki ya vyama vingine ya siasa .kwa maana hio katiba turio nayo haitendihaki kwa vyama vingine kwa maana hio faifai kuenderea kutumia katiba yenye upendereo wa chama kimoja .tuna hitaji katiba mpya ambayo ipigiwe kura na wananchi iweni ya wanachi isiyoegemea upande wowote!
Hata saa mbovu kuna wakati inasema kweli
Wewe si ndiye uliyesema
Mungu mwenyewe anatoa ruhusa watu waseme wewe nani uzuie??tunaendelea kuishtaki Ccm na serikali yake kwa Mungu haki itaamua
HAPO MTUMISHI SAMAHANI,bunge la viwango ni LILE LA SAMWELI SITA NA WALA SIO PIUS MSEKWA.
Mwamba
Mwenda zake akikosea sana kuharibu vyama pinzan ni kosa kubwa
Acha ujinga
@@kibombi Kwahiyo ww ulipenda alichowafanyia wapinzani, haya tupe faida ya kuwepo hao inzi wa kijana bungeni
Wasiojukikana wanajiandaa huko waliko😅
MUNGU AKUTIE NGUVUUU
Siku nyingine unakuwa timamu ya maji kupwa maji kujaa
😂😂😂ukinenga nenga tu umeeenda😂😂😂